Mziwanda ndo atwambie mtume alifungaje saumu ya arafa akiwa madina. Atupe ushahidi kuwa mtume alikuwa anauliza mwezi wa makka kabla ya kufunga
@KassimSalim-fi1me5 ай бұрын
Ndio walivyofikia moja katika adhabu Allah aliowapa wazushi ni kuondoa ufahamu juu ya nusus jana mmoja kwenye khutba asema hizi ikhtilaful zimetengenezwa na mayahudi wkt ukisoma maswahaba wenyewe walitofautiana so waachen wamefilisika hadithi ya quraib ni mwez wa Ramadhan inafungamanaje na arafa
@kagetaabdallah37125 ай бұрын
Hawa masheikh wa mombasa mirungi inawachanganya wanapenda sana marumbano
@abdallahsiraji99195 ай бұрын
Wewe NI JAHILI kwa tabia ya KUTUKANA na KUDHEREU Mashekh. Lazima AKIDA yako iwe CHAFU kama tabia zako. Ukihitilafiana na watu USIWAVUNJIE Heshima zao sio Tabia ya Uislam wala Mafundisho ya Mtume wetu... Acheni Kuutukanisha Uislam Allah akusamehe na Akuongoze Aamin
@hassanussi17475 ай бұрын
Arafa ni jumamosi (June 15). Acheni makelele. Afara ni moja tu. Ahsante
@swalehbakari26675 ай бұрын
Kabisa
@saidsoudamiri40545 ай бұрын
Kwa kua wewe unashushiwa wahyi maana umemaliza kana kwamba huwezi kukosea sio? Kauli zote za wanachuoni sio wahyi. Tujue dini ilivyo kwanza kabla ya kuandika vitu. Anayekosea anapata na anayepata anapata katika kutofautiana wanachuoni. Au unadhani Allah SW yeye hakujua kama tuna tofauti za ufahamu.
@SalimBakari-z1f5 ай бұрын
Arafa ni Saturday tuache maslahi hii dunia tunapita
@saidsoudamiri40545 ай бұрын
@@SalimBakari-z1f umeshushiwa wahyi na Jibriil AS au shekhe wako kashushiwa wahyi???
@azizimtege5 ай бұрын
Mashekhe wengine mbumbumbu, mtume kasema fungeni sku ya Arafa, nasi tunajua jmosi mahujaji wako na arafa, tena na baadhi yao wanaona kupitia vyombo vya habar eti wanasubir arafa nyingine mmmmmmh ujinga mbaya jaman,
@SaidiHembe-cj7tf5 ай бұрын
Mashekhe mtakuja kuangamia mbele ya allah kwa mupaka ya wakolon simamieni din mdisimamie uzalendo wa nvhi zenu uisilam auna mipaka jaman
@vacanceserengetisafaris65295 ай бұрын
Dah hawa mashekhe mungu anawaona wazushi sana
@ibrahimmsabah4405 ай бұрын
Sheikh Mziwanda yupo sahihi.acha wengine wajizonge.
@SaidiHembe-cj7tf5 ай бұрын
Shekhe mziwanda yjpo sahiii sana
@abdulkhaliqmuhammed4565 ай бұрын
Baadhi ya waislam wanachoka kwa kwa kuskiliza mas ala ya arafa wengine wanaona bora wasifunge kwa sababu ya mivutano kila mwaka dah
@hasanidadi57915 ай бұрын
Mwenye kuelewa mziwanda kamaliza
@farishfarish2585 ай бұрын
Barazanje hao wanarumbana acha inyeshe
@abiabi93535 ай бұрын
Hapana mziwanda ni wahabi mwenzenu ila anafanya takia tu
@mussamalekela21075 ай бұрын
@@abiabi9353afanya taqiya kwani yeye ni mshia?, usituletee uozo na itikadi za kishia hapa, mziwanda ni sufi ila kaona haqqi na yeye wa kwsnza hata Imamu wa masjid Maamuur Upanga ndio msimamo wake ingawa ni sufi pia
@omeerrasheed71925 ай бұрын
Naona kama sheikh Mbarak Aweis kafafanua vizuri
@IbrahimKomba-db4lp5 ай бұрын
Arafa aliyoitaja Mtume saw katika hadithi hii ni moja acheni kubabaisha Waislam.
