Apo kwakweli nimekuelewa xana mtumixhi wabwana napenda watumixhi kama Hawa naanza kuxali namimi
@GraceDeo-g1n3 күн бұрын
Mungu anampango na nchi hii ,huezi amini ht farao alikua mbishi
@samwelmatemu88733 күн бұрын
Wewe ni mjinga mjinga sana kauli chafu.Watu mlio muunga mkono mbowe tokeni kimia kimia bila kuambia lolote.wacheni na chama Chao tuone msishirikiane nao .imarisheni upande wenu wenye kimia kimia.itisheni vikao vyenu na mtembeleeni mwenyekiti wenu mlie mpenda
@magesadani90582 күн бұрын
Akili ni nywele kila mtu ana zake
@RobertChacha-si1js3 күн бұрын
Haya maswali ya waandishi mbona hawawaulizagi ccm??
@mpallaupdates3 күн бұрын
Wewe Unadhani CCM wanapenda Kuhulizwa Ayo Maswali
@godwinshoo50322 күн бұрын
Hoja za CCM zinajitosheleza zenyewe
@leticialubala97213 күн бұрын
Huyu apimwe akili hayuko sawa. Chama kimekuwa cha kiharakati kwa sasa.
@gabrielmahala98483 күн бұрын
Hata nyerere alikuwa mwanaharakati, hata Mandela alikuwa mwanaharakati
@FrankKwanama-lo6fj3 күн бұрын
Unataka chama cha kutumia busara kuliko akili? unda chama chako!
@korossobecky3 күн бұрын
Kumbe
@BeniMwengo2 күн бұрын
Lissu tumempenda wenyewe tukiwa tunajua kwamba ni mbangaizaji mwenzetu. Tutamchangia hizo miamia zetu za kiubangaizaji kuhakikisha ukombozi unapatikana kwa umoja wa wabangaizaji. Tutamchangia kama vile wazee wetu walivyowachangia akina Nyerere, Madiba, Nkurumal n.k
@1959412333 күн бұрын
Mwandishi nawe unaonesha ni chawa wa Mbowe.
@JuliethNyoni3 күн бұрын
Kweli mchungaji
@RemissionSangatiti3 күн бұрын
Huyu lana vp uyu
@carolinamgando60263 күн бұрын
Kuungwa mkubwa kwa ushindi wa tofauti ya kura thelathini tu?