29  Nidhamu Uongozi Ahmadiyya
8:34
NABII ISSA PART 5
9:10
4 ай бұрын
NABII ISSA PART 4
4:05
4 ай бұрын
NABII ISSA PART 2
8:46
4 ай бұрын
NABII ISSA PART 3
4:52
4 ай бұрын
NABII ISSA PART 1
9:46
4 ай бұрын
Пікірлер
@NasserAlhajri-ys6yr
@NasserAlhajri-ys6yr 11 күн бұрын
Ahmadiya wote mnaaenda motoni nyie ni makafiri kama makafiri wengine
@JawadThefirst
@JawadThefirst 12 күн бұрын
Huyu sheikh wa kisunni kaamua tu kutoelewa kwa sabb ya ung'ang'anizi wake wa madh-hab maana sheikh kaluta katoa maelezo yaliyo nyooka kabisa
@JawadThefirst
@JawadThefirst 12 күн бұрын
Ukweli mtupu i say 🙄
@DonaldMsahala
@DonaldMsahala 19 күн бұрын
Hiyo ni lugha gani sheikh??🙄
@webstersinje7712
@webstersinje7712 26 күн бұрын
Shekhe Bakri wewe ni mtaalam wa kuhutubia lafudhi na uwezo wa kujenga hoja ni mkubwa sana....Kunta...Kinte.
@MohammaddawoodBhatti-l3q
@MohammaddawoodBhatti-l3q Ай бұрын
Ajabu Mashiri na ajabu Mazuri sana Suati ya Shiekh Mpendwa
@abuuabdirrahmaan4132
@abuuabdirrahmaan4132 Ай бұрын
HALAFU SURA YAKE NA UTAMKAJI WAKE UKIAMBATANISHA NA MACHO YAKE ANAVYOTIZAMA UTAPATA KWAMBA HANA USIRIAS NA INAONEKANA SIO MUISLAAM KABISA NI MUAJIRIWA TU
@BakriAbedi
@BakriAbedi Ай бұрын
Hivyo ni muajiriwa gani awezaye kuwashinda masheikh vigogo kama hao. Hauoni kuwa Qurani imewatupa na wanashindwa hadharani kupata sapoti ya hoja za Quran na masheikh wenzao wote duniani wamenywea kabisa kwa kushindwa kuwasaidia masheikh wenzao kwa hoja na dalili na badala yake wanawaachia mashabiki kama ninyi muwasaidie masheikh hao wanaotia huruma jinsi wanavyozama hadharani na kumeza mafunda ya maji yazamishayo ya hoja madhubuti za kimbingu. Kila mfuatiliaji mwenye busara anaona dhahiri shahiri kuwa masheikh hao wanajuta kwa kujiingiza kichwa kichwa kukabiliana na wafuasi hodari na shupavu wa Masihi Aliyeahidiwa, Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad a.s aliyeahidiwa mapema tu na Allah kwamba kila jeuri atakayefakamia kutaka kumdhalilisha, basi mwenyewe ndiye atakayedhalilika. Nawe unayejiweka kimbelembele uchukue tahadhari usije nawe kukumbwa na fedheha.
@abuuabdirrahmaan4132
@abuuabdirrahmaan4132 Ай бұрын
UKILIANGALIA TU HILO KADIANI SURA YAKE TU INAJULISHA KUWA LINA KASORO KIAKILI
@BakriAbedi
@BakriAbedi Ай бұрын
Una khabari kwamba hata Mtume Mtukufu Muhammad s.a.w. naye pia aliitwa hana akili na Allah Akateremsha Aya kuwajibuni pale aliponadi: Nawe (Muhammad), kwa neema za Allah, si mwehu.