@abdallahsiraji99195 ай бұрын
A.alaykum.. NDUGU ZANGU WAISLAM MNAO COMMENTS JITAHIDINI KUWA NA NIDHAMU NA MUACHE JAZBA. UKIWA UNA MSIMAMO TAFAUTI NA SHEKH KUWA MUADILIFU USITUKANE. MMOJA WETU HAPA KASEMA MQNENO ETI "MASHEKH WA MOMBASA NI WALA MIRUNGI..!!" NAKUSIHI FANYA ISTIGHIFAR NA UACHE TABIA HIZI ZA KIJAHILI KWANI SIO MAFUNDISHO YA MTUME NA SIO TABIA ZA KIISLAM. NA HII INAONESHA AKIDA YAKO NI CHAFU SANA.. WATUKANAJI MARA ZOTE UKIWACHUNGUZA AKIDA ZENU ZINASHABIHIANA SANA HEBU BADILIKENI AU NDO SUNNA ZENU HIZO????? ALLAH AWAONGOZE NA AWASAMEHE ENDAPO MTATUBIA NA KUBADILI TABIA ZENU CHAFU NA KUWA NZIRI AAAAMIIIN
@mohamedishemvaa55585 ай бұрын
Inahitanika jambo moja kati ya haya matatu mashekhe wayafanye: 1.Wakutane kwa ajili ya Allah wajadili hatimaye waondoe utata wa hizi hitilafu katika ibada 2. watuambie hizi hitilafu ndio kukomaa vizuri na kustawi kwa ibada . 3.watupe aya na hadithi za kushadidia kwamba hitilafu katika ibada ni sehemu ya ibada hivyo hatuwezi kuacha "ibada ya kuhitilafiana"
@HusseinOmary-xx6rx5 ай бұрын
Mashallah
@alhimnamussasaid36195 ай бұрын
Mbona sheikh mbarak awes hajamjibu huyu mziwanda ni video tofauti hiii ya sheikh awes ni ya zamani sana
@Awes3965 ай бұрын
Ndung'u zetu wa Palestine wamalizwa. Nyinyi bakini Rafa hivi maulidi makwarafu hivi masufi hivi. Bakini jivyo.
@OmarSaid-nt2xd5 ай бұрын
Wacha kupoteza watu arafa moja
@aljalilatiba98735 ай бұрын
HAYA NDO YALOBAKI KWETU SISI KUPINGANA WENYEWE KWA WENYEWE HUKU MUSHIRIKINA WAKITUCHEKA TUU WENZETU ILIKUWA WANAPIGANIA DINI MTUME NA MASWAHABA KWA NAFSI NA MALI DHIDI YA MAADUI WA ALLAH SISI TWAPIGANA WENYEWE KWA WENYEWE HAKIKA HAYA NI MAANGUKO MAKUBWA KWETU SISI
@hashimkhalifa87345 ай бұрын
Allah sw akuzidishie elimu pamoja na hekima maana imekuwa mtihani twapigana sisi kwa sisi huku mayahudi wakifurahi
@HamduMasud-xw6qc5 ай бұрын
Huu mtandao unasema uongo kua ust mbaraka amjibu Shkh Muharram hawa wote sio maneno ya mwaka huu
@kitosio5 ай бұрын
Unamchezea Sh. Mziwanda Umekwisha. Ni afadhali ungenyamaza. صيام يوم عرفة Mbona Shekhe Umeiruka wakimbia wapi wewe. Jamani mambo mengine nyamazeni mtasalimika
Mbarak Aweis hawa mawahabi watakushusha kilimi. Wana mashkio ya kufa . Atanuwaeleze vipi hawaeleewiiii. Arafa ni Sunday 9th Dhulhijja na Idul Adhha ni Monday period. MUNGU atufikishe
@anwarsaddat40635 ай бұрын
InshaAllah alhuda south B monday twaidi.Nairobi tuko ❤❤❤
@saidimkwinzu91065 ай бұрын
Kweli wewe ni mgonjwa saivi tuko katika uongozi wa Mtume Swalla llaahu alayhi wasallama sio uongozi wa nabii Adam kwaiyo tunalazimika kuamin manabii wote lakin wa kufata ni mtume Muhammad Swalla llaahu alayhi wasallama acheni kupotosha nyie masufi msiotaka kuelewa halafu arafa tunayoongelea sisi ni arafa hiyo ambayo ni siku vitendo mana vyote hufanyika siku Moja mnasikilizia wapi masufi
@saidimkwinzu91065 ай бұрын
Halafu mziwanda sio salafi huyo ni sufi mwenzenu
@mahadhikawia36105 ай бұрын
Yaani sheikh Muba ana Elimu Lakini Itikadi ni mtihani mkubwa sana kwake . Yeye anatoa asili na hoja, sisi maamuma tunamuelewa ,baadae mwenyewe yeye anazipinga hoja zake mwenyewe.
