Roho Mtakatifu nisaidie, niwezeshe nakuomba unipe utayari wa kukesha. Nakupenda sana YESU nisaidie.
@angelitapaulo11 ай бұрын
Amen tunaomba kwa pamoja tumepita kwenye chanel hii MUNGU aziponye roho zetu
@IsaacJavan10 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@IsaacJavan10 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@johnjohnkipokola507711 ай бұрын
Ninatamani mbingu ya Mungu. Ee Yesu nakusihi usiniache na unikumbuke kwenye ufalme wako.✝️Amen
@IsaacJavan11 ай бұрын
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@cesiliamasumu432 Жыл бұрын
Mafundisho yako yananifanya nionekama natoka shimoni ambako kulikuwa nagiza nene sana Ni Mungupeke yake ndo anajua, Mungu akulinde na kukutunza wakati wote Kwa damu yake TAKATIFU UNATUFUNGUA KWA JINA LA YESU BARIKIWA
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Mungu azidi kukuonekania na kukushindia daima. Ubarikiwe sana
@isackmalando213117 күн бұрын
Cesilia nampataje huyu mtumishi
@AlexMagoda Жыл бұрын
bwana yesu asifiwe mtumishi mungu akubariki sana maana kupitia wewe nimejifunza mambo mengi ambayo nilikuwa siyajui kabisa mungu akubariki sana mtumishi mimi naswali moja tu naomba unisaidie hapa unyakuo utatokea ni baada ujenzi wa hekaru la tatu au kabla ya ujenzi wa hekaru la tatu niilotu.
@IsaacJavan Жыл бұрын
Mungu akubariki sana pia, na asante kwa kufuatilia mafundisho haya. Unyakuo utatokea "wakati wowote kuanzia sasa".
@theptouch7884Ай бұрын
Yesu kristo niokowe naamini kuwa ukifa kwa ajili ya dhambi zangu na kuniweka huru nipate uzima wa milele Mungu Baba nipe nguvu na roho mtakatifu kwa jina la Yesu kristo naomba na kuamini amen
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu ni kweli kabiza huu ni wakati wa mwinzo
@IsaacJavan5 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@ELIYAMWANA4 ай бұрын
Chukrani kwa mungu kwaneema yake yaleo 🤲 nime yapenda ahaya mafudisho
@nanapega3908 Жыл бұрын
Mungu atupe hofu ya Zambi na kuliweka neno lake moyoni
@IsaacJavan11 ай бұрын
Amen Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote
@elizabethsidi557410 ай бұрын
Ooooh mwalimu hapo mwisho ni mimi nimefikisha mara ya nne sasa leo ikiwa ni sku ya nne nikiota yesu amerudi watu wamenyakuliwa mm nieachwa 😢😢 mwaka 2015 nilikua katika maombi nikaota hivo nilipoamka nililia saaana lakini hivi leo nimeota nimenyakuliwa halafu nikarudi 😢😢😢 ooooh Jesus have mercy on me lord.
@IsaacJavan10 ай бұрын
Amen, indeed may God have mercy and help us stay on the right path as we wait for his return. Mungu akubariki
@afredfodogo785710 ай бұрын
Maneno haha ni ya kweli tupu na yamekuja kwa wakati wenyewe mwenye masikio ya Rohoni ataelewa na atayapenda sana ,
@lembalai Жыл бұрын
Hakika Yesu yu karibu kurudi. Baba ubarikiwe sana kwa ufunuo huu mkubwa. Utunzwe na damu ya Yesu!
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Amen mtumishi Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote, na damu ya YESU inene mema kwa ajili yako.
@annastaziaemmanuel8664 Жыл бұрын
Bwana Yesu akutunze Mwl, maana kupitia wewe Mungu amenipa Kile Huwa napenda,mm napenda kufundishwa kwanza afu ndo niombe,Mungu wa mbinguni azidi kukupa mafunuo zaidi na zaidi. Na pia nawezaje pata mfululizo wa Somo la Vita ya ndoa,maana ninaona vl 40 tuu.