@BashiruddinRamadhan
@BashiruddinRamadhan Ай бұрын
Mashaallah
@RamadhaniMkiety-b3p
@RamadhaniMkiety-b3p Ай бұрын
Masha Allah
@MahambaMustafa
@MahambaMustafa Ай бұрын
Maashaa Allah,asante kwa historia ya yalmasi ya Africa
@Palukumakasanizawadi
@Palukumakasanizawadi Ай бұрын
Swadakta
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 ай бұрын
HAKUNA MKADIANI WALII WA ALLAH HUYO NI WALII WA SHETANI LAANATULLAAHI ALAYHI
@AbdulaziziYasini
@AbdulaziziYasini Ай бұрын
Kuna sehemu yeyote ushawahi kusoma juu ya walii WA شیطان ndugu
@JailanRamadhan
@JailanRamadhan 2 ай бұрын
Hadith ya kuja kwa imam mahd as mnajua ndio Ahmad gulam
@XkluzivDonnie
@XkluzivDonnie 2 ай бұрын
Nitatafuta kitabu i say maana historia za namna hii adimu mno
@gloriakasmil8689
@gloriakasmil8689 2 ай бұрын
Beautiful
@XkluzivDonnie
@XkluzivDonnie 2 ай бұрын
Sheikh bakri kaluta amefafanua vizuri sana apewe hongera zake
@TheAlman
@TheAlman 2 ай бұрын
Sikunyingi sana sijapata kuonana na sheikh wangu mashaallah ❤
@WaziriQaadiriy
@WaziriQaadiriy 3 ай бұрын
Ikiwa uko ulipo hujatubia laana ya mwenyezi mungu iwe juu yako
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
﴿وَإِذَا جَاۤءَهُمۡ أَمۡرࣱ مِّنَ ٱلۡأَمۡنِ أَوِ ٱلۡخَوۡفِ أَذَاعُوا۟ بِهِۦۖ وَلَوۡ رَدُّوهُ إِلَى ٱلرَّسُولِ وَإِلَىٰۤ أُو۟لِی ٱلۡأَمۡرِ مِنۡهُمۡ لَعَلِمَهُ ٱلَّذِینَ یَسۡتَنۢبِطُونَهُۥ مِنۡهُمۡۗ وَلَوۡلَا فَضۡلُ ٱللَّهِ عَلَیۡكُمۡ وَرَحۡمَتُهُۥ لَٱتَّبَعۡتُمُ ٱلشَّیۡطَـٰنَ إِلَّا قَلِیلࣰا﴾ [النساء ٨٣] Hii aya Allah anawataka maswahaba warudishe mambo yao kwa Allah na Mtume na wasomi wa elimu ya fiqihi na sheria kama alivyoelezea Qatada na wenzake ,sasa wewe unakataa wanvyuoni na aya za wanavyuoni ziko very clear أَيْ لَمْ يُحَدِّثُوا بِهِ وَلَمْ يُفْشُوهُ حَتَّى يَكُونَ النَّبِيُّ ﷺ هُوَ الَّذِي يُحَدِّثُ بِهِ وَيُفْشِيهِ. أَوْ أُولُوا الْأَمْرِ وَهُمْ أَهْلُ الْعِلْمِ وَالْفِقْهِ، عَنِ الْحَسَنِ وَقَتَادَةَ وَغَيْرِهِمَا. السُّدِّيُّ وَابْنُ زَيْدٍ: الْوُلَاةُ. وَقِيلَ: أُمَرَاءُ السَّرَايَا. (لَعَلِمَهُ الَّذِينَ يَسْتَنْبِطُونَهُ مِنْهُمْ) أَيْ يَسْتَخْرِجُونَهُ، أَيْ لَعَلِمُوا مَا يَنْبَغِي أَنْ يُفْشَى مِنْهُ وَمَا يَنْبَغِي أَنْ يُكْتَمَ. وَالِاسْتِنْبَاطُ مَأْخُوذٌ مِنَ اسْتَنْبَطْتُ الْمَاءَ إِذَا اسْتَخْرَجْتُهُ. وَالنَّبَطُ: الْمَاءُ الْمُسْتَنْبَطُ أَوَّلَ مَا يَخْرُجُ مِنْ مَاءِ الْبِئْرِ أَوَّلَ ما تحفر. وسمي النبط نبطا لأنهم يَسْتَخْرِجُونَ مَا فِي الْأَرْضِ. وَالِاسْتِنْبَاطُ فِي اللُّغَةِ الِاسْتِخْرَاجُ، وَهُوَ يَدُلُّ عَلَى الِاجْتِهَادِ إِذَا عُدِمَ النص والإجماع كما تقدم. قوله تعالى: (وَلَوْلا فَضْلُ اللَّهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ) رُفِعَ بِالِابْتِدَاءِ عِنْدَ سِيبَوَيْهِ، وَلَا يَجُوزُ أَنْ يُظْهَرَ الْخَبَرُ عِنْدَهُ. وَالْكُوفِيُّونَ يَقُولُونَ: رُفِعَ بِلَوْلَا. Soma hapo anasema wenye kufanya istim bati ni wanavyuoni mujtahidiina
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Swali lingine wanazuoni kwemu wana nafasi gani? Maana Allah amewapa ruksa ya kufanya istimbati yaani kudadavua hukmu za kisheria wewe unawakataa kwa misingi ipi
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Hiyo tafsiiri yako ya kiswahili ulipataje maana kabla ilikuwa ni kiarabu kisha imefasiriwa ima na Mtume saw au Maswahaba au Matabii wanafunzi wa maswahaba r.a sasa wewe hiyo aya onesha Mtume amefasiri vipi? Na si kila aya imefasiriwa na aya nyingine au lazima kila aya ifasiriwe na aya bali zingine Mtume ndio amezifasiri
@munibullahmarunda1325
@munibullahmarunda1325 3 ай бұрын
Allah mtukufu akulipe makubwa Kwa Juhudi yako hii
@munibullahmarunda1325
@munibullahmarunda1325 3 ай бұрын
Jazakallah kheir Sheikh Sahib
@Shihoun
@Shihoun 3 ай бұрын
Brother...hii dini yenu ni upuzi. Wacha kupoteza wakati wa watu na Nabi Isa AS. Tofauti kubwa baina ya Usilam na hii dini yenu ya kihindi ni kwamba mumekubali dajjal kama Nabi, baada ya Muhammad SAW. Na ya lait huyo mtu muliyomkubali ni mtu sawa sawa...La..bali ni mtu kafiri daraja kubwa sana. Katika kufr mulizonazo. Mungu ametoka kwa Mirza Ghulam Ahmad? Ghhulam alisema mungu amemuambiya "anta mini wa ana minnk"...wewe ni kutoka kwangu na mimi nikutoka kwako., Mungu ametoka kwa binadamu? Na hiyo ni moja tu. Ziko nyingi. Nabi wenu Mirza Ghulam amesema yeye ni Muhammad SAW amerudi tena mara ya pili. Na asiye amini hivyo ni...??? Kamilisha wewe! Nabi wenu Mirza Ghulam amesema yeye ndiyo mtume wa mwisho.,..hii ni opposite ya mtume wetu Muhammad SAW alisema Mimi ni khatam an nabiyyeen, HAKUNA mtume BAADA yangu. Nabi wako Mirza Ghulam Ahmad alisema kuja kwake yeye ni ashad, na akmal, na aqwaa KULIKO kuja kwa Muhammad SAW Abedi, wachana na hawa makafiri. Rudi katika Uislamu na ufuate itikadi za Wasilamu
@fatumamwijaka9884
@fatumamwijaka9884 2 ай бұрын
Fundisho la kuita watu makafiri ulilipata wapi lakn
@Shihoun
@Shihoun Ай бұрын
@@fatumamwijaka9884 katika Quran na Sunnah. Wataka kufundishwa ? Hata ukitaka katika vitabu vya makadiyani ntakupatia
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Hizo aya unazozisoma na kudai kuwa utume unaendelea ni aya za Mitume wanaokuja na sheria na Ghulam Ahmad Mirza nyie wenyewe mnasema hajaleta sheria mpya anafuata sheria ya Mtume Muhamd saw sasa hizo aya hazimuhusu Ghulam mirza
@BakriAbedi
@BakriAbedi 3 ай бұрын
Thibitisha kwa kauli za Aya za Allah
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Wewe ndio nimekuuliza hizo aya moja moja onesha vipi mtume anezifasiri na maswahaba zake na si wewe kuzifasiri
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Pia aya zinazowahusu mitume wa kisheria unatumia kuthibitishia utume unaoendelea usio wa kisheria,wewe mara nyingi unasema Gulam si Mtume wa kuja na sheria mpya sasa lete aya amabazo si za utume wa kisheria
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Tafsiir ya Fathul Qadir ya Shawkani pia inasema anayeitwa kwenye uislamu ni huyo dhwalimu mwenye kumzulia Allah uongo ﴿ومَن أظْلَمُ مِمَّنِ افْتَرى عَلى اللَّهِ الكَذِبَ وهو يُدْعى إلى الإسْلامِ﴾ أيْ: لا أحَدَ أكْثَرُ ظُلْمًا مِنهُ حَيْثُ يَفْتَرِي عَلى اللَّهِ الكَذِبَ، والحالُ أنَّهُ يُدْعى إلى دِينِ الإسْلامِ الَّذِي هو خَيْرُ الأدْيانِ وأشْرَفُها؛ لِأنَّ مَن كانَ كَذَلِكَ فَحَقُّهُ ألّا يَفْتَرِيَ عَلى غَيْرِهِ الكَذِبَ، فَكَيْفَ يَفْتَرِيهِ عَلى رَبِّهِ. قَرَأ الجُمْهُورُ ﴿وهُوَ يُدْعى﴾ مِنَ الدُّعاءِ مَبْنِيًّا لِلْمَفْعُولِ. وقَرَأ طَلْحَةُ بْنُ مُصَرِّفٍ: " يَدَّعِي " بِفَتْحِ الياءِ وتَشْدِيدِ الدّالِ مِنَ الِادِّعاءِ مَبْنِيًّا لِلْفاعِلِ، وإنَّما عُدِّيَ بِـ " إلى " لِأنَّهُ ضُمِّنَ مَعْنى الِانْتِماءِ والِانْتِسابِ ﴿واللَّهُ لا يَهْدِي القَوْمَ الظّالِمِينَ﴾ هَذِهِ الجُمْلَةُ مُقَرِّرَةٌ لِمَضْمُونِ ما قَبْلَها. والمَعْنى: لا يَهْدِي مَنِ اتَّصَفَ بِالظُّلْمِ، والمَذْكُورُونَ مِن جُمْلَتِهِمْ.