@binfarhan8795 ай бұрын
Turud kuelewa nin mama Matlai Mashekhe watuambie maana ndio story kwan hili linatupa shida bado. Ila saudia ni 12.00am 15/06/2024 Jumamosi pia Kenya na Tanzania ni 12.00am 15/06/2024 Jumamosi
@NammanaMobile5 ай бұрын
Bado mkosoaji sijajua mantiki yako.... Sawa twende unavosema kuwa arafa ni ziko tatu... Kuna arafa siku... Kuna arafa sehem... Na kuna arafa kitendo.. Umetoa oja kuwa Mungu aliwah kusema neno arafa kama siku ktk nyakati ambazo hata ibada ya hija bado... Kwan Mungu hajui yajayo au yanayotaka kuja.... Na je unaposema arafa ni siku.. Twende kwenye uhalali wake inaswii kufanya arafa sehem yoyote ikiwa ina maana kuwa arafa ni siku na je inafaa kufanya tendo la arafa mahali popote ikiwa maana pia arafa ni tendo na kama ayo yote shart lake yanatimia kwa siku moja sehem moja na kitendo kimoja kwann arafa isiwe siku moja.... Bado sijaelewa mantiki ya kugawa arafa makundi 3 kwa hoja ya kusema unaweza fanya siku tofaut
@masoud74865 ай бұрын
Mimi na swali uislamu una myaka 1445 je watu katika myaka 1000 wa uislamu waliju vipi siku ya arafa kama hawakuwepo makkah
@makukamakuka13905 ай бұрын
Shk Awesu. Hapa hakuna haja ya kutoa povu. Zama zimebadilika. Watu wanakuzoom tu ujue.
@JUMUIYAyakupingaruswanau-zo9rw4 ай бұрын
Shekh mziwanda nimemuelewa
@HabibuUrasa5 ай бұрын
mtume alikuwa akifunga mwezi 9 siyo. arafa iliitwa funga ya arafa baada ya kufaradhishwa ibada ya hija.
@aliabdalla92975 ай бұрын
Hapo mwanzo ilikuwa inaitwa vp hiyo mwezi
@salimtz65 ай бұрын
Tafuta Elim Zaid Kwa ajili yko mpendwa
@swalehbakari26675 ай бұрын
Pigen kelele arafa ni jumamos
@ramadhanishabani27125 ай бұрын
Je nini iko shida katka hii Dunia 😢 maana mnatuchanganya kila siku
@mohamedalimwangare5 ай бұрын
Swadaqta
@NafisaAhmed-g9k5 ай бұрын
Arafa ni moja
@abiabi93535 ай бұрын
Mawahabi za yao ni mipasho tu.hata ukiwaelimisha vipi hawaelewi
Arafa hizo zingine zishapita usijisahaulishe na maneno mengi hayasaidii arafa inayokusudiwa ni ileile ya kusimama mahujaji ndiotuliyoagizwa tufunge usiwapotezee waislamu fadhira za arafa maana hii ni siku maalum ikipita hailudi mpaka mwakamwingine maana arafa ni sikumojatu kwahiyo manenoyako hayatawasaidia waislamu
@Abusalim3085 ай бұрын
Wala hajaghafilika mziwanda yuko sahihi acheni kupotosha watu nyinyi makurafi
@mohamedhamismagoraonlinetv4595 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nZCtiYWqaqqCirMsi=tn0cgK5CXKQHxCHi HAKUNA HADITHI INAYOELEKEZA SWAUMU YA ARAFA IWE SIKU MOJA NA KISIMAMO CHA MAHUJAJI. SHEIKH KHALIFA KHAMIS.
@riosteven24065 ай бұрын
Arafa ni siku ambayo mungu aliumba nafsi za wana adam wote kwahiyo ni siku
@KassimSalim-fi1me5 ай бұрын
Hujifanya wanajua nahau kumbe hawana lolote watu wanasoma dini wao wanasoma magazeti alokwambia hakuna mafungamano kati ya arafa na kisimamo cha arafa huna jipya mbaraka awesu nenda kasom
@abdulhamidhaji50565 ай бұрын
Acha ncheke mie maana wanapigana wenyewe
@HASSANBAKARI-q9c5 ай бұрын
DAH.😢😢,SKUIZ NAO WANAKESHA KZbin WANAANGALIA ULIPOKOSEA WAPI NDO WANACHUKUA VITABU SASA ILI WAKUBOMOE😊..ULIPOPATIA POTE HAWAKUPAONA HATA 1.
