Maana ya jina ya chanel   HD 1080p
6:29
Biblia ni ya Wazungu?   HD 1080p
18:28
IPI DINI YA HAKI?   HD 1080p
11:59
3 ай бұрын
Wanaabudu nini eti???   HD 1080p
22:46
Usijichagulie Mauti   HD 1080p
11:37
Paulo mtume au mdanganyi?   HD 1080p
12:57
Maandiko yaliletwaje?   HD 1080p
18:07
Mungu tu anatoa uhai   HD 1080p
9:36
Biblia inamhusu nani?   HD 1080p
13:47
Qurani inamhusu nani?   HD 1080p
33:42
Yesu vs Isa   HD 1080p
22:06
8 ай бұрын
1Kotintho 15 mst 23 28   HD 1080p
31:21
Torati, Zaburi na Injili   HD 1080p
18:05
Yesu anamlipa fidia nani?   HD 1080p
19:03
Ibn Ishaq   HD 1080p
11:10
10 ай бұрын
Bila Yesu hakuna Uzima   HD 1080p
15:54
Al Tabari   HD 1080p
13:41
11 ай бұрын
Kristo Mwana Wa Mungu   HD 1080p
11:50
Пікірлер
@nelsonzebedayo8281
@nelsonzebedayo8281 25 күн бұрын
Mungu ni mwema,ubarikiwe sana.Nahitaji kujua uko wapi?Somo nzuri sana
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 7 күн бұрын
Mimi ninaishi Sweden
@MaranathaMushi
@MaranathaMushi Ай бұрын
Ubarikiwe
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu Ай бұрын
Ahsante nfugu
@ShamisNassor-xj8be
@ShamisNassor-xj8be Ай бұрын
Ww shoga tafute mtu akuone
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu Ай бұрын
Pole sana,
@EstherleonardMassay
@EstherleonardMassay Ай бұрын
Amen
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu Ай бұрын
🙏
@mohammedrajab595
@mohammedrajab595 Ай бұрын
Ni vizuri kuzungumza ila ujue kinachozungumzwa bibilia si kitabu cha Mungu ni mkusanyiko wa maandiko ya wale waliokuasanya katika ya wanafunzi na wasomi wa historia na maandoko ya mafundisho ya Nabii Issa peace be upon to him ,swali jibu lake tuangalie sura ya 112 hapo mdio ushahidi na malaika GABRIEL NDIO JIBRIL NA allah even unasoma bibilia ya maandishi ya kiarabu Neno Allah Mungu mwenyezi asiyefanana wala kupigiwa mfano na chochote kingine quraa (kitabu cha quraan ni ufunuo wa mwisho uliokusanya vitabu vyote vikuu torati(Deuteronomy) Zaburi (Psalm) Injili (Gospel) na Quraan hao wako kwa mitume yote hakuna aliyehubiri asiyeabudia Allah ukirejea hisrotia ya nabii yakobo baba wa yoseph na benjamin the son of isaac isaka aliuliza akajibiwa tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba Zako ambao ni spring ya kizazi vha Nabii Abaraham/Ibrahim as hiyo inapatikana kattika sura ya pili ni vizuri ila kutajwa hao Miungu ya manata na uzza Miungu ilikuwa karibu 360 kama zama za kigiriki na warumi kwa hiyo kwa ufupi quraan hapo ilikuwa ikizungumza uthibitisho kwamba Mtume Muhammad swala llahu alayhi wassalam hazungumzi kwa utashi na hayo ya miungu kuzungumzia historia na tabia kabla ya kuhubiriwa uislamu zaidi ya miongo 500 au karne 5 tokea kuondoka kwa nabii Issa (yesu)alayhi SALAAM hivyo inathibitisha usilamu haukuanza kwa Muhammad alahyi salaam bali yeye ni mtume wa mwisho katika historia na yeye ni kizazi cha nabii Ibrahim alayhi salaam kwa mwanae Ishamail kwa mkewe Hajra kutokea palestina kiasili watoto wa nabii isaka kwa yakobo ndio waisrael na Ishmail yeye ndio uzao wa waarabu hivi ni vizazi vya nabii Ibrahim.yapo ndani ya quraan na hata wanazuoni wa historia wanayajua fika quraan imekusanya sheria,miongozo ,historia
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu Ай бұрын
Video inahusu historia ya waislamu na mtu wanaodai kwamba alikuwa mtume. Waandishi wenu wanadai kwamba alipokea ufunuo kutoka shetani, anakiri hivyo mwenyewe kutokana na maandiko yenu. Katika video yangu ninanukuu maandishi yenu si mawazo yangu. ama unasema kwamba waandishi wa kiislamu ni wadanganyifu na waongo, sawa hiyo ni tatizo ya dini yako. Lakini kama ninao wanukuu ni waongo na kumbe wao ndiyo wameunda dini unayoifuata, si uko tabani ndugu? Kuhusu Biblia ninayovideo nyingi katika channel inayoongea juu ya maandiko yake. Nakushauri uende pale kuangalia. Video hii imepaa comment nyingi sana na nimejibu hoja nyingi. Laini kupinga na kukanusha hii video ni kukanusha dini ya kiislamu na kudai kwamba inafundsho uwongo.
