Пікірлер
@MaulidFakiKhamis
@MaulidFakiKhamis 4 сағат бұрын
Badala yakulingania dini mwalingania usharifu
@omarizuberi7163
@omarizuberi7163 19 сағат бұрын
Jamaa wamaulidi analukaluka.kama.bisi
@Bosezizunae
@Bosezizunae Күн бұрын
mashallah
@HdMshighaty
@HdMshighaty 3 күн бұрын
mawahabi.siwacha.mungu.hata.sura.zao.kam.magaidi.hivi.wwninan.wamutukan.muhamadi.bakari.mwalimu.wa.shehe.wako.mafutahaa.huyu.
@MauroZaratte-r4r
@MauroZaratte-r4r 4 күн бұрын
Hawa siasa zao wanatka watu wafate saudi 🇸🇦 mwandamo wako kinyume na uislam kabsa sio mwandamo wa ramadhani wala ARAFA
@MauroZaratte-r4r
@MauroZaratte-r4r 4 күн бұрын
Mawahabi ni wanafik sna hawa 😮😮mtu sheikh wake anamkata IBN TAIMIA mayahudi 😅
@IddSeif-q8q
@IddSeif-q8q 6 күн бұрын
Sheikh kwako naiyona (geography, physics and mathematics)
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 6 күн бұрын
Alhamdulillah nashukuru nikiswali huwa sirudi kulala
@MohammadMusa-q4n
@MohammadMusa-q4n 7 күн бұрын
Si ww pia ufuge kama yeye
@moneymaker461
@moneymaker461 7 күн бұрын
Huo ni uwongo 😂😂😂😂😂
@adamjutto5849
@adamjutto5849 8 күн бұрын
Alichapwa kuhusu hilo,kua kamzulia ibnu taymiyyah,na hakuna aliyejibu mpka kesho😂
@adamjutto5849
@adamjutto5849 8 күн бұрын
Huyu angekua hai mpka sasa,angekiona cha mtema kuni,vijana wa sasa hv wanavyosoomaa na walivyokua hawapendi hojja za kipuuziii angenuna huyu😂
@adamjutto5849
@adamjutto5849 8 күн бұрын
Huyu si sharrifu,wakasirike watakao kasirika😂
@adamjutto5849
@adamjutto5849 8 күн бұрын
Hizi ni muvi au hua wanaota afu wanakuja kusimulia watu,mtume alifungwa kashakaa na njaa yy na familia yake,na hatukuskia katokea mtu sijui kja kmpa diinaar,mtume mpka anakufa alikufa ana deni,na likalipwa na maswahaba,wewe naani mjomba?!mtu akuletee pesa,na kma ulipewa basi huyo jua ni mtu mnafahamiana hmna cha uwalii wala kitu gani,mawalii wa allah hawakua wakijisema,na wala hawakua wakikhaalif mwenendo wa mtume,ujiite walii wa allah kidevu kma balbu hkina ndevu kaah😂
@saidgawawa
@saidgawawa 8 күн бұрын
Mashallah Sheikh let mungu amrehemu
@HawaMohamedi-s4p
@HawaMohamedi-s4p 8 күн бұрын
Jamani tuwe wakweli katka ili
@MohammedAli-ud8so
@MohammedAli-ud8so 8 күн бұрын
Kweli kabisa
@hajjisanga789
@hajjisanga789 9 күн бұрын
Nyinyi hamjui lugha ndio maana mkiambiwa mnasema tu kasome sasa mbona mkiambiwa bidaa ni lugha na kisheria sasa mbona baadhi ya masaala mnasema shekh fulani kasema hivi lakini wenzenu wakisema hamtaki hadithi inasema lile ambalo halimo ktk dini sasa ktk sheria tunaangalia ktk aya na hadithi madam tutaona mtume alisifiwa au dufu lili pigwa basi sisi tukafanya sio bidaa kusoma maulid sio bidaa kipi kipya ambacho hakikufanywa kucheza au
@hajjisanga789
@hajjisanga789 9 күн бұрын
Kasim mafuta mche mungu ussitukane watu hivi hiyo madhehebu ya salafi miaka yote tokea tupate uislamu ylikua wapi si yakizusshi tu hayo madhehebu yako maana mtume kasema tufate yamwanzo
@WaziriQaadiriy
@WaziriQaadiriy 9 күн бұрын
Màashaallah kipenzi chetu allah akuhifadh sheikh Muhammad albeidh
@MohamediAbdala-x5s
@MohamediAbdala-x5s 9 күн бұрын
Mambo
@adamjutto5849
@adamjutto5849 10 күн бұрын
Mi najiulizaga au hawa masheikh wakisufi wanaangaliaga movies kisha ndo wanakuja kuwasimulia watu kwenye duruus zao😂,
@maase2023
@maase2023 12 күн бұрын
Dah huyu jamaa kwa stori za abunuwas hajambo
@YunusFeisal
@YunusFeisal 14 күн бұрын
Mashaallah mungu awalaze pema pamoja na wema
@HamadOthman-d9r
@HamadOthman-d9r 19 күн бұрын
Duh maulidi sio ibada niuzushi jamani tuwekeni wazi musitufunike
@SakinaMasindi-r1c
@SakinaMasindi-r1c 19 күн бұрын
Mbona mnatuchanganya sisi maamuma?