@sihabanassoro50945 ай бұрын
Nini msimamo wa jamii ya waislaam wa Tanzania. Tunatakiwa kufunga siku moja. Viongozi muwe mnatutangazia mapema. Maana Sasa kila mtu anafunga kivyake.
@mahamedhukun48545 ай бұрын
Tusomeni
@HassanJuma-xy9jk5 ай бұрын
mm nilijua mbaraka awes uko vzur kumbe na wew ndio wale wale ambao wanatengeneza vkund kwa ajili ya kupoteza watu unabishana mpk kwa wewe kwel nikipofu
@HuseniSalehe-vi8li5 ай бұрын
Wakutane kwenye mjadala tupate faida
@NuruJuma-zv3yz5 ай бұрын
Aweso ni kichwa ngumu tu lakini anaelewa ukweli ni upi
@ismailsoud36345 ай бұрын
Hapa panatatizo kubwa la elimu, Kuwaje masheikhe wanakosowana kila kukicha vipi? Hii inaonyesha kuwa wote hamna elimu tosherezi. Miaka yote hakuna jawabu la arafa, wala la mwezi mwandamo. Elimu mlizo nazo ndogo hazitoshi kuweka sawa mambo hayo. Kubarini njooni kwangu niwapeni elimu elekezi. Tatizo mmeiacha Qur'an mmefuata nyandiko za waarabu. Ndio zinawagawa. Mimi Mungu amenipa, ninazo habari zote katika hayo mnayo khitirafiana njooni Masheikh, wanazuoni , viongozi mnitazame, mmoja mimi. Ndipo mtajuwa ukweli, katika hayo mnayo kosowana. Harafu inashangaza masheikhe wetu KUKOSA FARAGHA, KOSOWANENI FARAGHA SIYO MITANDAONI MNAUTIA AIBU UISLAMU. sijuwi kama Mwenyezi Mungu anawafurahia, falam min awali hasana ,laisa hasana bishara.
@salehekiduku41305 ай бұрын
Ww shekhe kofia mbona m.bishisana anazingua
@aliabdalla92975 ай бұрын
Kuwa na adabu
@AllySibila5 ай бұрын
Hii ni ya zamani sana ya mziwanda
@HamdaniMmbaga5 ай бұрын
Iwe ya zamani iwe Leo,ukweli ndio huo,unasema niyazamani,kwani ARAFA imeanza leo
@HamdaniMmbaga5 ай бұрын
We huna unachojua mziwanda yuko sahihi we fundisha maulidi khitma talqini,mambo hayo utajua wapi
@HassanJuma-xy9jk5 ай бұрын
mbaraka awesu hapa umechemka nenda tena ukasome umetetea ujinga sana kumbe nawew ndio wale wale
@shabaniseif99015 ай бұрын
Warudishe darasani kidogo hawa mawahabi jau sana hawa😂
Nilidhani ni muungano wa wasallafi na wazungu,duuh
@Worldunite5 ай бұрын
Mziwanda ni mropokaji, inabidi tu akubali kukosolewa
@MaulanaSufi-j4h5 ай бұрын
Mawahabi wanapoteza watu Allah awaongoze kama hawajui kama wapo kimaslahi ya dunia 😢😢😢 msiba huo sisi tunafata qur an na sunna cyo siasa ya mawahabi
@HashimSalim-qj7zn5 ай бұрын
Sio ttzo hilo ila hio sunna huijui
@RamadhaniMussa-xs5uk5 ай бұрын
Wapoteze tu wenzio
@NMJAsaid5 ай бұрын
Yupo sahihi kabisa sheikh mziwanda kwa hili. Ameona ukweli ulipo, sio wewe wang'ang'ania usichokielewa. Arafa iliyotajwa hapa ni kisimamo cha mlima wa arafa, tafsiri zako nyingi usitukoroge nayo, tushaelewa umechanganyikiwa kikweli.
@binzubeir65105 ай бұрын
Wacha kuwazungusha watu wee, hamna hoja unajichanganya tu apo. Mziwanda kaongea point na anafahamika.