@IsaacJavan Жыл бұрын
@@annastaziaemmanuel8664 Amen Mungu akubariki sana, na asante kwa kupenda kujifunza. Roho Mtakatifu azidi kukufundisha zaidi kupitia neno la Mungu. Ubarikiwe sana. Hilo somo linaitwa MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA. Vita ya ndoa ilikuwa ni kipengele kimojawapo cha somo. Vipengele vinavyotangulia havihusiani na ndoa lakini vitakusaidia kwenye maeneo mengine ya maisha. Ili kupata mfululizo wote, fungua link hii hapa chini, na Mungu akubariki sana. Amen! kzbin.info/aero/PLP643MGs6uo1HZKI6Xpub1jCmQeBjo5Be
@annastaziaemmanuel8664 Жыл бұрын
@@IsaacJavan Amina Amina,Somo la Vita ya ndoa naweza lipataje lote Mwalimu,plz nalihitaji sana
@IsaacJavan Жыл бұрын
@@annastaziaemmanuel8664 Mungu akubariki mwanangu, naomba uwasiliane nasi kwa WhatsApp kwa msaada zaidi.
@hurumajustine18022 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,Roho mtakatifu nisaidie niwepo katika unyakuo wa kanisa
@isackmalando21312 ай бұрын
Mtumishi nakupataje
@isackmalando21312 ай бұрын
Hi
@DeborahMwanja4 ай бұрын
E MUNGU nisaidie na unitie nguvu bila wewe siwezi, MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU kwakutukumbusha maana tumejisahau sana tuko buys na kazi tumejisahau sana asante mtumishi wa MUNGU MUNGU aendelee kukufunulia zaidi uendelee kutufundisha zaid.
Amen mwanangu zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote
@rehemashariff3119 Жыл бұрын
Ameeeen Ameeen eeh Bwana wangu kristo naomba uniongoze katika hii dunia nishikamane nawe Baba yangu nipe moyo wakuyapuza ya dunia hii ili niishi kwa tumaini lako Yesu kristo ili ujapo Bwana niwe mmoja wa kukulaki mawingini 😢😢😢nisaidie Yesu tawala maisha yangu niwembali na dhambi mimi mtumwa wako nakusihi Bwana
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Amen mwanangu, ubarikiwe sana na BWANA YESU. Tuzidi kujiweka tayari. Amen Amen
@misnasma7875 Жыл бұрын
Asante Kwa kutuelimisha ... MUNGU akubariki mtumishi
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@rhodamwakatundu5226 Жыл бұрын
Asante YESU kwa mafundisho haya
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Amen hakika jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Mungu akutunze na kukubariki kwa baraka za milele yote. Usisahau kuwashirikisha na wote unaowapenda ili twende nao mbinguni pamoja.
@bestfilmslemon656922 күн бұрын
Tuishi maisha ya utakaso Kila siku
@bestfilmslemon656922 күн бұрын
❤
@faithe4063 Жыл бұрын
Ohh hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah yaani huu ufunuo ni ya ukweli kabisa, barikiwa kweli, ndio maana ufunuo 22 v 11 inasema na mwenye kudhulumu na azidi, kumbe hiyo wakati Roho wa Mungu itakua imeenda na waminio, Asante sana kwa huu ujumbe nzuri umenifunza kweli
@IsaacJavan11 ай бұрын
Amen Amen Mungu azidi kukubariki na kukutunza
@bigtengwemela31534 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana, Nmekuwa nikitafta mafundishi&Mahubiri ya aina hii haya ya hzi nyakati za mwisho wa dunia, mkono wa Mungu uwe juu yako🙏
@GAlice-cn5zh Жыл бұрын
Mambo ni mengi ambayo tumekuwa hatuyajua..God has choosen you for his purpose to his people.Na mwenye sikio ni asikie...Yanaongopesha..lakini tuliyenaye ni MKUU!! Be BLESSED!!
