Пікірлер
@user-js7lr8vr9i
@user-js7lr8vr9i 9 сағат бұрын
Pimbi atakupasua kinyama wewe
@user-js7lr8vr9i
@user-js7lr8vr9i 9 сағат бұрын
😂 wewe hauna akili kweli unaela gani wewe huna hata mia
@jonasTumaini-q5l
@jonasTumaini-q5l 15 сағат бұрын
nakubali sana hawa jamaa kp na zebuu ❤❤❤
@HassanSimpson
@HassanSimpson 23 сағат бұрын
Bimbi we ni kilema
@hornpesa
@hornpesa Күн бұрын
Wapigwe tu
@hornpesa
@hornpesa Күн бұрын
Nyinyi ni magaidi lazima mpigwe tu!
@user-sf9jc5zq7k
@user-sf9jc5zq7k Күн бұрын
Oya balaza konk piga iki kijitu kinajeuri sana fala uyu
@EmmanuelHaule-w6t
@EmmanuelHaule-w6t Күн бұрын
Safiiii xana
@JuliaAyuma-z5w
@JuliaAyuma-z5w Күн бұрын
Mungu awabariki sana pamoja na baby wenu mrembo kama malaika 😂😂😂❤
@brownmoses9543
@brownmoses9543 Күн бұрын
Hizi zee jinga kweli😂😂😂
@AudilUdope
@AudilUdope Күн бұрын
Mungu awjalie maisha marefu
@Mojabo-qi7sv
@Mojabo-qi7sv Күн бұрын
Alla aku simmamie
@MiriamDaudi-e9p
@MiriamDaudi-e9p Күн бұрын
Nitawafuatilia mpaka basi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sebastienbien-aimealexis9538
@sebastienbien-aimealexis9538 Күн бұрын
Big up bro kp iyo kweli
@MalangaMartin
@MalangaMartin Күн бұрын
Saw
@bensonkariuki5843
@bensonkariuki5843 Күн бұрын
Mbona sauti ya nature nikama ana'ngorota ..biggup Tmk wanaume
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas 2 күн бұрын
Amakweli ufupi ukizidi nahakiri inakuwa fupi mbili kimo kawahudumie nguwe wewe maama hata kufanana naona mnafanana sana
@nzokatz
@nzokatz 2 күн бұрын
Haka Nako 😂
@yasminally1015
@yasminally1015 2 күн бұрын
Asallam maalequ Maashallah Maashallah Allahadulilah Allahadulilah Ishaallaha Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha K and P Allah hjelp Ishaallaha ❤❤❤❤❤❤
@hafidhali3020
@hafidhali3020 19 сағат бұрын
Allah help zinaa? does it make sense?
@iddsimba3849
@iddsimba3849 2 күн бұрын
Daaswh😢 NjaYaa mbaya
@libesejoseph
@libesejoseph 2 күн бұрын
Wapi platnumz hamwogi mtu
@ChingaPambakalii
@ChingaPambakalii 2 күн бұрын
w njaa inakutesa mbon hakun kipande chako mbwa wew
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 күн бұрын
Ww pimbi acha zarau, maisha ni kupanda na kushuka fala we
@FatinaMilimo
@FatinaMilimo 2 күн бұрын
Nawapenda sana mm ni mshabiki wunu❤❤❤❤
@ericbuberwa7828
@ericbuberwa7828 2 күн бұрын
wanasubiria hapo kwnye KIWANGOOOOOOOOOOO ndio penye utamu
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 күн бұрын
Ndio ni kazi kweli
@deusmallya3384
@deusmallya3384 2 күн бұрын
We kweli pimbi Unamwacha wa mr2
@user-xp8jr9tj7q
@user-xp8jr9tj7q 3 күн бұрын
Ooo niomasikini Tu
@mejamiela7436
@mejamiela7436 3 күн бұрын
Ww mbn unawasemaga watu
@mohamedjarwan
@mohamedjarwan 3 күн бұрын
Hana Cha shoo Wala nn Sasa kama shoo IPO mbona hatuoneshi kama anavyo tuonesha Diamond KOMA SAVA ,
@mohamedjarwan
@mohamedjarwan 3 күн бұрын
Mbinguni ni hesabu Yako tu yaani ni majumlisho ya maisha Yako yote uliyo ishi Duniani ila malipo ya matendo Yako ni hapa utalipwa kabla hujafa
@mohamedjarwan
@mohamedjarwan 3 күн бұрын
Dudu baya zero anahangaika na adhabu ya matendo yake kaa mkijua malipo ni hapa hapa DINIANI
@mohamedjarwan
@mohamedjarwan 3 күн бұрын
Mpenzi DUDU baya 1bilioni muone atakuwa vp kama hamja mmisss kanisani hahaha
@mohamedjarwan
@mohamedjarwan 3 күн бұрын
Mr pimbi anaongea kweli DUDU baya pesa imemkataa anajifanya eti kaokoka hahaha ss binadamu ndio tulivyo mambo yakiwa hamna unaanza kuleta maandiko ya vitabu vitakatifu kama hamuuamini maneno yangu
@mohamedjarwan
@mohamedjarwan 3 күн бұрын
Kiufupi dudu baya bado hajawa mchamungu wa kweli
@mohamedjarwan
@mohamedjarwan 3 күн бұрын
