NABII ISSA PART 1

  Рет қаралды 1,181

SheikhBakri AbediKaluta

SheikhBakri AbediKaluta

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 4 ай бұрын
Allah sw akuongoze kijana wangu
@GeorgeMunyi-b5r
@GeorgeMunyi-b5r 4 ай бұрын
Siku za mwisho hizi the antichrist
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 4 ай бұрын
karibu kwa bwana yesu
@BakriAbedi
@BakriAbedi 2 ай бұрын
@@stevenmponzi8168 Ambaye ndiye Hazrat Mirza Ghulam Ahmad a.s. aliyeanzisha Jumuiya ya waislamu wa Ahmadiyya, sio yule Yesu wa Nazareti ambaye alishafariki huko Kashmir India akiwa na umri wa miaka 120 na kuzikwa huko huko katika mji wa Srinagar mtaa wa Khan Yar. Kaburi hilo linafahamika kuwa ni kaburi la Yuz Asaf yaani kaburi la Yesu mkusanyaji yaani mkusanyaji wa wana wa Israel kama mwenyewe alivyowahi kusema kuwa: Ninao kondoo wengine (mataifa kumi ya wana wa Israeli waliotekwa na mfalme Nebukadnezar na kupelekwa utumwani huko Babylon iliyojumuisha nchi hizo za Mashariki alikoenda Yesu kuwafuat kondoo hao waliomkubali na kufuata maagizo yake yaliyowarahisishia kumtambua na kumpokea Roho wa kweli i.e. (Muhammad s.a.w.) aliyewaeleza kweli yote (Uislamu) nao wakaipokea na kuokoka na hawa Wameobakia ndani ya dini ya kiyahudi ndio wale mayahudi makatili waliomtesa na kujaribu bila ya mafanikio kumuua kifo cha laana cha msalaba) ambao sio wa zizi hili (la makabila mawili ya wana wa Israeli aliowakuta Nazareti).
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 4 ай бұрын
Rafiki yangu wewe uko ziro kwa upuuzi huu utaenda moton
@BakriAbedi
@BakriAbedi 3 ай бұрын
Salaaman Salaaman
@BakriAbedi
@BakriAbedi 2 ай бұрын
@@abdalahsuleiman8989 Motoni huenda wale wasio na hoja wala dalili za kuyathibitisha na kuyatetea madai na hoja zao. Kama una hoja toa waila utakuwa mgeni wa muda mrefu wa Jahannam. Amka amka wewee
@Mohamedi.12
@Mohamedi.12 Ай бұрын
​@@BakriAbedi😂😂😂😂 majawabu mujarraab
@KhalidAli-nk5qh
@KhalidAli-nk5qh 4 ай бұрын
Anae fisha au kufufua ni nani?
@CharlesBlackson-r4c
@CharlesBlackson-r4c 4 ай бұрын
Aliekwambia kuwa kuruani ni tukufu ninani
@BakriAbedi
@BakriAbedi 2 ай бұрын
@@CharlesBlackson-r4c Ni Yesu pale alipowaambia wafuasi wake waaminifu: 'bado ninayo mengi ya kuwaelezeni lakini hamtaweza kuyavumilia hivi sasa ila atakapokuja roho wa kweli (Muhammad saw) yeye ndiye atakayekuelezeni kweli yote (Qur'ani Tukufu)
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 ай бұрын
Hichi nini
@suwedsuwed1042
@suwedsuwed1042 4 ай бұрын
Nawashauri wasikilizaji msimtukane huyu sheikh labda jaribu kupingana nae kwa hoja za Quran
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 ай бұрын
@@suwedsuwed1042 huyu si shekh ni murtadi anatafsiri kinyume analipwa kuichafua Quran
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Salaaman Salaaman
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Swadaqta.
@BakriAbedi
@BakriAbedi 2 ай бұрын
@@SabihaibrahimRajabu Thibitisha
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 ай бұрын
@BakriAbedi weye ni mtovu wa adabu pandikizi katika uislamu mupo wengi nyiye masihidajali pumzi zinawahadaa ipo siku zitaziba mipira ya pua haitawafaa ndio hiyo siku mutajua
@dullafani-us6yi
@dullafani-us6yi 4 ай бұрын
Na sigda yake ya mchongo
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Watu wazisubiri hoja na dalili zako sio mipayuko.
@dullafani-us6yi
@dullafani-us6yi 4 ай бұрын
@@BakriAbedi huna dalili wewe mzushi tu
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 4 ай бұрын
Huyu mpumbav nae katokea wapi ni KAFIRI tuu km walivyo makafiri wengine, Qur'an (157: 159), "hawakumuua wala hawakusurubu" kasome acha ujinga n kupotosha umma sigida kubwa lkn hamna kitu kichwani
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 4 ай бұрын
Soma Quran vizurii ww utaelewa
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 4 ай бұрын
Soma Qur'an (3-55) utaelewa kuwa yesu alikufa na kifo ilikua n mpango wa Mungu
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Salaaman Salaaman
@Mohamedi.12
@Mohamedi.12 Ай бұрын
acha ujinga wewe
@Shihoun
@Shihoun 3 ай бұрын