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
وَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّنِ ٱفۡتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَ وَهُوَ یُدۡعَىٰۤ إِلَى ٱلۡإِسۡلَـٰمِۚ وَٱللَّهُ لَا یَهۡدِی ٱلۡقَوۡمَ ٱلظَّـٰلِمِینَ﴾ [الصف ٧] القول في تأويل قوله تعالى: ﴿وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ افْتَرَى عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ وَهُوَ يُدْعَى إِلَى الإسْلامِ وَاللَّهُ لا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ (٧) ﴾ يقول تعالى ذكره: ومن أشدّ ظلمًا وعدوانًا ممن اختلق على الله الكذب، وهو قول قائلهم للنبيّ ﷺ: هو ساحر ولما جاء به سحر، فكذلك افتراؤه على الله الكذب وهو يُدعي إلى الإسلام يقول: إذا دُعي إلى الدخول في الإسلام، قال على الله الكذب، وافترى عليه الباطل ﴿وَاللَّهُ لا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ﴾ يقول: والله لا يوفِّق القوم الذين ظلموا أنفسهم بكفرهم به لإصابة الحقّ Tafsiri ya Twabari anayeitwa kwenye Uislamu si Mtume bali ni wenye kumzulia Allah uonho kwa kusema Quran ni uchawi. Sasa wewe tuambie hiyo tafsiri yako umeitoa kwa mwanazuoni gani au tabiina gani au sahaba gani kuwa hapo ni Muhamad ndiye anayeitwa kwenye Uislamu
@BakriAbedi
@BakriAbedi 3 ай бұрын
Tafsiri hii nimeitoa kwa Allah Mwenyewe ambaye Ametubainishia kwa uwazi kabisa hapo kwamba katika sentensi hiyo kuna majibizano ya pande mbili ambapo upande mmoja yupo mtu mmoja tu anayetoa madai ya unabii wake na upande wa pili kuna kundi la watu wanaoyakataa madai yake yake ya utume. Alipowaonyesha ishara wazi wazi za kuthibitisha Ukweli wa utume wake, wengi hao wakamkadhibisha mmoja huyo na kudai kuwa ishara alizoonyesha si chochote bali ni uchawi tu. Hawakuishia hapo wengi hao kwa kumshutumu mmoja huyo kuwa ni mdhalimu mkubwa kuliko wote akimzulia Allah uwongo ilhali mmoja huyo huyo mbele ya wengi hao anaonekana kuwa ameshatoka ndani ya Uislamu na shutuma kubwa zatolewa dhidi yake na kumtaka arudi kwenye uislamu wao uliobatilika mbele ya Allah na kumshutumu kuwa watu wa aina yake huwa ni wadhalimu wasiopata hidaya kutoka kwa Allah. Ndipo katika Aya ifuatayo Allah Anatoa uamuzi kwa kuwataja wengi wale kuwa ni wenye kutaka kuizima kwa madai yao nuru ile ya kinabii aliyokuja nayo mmoja yule na Allah Anawasuta kwa kuwaambia kuwa Atahakikisha nuru Yake aliyokuja nayo Nabii wake huyo ni lazima itatimia hata kama wengi hao Aliowapa lakabu ya kuwa ni washirikina walioungana dhidi ya mja wake huyo wakirihike. Kwani ni Yeye Allah Ndiye Aliyemtuma Mtume wake huyo ili aipe Islam ushindi dhidi ya dini zingine zote hata kama upande wa kundi la wakataaji hao ambao Amewaita kuwa ni Makafiri wakirihike na kuchukia. Kwa hiyo tuliza akili yako na uisome Qurani kwa kuitafakari na kuitadabbur. Hayo ndio maelezo ya Allah Mwenyewe yaliyo mepesi kueleweka kwa yule mwenye kumhofu Allah. Ndio sababu Allah Akatunasihi kuwa tutakapokhitilafiana katika jambo lolote basi ni lazima tulirejeshe jambo hilo kwanza kwa Mwenyewe Aliyeliteremsha halafu tulirejeshe Kwa Mtume Muhammad s.a.w. na hatimaye ndio kulitafutia ufumbuzi usiopingana na ufumbuzi wa wawili hao kwa wanazuoni.