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Amen uzidi kubarikiwa na kutunzwa na BWANA YESU milele yote
@annamushi7357 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa na mwendelezo wa jambo hili la wakati na majira
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. Nimeweka muendelezo wa tatu, karibu sana uendelee kubarikiwa.
@RemiKim-yt5cl4 ай бұрын
ASANTE YESU KWA KUNIPA NEEMA YA KUONA MAFUNDISHO YAKO MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI UMENIAMSHA KATIKA USINGIZI UBARIKIWEEE SAAANA MUNGU AZIDI KUKUTUNZA UZIDI KUTUFUNDISHA ❤❤❤❤❤❤❤
@GraceKimaro-y1h3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi WA Mungu kwa mafundisho mazuri ya kutuweka tayar kwa ajili ya unyakuo
@gracekunambi74387 ай бұрын
Amen Ameeeen nimebarikiwa mno na mafundisho yako mwl Isaac
@IsaacJavan5 ай бұрын
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote
@isackmalando21312 ай бұрын
Mtumishi umenigusha sana ujumbe wako. Natamani kukuona
@eveandrew7096 Жыл бұрын
Amen baba. Kristo atusaidie tuisikie sauti yake tusibaki nyuma..
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mama ubarikiwe sana na BWANA YESU, tuzidi kujiweka tayari. Ubarikiwe sana
@magrethmkemwa9287 Жыл бұрын
Mungu akubariki, Kwa kuwa ninMtumishi mojawapo wa Mungu anayejitambua kuwa Yesu Anarudi,Shangaa wengine wanapotosha kanisa😭😭wanasema hata vita inayoendelea Israel ni ya kawaida
@IsaacJavan Жыл бұрын
Ni kweli, roho ya udanganyifu inatenda kazi kwa kiwango kikubwa sana kwenye siku hizi za mwisho. Mungu ni mwaminifu, YESU anarudi, na tuzidi kujiweka tayari. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
@pearlgellix8485 Жыл бұрын
Very important message to all! Be blessed Teacher!
@IsaacJavan Жыл бұрын
Important message indeed! God bless you very much and please help me share this message to your loved ones. Tomorrow we shall continue with part two. You are blessed!
@pearlgellix8485 Жыл бұрын
Amen
@wivinendege Жыл бұрын
Ooh Lord Thank you for connecting me with Your servant Isaac Javan , I have learned a lot and I have been opened to passages that have bound me hallelujah Thank You Jesus my Sevior Amen Amen 🙏 ♥️♥️♥️🤝🤝🤝
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen my daughter, God bless you very much. Please help me share this message to your friends and family. Tomorrow we shall continue with part two. You are blessed!
@wivinendege Жыл бұрын
Amen I do it My Dad . God bless your Servant Isaac Javan Forever 🎉hallelujah amen 🙏
@annamushi7357 Жыл бұрын
Mwalimu Mungu akubariki na kukuongeza zaidi. Namshukuru Mungu kwa ajili yako
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na YESU akutunze
@MinilaPia Жыл бұрын
Nimejifuza kuwa nisifuatishe ya dunia hii.
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@KITELEJAROBERT4 ай бұрын
Mungu atusaidie
@IsaacJavan3 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@KITELEJAROBERT3 ай бұрын
@@IsaacJavan amee
@DEUSLONGO-fd8qb Жыл бұрын
Amen baba Mungu akubariki kwa kutupa neno nzuri LA kutafakari kila siku
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote
@MachoziKitabuАй бұрын
tumebarikiwa sana kupitiya neno
@ZuenaKararo Жыл бұрын
JESUS CHRIST is coming soon 🔜 let’s be Ready Children of God Amen Thank you Man Of God 🙏🏽
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen He is coming soon indeed! Let's all be ready. God bless you with everlasting blessings
@JacklineMmary-e2h10 ай бұрын
Amen glory to GOD
@IsaacJavan10 ай бұрын
Amen to God be the glory indeed! Be blessed with everlasting blessings
@esthermalisa9516 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Kwa mafundisho haya Kwa kuzidi kutukumbusha..Mungu azidi kukuinua ktk huduma hii.,namshukuru Mungu kupitia huduma yako imefanyika kua msaada mkubwa sana ktk maisha yangu.