Mr pimbi ndogo wangu Sina maana kama mm na ww familia moja hapana ila udogo wako kwangu ni umri huyu dudu anacho Fanya Sasa hv , sio ww ni laana kutoka kwa MUNGU, kwa nn nasema hv , maana Sasa hv anajitangaza yeye Sasa hv ni mtu wa mungu, Sasa najiuliza mtu Gani wa mungu anaye taka kulipiza kisasi na kupigana kiufupi hapa mungu anatuonesha kwamba dudu baya bado Imani yake kwa MUNGU bado sana maana mcha mungu huzuia hasira na mambo ambayo hayampendezi mungu hasa maugomvi ambayo hayana maana yoyote
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke 3 күн бұрын
Hayo ndo mapenzi ya mtandaoni kimewarambaa
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 3 күн бұрын
Pimbi ze cronic acha vibweka
@VumiliaMusa
@VumiliaMusa 3 күн бұрын
Ninyakati za mwisho dalili zote zimetimia
@mobileteacheronline8152
@mobileteacheronline8152 3 күн бұрын
Mr pimbi kweli wee pimbiii
@OmarKsa-t8s
@OmarKsa-t8s 3 күн бұрын
Pemp ujiwe duniya nikupanda nakushuka nikama kuzarau browako hopo nikumtaka samahan
@abdulisike
@abdulisike 3 күн бұрын
Marafiki hawa saf sana kumbe wanamipango kitambo
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 3 күн бұрын
Wewe koma chizi wewe Ungeanza kwanza kutoa makalio yako wakuingize chupa bila hiyari alafu uone Usijitie kujua kwa mtoto wa mwenzio
@epimackjohn461
@epimackjohn461 3 күн бұрын
Kwa nchi inayojiita kisiwa cha AMANI , tendo la kupiga , kuumiza watu , kudhalilisha vimeitia na kuichafua SERIKALI , UONGOZI WAKE , JESHI LA POLISI NA CHAMA TAWALA --LAANA KUBWA SANA KWA TENDO LA KINYAMA KWA BINADAMU WENYE UHAI KAMA WAO .
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 3 күн бұрын
Yaan aisee kwa dharau mlizonazo nadhani jeshi letu lilifanya safi sana kuwapa virungu! Hakuna kujiuliza na hakuna waaandishi wa hapari hapo wote hao ni njaa tupu
@josephbundala1475
@josephbundala1475 3 күн бұрын
Waliopigwa wako hivyo? Acha bwana.
@khamis9187
@khamis9187 3 күн бұрын
Dudu kaibiwa, kwaiyo unataka kumkaanda mondi au!!!??.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 күн бұрын
Ww pipi hakuna anaye penda kuumwa hata ww Ni mgonjwa mtalajiwa bado tupo dunian acha kiropropo
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 күн бұрын
Acha uchokoz ww
@Dija-pe9un
@Dija-pe9un 3 күн бұрын
Jaman uyo mdada nimjinga ungepambana na mumeo kwanza
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 күн бұрын
Wanainchi wa Tanganyika ni wa ajabu. Hivi kwa kukosa elimu ndiyo au roho mbaya tu au ushabiki wa CCM? Kheri kuwa na upendo kwa watanganyika wenzako Imekwenda Inchi nyingi za wa Africa hawoko hivyo wanajali sana wanainchi wenzao. Hivi vyama vina pita. Lakini udanganyifu haubadiriki. Kuna watoto wenu, familia zenu na sisi jamii hatutabadirishwa na siasa hizi. Leo unaweza kumwona leo hakufai na ukamtukana unavyoweza. Kwani mnamtukana amekosa nini? Na mnayeringa sana ni mzanzibari! Hili halibadirishwi kwa sababu Zanzibar ilisha jitoa kwenye muungano siku moja mtajikuta hamna pa kushika na kuwa watumwa tena. Na kwa sababu ya kutojali vitu mnajiuza bila bei. Kwani tukiwa tumepanga nyumba wote mimi nikahama unawezaje kung'ang'ana kuwa bado tuko nyumba ile tuliyokuwa kwa sababu tu tunaweza kuonana? Zanzibar walisha jitoa katika muungano. Wana Inchi yao Zanzibar, bendera yao, raisi wao na bunge lao. Wewe huwezi kupata cho chote huko Zanzibar hata mkifanya uchawa. Huyu mzanzibari anataka kutumia hiyo nafasi kuwaweza watanganyika hata wewe unaweza ukahusika kama siyo leo kesho inakuja. Acheni unafiki Samia ni kupe akisha nyonya atawacha hapa hapa ati kwa sababu mnajiita Tanzania. Kwani nikiitwa Tanganyika nimekisa nini. Nadhani ninafaida kubwa tukirudisha Tanganyika yetu. Kwahiyo mlitaka Tundu Lissu wammalizie? Mna akili si kheri unamchukia Tundu Lissu kwa sababu gani nadhani kwa kuwa mlikuwa katika wale waliokuwa wanatafuta uhai wake na Mungu hakuwaruhusu mmwogope Mungu kabla ya kutukana.