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Hujaeleewa swali langu, inaonekana wewe mwenye ndio mufasir wakati huo huo unakataa tafsiri za wanavyioni, swali langu kabla hii dini haojatufikia Mtume saw na hao masahaba na mataabii na matabii tabiina wamezifasiri vipi hizo aya na si kuniambia wewe umeona wazi, wewe si mwanazuoni wala si mfasiri wa Al Quraan al Qareem
@BakriAbedi
@BakriAbedi 3 ай бұрын
Msimamo wako huo ni kinyume na maagizo ya Allah ambaye ametunasihi kwanza tuzingatie tafsiri ya Allah mwenyewe zilizomo ndani ya Qur’an hiyo hiyo. Halafu tuzingatie tafsiri za Mtume s.a.w ikiwa tutashindwa kupata ufumbuzi na mwishowe ndio kupata ufumbuzi wa wanazuoni 2:02 Ninyi daima mnakimbiliakwenye tafsiri za wanazuoni na kuzikwepa tafsiri za Allah Mwenyewe zilizomi ndani ya Kitabu Chake kisicho na shaka, sifa ambayo haipatikani ndani ya Kitabu kingine chochote. Mjadala wa kiucha Mungu ni lazima ugote kwanza kwenye Qurankabla ya kukimbilia kwenda kujificha ndani ya vichaka vya wanazuoni ambao Mtume s.a.w. alitahadharisha kuwa wengine miongoni mwa wanazuoni wa umati wake watakuwa ni wapotoshaji wakubwa watakaowafundisha watu kinyume na mafundisho ya Allah. Hivyo wale wasemao kuwa hakuna Mtume atakayekuja baada ya Mtume Muhammad s.a.w wakati Qur'an ina Aya kadhaa zibainishazo kuwa Mitume watakuja kutoka miongoni mwetu Waislamu. Ukitaka kuendelea kujadiliana nami basi na lazima tuvote kwanza kwenye Qur’an badala ya kuwa confuse watu na kauli za wanazuoni zinazopinzana na kauli wazi wazi za Allah. Toa hoja na dalili ndani ya Qur’an sio kurukaruka huku na kule. Allah katuhimiza tututafakari na kutumia akili tuichambuapo Qur'an. @@universitylink
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
الصف ٧-٩] يَقُولُ تَعَالَى: ﴿وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ افْتَرَى عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ وَهُوَ يُدْعَى إِلَى الإسْلامِ﴾ أَيْ: لَا أَحَدَ أَظْلَمُ مِمَّنْ يَفْتَرِي الْكَذِبَ عَلَى اللَّهِ(١) وَيَجْعَلُ لَهُ أَنْدَادًا وَشُرَكَاءَ، وَهُوَ يُدْعَى إِلَى التَّوْحِيدِ وَالْإِخْلَاصِ؛ وَلِهَذَا قَالَ: ﴿وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ Hapo anayeitwa kwenye Uislamu si Mtume saw bali ni atakayemzulia Allah uongo hivyo ataitwa kwenye tawhwed ili atokane na mambo ya ushirikina
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
وقوله: ﴿وَإِذْ قَالَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ وَمُبَشِّرًا بِرَسُولٍ يَأْتِي مِنْ بَعْدِي اسْمُهُ أَحْمَدُ﴾ يَعْنِي: التَّوْرَاةُ قَدْ بَشَّرَت بِي، وَأَنَا مصداقُ مَا أَخْبَرَتْ عَنْهُ، وَأَنَا مُبَشّر بِمَنْ بَعْدِي، وَهُوَ الرَّسُولُ النَّبِيُّ الْأُمِّيُّ الْعَرَبِيُّ الْمَكِّيُّ أَحْمَدُ. فَعِيسَى، عَلَيْهِ السَّلَامُ، وَهُوَ خَاتَمُ أَنْبِيَاءِ بَنِي إِسْرَائِيلَ، وَقَدْ أَقَامَ(٣) فِي مَلَإِ بَنِي إِسْرَائِيلَ مُبَشِّرًا بِمُحَمَّدٍ، وَهُوَ أَحْمَدُ خَاتَمُ الْأَنْبِيَاءِ وَالْمُرْسَلِينَ، الَّذِي لَا رِسَالَةَ بَعْدَهُ وَلَا نُبُوَّةَ. وَمَا أَحْسَنَ مَا أَوْرَدَ الْبُخَارِيُّ الحديثَ الَّذِي قَالَ فِيهِ: حَدَّثَنَا أَبُو الْيَمَانِ، حَدَّثَنَا شُعَيْبٌ، عَنِ الزُّهْرِيِّ قَالَ: أَخْبَرَنِي مُحَمَّدِ بْنِ جُبَير بْنِ مُطعم، عَنْ أَبِيهِ قَالَ: سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ ﷺ يَقُولُ: "إِنَّ لِي أَسْمَاءٌ: أَنَا مُحَمَّدٌ، وَأَنَا أَحْمَدُ، وَأَنَا الْمَاحِي الَّذِي يَمحُو اللَّهُ بِهِ الْكُفْرَ، وَأَنَا الْحَاشِرُ الَّذِي يُحْشَرُ النَّاسُ عَلَى قَدَمِي، وَأَنَا الْعَاقِبُ". وَرَوَاهُ مُسْلِمٌ، مِنْ حَدِيثِ الزُّهْرِيِّ، بِهِ نَحْوَهُ((٤) صحيح البخاري برقم (٤٨٩٦) وصحيح مسلم برقم (٢٣٥٤) Hadithi hiyo hapo kutoka kwa Bukhari na Muslim wewe ulisema haiko kwenye Muslim na Bukhari bali iko kwenye vitabu vitabu tu. Inasema hakika mimi (Muhamad saw)nina majina, mimi Muhamad na mimi ni Ahmad na mimi Muhyi amabaye ukafiri utafutwa kutoka kwangu, yaani Mtume saw Allah atamtumia kufuta ukafiiri. Hadithi katika Bukhari ni ukurasa 4796 na katika Muslim ni ukurasa 2354 Tafsiri ya Ibn Kathir hiyo pia amesema ni Mtume wa Mwisho. Kingine huyo anayeitwa kwenye Uislami ni Muhamad au aya inazungumza ni nani dhwalimu kuliko yule anayemzulia Allah uongo naye anaitwa kwenye uislamu
@Film_extra_tz
@Film_extra_tz 3 ай бұрын
Si Kila khalifa ni mtu ila Kila Mtume ni Khalifa.
@sadatimukoya1914
@sadatimukoya1914 3 ай бұрын
Masha'Allah, Mwl Mustafa Mambo katika enzi zake
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Watu wamapango wamekaa miaka mia tatu na tisa na quran haijasema wamekufa na hawakuwa wakila chakula( Angalia suratul kahfu)
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Sasa kama huyu ni issa mwingine mbona inasema atatetemka kutoka mbinguni ni lini alipandishwa mpkaka ateremke? Na ni wapi Mtume saw ametuekeza kuwa kutakuwa na Issa wawili na huyu issa wa pili alkuwa kabila gani au koo gani ili tumjue kama ambavyo Gulam alikuwa muhindi
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Kama unakubali utume unaweza kuendelea hata kama si Ahmad sasa utawajuaje au wapi Mtume saw amewataja hao mitume wataokuja. Na mbona mpaka Gulam Ahmad Mirza ameondoka hajamtaja atakayekuja baada yake. Na tokea Ahmad Gulam ameshafiriki wamkuja mitume wangapi? Na kama kuna utume unaondelea amabo si wa kisheria mbona Ahmad Gulama amewaacha masahaba zake tu na hajatuachia au kutueleza Mtume mwengine. Na ni wapi Mtume muhamad amesema Gulam Ahamd atakuwa na makhalifa wake au maswahaba zake
@universitylink
@universitylink 3 ай бұрын
Ama hadithi mnayoitegemea kuhusu imam mahdi kuwa ndio issa ni dhaifu وإن صح هذا الحديث -وهو لا يصح- فمعناه لا مهدي كامل أو معصوم إلا عيسى ابن مريم . ذكره القرطبي وابن القيم وابن كثير . فلا ينافي ذلك خروج المهدي في آخر الزمان ، والذي سيجتمع بعيسى ابن مريم عليه السلام ، ويصلي عيسى خلفه مأموماً Tafsiri za maulama ni kuwa hakuna mahdi ila issa bin marryam kwanza bi dhaifu lakini hata ikisihi haimanishi hivyo inakusudia kuwa mahdi hawezi kuwa kamili pekee yake au maasum ila akiwa na issa katika kufanya kazi ya kumua masishi dajjal. Kwa sababu masihi dajjal anatakiwa awe na mtu mwenye cheo kama chake ndio akaja masihi issa bin marryam. Na kingine Issa pia lazima awe na mtu ambaye ni umati muhamad ndio maana issa ataswali nyuma ya imam mahdi. Baadhi wamefasiri hii hadithi kama itakuwa sahihi ni kuwa hakuna mahdiyu yaani hakuna aliyeongea wakati wa utotoni wakati wa issa isipokuwa issa bin marryam na ushahidi wao ni kuwa ile inayisema ( wayuqalimuhu fil mahdi wa kahlan) yaani Allah alinsemesha akiwa ndogo hivyo wamefasiri hapo kuwa mahdi ni mtoto na si yule mahdi wa kutoka ukoo wa Mtume. Hii dalili kama hadithi itakuwa sahihi lakini hamna Gulam Ahmad Mirza hapo
@universitylink
@universitylink 4 ай бұрын
Kisha nyie mkisikia hadithi ya kuja Al imam Mahdi mnasema ndio Ahmad Gulam Mirza, pia mkisikia kuja kwa Issa Bin Marryam mnasema pia ndio Ghulam Ahmad Mirza haya yote yanaletwa kwa sabbau hakuna hata pahala pamoja mtume saw kamtaja Ghulam Ahmad Mirza na kumuekezea kama ambavyo amewaelezea imam mahdi na issa bin marryam
@universitylink
@universitylink 4 ай бұрын
Pili, wapi mtume saw amemtaja ghulam mirza kama ambavyo alivyowataja issa bin marryam na amemtaja imam mahdi kwanini asimtaje ghulam mirza na kazi zake. Wewe kwenye baadhi za aya unasema ibn abass amesema hivi sasa Ibn Abas kwenye ayaa hii ya 179 suratul imran amesemaje. Tatu, ni nani katika nasahaba wameelewa kuwa hiyo aya inamtaja ghulam ahmad mirza ? Au inakusudia utume kuendelea?? Nne, Mtume wapi alisema hii aya inakusudia kuja mitume wengine?