@HassanHamad-x6p
@HassanHamad-x6p Ай бұрын
Mbona hujataja ni Sura gani na Aya namba ngapi?unapotosha dini Kwa kutumia propaganda.hao wanaokufuata hawasomagi maandiko.watakubaliana na uongo wako sbb unaongea Kwa utulivu kama mkweli.hongera Kwa kuwa na wafuasi mazuzu wanaopenda blablaa.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu Ай бұрын
Angalia description ya video utapata rejea zangu zote. Ukweli ni kwamba kuna rejea zaidi ya hamsini ya kiislamu inayoshuhudia juu ya jambo hili. Rejea zangu ni maandiko ya walimu wa kiislamu, ukisema mimi ninadanganya kiukweli unasema walimu wako ni waongo maana mimi ninawanukuu tu, ni maneno yao. Pole sana
@HassanHamad-x6p
@HassanHamad-x6p Ай бұрын
Uislam upo kwenye Quran pekee.ndicho kinachotufundisha kila kitu.hao waalimu unaowafuata hawaana akili nzuri.fuata Yale maneno ya qurani.kwanza yanaeleweka vizuri.usifuate mitazamo ya watu wanaotafuta vyeo na kujulikana kupitia quran.hata Mimi nimekujibu kwamba Quran imetufundisha utukufu WA Bikra Maria ulivyokuwa na ikatufundisha hadhi kubwa aliokuwanayo masihi yesu.lakini sikuwahi kuiona sehemu qur-ani inatuambia tumpinge masihi yesu.ukimuona mwalimu yoyote wakiislamu asiemkiri yesu na mamaake mariamu huyo ni shetani na sio mwenzetu.ili injili ndo inaonesha waliompinga yesu walijua wayahudi na mpaka leo hawafuti mafundisho yake wanaifuata taurati.
@HassanHamad-x6p
@HassanHamad-x6p Ай бұрын
Mbona hao wayahudi mpaka leo wanaifuata taurati ya Musa na hawaitaki injili ya yesu?hawa mbona wako waziwazi wanapinga injili ya yesu.waslam ktk Quran wanakubali injili ni kitabu cha mungu.usiwapoteze hao wakristo wasio na akili nzuri wasiojuaga historia ya yesu
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu Ай бұрын
Video haiwahusu wayahudi. Qurani inasema inakubali injili ila inakataa maelezo ya Injili na madai ya Yesu. Kama umesoma Qurani na Injili utajua hiyo, ndiyonmaana inapinga Kristo. Katika maelezinya video unaweza kupata notes zote.
@gpupinternational
@gpupinternational 2 ай бұрын
Nashukru sana kwa masomo,mazuri.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 2 ай бұрын
🙏😀
@juvenalymwanalyela202
@juvenalymwanalyela202 2 ай бұрын
Mungu akubaliki hakika utainuliwa zaidi kwa kazi yako njema
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 2 ай бұрын
Shsante kwa kunitia moyo. 👍🙏
@niclouskitipa1144
@niclouskitipa1144 2 ай бұрын
Does make a sense when you change challenge name from to "KOKOTO KIATUNI" just an idea
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 2 ай бұрын
🤔
@godlovejohnson687
@godlovejohnson687 2 ай бұрын
Ameeni Bwana Yesu kufunike kwa Damu yake Mwalimu ...somo zuri saaana
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 2 ай бұрын
🙏
@AgripinaKivike
@AgripinaKivike 3 ай бұрын
Halleluja mtumishi Kokoto inakuwa chini ya unyayo ndani ya kiatu ko inakera lazima iondolewe sawa, ko umefananisha na kile kisichoeleweka kwenye neno kinakuwa kero na ni kweli kinaleta sintofahamu je kiondolewe au sijakuelewa mtumishi
@AgripinaKivike
@AgripinaKivike 3 ай бұрын
Au kifafanuliwe kwa usahihi
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
Inaweza ikawa andiko au hoja ya mtu. Juzi nilifanya video moja inayoangalia uandishi wa "King James Bible" watu walidai kwamba Huyo mfalme wa Uingereza ndiye alie tunga Biblia. Kama unasikia hoja kama hii na hujui historia ya hiyo Biblia inaweza ikakutia mashaka juu ya vipi Bibilia ilivyoandikwa. Ukifuatilia utakuta kwamba Mfalme James ALIAGIZA Biblia iandkwe katka lugha ya kiingereza na wataalamu walitumia Biblia zilizokuwepo katika lugha ya asili kwa kutafsiri na kuleta katika lugha ya kiingereza HAWAKUTUNGA Biblia. Hapo umeweza kuondoa ile tatizo (kokoto) mana umefahamu ukweli ulivyo. Na ndiyo inaweza ikatumika kwa maandiko pia.