@Elftoto-y5c
@Elftoto-y5c 19 күн бұрын
صاحب الحق يكفيه الدليل وصاحب الهوى لا يكفيه عليه ألف دليل
@5amediaonline335
@5amediaonline335 22 күн бұрын
UPANDE WA MAULID HAMNA MAJIBU KAMA MULIZWAVO
@Abuthwalib83
@Abuthwalib83 22 күн бұрын
Huyu Simba alienda wapi jamani..
@WaziriQaadiriy
@WaziriQaadiriy 25 күн бұрын
Màashaallah
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 29 күн бұрын
Mbona heshma baina ya watu haipo kwa nini kusiwe na busara katika kumfahamisha mtu huyu sheikh kama kakosea afahamishwe c kutukanwa
@karimibrahim5224
@karimibrahim5224 29 күн бұрын
Mashallah
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 29 күн бұрын
Hakuna Mawahabi kabisaa.Yeye ndio anachuki dhidi ya Ya Ahlu sunnat waljamaa
@WaziriQaadiriy
@WaziriQaadiriy Ай бұрын
Màashaallah
@AllySibila
@AllySibila Ай бұрын
Wengii wa zama zetu tumenyimwa elimu na ufahamu wanajifanya wanataka dalili ya Quran na sunna wanasahau ktk sunna tunapashwaa habari kua akhil zamaan watuu wa elimu watakufa kwa wingi na watabaki wajinga ndio sisi tunaojifanya tunajua kuliko waliotutangulia
@suleymannassoro3709
@suleymannassoro3709 Ай бұрын
Naam! Nilitaka kuwaeleza umma ya kuwa,Imamu Ally radhi za ALLAH ziwe juu yake amesema: "LAITI DINI INGEKUA NI RAI" kwa maana dini sio rai ya watu bali dini ni KASEMA ALLAH KASEMA MTUME WAKE sala na salamu ziwe juu yake. Tofuati kati ya ijumaa na adhkari ni kua ijumaa haikuja na adhakari au maneno maalumu wakati adhakari zingine zimekuja na maneno maalumu. Na maana adhkari kama adhana au qur-an tukufu ni maneno maalumu, hivyo ni kwa ijmaa ya wanachuoni hauruhusiwi kubadilisha adhkari zilizokuja maalumu ambazo ni za kiibada kuweka zingine. Kwa lugha ya kielimu wanaita ni TAWQIYFIYYA. yaani utaishia kulingana na dalili. Ila Ijumaa au dhikri ya ijumaa au khutba ya ijumaa haijaja maneno maalumu, kilichotakiwa pale ni mawaidha ama mfumo wa ijumaa umekuja maalumu. Hivyo kwa lugha ya kielimu inaitwa TAWFIQIYYA. yaani lengo nikuafikiana na dalili nini kinachohitajika. Ama sura ya ijumaa ndio imekuja dalili. Hivyo kiufupi ndio maana khutba ya somwa au yaelezwa kwa lugha yeyote ama qur an au adhkar haiwezi somwa au kuelezwa kwa lugha yeyote.
@suleymannassoro3709
@suleymannassoro3709 Ай бұрын
Na huyu mzee ALLAH amuafiqishe katika haqqi aache kuongea mambo ya kielimu kwa TAASUBI na kwa RAI yake anavyoona kichwani kwani dini haiendi na vyote hivyo. Pili si kila kitu basi mayahudi wametia mkono ni kuwanyanyua mayahudi saana kwani wao ni madhalili mno. Mengine afanye utafiti wa kina ndio aeleze waislam. Wabillah tawfiq
@brothermams28
@brothermams28 Ай бұрын
Darsa nzuri sana
@KalumeShabi
@KalumeShabi Ай бұрын
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar ALLAH akulipe kila lakheri mwalimu wangu, tena akulinde akujalie mwishoni mwema yaa Awes
@SanuriAShefaya
@SanuriAShefaya Ай бұрын
Kwani huyu mtume akizaliwa kulikua nq masahaba au masahaba walipatikana baada ya kupata utume
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Ай бұрын
Allah akurehemu maaalim wetu
@WaziriQaadiriy
@WaziriQaadiriy Ай бұрын
Allahu akbar elimi imeondoka
@HusseinBamkuu
@HusseinBamkuu Ай бұрын
Mola amrahamu shk letu mlezi wetu kiongozi aliyeongoza umma huu kwa njia ya taqwa
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi Ай бұрын
Shukran
@cydemanchester2368
@cydemanchester2368 Ай бұрын
Sheikh anapindisha hadithi na aya kwa matamanio yake. Mbona masheikh mnakuwa waongo wakati aya na hadithi zipo wazi?!!!
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Wao wanata lazima litajwe jina hawa mamwehu.
@Muislamu
@Muislamu Ай бұрын
لغته سطحية ركيكة .وهذا هو البون الشاسع بين أهل السنة الذين تسمونهم الوهابية ..فهم أكثر سليقة وأعرفهم بالعربية الفصيحة
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
Wewe shekh mbona mishipa yakutoka sana?
@Hongkongman2
@Hongkongman2 Ай бұрын
Mtumwa wa kishia huyo kajificha kwenye usufy Usify na ushia ni ndugu moja
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Ай бұрын
Tunamuomba Allah s w t akusamehe makosa yako na janna iwe mafikio yako
@AllyIddi-i6u
@AllyIddi-i6u Ай бұрын
Unachokitetea hukijui jifunze aqiida acha uzushi