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu, zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote. Amen Amen
@esthermalisa9516 Жыл бұрын
Amen
@ShukuruDaudi-ue6in4 ай бұрын
Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki sana na atusaidie sana 🙏🏼 🙏🏼
@creativepublishers7746 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba nami nimejifunza kitu na Mungu atusaidie sana kwa kweli
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@creativepublishers7746 Жыл бұрын
@@IsaacJavan ameen baba
@IsaacJavan Жыл бұрын
@@creativepublishers7746 Amen mwanangu 🙏
@paulinaanael2041 Жыл бұрын
Mafundisho yako yananivusha.ubarikiwe
@mwarabu-u2r8 ай бұрын
Nahitaji msaada wako mwalimu kwasababu nilikuwa mfuasi mzuri wa Mungu ghafla nimetoka kwenye uwepo wa Mungu na kuwa mtenda dhambi mkubwa dhambi chafu sana nafanya jitihada kurudi tena kwake lakini nahisi kabisa yuko mbali
@helansakeyan5307 Жыл бұрын
AMEN AMEN NINAMSHUKURU MUNGU KUNIWEKA HAPA
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@leonardkitta21438 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi
@patrickndamiye34028 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@AngleShalom7 ай бұрын
Asante Nina mushukuru mungu kwa ajili ya neno ili la okovu nimefunguliwa
@JumaKimanga11 ай бұрын
Amina nabalikiwa sana na mahubili yako all the way from Boston Massachusetts BWANA YESU ASIFIWE
@IsaacJavan10 ай бұрын
Amen Mungu azidi kukubariki kwa baraka za milele
@petermollel147111 ай бұрын
Powerful Powerful teachings
@IsaacJavan11 ай бұрын
Amen God bless you with everlasting blessings
@marybukuku1494 Жыл бұрын
Ameen Amen ahsante kwa neno la uzima 🙏🙏🙏
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Mama ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
@SarahCharles-t6l4 ай бұрын
Mimi nimeota kama mara tatu Yesu amekuja na mimi nimebaki, nabaki kulia tu na kunakuwa na vita kubwa mno akishaindoja 🙏🏼🙏🏼😭
@samweltriton-wt4ub2 ай бұрын
Daaah mimi pia ni mara tatu naota kama wewe 😭😭😭
@kidadimgaya7479 Жыл бұрын
Amen baba. Mungu atupe kusimama imara mpaka siku ya unyakuo.
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote
@EliasMaduka-r5r2 ай бұрын
Amen baba
@serinaserina9639 Жыл бұрын
Ameen Ameen baba asanteee sana kwa somo neema ya Mungu itusaidie kuyashika haya nakuwakarbu na Mungu 🙏
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu, uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote
@PaskalinaNesphory Жыл бұрын
Ee yesu kweli mwisho wa dunia umekaribia maana maasi yamezidi sana ninazidi kukusihi niwe mmoja wa watu wako utakao wanyakua nishike mkona kama yule akida uliye ingia ktk ufalme wa mbinguni
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@jerryjuma1339 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen ubarikiwe nawe sana pia kwa baraka za milele yote
@beatricemwashiti7763 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanamutumishi
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe nawe sana pia kwa baraka za milele yote
@amaryanmnango Жыл бұрын
ubarikiwe sana Baba mungu wa mbinguni akutunze mafundisho yako yananibariki sana🙏
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote
@cynthiatesy499811 ай бұрын
Habari, Asante kwa dadili nzuli sana. Na mimi napata ndoto mara kwa mara bus ikiniacha , as all seating space have been taken. Naomba unifufunurie.