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 3 ай бұрын
*YESU MUNGU WA KWELI* Akubariki sana maana Unatenda kazi njema
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
🙏
@AgripinaKivike
@AgripinaKivike 3 ай бұрын
Kokoto kwenye kiatu maana yake nini
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
NInajibu katika video
@gpupinternational
@gpupinternational 3 ай бұрын
MTUMISHI WA MUNGU ,ENDELEA NA UKWELI ULIONAO JUU YA YESU KRISTO.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
Asante kwa kunipa moyo
@gpupinternational
@gpupinternational 3 ай бұрын
MUNGU ALIE JUU AZIDIKUKUTIA NGUVU ,NA BARAKA ZA KRISTO ZIKUKALIE AMINA.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
Shukran
@GameChumaTz
@GameChumaTz 3 ай бұрын
Kokoto kwenye kiatu nakubali❤
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
👍🙏
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 3 ай бұрын
UBARIKIWE MTU WA YESU MUNGU WA KWELI
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
🙏
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, samahani naomba kuuliza swali la kiuelewa kutoka ktk (Torat 12;5-7,11,13-14) (2falme 17;35-38 swli nikwanini Mungu alitugai tutoe sadaka Madhabahuni pake?
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
Andiko hiyo inawahusu Wana wa Israeli na agano yao. Kuna maagiso mengi na sheria nyingi iliyowahusu wao rasmi nahaituhusu sisi leo. (Sisi maana yake wakriso wa leo) Kuhusu sadaka bado ni zoezi tunayoiendeleza lakini si kwa mtindo wa wakati ule.
@YesuniBwana-sv5zd
@YesuniBwana-sv5zd 3 ай бұрын
ubarikiwe mutumishi wa mungu. ila nilitaka nikwambiye muyahudi ni mutu mwehusi.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
Hiyo umeipata wapi? Wayahudi ni kabila rasmi ya kisemiti. Siyo wazungu wala weusi. Asili yao ni Israeli na Palestina ya leo. Kuhusu rangi yao kutokana na kuchanganywa na makabila mengine katika historia, kwa sababu ya kusambaa duniani pote, unakuta Myahudi anaweza akawa na rangi yoyote ile leo. Inategemea na anakotoka.
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, Mwalimu naomba kuuliza swali toka (KumbuTorati 12;11) je! Kunamambo gani ya muhimu kwa Mungu yanayomfanya kutudai sadaka zipelekwe Madhabahuni pake.naomba kusaidiwa.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
Andiko hiyo inawahusu Wana wa Israeli na agano yao. Kuna maagiso mengi na sheria nyingi iliyowahusu wao rasmi nahaituhusu sisi leo. (Sisi maana yake wakriso wa leo) Kuhusu sadaka bado ni zoezi tunayoiendeleza lakini si kwa mtindo wa wakati ule.
@zainakingwele9228
@zainakingwele9228 3 ай бұрын
Hajali wanadam kivip na yawe anajali vip kihistoria mim ninavyojua ni dola za kirumi na mali kale ya dola za kiotimani ndo zilileta mbadiliko wa ustaarabu ila si jua wala mwezi vya kuabudiwa
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
🤔 ?
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 3 ай бұрын
Katika Biblia, neno "kujitambua" linaweza kueleweka kama kuelewa na kutambua nafasi yetu, majukumu, na thamani yetu kama watu wa Mungu. Hapa kuna baadhi ya maandiko yanayohusiana: 1. **Kujua Nafasi Yetu Katika Kristo:** Wagalatia 2:20 inasema, "Nimehukumiwa pamoja na Kristo; nami siishi tena, bali Kristo anaishi ndani yangu." Hii inaonyesha kujitambua kama mtu aliye ndani ya Kristo. 2. **Kujitambua Kama Mbeba Mzigo Wa Wengine:** Warumi 15:1 inatufundisha kwamba tunapaswa kujitambua kama wale wanaoshughulikia na kusaidia wenzetu. 3. **Kujitambua Katika Utu Wetu:** 1 Wakorintho 15:10 inasema, "Lakini kwa neema ya Mungu nipo kama nilivyo," ikionyesha umuhimu wa kujitambua katika neema ya Mungu. Kwa hivyo, kujitambua ni kuelewa majukumu yetu, thamani yetu
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 3 ай бұрын
Katika Biblia, neno "kujitambua" linaweza kueleweka kama kuelewa na kutambua nafasi yetu, majukumu, na thamani yetu kama watu wa Mungu. Hapa kuna baadhi ya maandiko yanayohusiana: 1. **Kujua Nafasi Yetu Katika Kristo:** Wagalatia 2:20 inasema, "Nimehukumiwa pamoja na Kristo; nami siishi tena, bali Kristo anaishi ndani yangu." Hii inaonyesha kujitambua kama mtu aliye ndani ya Kristo. 2. **Kujitambua Kama Mbeba Mzigo Wa Wengine:** Warumi 15:1 inatufundisha kwamba tunapaswa kujitambua kama wale wanaoshughulikia na kusaidia wenzetu. 3. **Kujitambua Katika Utu Wetu:** 1 Wakorintho 15:10 inasema, "Lakini kwa neema ya Mungu nipo kama nilivyo," ikionyesha umuhimu wa kujitambua katika neema ya Mungu. Kwa hivyo, kujitambua ni kuelewa majukumu yetu, thamani yetu
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 3 ай бұрын
Katika Biblia, neno "kujitambua" linaweza kueleweka kama kuelewa na kutambua nafasi yetu, majukumu, na thamani yetu kama watu wa Mungu. Hapa kuna baadhi ya maandiko yanayohusiana: 1. **Kujua Nafasi Yetu Katika Kristo:** Wagalatia 2:20 inasema, "Nimehukumiwa pamoja na Kristo; nami siishi tena, bali Kristo anaishi ndani yangu." Hii inaonyesha kujitambua kama mtu aliye ndani ya Kristo. 2. **Kujitambua Kama Mbeba Mzigo Wa Wengine:** Warumi 15:1 inatufundisha kwamba tunapaswa kujitambua kama wale wanaoshughulikia na kusaidia wenzetu. 3. **Kujitambua Katika Utu Wetu:** 1 Wakorintho 15:10 inasema, "Lakini kwa neema ya Mungu nipo kama nilivyo," ikionyesha umuhimu wa kujitambua katika neema ya Mungu. Kwa hivyo, kujitambua ni kuelewa majukumu yetu, thamani yetu
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 3 ай бұрын
Katika Biblia, neno "kujitambua" linaweza kueleweka kama kuelewa na kutambua nafasi yetu, majukumu, na thamani yetu kama watu wa Mungu. Hapa kuna baadhi ya maandiko yanayohusiana: 1. **Kujua Nafasi Yetu Katika Kristo:** Wagalatia 2:20 inasema, "Nimehukumiwa pamoja na Kristo; nami siishi tena, bali Kristo anaishi ndani yangu." Hii inaonyesha kujitambua kama mtu aliye ndani ya Kristo. 2. **Kujitambua Kama Mbeba Mzigo Wa Wengine:** Warumi 15:1 inatufundisha kwamba tunapaswa kujitambua kama wale wanaoshughulikia na kusaidia wenzetu. 3. **Kujitambua Katika Utu Wetu:** 1 Wakorintho 15:10 inasema, "Lakini kwa neema ya Mungu nipo kama nilivyo," ikionyesha umuhimu wa kujitambua katika neema ya Mungu. Kwa hivyo, kujitambua ni kuelewa majukumu yetu, thamani yetu
