Mungu ajuwezeshe zaidi na zaidi. NatarJia uponyaji katika familia yangu. Napmba namba ya simu Kwa mawaziliano zaidi
@smilewithafricaКүн бұрын
Asante yesu kwa rehemu Familia yangu na kizazi changu.
@amandatumaini1433Күн бұрын
Amen
@AzizalucasMbidukaКүн бұрын
Ili somo zur
@NeemaMdumaa-up9vdКүн бұрын
Mungu ninaomba unisamehe peke yangu siwez ninaomba unirehem
@NeemaMdumaa-up9vdКүн бұрын
Eemungu ninaomba rehema nisaidie mungu nisikate tamaa
@UtukufuProsperКүн бұрын
Pasta naomba maombi biashara yangu wateja wajee kweny biashara yangu
@UtukufuProsperКүн бұрын
Mchungaji naomba maombi nasumbuliwa na magoti
@amandatumaini1433Күн бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@maalimwenga452Күн бұрын
Amina mtumishi Mimi na ya kwangu juu ya ndoa naomba namba yako
@MAIKOMODEST-gw3go2 күн бұрын
Ubalikiwe mtumishi munguazit kitufunuliwa
@HusnatJosephat2 күн бұрын
Asante sana mpendwa katika kristo napenda kuokoka sijui nianzie wap nihishie wap niokoe mimi nakutane na mungu
@pendomwaringa75972 күн бұрын
Nimepokea ushindi kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏
@user-eu8lc6co2j2 күн бұрын
Mimi nimeota kama mara tatu Yesu amekuja na mimi nimebaki, nabaki kulia tu na kunakuwa na vita kubwa mno akishaindoja 🙏🏼🙏🏼😭
@user-eu8lc6co2j2 күн бұрын
Amina amina baba hauna namba ya wasp labda group ambalo huwa unatoa mafundisho huko?
@amandatumaini14332 күн бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@MAIKOMODEST-gw3go3 күн бұрын
Amen mtumishi
@RolandKishimbo3 күн бұрын
Mungu na akubariki sana mtumishi wa Mungu.
@joshuaandrew3863 күн бұрын
Barikiwa sana MTU wa MUNGU
@EsterMathayoMollel3 күн бұрын
Ole wangu mimi😢😢😢 ole wangu
@janewaitheramwaura36783 күн бұрын
Mungu akubariki hio yote ni ukweli
@amandatumaini14333 күн бұрын
Amen nimepokea history yangu
@amandatumaini14333 күн бұрын
Asante mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
@mumwisenjumile14113 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@mumwisenjumile14114 күн бұрын
Ubarikiwe sana kwa kutupa neno zuri la kutuokoa katika dhambi tulio kuwa nayo sasa tunatoka huko tunaenda kuokoka mungu akubariki amen
@Rachel-lx3sd4 күн бұрын
Ni kweli kbs 🙏🏻
@ryobanchagwa24994 күн бұрын
Ahsante sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@ChristopherMabena4 күн бұрын
Mungu Akubariki sana mtumishi WA Mungu 2:16:42
@amandatumaini14334 күн бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@DelphinKasereka-x7o4 күн бұрын
Nami nisaide na maombi nimeteseka Sana na Malaki tumboni
@SixmundNdunguru4 күн бұрын
Mtumishi ubalikiwe tunaomba utuombee kwa Mungu atusamee kwa kibuli tulichonacho
@ShemayaDigna4 күн бұрын
Amen in jesus Christi prayer 🙏 Amen 🙏 🤲
@ShemayaDigna4 күн бұрын
Amen in jesus Christi prayer 🙏 Amen 🙏 🤲
@MargretWangui-w8z4 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@victoryndugutse2964 күн бұрын
Amina amina❤
@tumpedaudi66815 күн бұрын
AMEN
@FurahaAngelique-j8o5 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@AlexAbraham-o2t5 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mungu akutie nguvu
@FidelisChale5 күн бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu Nina Maswali Mengi yakuuliza Naweza Kupata Mawasiliano yako Tafadhali ili kuujua Ukweli Tuliofichwa
@FidelisChale5 күн бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu Nina Maswali Mengi yakuuliza Naweza Kupata Mawasiliano yako Tafadhali ili kuujua Ukweli Tuliofichwa
@Jasmin-h2u5 күн бұрын
Ameen ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
@elizabethchiwamba83725 күн бұрын
NI UJUMBE WA KUTUTOA KWENYE MINYORORO YA SHETANI NA KUTULETA KWENYE UFALME WA MUNGU, YESU TUSAIDIE SANA, ROHO WAKO MTAKATIFU ATUONGOZE. BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE JUU
@ElizaMwandu5 күн бұрын
Ameeen Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa maombi yenye ujazo wa nguvu za Mungu 🙏
@lizShanzi6 күн бұрын
Amen
@zainabnamangaya6 күн бұрын
Nmefunguliwa minyororo ktk jina la yesu kristo alie hai.
@user-df8fn8sz7o6 күн бұрын
AMENI
@vitabuvyashuhuda-lg2fn7 күн бұрын
Waaah! I missed you mtumishi wa Mungu na mafundisho haya adhimu ❤
@bigtengwemela31537 күн бұрын
Jehova simama bila wewe siwezi
@RachealKukunde7 күн бұрын
Namini katika haya maombi mume wangu alinitenga na kuishi na mwana muke mwengine atarudi kwangu mana sijui hata anapoishi