@azizimtege5 ай бұрын
Kweli kabsa
@abduwahabi70195 ай бұрын
Muongo huyu hadithi nimeitizama hapa sasa hivi hakuna kitu siku kumetajwa seemu sio siku
@HamdaniMmbaga5 ай бұрын
Muongo hakuna kitu Kama hicho
@babinhoelninho54165 ай бұрын
Hakuafilika sema amewaacha gurup la matarii 😂😂😂😂😂😂
@naimasbuguza23955 ай бұрын
Nilitamani ningeskia kuhusu idhwaafa mbili
@MgazaMhina5 ай бұрын
Pinganeni wenyewe
@hamynas5 ай бұрын
mziwanda ni mwahabi kindakindaki na anajificha katika kivuli cha ahlulsunna,,ni mtu mnafiki saana na anatengeneza chuki miongoni mwa waislamu na hana elimu hata kidogo
@SoudShuraim5 ай бұрын
Siwafuati nyote,maana mnatuchanganya...Bachu na Msellem hao ndo nawaelewa
@darajanida5 ай бұрын
hujalazimishwa kufuwata yeye anakumbusha ukumbusho utamfaa mwenye kuwamini
@kitosio5 ай бұрын
Shekhe Kofia nyekundu mkaidi hatariiii. Yeye ana Aina tatu za Arafa. Shekhe zungunza Arafa. Alhajj Arafa ndio makusudio. Anajizonga hapo2 anajikwamisha mwenyewe Aaaaaaaaah. Sh. Mziwanda kushawatia upupu hawa. Hadithi kaikwepa. Hakuna mafungamano. Alete Istighfari Kofia nyekundu. Alhajj_Arafah. Haijafungamana. Tubia haraka
@almeidhalu32385 ай бұрын
Lakini mwenye kofia nyekundu aongei kutoka Kwa utashi wake wa nafsi,yeye ywatumia dalili lakini huyu mziwanda wako ywatumia tu dalili moja....Ni kweli kwakua mahujaji hawafungamani Na Sisi tuko huku, msikize vzuri fuata ukweli usifate mtu kaka
@riosteven24065 ай бұрын
Arafat siku bana
@HashimSalim-qj7zn5 ай бұрын
@@almeidhalu3238Inawezekana una sikiliza ila ufahamu wako ni mdogo
@MubarakaKambale5 ай бұрын
Nihatari
@SaidJuma-ru7vm5 ай бұрын
Ibn Abbas ni katika Ahalulybayt na Muawiya ni kutoka kwa Abuu Sufiani elimu yao ya ufahamu wa dini ni tofauti na ndio maana suala hilo mpaka leo lina ikhtilafu kwa hiyo utakuwa na khiari yako wapi ufuate dini yako
@mahamedhukun48545 ай бұрын
Tuacheni kutumia akılı zetu
@luqmanmtunguja58875 ай бұрын
Yani mwenzio anatoa fatua wewe wamkoso mmekosa hekima huna tofauti na muimba taarab
@salummbarouk42165 ай бұрын
Sheikh hujajibu swali saumu ya araafa kabla ya hijja Nia yake ipi
@TwaliathAndrea-dm3dy5 ай бұрын
Yaani hapa waumini tukijua huko saudia na sisi tunatofautiana madakika mangapi. Basi hatutakosea Ibada zetu kwa kuwasikiliza wanaobishana. Yani km trh ya kiislam kwa saudia ni siku ya Tisa alfu sisi ni jumamosi ila wao wametutangulia dakika 15. Huwez kujidanganya sisi ni trh 8. Hivo waumin tujiongeze. Dk 20 au 15 wewe usubili Tena siku nyingine.
@abdab84665 ай бұрын
Twaliath swali watu Kenya watajuaje saudia mwezi umeonekana
@abdab84665 ай бұрын
Pili mwezi wapelekwa ki serikali haupelekwi ki slamu
@salehrashid-fx9rq5 ай бұрын
Huyu shehe mbaraka kiukweli ana IQ ndogo saana
@azizimtege5 ай бұрын
Saaaaaana
@ellyndaprincess32355 ай бұрын
Hii ni ya zamani sana kipindi alikuwa mfuasi ya jambazi Abdul wahah
@jumamaabadi20125 ай бұрын
Siku ya qiyama utaweza kutoa ushahid kuwa Abdulwahhab alikuwa jambazi ndugu yangu. Mche Allah
@HashimSalim-qj7zn5 ай бұрын
Pole sana Allah akuongoze
@BakariMwatuji-qi2nz5 ай бұрын
Maneno yako rahiisi
@samirrubeya23795 ай бұрын
Mwehu mbaraka
@omaryjumas63275 ай бұрын
Mwehu ni wewe unayedhani kwamba teknolojia imekuja kusahihisha pale alipokosea Mtume. Kwasababu wakati wa zama zake alikuwa akiangalia mwezi mwandamo kwa kutumia macho.