@harounsalim927
@harounsalim927 3 ай бұрын
Wewe ni kafiri hujuwi chochote
@jacksonemily6552
@jacksonemily6552 3 ай бұрын
Kazi nzuri,,Asante kwa uchambuzi.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
🙏
@mjogotv0852
@mjogotv0852 3 ай бұрын
Uislam ulianza mwaka 610 na ni dini ya miungu na asili ya neno allah si sawa na neno YAHWEH kwa hiyo ni sahihi kua islamiki ni dini ya kipagani kama ilivyo dini ya wayahudi waabudu nyota, wakatoliki waabudu jua (sun-day) na waislamu waabudu mwaez…. Hizo ndizo dini hatari za kipagan duniani kama upo humo toroka
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 3 ай бұрын
Ahsante kwa comment yako. Nadhani unahitaji kufuatilia rejea zako kuhusu unayoyaandika. Allah maana moja ni mungu katika lugha ya kiarabu kwa maana hiyo inaweza ikawa inamaanisha YAHWE. Ila katika imani ya kiislamu imepata maana ya mungu wa waislamu na hiyo ndiyo maana kwa watu wengi. Hakuna uhakika wa mwanzo wa uislamu ila rekordi ya kihistoria inatuelekeza kwa Abd al Malik (647-705) abayo kwa mapokeo ya kiislamu anahesabiwa kuwa Khalifa wa tisa. Wayahudi hawaabudu nyota hiyo sijui umeipata wapi, na wakatoliki hawaabudu jua, hapo unahitaji kufuatilia zaidi. Jambo la ” sunday” ikawa siku ya wakristo kukusanyika kwa sababu ilikuwa siku ya kufufuka kwa Yesu. Haina uhusiano na kuuabudu jua kwa upande wa Wakristo. Kati ya dini zote hizo iliyo na asili ya kipagani nadhani ni Uislamu peke yake, unaikuta ukiangalia desturi zao na pia jinsi wanavyo abudu. Kuhusu waislamu kuabudu mwezi nadhani ndiyo na hapana. Sababu moja ya kutumia mwezi ni kalenda yao ambayo ni ”lunar” yaani inafuata mwendo wa mwezi. Pili ni Hubal ambaye awali alikuwa ” Allah mkuu” ( mungu mkuu) miongoni mwa miungu kwenye baadhi ya maeneo ya huko uarabuni, na yeye alikuwa pia ” mungu wa mwezi”
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 4 ай бұрын
halleujah mtu wa Mungu,nakufurahia sana
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Nashukuru sana kwa feedback hiyo! Mungu akubariki!
@oxymakera4995
@oxymakera4995 4 ай бұрын
Habari mwalimu, nina maswali kadhaa yakiambatana na taarifa, je tunaweza kuzungumza nje ya hapa
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Tumia e-mail ya channel
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 4 ай бұрын
Safi sanaaa najifunzaa mengii kupitia kwako MUNGU wa MBINGUNI AKULINDEE.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Asante sana, nimefurahi kusikia kwamba unajengwa
@benedictongonge7802
@benedictongonge7802 4 ай бұрын
Kazi nzuri
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Ahsante, Mungu akubariki
@Moyo122
@Moyo122 4 ай бұрын
God bless you mtumishi binafsi nimekuelewa
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
🙏👍
@MsotoMsoto-y9x
@MsotoMsoto-y9x 4 ай бұрын
Asante mungu akutie nguvu
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Ahsante Mungu akubariki
@MsotoMsoto-y9x
@MsotoMsoto-y9x 4 ай бұрын
Asante mungu akubaliki
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
shukran
@AbdullahKamana
@AbdullahKamana 4 ай бұрын
Muhammad pekeyako ndiyo ana ingiya apo,kubali kataa
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
nadhani hujafuatilia rejea za video, muhammad hafikii madai ya unabii kwa maneno ya Musa, angepigwa mawe kwa sababbu alileta unabii ambayo si kutoka kwa Mungu.
