LISILOWEZEKANA LINAWEZEKANA
17:48
14 күн бұрын
KATAA KUJIKATAA
11:49
14 күн бұрын
MATESO YA MAWAZO
2:04
Ай бұрын
NGUVU YA MWANAMKE
3:04
Ай бұрын
UONGO UMEVAA NGUO ZA UKWELI
1:09
2 ай бұрын
HUWEZI KUUSHINDA UKWELI
1:50
2 ай бұрын
NALO HILO LITAPITA UTANGULIZI
4:04
Пікірлер
@georgegregory8414
@georgegregory8414 8 күн бұрын
Padri kweli ni mtihani mungu akubariki sana
@janejellyjames5069
@janejellyjames5069 9 күн бұрын
Asante Sana Mtumishi was Mungu umeniponya Sana ameen
@renatusiregiusi3356
@renatusiregiusi3356 14 күн бұрын
Fr akika maneno Yako yananitia moya Kila wakati by Rena stationary kyaka
@MithiaruChristine
@MithiaruChristine 15 күн бұрын
Be blessed fr kamugisha
@user-bc3es9tr2s
@user-bc3es9tr2s 18 күн бұрын
Mungu akupe miaka mingi na heri duniani mtumishi wa mungu kamugisha
@UpendoMzava
@UpendoMzava 18 күн бұрын
Hongera sana Baba yetu wa Kiroho nakupata vizuri MUNGU aendelee kukulinda na kukutumia chombo chake .....Hicho kipaji chako kweli ni zawadi Kutoka kwa MUNGU hakuna kufa pressure hapa ni kucheka tuuu Hadi mbinguni
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 18 күн бұрын
Hongela sana padri kamugisha kwa kutimiza Miaka 25 kwa utume wa upadre mungu azidi kukulinda kwa kazi yake alilo kuchagulia❤❤ kutoka Burundi 🇧🇮 🙏
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 18 күн бұрын
Amen 🙏 🙏
@mosesnkoimo4981
@mosesnkoimo4981 18 күн бұрын
Heko padre kwa miaka ya utumishi kwa Mungu.Mola akuzidishie busara ya kutangaza injili yake.
@suzannebucyanayandi630
@suzannebucyanayandi630 19 күн бұрын
Amina Asante Father 🙏
@user-oq4fv5ed7u
@user-oq4fv5ed7u 19 күн бұрын
Amina sana barikiwa Baba nimependa kitabu chako cha kataa kujikataa NINAENDELEA kukisoma na KUJIFUNZA mengi barikiwa sana
@davidlelo6192
@davidlelo6192 22 күн бұрын
Mungu nakushukuru
@renatusfmwendamnofu5234
@renatusfmwendamnofu5234 25 күн бұрын
Tunashukuru mungu kwa wema wake kwa kile alichokipanda ndani ya mtumishi huyu F,Kamgisha na aendelee kuwa dawa ya maisha yetu ya liroho, sifa na utukufu wa mungu utawale.
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 29 күн бұрын
Atukuzwe Mungu milele
@husha6372
@husha6372 Ай бұрын
HAWANA changaa changaa ni pombe haramu kule pwani
@MithiaruChristine
@MithiaruChristine Ай бұрын
Be blessed
@nasb693
@nasb693 Ай бұрын
Amina
@godwinsekhaosia8327
@godwinsekhaosia8327 Ай бұрын
Hakika unyenyekevuu unatujalia Neema 👍👍
@PATRICKMSWAZI
@PATRICKMSWAZI Ай бұрын
😊😊😊
@user-fv6ru4ln6e
@user-fv6ru4ln6e Ай бұрын
Jameni naomba nijue hiçhi kitabu nitakipata wapi kenya?
@user-jp1nr4dq5x
@user-jp1nr4dq5x Ай бұрын
Ahsante baba kamgisha mungu akutunze uenderee kutufundisha.
@EdinaRutela-xv9sv
@EdinaRutela-xv9sv Ай бұрын
Amina
@EdinaRutela-xv9sv
@EdinaRutela-xv9sv Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@dominicblass4319
@dominicblass4319 Ай бұрын
Tyk baba, nakutakia utume mwema
@henrikalenus5793
@henrikalenus5793 Ай бұрын
Ahsante father nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏
@HilariaJoseph
@HilariaJoseph Ай бұрын
ASANTE KWA MAFUNDISHO MAZURI
@irenemakuta1719
@irenemakuta1719 Ай бұрын
Padre Kamugishe mahubiri yako yananitia moyo na nguvu ya kusinga mbele.ubarikiwe sana.siku nitakuona nitabarikiwa zaidi.
@MrPiece-vk4yw
@MrPiece-vk4yw Ай бұрын
Hivi unakitabu chochote ulichoandika
@baloziwaghetto814
@baloziwaghetto814 Ай бұрын
Amina father napataje vitabu vyako??
@SelestinFrancis-g5o
@SelestinFrancis-g5o Ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako MUNGU akubariki.
@atukuzwenoorath4254
@atukuzwenoorath4254 Ай бұрын
Amina Father. Asante sana kwa mafundisho mazuri..
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter Ай бұрын
Nimekupata na kukuelewa Fr
@AloecyMunyeneza
@AloecyMunyeneza Ай бұрын
Fr njoo sumbawanga utupe semina
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 2 ай бұрын
Msaada mawasiliano ya fathers
@faustinkamugisha8747
@faustinkamugisha8747 Ай бұрын
Tumsifu Yesu Kristu. Namba yangu 0759900112. Ubarikiwe
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 Ай бұрын
​@@faustinkamugisha8747 Amina , Namba hii huduma zimezuiliwa. Asante
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 Ай бұрын
@@faustinkamugisha8747 father namba haipo sahihi
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 Ай бұрын
Father happy universal 25yrs Mungu azidi kukujali afya ya Roho na mwili
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 2 ай бұрын
Mawasiliano ya father
@anthonyapolinary7201
@anthonyapolinary7201 2 ай бұрын
Napata vip mawasiliano ya padre kamugisha?
@glorytheodory5053
@glorytheodory5053 2 ай бұрын
Aminaaaa
@uncertgosbertuncertgosbert8362
@uncertgosbertuncertgosbert8362 2 ай бұрын
Fr.Kamugisha njoo Tabora utupe madini
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter 2 ай бұрын
Amina
@philibertlwiwa297
@philibertlwiwa297 2 ай бұрын
amina
@user-jj6zx1vw9m
@user-jj6zx1vw9m 2 ай бұрын
Asenta Sana padre mungu akupe hekima zake amina
@salviuskagugu-ou4ng
@salviuskagugu-ou4ng 2 ай бұрын
Asante Fr!
@catherinetairo359
@catherinetairo359 2 ай бұрын
😂😂😂
@catherinetairo359
@catherinetairo359 2 ай бұрын
Ameen
@erickmtasingwa7731
@erickmtasingwa7731 2 ай бұрын
Thanks 🙏
@agathanafula8520
@agathanafula8520 2 ай бұрын
Tawala Mioyoni mwetu!
@beatuswamara235
@beatuswamara235 2 ай бұрын
Nashukuru kwa neno hakika nimepata mambo mengi leo.
@ReginaKulwa-zp7wp
@ReginaKulwa-zp7wp 2 ай бұрын
Amina. Barikiwa, asante.
@HaroldKawedi
@HaroldKawedi 2 ай бұрын
Mungu akubariki tena na tena unatulisha neno lenye shibe.
@CatherineLema-o6d
@CatherineLema-o6d 2 ай бұрын
Amen