@IsaacJavan11 ай бұрын
Hapana, hiyo ndoto ina maana nyingine tofauti na unyakuo.
@frankmwagike9 ай бұрын
Mungu akubariki
@IsaacJavan9 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@josephfortunatuskuzenza137811 ай бұрын
Amina
@IsaacJavan11 ай бұрын
Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele
@EpheloMwaweza-f1c Жыл бұрын
Amina barikiwa
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@pendoshaban1010 Жыл бұрын
Mbarikiwe
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@Thinker3388 ай бұрын
😭😭Nisaidie Yesu
@rachelc2633 Жыл бұрын
Amen 🙏
@IsaacJavan Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@akhalakwalubisia1738 Жыл бұрын
Amen glory to God ❤
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen God bless you with everlasting blessings
@silasnatir7915 Жыл бұрын
Amen mwalimu umepotea sana
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Mungu akubariki sana. Ni kabisa, nimerejea kwa neema ya YESU. Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote
@fatumaadam797011 ай бұрын
✝️😭lord have mercy on us
@IsaacJavan11 ай бұрын
Amen God bless you
@pilishabani6928 Жыл бұрын
Ameeen 🙏 ubarikiwe sanaa Mtumishi wa mungu 🙏🙏
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote
@ansilalulehana47158 ай бұрын
Mungu anisaide nisije nikawa wakukataliwa
@IsaacJavan8 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@maglindaanyango Жыл бұрын
Oooooo😢😢😮😮😮 barikiwa sana amen
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@Famiya94911 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙌🙌👏👏😭😭
@IsaacJavan10 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@RehemaKimaro-dw3pg8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@beatricechepkurui9161 Жыл бұрын
Amen 🙏 nothing but the blood of Jesus Christ the Lord is my shepherd amen 🙏 please pray for me thanks
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Amen, and we shall overcome the devil by the blood of JESUS. You are blessed!
@dinairenge11 ай бұрын
Amen
@IsaacJavan11 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@lilyiminza79 Жыл бұрын
Emen 🙏🙏
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@sirpleasureb7 ай бұрын
MIKONONI MWAKO YESU NAIWEKA ROHO YANGU..
@IsaacJavan5 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@TinaDuwe-p4zАй бұрын
Yesu nisaidie usije ukaniacha
@bwilamwakajumba14989 ай бұрын
Nimebarkiwa sana n it's so scary..naomba niilize swali kuhusu hii theory ya kuona meli ikiwa baharini inaonekana kwa mbali ilkianzi kwenye top then badae unaiona?!
@IsaacJavan9 ай бұрын
Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele. Kuhusu swali lako la meli ikiwa baharini, hiyo ni "law of perspective"
@SarahCharles-t6l4 ай бұрын
Amina amina baba hauna namba ya wasp labda group ambalo huwa unatoa mafundisho huko?
@AlphaKongoferuziАй бұрын
Shalom shalom mwalimu wa Neno la Mungu, Mimi pia nina barikiwa saaana ila ninge pendeleya saana niwe na namba zako za whatsapp mahana nina maswali ya kukuuliza mwalimu wangu
@giffttymlemwa45237 ай бұрын
Naomba namba za huyu mchungaji
@sirpleasureb5 ай бұрын
ULIENDA WAPI NA MBONA HU POST MAHUBIRI?.
@IsaacJavan5 ай бұрын
Mungu akubariki sana, hivi karibuni kutakuwa na muendelezo wa somo hili. Damu ya YESU ikufunike
@sirpleasureb5 ай бұрын
@@IsaacJavan amina twasubiri kwa hamu sana ujumbe
@elishangoma82359 ай бұрын
hapo kwenye unyakuo ndio pameniogopesha kuanzia leo nimeamua kuokoka sitaki kuachwa na YESU
@IsaacJavan9 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana na hongera kwa kufanya maamuzi mazuri. Ubarikiwe sana