@AbdullahKamana
@AbdullahKamana 4 ай бұрын
Yesu :1. Si Nabii ni mtoto wa Mungu kwa madayi yenu 2.Hafanani na Musa na chochote, 3.Nduku zawo wa Israël,Nabii huyo hafayi kuwa katika wana wa Israëli,Yesu ni mwana wa Israëli 4.Ikiwa aya île moja ambaye ili futwa kama ulivyo sema inadayi miyungu mengine,ni aya moja tu Qur'aani aya yake Yote ina dayi mungu moja ambaye ni Mungu wa Musa, 6. Ikiwa Biblia hayi mtabiri Nabii ambaye nusu ya Ulimwengu wana Acha mazambi kwa Ku mfwata,Ku fwata cheriya ya mungu wake maanake Biblia siyo Kitabu cha Mungu😅😮😊
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Ahsante kwa comment yako, pole sana pia wa sababu inaonyesha pamoja na kuiita mjinga wewe huna hoja ya kusimamaia ni maneno matupu. Isitoshe unapinga maandiko ya Qurani na pia a Biblia hiyo inaonyesha huja soma vitabu hivyo. 1. Yesu ni nabii kufutatana na maandiko ya Biblia na pia Qurani Matendo 3:11-26 An -Nisan 171. 2. Anafanana na Musa katika kila jambo.Nabii kama musa kum 34:9-12 nabii kama musa yukoje ana onana uso kwa uso na mungu. anatenda miujiza kama musa alivyofanya huko misri Asiesikia neno ya huyo nabii atawajibishwa na mungu Nabii akisema kitu chochote ambayo mungu hajaamuru lazima auawe. au akisema kwa jina la miungu mengine lazima auwawe hasa alitakiwa kunena kwa niaba ya yahwe mungu wa waisraeli. utajua kwamba si nabi wa mungu akitabiri na hayatokei hapo huyo nabii amesema kwa kauli yake siyo ya mungu msimuogope nabii huyo muhammad haku..: ongea uso kwa uso na allah. hakutenda miujiza kama musa muhammad alipewa mafunuo yake kupitia jibreel muujiza ambayo inadaiwa katika quran ni qurani yenyewe…. watu wa wakati wake walisema; mbona hakupewa kama alivyopewa musa? Quran 28:48 muhammad alitabiri maneno ambayo shetani alimuambia Quran sura 53:1ff Sehemu ya unabii wake wa asili imeondolewa katika quran na inamaelezo yake katika maandiko mengine ya kiislamu. al-tabari vol 6 pg 108-111 waqureshi walimkataa muhammad na dini yake na ilimsikitisha sana wapagani walifurahi kwa sababu miungu yao yamekubaliwa na wafuasi wa muhammad walikubali kuinama na kuabudu pamoja nao muhammad alitoa unabii ambao haukutoka kwa mungu na isitoshe alipendekeza watu wake kuinama na kutumia miungu kwa kufikisha maombi yao kwa allah kwa sheria ya musa anastahili kuuwawa! na hastahili kufuatwa 3. muhammad alisemana haikutokea? muhammad alitabiri kwamba chalifati (utawala iliyoongozwa na khalifa) ingedumu miaka 30 Jami` at-Tirmidhi 4:7:2226 lakini utawala wa namna hii iliendelea hadi siku zetu. ikianza na ya Rashidun 632-661 kuendelea na ummayad 661-750 na wa abbasidi 750-1258 ya mwisho iliyoitwa khalifati ya wa ottoman iliahirishwa mwaka 1924 tarehe 3 ya march muhammad alitoa unabii ambao haukutokea kama alivyo tabiri (zipo nyingi ila nilichagua moja ambayo ni rahisi hata kwako kukagua) inaonekana alikuwa nabi aliyonena kwa kauli yake mwenyewe si kwa kauli ya mungu kwa kuhitimisha; tumeweza kuona kwamba muhammad hawezi akawa nabi anayoongelewa katika kum 18:15 na 18. hakuwa myahudi hiyo ilikuwa ishara moja hakunena uso kwa uso na mungu (jahwe) hakutenda miujiza kama musa alitabiri hata maneno ya shetani alinena kwa niaba ya miungu mengine (al-lat manat na al-uza) na alitabiri vitu amabyo havikutokea 3. Inaonyesha huna hata idea ya unayoyasema, acha kujitia aibu ndugu. 4.Leta rejea kwa kuonyesa hija yako, acha maneno yasiyo na msingi 5 (6) hapo hata hueleweki Unaniita mjinga kumbe katika comment yako unapinga dini yako na yanfu na unajidai mjuaji, Ukisoma Biblia juu ya manabii utakuta wengi wanafanana kwa sehemu na Musa ila kwa sehemu tu. Yesu anfanana na Musa kwa kila jambo linalohusika na maandiko ya Kum 18
@AbdullahKamana
@AbdullahKamana 4 ай бұрын
Wewe ni mjinga zaïdi😂 Hujuwi chochote,Yesu ni Nabii kama Musa awo ni mtoto wa mungu awo Mungu aliye ji fanya mwili??😅😅😅 Tangu Dunia ili anza hakuna Nabii aliye pigana Akazaa akawa katika kizazi cha Ibrahim Zayidi ya Muhammad,kama ni wengi mtaji moja,ondowa Yesu Yéyé si Kama Musa wala si Nabii kama Musa,ni mtoto wa Mungu kwa madayi yenu😂
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Kuhusu aliye mjinga, ambaye hajui chochote nadhani msomaji wa comment ataamua. Labda nikupe ushauri tu. Kabla ya kusema fanya utafiti kidogo. Na ukitaka kuleta hoja ipatie msingi na rejea za maandiko.