@universitylink
@universitylink 4 ай бұрын
Hiyo aya ya 179 ya suratul al imran angalieni tafsiiri zote haizungumzii kuchagua ntume mpya bali inazungumzia kwanza hali ya waumini na wanafiki ilikuwa baadhi ya masahaba wabataka kujua hali na hata tafsiri ingine inasema ilikuwa wakati wa vita vya uhud, ndio Allah anawambia hawatwezi waislamu kwa mambo ya ghaibu yaliyofichikana lakini Allah huchagua kwa mitume wake( tokea huko nyumna mpaka kwa mtume saw) kunfunuliya hiyo ghaibu amtakaye. Na si kwamba aya inachgaua mtume mwingine baada ya Mtume bali ni kuchagua kumfunulia mtume wake mambo ya ghaibu kwa muda husika na wakati wa huyo mtume husika. Kama ni wakati wa Mtume ndio yeye atafunukiwa hiyo ghaibu na kama ni wakati wa musa as ni yeye ndio atafunuliwa hiyo wahyi nakadhalika
@universitylink
@universitylink 4 ай бұрын
WACHA UONGO BWANA KALUTA SASA NI SAHIHI KAZI ILIYOBAKI PINDISHA TAFSIRI SASA
@universitylink
@universitylink 4 ай бұрын
عن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: "إن مَثَلي ومَثَل الأنبياء من قبلي كمثل رجلٍ بنى بيتًا، فأحسنه وأجمله، إلا موضع لَبِنَةٍ من زاويةٍ، فجعل الناس يطوفون به، ويعجبون له، ويقولون: هلا وضعت هذه اللبنة؟ قال: فأنا اللبنة، وأنا خاتم النبيين". [صحيح] - [متفق عليه] Hadeeth ni sahihi kwa riwaya ya bukhari na mslim muatafaquun aleyhi صحيح البخاري (4/ 186) (3535)، صحيح مسلم (4/ 1790) (2286)، النهاية في غريب الحديث والأثر (826) (1011)، عمدة القاري شرح صحيح البخاري (16/ 98)، إرشاد الساري لشرح صحيح البخاري (6/ 22)، البحر المحيط الثجاج في شرح صحيح الإمام مسلم بن الحجاج (37/ 292)، المفهم لما أشكل من تلخيص كتاب مسلم (6/ 87).