@HashimSalim-qj7zn5 ай бұрын
@@omaryjumas6327Wewe una maradhi ila pole
@MusaHaji-tc2vz5 ай бұрын
Acha maneno mengi shida Yako kuchanganya watu point arafa nilini maneno mengi hayakusaidii saidia watu waelewe kujifanya umesoma Sanaa huku unaujua ukweli
@abdallahsiraji99195 ай бұрын
We jahili kumbe pia.. Unatukana Mashekh dah
@hamadmasoud4905 ай бұрын
Shehe wachanga madawa hufahamiki icho kisa kisome mpaka mwisho wake bila maelezo yako
@AllyHussein-so1hr5 ай бұрын
Kama tutawatazama Salafi WA kweli yaani maswahaba, matabiin, matabiitabiin na waja wema waliotutangulia hatutabadilishwa na technology.
@bakaribakari64445 ай бұрын
Hahaha masalafi wa sasa hivi hawakuelewi hapo😂
@HidjaDejong5 ай бұрын
Hhhhh😂umeongea kitu kikubwa sana ndugu yangu
@ibrasaid92565 ай бұрын
الرويبضة
@abusihaa63965 ай бұрын
Maulama gani waliosema yakwamba kujizuiakunyoa na kukata kucha ni kuata fadhla ya viongo vyote ? Mcheni Allah wacheni kupotosha watu khasa wajinga wanaowashabikia kuweni na insaf katika nafsi zenu na mcheni Allah
@HarunSaid-w5h5 ай бұрын
Tafuta utajua kaka. Anaeongea hapo ni mwana sheria
@abusihaa63965 ай бұрын
@@HarunSaid-w5h wewe unamjua mwana sheria ama ni mmoja wa kushabikia mwalimu akifu disha hutaja anapo nukuu sio kubabaisha wanao sikiliza ndio nikatanguliza kusema TUMCHENI ALLAH
@GSaleh-xr3vn5 ай бұрын
@@abusihaa6396ten sheikh anasema kua khadith inasema mtume alikua akifunga siku 9 katik mwezi wa dhulhija anasahau kua khadith haikusem kua Mtume alikua akifunga arafa hap kabla
@abiabi93535 ай бұрын
Kwani mawahabi ni wajinga kiasi gani. Sheikh kataja hadith na mahali ilipo.alafu jahili anapinga
@darajanida5 ай бұрын
kwani wewe umesoma fatuwa zuote za maulamaa
@Hamisisalumu-wt7vx5 ай бұрын
Nyiye bazi ya mashekhe munajuwa ukweli ila munazinguwa allah atawalipa kwa mambo yenu ya wahab hakika kama mtu hana eremu bx hanapagawa kweli kweli muda mwengine sio poa iiiih dini mujuwe
@الزغويالزغوي-ض3ن5 ай бұрын
1 ARAFA TAREHE 2 ARAFA SWAUMU 3 ARAFA ENEO 4 ARAFA KISIMAMO
@mengikiguruwe67505 ай бұрын
Hii dini yetu tatizo kubwa ni lugha na hawa waarabu wametulazimisha kutotafsiri Kuraan tukufu kwa lugha zetu hivyo siku zote Masheikh wetu watatofautiana mpaka kiama
@KassimAlly-xp4dz5 ай бұрын
Tafsiri ya kiswahili ipo
@khamisjuma76165 ай бұрын
na wewe usibabaishe watu kwa hiyo hakuna funga ya sunna ya arafa wakati hadithi iko wazi mwenye kufunga siku ya arafa sio habari ya mwezi 9 ni siku wacheni kujikweza jishusheni kwenye hili la arafa hakuna utata wowote
@bakaribakari64445 ай бұрын
Hujaelewa ....onyesha wapi kuna uhusiano kati ya kisimamo na funga?
@KassimSalim-fi1me5 ай бұрын
Hata ss wajinga tumekuelewa al akhy mziwanda ao waache na upotoshaji wke