Brother...hii dini yenu ni upuzi. Wacha kupoteza wakati wa watu na Nabi Isa AS. Tofauti kubwa baina ya Usilam na hii dini yenu ya kihindi ni kwamba mumekubali dajjal kama Nabi, baada ya Muhammad SAW. Na ya lait huyo mtu muliyomkubali ni mtu sawa sawa...La..bali ni mtu kafiri daraja kubwa sana. Katika kufr mulizonazo. Mungu ametoka kwa Mirza Ghulam Ahmad? Ghhulam alisema mungu amemuambiya "anta mini wa ana minnk"...wewe ni kutoka kwangu na mimi nikutoka kwako., Mungu ametoka kwa binadamu? Na hiyo ni moja tu. Ziko nyingi. Nabi wenu Mirza Ghulam amesema yeye ni Muhammad SAW amerudi tena mara ya pili. Na asiye amini hivyo ni...??? Kamilisha wewe! Nabi wenu Mirza Ghulam amesema yeye ndiyo mtume wa mwisho.,..hii ni opposite ya mtume wetu Muhammad SAW alisema Mimi ni khatam an nabiyyeen, HAKUNA mtume BAADA yangu. Nabi wako Mirza Ghulam Ahmad alisema kuja kwake yeye ni ashad, na akmal, na aqwaa KULIKO kuja kwa Muhammad SAW Abedi, wachana na hawa makafiri. Rudi katika Uislamu na ufuate itikadi za Wasilamu
@fatumamwijaka9884
@fatumamwijaka9884 2 ай бұрын
Fundisho la kuita watu makafiri ulilipata wapi lakn
@Shihoun
@Shihoun Ай бұрын
@@fatumamwijaka9884 katika Quran na Sunnah. Wataka kufundishwa ? Hata ukitaka katika vitabu vya makadiyani ntakupatia
@josephchrizostom8437
@josephchrizostom8437 4 ай бұрын
mimi nina swali katika sura an nisaau aya 159 inasema na hawi katika watu wa kitabu ila hakika hatamwamini yeye kabla ya kufa kwake naye siku ya kiama atakuwa shaidi juu yao sasa swal je isa kama amekufa watu wote wamemwamini kma mtume
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 ай бұрын
@@josephchrizostom8437 ndio tumemuamini kama mtune wa Mwenyezi Mungu
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Wa in (firaqun) min ahlil Kitaabi illaa layu'uminannahuu qabla mautihii. Yaani hakuna dhehebu lolote kati ya mataifa 12 ya wana wa Israeli ila watapatikana watu miongoni mwa makundi hayo watakaomuamini nabii Isa a.s. kabla ya kifo chake kilichotokea huko India Kashmiri akiwa na umri mpevu wa miaka 120, kama Mtume Muhammad s.a.w alivyosema: Inna Jibrila akhbarani anna Isa bna Maryama 'aasha' ishriina wa miiati sanatin yaani hakika Malaika Jibril amenifahamisha kuwa Isa bin Mariam aliishi miaka 120. Kwa hiyo alizimia tu msalabani na baadae akakimbilia Kashmiri India kuwafuata makabila mengine kumi ya wana wa Israeli waliolowea huko kwa karne na karne baada ya kutekwa na mfalme Nebukadnezar wa Babilon. Alifia huko na kuzikwa huko huko katika mtaa wa Khan Yar ndani ya mji wa Sri Nagar huko Kashmir India ambako kuna kaburi lake lijulikanalo kwa jina la kaburi la Yuz Asaf yaani kaburi la Yesu mkusanyaji. Wenye masikio na wasikie.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 ай бұрын
Hichi ni kituko gani kwanii kaa huyu punda hasaa kiama ndio hichi
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Sikiliza kwa makini. Kuelewa hakutaki papara. Haya ni masuala ya kidini yanayohitaji sana maombi kwa Allah Atie mssada wake kukuelewesha. Waweza kukichukia kitu ilhali ni kheri kwako. Omba dua kwa subira na sala.
@bossanwar821
@bossanwar821 4 ай бұрын
Wewe ndo wahitaji maombi urudi kwa Allah. Acha kupoteza watu. Pesa unazo pewa zitakushambulia siku ya hesabu.
@BakriAbedi
@BakriAbedi 4 ай бұрын
Salaaman Salaaman ​@@bossanwar821
@mfalmenjozi8902
@mfalmenjozi8902 4 ай бұрын
​@@BakriAbediKAluta angalia dunia iyo usihadaike nayo pesa izo za wahindi zinakuingiza motoni
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 4 ай бұрын
Pingana kwa hoja sio unatukana tu
NABII ISSA PART 2
8:46
SheikhBakri AbediKaluta
Рет қаралды 289
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Bobi Wine speaks at Sheikh Muzata's farewell at Kibuli Mosque
12:16
Cavton Music UG
Рет қаралды 101 М.
WALII WA ALLAH, SHEKH AMRI ABEDI KALUTA
17:35
SheikhBakri AbediKaluta
Рет қаралды 1,9 М.
DUA YA KUWAOMBEA WALIOPATA MAAFA KARIAKOO, MSIKITI WA MTORO
4:50
BABDEO MILADU
Рет қаралды 1,8 М.
NABII ISSA PART 5
9:10
SheikhBakri AbediKaluta
Рет қаралды 246
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
arkas online tv
Рет қаралды 60 М.
28  Nidhamu ya uongozi wa Ahmadiyya. Bw. Ali Saidi Mosse
16:06
SheikhBakri AbediKaluta
Рет қаралды 183
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН