Nimeusubiri sana huu wimbo Mbarikiwe sana na karibuni GONGO LA MBOTO SDA🔥🔥🔥
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Wow ndugu yetu tupo pamoja. Gomz ni ndugu zetu haswaa. Utukufu kwa BWANA.
@AzizaMussa-hz8mk6 ай бұрын
Waoh mbarikiwe
@chomvutototv19656 ай бұрын
Amen
@danmgambi Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kwa wimbo wa kuwatia moyo watoto na kuwafuraisha, kuwachangamsha
@RamlaSteve6 ай бұрын
Tamu Sana mbarikiwe
@TumusifuNelly5 ай бұрын
Nyimbo huu unanibariki sana
@chomvutototv19654 ай бұрын
@@TumusifuNelly Jina la BWANA lipewe sifa😊
@GetrudeMgaya3 ай бұрын
Amina njoo buguruni sda utufundishe nyimbo hiyo🎉🎉
@chomvutototv19653 ай бұрын
@@GetrudeMgaya Sawasawa asante kwa Mualiko rafiki🙂
@ishmaelnyongesa1678Ай бұрын
Good,tia bidii Mungu atakumbuka kazi yako atakupea breakthrough ya ajabu.
@chomvutototv1965Ай бұрын
@@ishmaelnyongesa1678 Amina
@faithfaiko82775 ай бұрын
Makini sanaaa aiseee
@niceemanuel77652 жыл бұрын
Kazi mzuri sana ubarikiwe Na MUNGU azidi kukupa unyenyekevu wakuifanya kaziyake napia akuongezee nguvu nyingi nakazi yake hii ulioifanya ikaokowe wasio mjuwa yeye warejee zizini mwake ubarikiwe Bali usifemoyo unapo endelea kuifanya kazii hii ubarikiwe Na nikutakie SABATONJEMA
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Utukufu kwa BWANA yeye atengenezaye nafasi na kuwapa watoto vipaji. Asante Madam
@StanyNtahondi6 ай бұрын
Nimependa ❤❤❤🎉🎉🎉
@DoricaOrwaru11 ай бұрын
❤
@SabinaErasto6 ай бұрын
Barkiwa sana
@chomvutototv19656 ай бұрын
Amina Barikiwa zaidi ndugu
@BuorMabilChuol7 ай бұрын
Wow! Amen 🙏
@chomvutototv19656 ай бұрын
Amen
@saumumajidi28802 жыл бұрын
Glory glory CHOMVU KIDS
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Amen, GLORY TO THE ALMIGHTY GOD. 😇
@eliasessaba Жыл бұрын
Ni nzuri sana...
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Utukufu kwa BWANA MWENYEZI. Barikiwa unaposikiliza nakuangalia rafki angu Elias. Nakukumbuka sana
@MakenziShida11 күн бұрын
Mwalimu ufike mbali
@CamillaClemence8 ай бұрын
Good bless you all ❤❤❤❤
@chomvutototv1965Ай бұрын
@@CamillaClemence Amen
@LovenessclintonpraygodLoveness8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@LovenessclintonpraygodLoveness8 ай бұрын
Nice song
@bulengela27562 жыл бұрын
Chomvu toto Tv ni mbaraka
@chomvutototv1965 Жыл бұрын
Baraka nyingi sana zikushukie wewe mwalimu wetu uliyekirimiwa uwezo wa ajabu na KRISTO. Asante kutuonesha njia ya KRISTO na namna yakutumika. Najua unanielewa nisemayo.🤗😇 Tuendelee kujihusisha
@LovenessAlphonce-k2i4 ай бұрын
Barikiwa sana
@chomvutototv19654 ай бұрын
@@LovenessAlphonce-k2i Amina. Barikiwa pia mpendwa