@universitylink
@universitylink 4 ай бұрын
Ibn ma'iin na si ibn mu'iin
@BimkubwaKombo
@BimkubwaKombo 4 ай бұрын
Ewe mola mtukufu wazinduwe waja wakowajuwe ukweli huu
@hajirinibakari25
@hajirinibakari25 4 ай бұрын
Tutengenezee kipindi kuhusu imamu mahadi .....kama nabii ISSA Alisha Kufa na hadithi zina sema atakuwepo...pamoja na mahadi nyakati za mwisho embu hapo inakuaje nn ukweli
@sacredsmilewithObatt
@sacredsmilewithObatt 4 ай бұрын
MashaAllah
@sanaf8367
@sanaf8367 4 ай бұрын
Sheikh mie badhi ya vitu kwa ushahidi wa quran ni sahihi unavyosema lkn unatakiwa ufanye tafsiri kwa ujumla wake na sio in isolation. Kitendo cha Tawaf ni kufa iwe natural death au hata kupitia usingizi. Quran 39-42 "Ni Mwenyezi Mungu ndiye anayezirudisha nafsi za watu baada ya kufa kwao na pia nafsi za walio hai wakati wa usingizi wao. Kisha huwahifadhi wale alio wawekea mauti, na huwaacha wengine mpaka muda wao uliowekwa. Hakika katika haya zimo Ishara kwa watu wanao fikiri." Rejea Qur'an 3:55" Hakika mimi nitakufisha na nitakuleta kwangu........". Hapo kuna sintofaham ktk ulimwengu wa wanachuoni wa kiislam wao ktk tafsiri wanasema hio" nitakufisha" ni wakati wa badae atakaporudi tena na kufa kitu ambacho kinaleta mgongano na baadhi ya aya kuhusiana na suala hili. Quran ipo wazi Mwenyezi Mungu alimfisha na kumnyanyua jee alimnyanyua akiwa hai au maiti? Bila ya shaka akiwa hai hivyo basi baina ya kufishwa na kupaishwa kulitokea kitu ambacho ni kurejeshwa kwa roho yake na badae kupaishwa. Historically speaking mwili uliowekwa msalabani na kwenda kuwekwa ktk pango haukuonekana tena watu walipokwenda kuutazama lkn jee ikiwa hivyo jee Qur'an inaposema "hawakumuuwa wala hawakumsulubu" inatoa jibu gani? hapo quran bado iko sahihi kwa sababu mtu akisulubiwa atakufa na akifa hainuki ktk kifo labda mpaka Mwenyezi Mungu atake kuirejesha hio nafsi bada ya kifo. Kama imeonekana kasulubiwa na kufa lkn badae akawa hajasulubika wala kufa quran ipo sahihi na haipingani na suala la yeye kuwekwa msalabani na kupitia yale majaribio badala yake Mwenyezi Mungu "aliwafananishia tu" hapa pia masheikh wamekuja na theory ya kuwekwa mtu mwengine kitu ambacho kinaleta masuali yasio na majibu hio ni tafsiri ya kwanza liliopo ktk misahafu lkn tafsiri ya 2 au 3 pia inaweza kufikirika kuhusiana na hili kwa mujibu wa maelezo ya quran.
@CharlesBlackson-r4c
@CharlesBlackson-r4c 4 ай бұрын
Aliekwambia kuwa kuruani ni tukufu ninani
@BakriAbedi
@BakriAbedi 2 ай бұрын
@@CharlesBlackson-r4c Ni Yesu pale alipowaambia wafuasi wake waaminifu: 'bado ninayo mengi ya kuwaelezeni lakini hamtaweza kuyavumilia hivi sasa ila atakapokuja roho wa kweli (Muhammad saw) yeye ndiye atakayekuelezeni kweli yote (Qur'ani Tukufu)
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 4 ай бұрын
Hawa wanajinasibisha na waislamu hali ya kuwa wawo si waisla kwani wanapinga mafundisjo ya TAURAT ZABURI NA INJILI NA KUR AAN KWA MFANO VITABU VYOTE HIVYO VINATUFUNDISHA KUWA SISI WOOOTE WANAADAM ASILI YETU NI ADAM NA ADAM ASILI YAKE NI UDONGO WAO WANAKATAA KABISA WANADAI MAADAMU WALIKUWA WENGI NA WALA SI MMOJA PIA WANAKATAA KATAKAT MIUJIZA YA MITUME WA MUNGU KAMA VILE MASIHI MTOTO WA MARIYAM ALIFUFUA BAADHI YA WALIO KUFA WAWO WANAPINGA NA NK MUSA ALIPIGA BAHARI IKAPATIKANA NJIA WAWO WANAPINGA NA NK MIUUJIZA YA MTUME MUHAMMED SAW WAWO WANAPINGA NA WAMETHUBUTU BILA HAYA KUDAI KUWA KUNA MTUME AMEKUJA BAADA YA NIBII MUHAMMED SAW AMBAYE NI MHINDI KUTOKA INDIA JAMBO AMBALO NI UONGO WA HALI YA JUU NA NK sasa ni vipi wanajiita waislam!!!!! Hawa si wengine bali ni wapotoshaji NA SI WAKWELI CHUKUENI TAHADHARI.😮
@dullafani-us6yi
@dullafani-us6yi 4 ай бұрын
Na sigda yake ya mchongo
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Watu wazisubiri hoja na dalili zako sio mipayuko.
@dullafani-us6yi
@dullafani-us6yi 4 ай бұрын
@@BakriAbedi huna dalili wewe mzushi tu
@JumaMndeme-l3v
@JumaMndeme-l3v 4 ай бұрын
Mashallah sheikh, naitwa juma mohamedi mndeme kutoka kilimanjaro ,tawi la kileo ,hakika najifunza mengi kupitia mjadala wako,Mola akupe maisha marefu inshallah
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Amin wa jazaakumullah Ahsanal jazaa