Good,tia bidii Mungu atakumbuka kazi yako atakupea breakthrough ya ajabu.
@chomvutototv1965Ай бұрын
@@ishmaelnyongesa1678 Amina
@IreneSamson-l3m3 ай бұрын
Ukawe chemichemi isiyo kauka maana chemichemi isiyo kauka ni msaada wa maji kwa watu walio katika Hali ya kiu hivyo wataitaji kuchota na kunywa hivyo rafik Yangu mzur usichoke kufanya kazi hii daima maana kunawatu wanahitaji neema .
@chomvutototv19653 ай бұрын
@@IreneSamson-l3m Amen Amen Amen
@GetrudeMgaya3 ай бұрын
Amina njoo buguruni sda utufundishe nyimbo hiyo🎉🎉
@chomvutototv19653 ай бұрын
@@GetrudeMgaya Sawasawa asante kwa Mualiko rafiki🙂
@LivunessStabile-w4f3 ай бұрын
😍
@LovenessAlphonce-k2i4 ай бұрын
Barikiwa sana
@chomvutototv19654 ай бұрын
@@LovenessAlphonce-k2i Amina. Barikiwa pia mpendwa
Kazi nzuri sana kwa wimbo wa kuwatia moyo watoto na kuwafuraisha, kuwachangamsha
@eliasessaba Жыл бұрын
Ni nzuri sana...
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Utukufu kwa BWANA MWENYEZI. Barikiwa unaposikiliza nakuangalia rafki angu Elias. Nakukumbuka sana
@heriethirichadimndememnd-yw9xz Жыл бұрын
asanteni kwakutu bariki nawimbo mzuri barikiwa sana
@chiefnorbertkangalu14032 жыл бұрын
Hata sijaelewa hyo buku inpte tu kwa kwel 😂😂
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
😅😅😅😅 Tichaaa
@saumumajidi28802 жыл бұрын
Glory glory CHOMVU KIDS
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Amen, GLORY TO THE ALMIGHTY GOD. 😇
@bulengela27562 жыл бұрын
Chomvu toto Tv ni mbaraka
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Baraka nyingi sana zikushukie wewe mwalimu wetu uliyekirimiwa uwezo wa ajabu na KRISTO. Asante kutuonesha njia ya KRISTO na namna yakutumika. Najua unanielewa nisemayo.🤗😇 Tuendelee kujihusisha
@niceemanuel77652 жыл бұрын
Kazi mzuri sana ubarikiwe Na MUNGU azidi kukupa unyenyekevu wakuifanya kaziyake napia akuongezee nguvu nyingi nakazi yake hii ulioifanya ikaokowe wasio mjuwa yeye warejee zizini mwake ubarikiwe Bali usifemoyo unapo endelea kuifanya kazii hii ubarikiwe Na nikutakie SABATONJEMA
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Utukufu kwa BWANA yeye atengenezaye nafasi na kuwapa watoto vipaji. Asante Madam
@mwalimunestory55132 жыл бұрын
Nimeusubiri sana huu wimbo Mbarikiwe sana na karibuni GONGO LA MBOTO SDA🔥🔥🔥
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Wow ndugu yetu tupo pamoja. Gomz ni ndugu zetu haswaa. Utukufu kwa BWANA.
@amoskitiu35412 жыл бұрын
Amina
@mwajabuwaziri27752 жыл бұрын
Teacher eli can you remind me a song which you taught us ,i want to go and sing it on religion period
@chomvutototv19652 жыл бұрын
Do you mean follow you song?
@mwajabuwaziri27752 жыл бұрын
Hi teacher eli do you remember mahe nge kids .when are you going to come at school
@chomvutototv19652 жыл бұрын
Hellow my friend. How can I posibly forget you Mahenge Kids. I miss you all so much. I will come to see you soon. Say hi to all