Kiswahili Havana, Kuba 2024
16:07
3 ай бұрын
Kiswahili Italia na Ujerumani
3:21
Mazuri ya Waafrika Wamarekani
11:32
Moyo vumilia, wa kwako hajazaliwa
4:29
Wazazi mwafeli wapi?
1:56
11 ай бұрын
Пікірлер
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 26 күн бұрын
We jidanganye na jiridhishe, Ukweli unaujua japo unajifanya huujui. hata hiyo ni gani unayoongeza yaweza kukuonyesha ulivyo mtupu kwenye ugwiji, weledi na unyakanga wa Kiswahili.
@solomonadams6337
@solomonadams6337 27 күн бұрын
Sio Caribe bali ni Caribbean okay.thankx
@solomonadams6337
@solomonadams6337 27 күн бұрын
Tanganyika hasio nchi ya Waswahili ni nchi ya Wazaramu,Wahaya,Wachaga ,wamakonde ,Wahehe ,Watanganyika ni Wanigeria wa East Africa sawa,hawana milla wala tabia wao ni wizi na Umalaya tuu ,Ukiwa muarabu maana yake lugha yako ni kiarabu tuu ukizungumza lugha nyenyike ni foreign language to you,nauliza suali Watanganyika wana lugha ngapi¿if you are Scottish English is foreign language 2 you okay it would be very please to you to know who you are.thanks
@solomonadams6337
@solomonadams6337 27 күн бұрын
Kiswahili fusgha kweo ni Zinjibar 💯👌 every body knows about it.thanks
@RonnieBertin
@RonnieBertin Ай бұрын
Wewe ni mzushi tu hauna lolote
@Bahati-u6p
@Bahati-u6p Ай бұрын
Nikweli
@ShafiiDauda-mh9ju
@ShafiiDauda-mh9ju Ай бұрын
👍👍👍🇹🇿👍👍
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 Ай бұрын
Kwanini hamkitumii?
@AllanKaita
@AllanKaita Ай бұрын
Kiswahili ni lugha ashirafu tamu na adhimu toka Lamu twavyofahamu
@coolbz133
@coolbz133 Ай бұрын
Swadakta maneno yako nikweli
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 2 ай бұрын
Kiitaliano na Kiswahili, lugha mbili ninazozipenda mno ❤ Mm ni mkalimani wa Kiitaliano, natumai nitakua mkalimani wa Kiswahili pia (nikiendelea kusoma kwa bidii). Kiswahili ni kama bahari inayojaa maneno, misemo, methali, nahau na kadhalika. Kama wahenga wanavyosema mvumilivu hula mbivu na siku moja juhudi zangu zitazaa matunda.
@durusukiswahili
@durusukiswahili 2 ай бұрын
Jiunge na vyama vya wanataaluma kama vile CHAUKIDU pamoja na EAITA.ORG ujinoe pamoja na wataalamu wengine.
@ShadrackAnalo
@ShadrackAnalo 2 ай бұрын
Sasa iyo inatusaidia na nini
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 2 ай бұрын
Mawazo yote kuhusu kiswahili Cha Kenya na Tanzania ni potofu. Wote wanaongea kiswahili kizuri tu. Ni sawa na kiingereza Cha england, Canada, marekani, Scotland etc. lafudhi yaweza kuwa tofauti lakini lugha ni ileile
@ExtremeMultFrequency
@ExtremeMultFrequency 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/p3zWoJt3esicntEsi=hCMDXfQ4IuhoghLz
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 2 ай бұрын
Kiswahili kipo kabla yahii mipaka yakenya na tanzania musidanganye watu ilakiswahili fasaha kinaongelewa unguja mjini
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 2 ай бұрын
Kila kilicho nde
@IsaeVuguziga
@IsaeVuguziga 3 ай бұрын
Hamujambo?mimi naitwa isaie VUGUZIGA kutoka Rwanda,nikawa mpenzi wa rugha ya kiswahili,lakini Kuna changamoto katika jamii,ukijaribu kuongea lugha hii unachukuliwa ama kuonekana mujambazi kwawanawo jihusisha na lugha mbarimbari haswa kimombo,kinginecho kinareta usumbufu mukali ni kwamba wenge wadhani wanajuwa kiswahili,ukitazama vyema ukawakuta hawana ujuzi wowote kuhusu lugha hii,na kingine kuweka kikomo ni ugombaniaji chimbuko ya kiswahili kati ya mu Tanzania na mu Kenya,je mwatushauri nini?