@amiriadamu5256
@amiriadamu5256 4 ай бұрын
fack you us Afghanistan is not kiling children's milion
@YesuniBwana-sv5zd
@YesuniBwana-sv5zd 4 ай бұрын
Mungu akubariki mwalimu.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
🙏
@sontrillthereal8186
@sontrillthereal8186 5 ай бұрын
Kwanza lazima ujue Uislam ulianza lini au upo toka lini? Unajiona mshindi sababu unaongea peke yako, kama kweli unataka kuelemisha basi tafuta Sheikh au anayeujua Uislam muweke nae mjadala, hoja kwa hoja itakuwa vizuri
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 4 ай бұрын
Ahsante kwa maono yako. Kazi ninayoifanya ni kupitia kazi ya wataalamu wanayo chunguza uislamu, kimafundisho, maandiko, historia na utekelezaji. Ninayoyapata ninaelezea. Sijioni mshindi, mtu yeyote anaweza kufuatilia rejea zangu. Wapo wengi wanaofanya mijadala, mimi si mmojawapo. Wakati nimeangalia mijadala nimeona mara nyinginukweli si muhimu, ushindi wa kuoiga mdomo ndiyo muhimu. Ndiyo sababu moja mimi si pendelei kufanya au hata kuangalia mijadala. Pili kama utaweza kufanya mjadala vizuri ana kwa ana lazima uwe umenkariri mengi na mimi sifanyi hivyo, ninafanya uchunguzi nina ongea juu ya yale niliyoyapata na ninaendelea na safari. Ukitaka kunihojinunaweza kutoa comment yenye point na kuonyesha msingi wako na wapi nimekosea, kama nimekosea. Hapo nitajibu hiyo comment. Kwa mfano comment yako hapo juu haina lolote ya kuonyesha nimekosea, ila inadokeza kwamba eti sijui.. kwa kifupi kazi ninayofanya huenda haikupendezi, ila ndivyo nilivyoamua kufanya. Ukipenda kuendelea kuangalia video zangu karibu sana, ukiona bora mijadala, angalia mijadala. Mungu akuongoze.
@mjogotv0852
@mjogotv0852 3 ай бұрын
@@Kokotokwenyekiatunice
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 5 ай бұрын
Asante Sana nashukuru Mwalimu kwa ufafanuzi Bora, ubarikiwe Sana
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 5 ай бұрын
👍🙏karibu
@norahjohn5988
@norahjohn5988 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 5 ай бұрын
🙏
@DicksonMpwani
@DicksonMpwani 5 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe Mwalimu pole na kuugua, samahani naomba unisaidie kufafanua swali hili katika ( Yohana 20;22-23) kulingana na mistari hiyo je? Aliyepokea Roho anaweza kumwondolea Mtu dhambi na kumfungia Mtu dhambi?. Maana watu hutumia MAMLAKA hiyo nakufanya hivyo, kwakuwa wameamriwa na Yesu. Je? Nisawa kulingana na maandiko au kunaelimu nyingine? Ansante by Dickson Joram.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 5 ай бұрын
NItajibu swali lako kwa kuandaa video ila kwa kifupi; Si sisi wanadamu tunayo samehe dhambi, ni Mungu peke yake anayeweza kufanya hivyo. Ila sisi kama wakilishi wake tunaweza kuwasilisha ukweli huo. Pia ni matokeo ya uenezaji wa habari njema ya Injili anayepokea = anasamehewa. Na anayekataa = anakosa msamaha, au kwa lugha nyingine anabakia akiwa amefungwa katika dhambi. Katika video nita ktoa rejea za andiko pia.
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 5 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 5 ай бұрын
Nashukuru, nawe ubarikiwe
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 5 ай бұрын
Inajichangaaa sanaaa Tena sanaaaa
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 5 ай бұрын
Wengi hawajui kwa sababu hawatafiti
@RamaDura-fu4ud
@RamaDura-fu4ud 5 ай бұрын
Kitabu cha quran akina shaka ndaniake we mzee vip
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 5 ай бұрын
Nadhani hujasoma qurani wala kuichunguza, imejaa mashaka na makosa. Chukua muda uisome!