@durusukiswahili
@durusukiswahili 2 ай бұрын
Hatujambo, ushauri ni kwamba ushirikiane na wote wanaokipenda Kiswahili utajifunza mengi.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 ай бұрын
Kiswahili kwetu sisi watanzania kizuri sio deal sana tuongee juu ya tanzania ya kesho
@IslahiMohamed-qi2jf
@IslahiMohamed-qi2jf 3 ай бұрын
Zanzibar ndokwenye kiswahili na sio bara
@innocentfortunatus725
@innocentfortunatus725 2 ай бұрын
Bara ndo nini? Maana wote ni watanzania na lugha yetu ni kiswahili au yale
@r3gistratoe310
@r3gistratoe310 3 ай бұрын
mi nasoma kiswahili mwenyewe, natoka italia na ninakipenda kiswahili saaaana kweli
@jumaothman2092
@jumaothman2092 3 ай бұрын
Tatizo pwani ya kenya mlikizarau sana kiswahili sisi wa zanzibar tutakwenda nacho hivyo hivyo ijapokua watu wa bara ya Tanganyika hukiharibu lakini hatujakiacha
@dr.rajabmlekwachimile8699
@dr.rajabmlekwachimile8699 3 ай бұрын
Ni lugha pekee Africa ambayo ni rahisi kuwa Lingua franca
@SamsonNkera
@SamsonNkera 3 ай бұрын
Kujifunza kiswahili unapoteza mda wako
@niyorukizaelias8142
@niyorukizaelias8142 3 ай бұрын
We waache tu wa puuzie watajua hawajui maana maisha ni safari ndefu ata mie nilikuaga hivo hivo maisha yakanibidi niende kutafuta maisha Zanzibar nilijutia sana😂 😂😂😂😅
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 3 ай бұрын
Wa Kenya mliacha Kiswahili na mkaona Kingereza ni lugha yenu basi tulieni na English yenuuu
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 ай бұрын
Kenya na Pwani Ni sehemu tafauti. Pwani yetu iliunganishwa na Kenya 1963.Sisi tulikua chini ya mamlaka ya Zanzibar
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 2 ай бұрын
Hapo sawa
@mondadronography8584
@mondadronography8584 3 ай бұрын
Uswahilini tuna mda, tusichokifanya leo tutafanya kesho. Kunastarehe tele Uswahilini. Magonjwa ya kimawazo si mengi, upendo na utu umezambaa mno.
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
Pongezi nyingi Madame
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
félicitations, vous parlez couramment le swahili
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
Tatizo ni kasumba ya ujinga kuthamini sana lugha za kigeni, lugha ya Kifaransa si ya Burundi ni ya taifa la Ufaransa kwa hiyo mkataa kwao ni mtumwa poleni sana. Those who deny their culture and language are stupid, are part of the ignorant, Ceux qui nient leur culture et leur langue sont stupides, font partie des ignorants. vraiment désolé pour le Burundi et les francophones
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 3 ай бұрын
C'est vrai
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
Ahsante sana Jazaka LAAH khaira hapo nimekuelewa kwa ufasaha mzuri
@FaustaKavishe-l1e
@FaustaKavishe-l1e 3 ай бұрын
Kongole sana kwa Baraza la Kiswahili Tanzania na washititi wote wa Kiswahili, hakika tutazidi kubidhaisha lugha yetu adhimu ya Kiswahili👏👏💪
@praisethatprays6305
@praisethatprays6305 3 ай бұрын
HUMPHREY SLOW!! I KNOW WHAT POLEPOLE MEANS IN SWAHILI!!
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 3 ай бұрын
Kiswahili ni fahari yetu sisi Waafrika.
@MarieClaireHakizimana
@MarieClaireHakizimana 3 ай бұрын
Ndiyo kiswahili ni lugha nzuri sana❤
@MarieClaireHakizimana
@MarieClaireHakizimana 3 ай бұрын
Ndiyo kiswahili ni lugha nzuri sana ❤❤
@SantosKapita-gt9rc
@SantosKapita-gt9rc 3 ай бұрын
Watching from Angola 🇦🇴 Portuguese speaking nation 🇦🇴.... Mimi Ninapenda sana kizungizia lugha ya Kiswahili
@AseriKasa-h6y
@AseriKasa-h6y 3 ай бұрын
Being a grandson of a fijian chief, our legend state we traveled down the river Rufiji in Africa south of Tanzania, Apparently we were warrior who also worked as gold mines Egypt
@AseriKasa-h6y
@AseriKasa-h6y 3 ай бұрын
In Africa, in this Taqanaika region, dwelt for a long time warrior group of people called the'Viti 'people Africa king them very well
@AseriKasa-h6y
@AseriKasa-h6y 3 ай бұрын
I'm from fiji Island pacific My grandfather came from Tanganyika Rufiji river 1st century cushites from Ethiopia settle in Tanganyika 10th century AD about this time the fable of fijian from Tanganyika
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 2 ай бұрын
ooh u are most welcome i am tanzanian my mother came from Rifiji
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 3 ай бұрын
Mbona umefanana sana na Dr zeyana au muko ndugu?
@smukangaitv
@smukangaitv 3 ай бұрын
Ufafanuzi mzuri sanaaaaaaaaa
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 3 ай бұрын
Hapana si akili bandia bali ni akili mnemba.
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 3 ай бұрын
Kiswahili ni lugha yenye mswano mkubwa.
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 3 ай бұрын
Mmefanya vyema sana ukuza lugha hii yetu adhimu.
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 3 ай бұрын
Asante Consolata kwa kunielimisha kuhusu chimbuko la neno mnemba. Kiswahili fahari yetu kitukuzwe.
@halimanafoo2468
@halimanafoo2468 3 ай бұрын
Ahsnte madam ulfat mwalim wangu kipenzi upo sawa nakuaminia
@MuhammadGharib-x5h
@MuhammadGharib-x5h 4 ай бұрын
However Kiswahili cha Zanzibar ndio asili. Lakini waandishi na watangazaji wa redio za SMZ ndio chanzo cha kufuja kiswahili cha ZNZ pamoja na vituo binafsi vya redio watangazaji almost ni Watanganyika huwa wanazungumza Kibongo tu.
@graciousakida3811
@graciousakida3811 4 ай бұрын
Muwamba Ngoma ngozi huvutia kwake!!! " Wakaitukua"? Au wakaichukua?
@graciousakida3811
@graciousakida3811 4 ай бұрын
Eti " nthe ndani" au nje ndani? Mbona bado sana
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 ай бұрын
​@@graciousakida3811Elewa Kuna lahaja tafauti katika mwambao wa Pwani. Hakusema makosa hapo
@indiraconnolly2889
@indiraconnolly2889 4 ай бұрын
Asante sana kwa video hii. Najifunza Kiswahili sasa na najaribu kutazama video kwa Kiswahili ili kuboresha uwezo wangu wa kusikiliza.
@francoismalenge1373
@francoismalenge1373 4 ай бұрын
Ok merci mère Boss 🤝
@robertkyattu5399
@robertkyattu5399 4 ай бұрын
Future kwa Kiswahili
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
MNENAJI WASEMA URONGO. ASILI YA KISWAHILI SIO KENYA PEKE YAKE BALI NI ENEO LOTE LA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI. NA NDIYO MAANA KILA JAMII YA WATU WA PWANI INA LAHAJA YAKE YA KISWAHILI. KWA SASA LAHAJA KUU ILIYORASMISHWA KUTUMIWA KAMA LUGHA RASMI YA KISWAHILI NI LAHAJA YA KIUNGUJA KUTOKA ZANZIBAR TANZANIA NA NDIYO HII INAYOTUMIKA KUFUNDISHIA SHULENI NA VYUONI NA PIA NDIYO INAYOTUMIKA HATA KWENYE SHUGHULI MBALIMBALI KIMATAIFA IWE KENYA TANZANIA AU POPOTE PALE DUNIANI. KILWA ILIYOPO TANZANIA WAKATI ILIPOTAWALA AFRIKA MASHARIKI KAMA NCHI KABLA YA KUVAMIWA NA WAZUNGU NA UTAWALA WAKE KUDONDOSHWA NDIYO ILIYOKIENEZA KISWAHILI KTK ENEO KUBWA LA NDANI NA NJE YA AFRIKA MASHARIKI HUKU MIJI YAKE IKIWA PAMOJA NA MOMBASA, UNGUJA AU ZANZIBAR, MALINDI, LAMU, MOGADISHU, NGAZIJA NA KWENGINEKO. LUGHA YA KISWAHILI NDIYO ILIYOTUMIKA KAMA LUGHA KUU YA TAIFA HILO LA KILWA, KADHALIKA KÌLWA JINA LAKE JENGINE ILIJULIKANA KAMA AZANIA NA ILIKUWA NA PESA YAKE YENYE THAMANI DUNIANI NA BIASHARA YAKE KUU ILIKUWA BIASHARA YA DHAHABU WALIOICHIMBA TOKA KTK ENEO LAKE LA MONOMUTAPA AMBAYO NDIYO ZIMBABWE YA LEO. KILWA ILIKUWA NCHI TAJIRI KWANI NDIYO ILIYOMILIKI BIASHARA YA DHAHABU DUNIANI.