@rashidsaid8821
@rashidsaid8821 6 ай бұрын
Mwalimu nakusihi kumuogopa Allah hakuna yoyote atakaye tumia muda wake kutafiti dini ila Allah atamjuilisha kuwa dini ya haki ni UISLAMU, ibaki mtu mwenyewe tu kukubali au kukufuru quran (76-3) , mwalimu haki unaijua waambie watu ukweli, Allah anakemea vikali kwa wanaijuwa haki kisha wakapotosha watu kwa maslahi na matamanio ya dunia na chuki zao binafsi quran( 2:159) pia(3-187)
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 5 ай бұрын
Aya zote unazozitaja hazihusu video unayo i comment. Haki kwa maana halisi ya haki inaweza kupimwa maana ni ukweli. Hakuna sababu ya kutishwa na watu wanao chunguza ukweli maana itajithibitisha na itakuwa imara katika kila hoja inayotoa na kia jambo linalodai. Uwongo na udanganyifu ni tofauti unapoichunguza inatambulika katika makosa yake. Kinyume na madai yako ya kwamba ”hakuna yoyote atakayetumia muda wake kutafiti dini ila allah atamjulishakuwa dini ya haki ni uislam” huo ni uwongo ambayo umeambiwa. Ukweli ni kwamba leo watu wanaotafiti wanaacha uislamu kwa speed kali sana kwa sababu wanagundua ni dini iliyotungwa na watu na hakuna haki ndani yake kabisa. 1. Hakuna recordi ya mtume aliyeitwa Muhammad wakati wa karnecya saba. 2. Mji wa Makka haikuwepo wakati huo. 3. Makhalifa wote mpaka Abd Al Malik walitumia msalbavkama nembo yao ya imani. 4 kibbla ilikuwa inaelekezwa mji wa Petra, Yetusalemu na hata sehemu zingine mpakavilipowekewa sheria na watu kwenye karne ya 10 ielekee Makka. 5. Qurani inadai kuendana na Biblia, inakubali Biblia kama neno la Mungu lakini maandiko ya qurani inapinga Biblia sehemu nyingi sana. 6. Qurani insema imeletwa kwa Warabu peke yao, ila uislamu unadai ni dini ya wote… ninfeweza kuendelea kurasa nyingi sana, ila nitakushauri uangalie video zangu ambazo zote zinakupacrejea ya kufuata na kutafiti mwenyewe. Uislamu si dini ya haki, ninfininya watu wanaitaka faida, na utawala. Usikubali tu unavyoambiwa na masheha, sheria inawalazimisha kukudanganyab kam inaleta faida kwa uislamu. Fanya ule utafiti mwenyewe na utaona. Mwisho, Allah wa uislamu siyo tishoo kwangu mimi ni mfuasi wa Mungu wa kweli ambayo anaweza kuchunguzwa na anasimama imara, kwake hakuna shaka! Ndugu ninakuombea kwa mungu aliye wa haki akupe ujasiri wa kuchunguza na kutafuta ukweli, usibakingizani ukaangamia siku ya kiama.
@rashidsaid8821
@rashidsaid8821 5 ай бұрын
Mwalimu vp hali, me sitaki kuzungumzia yaliyomo katika hii clip kwani ni wazi ni chuki tu na ukabila na utaifa mulio ujenga kwenye nafsi zenu,ni sawa na mayahudi tu waliokataa haki huku wakijua sababu last prophet Muhammad ni muarabu hakutoka kwenye ardhi yao soma qur-an (2-109) pia (16-103), na nyinyi munatamani mtume wa mwisho angelikuwa Britain (mzungu) na quran ingeshushwa kwa lugha ya English hapo mungekubali na kumfuata lakini Mungu hakutaka hivyo sababu lugha zote hazina ufasaha kuliko kiarabu quran (41-44) ,kwa iyo mwalimu tusizipe nafasi husda na chuki badala yake tuangalie haki na tufuate'
@rashidsaid8821
@rashidsaid8821 5 ай бұрын
Haya yaliyomo kwenye clip nimesikiza lakini ni hoja dhaifu isipokuwa kwa ambaye hasomi na hajui uislamu kwake ni hoja kubwa infact siwezi kujibu vihoja hivi vya chuki tu katika comment section sababu maandishi yatakuwa mengi na wasomaji ni wachache, lakini pakiwa na haja ya kujibu hoja hizi,tutajibu In Shaa Allah
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 6 ай бұрын
mtu wa Mungu, ni mda sana umeenda wapi?
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 6 ай бұрын
Nimehitaji kuchukua likizo kidogo, ila mwezi was 8 nina anza ku up-load tena.
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 6 ай бұрын
@@Kokotokwenyekiatu AMINA Mtu wa Mungu, Karibu Tena
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 6 ай бұрын
Foolish
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 6 ай бұрын
”Foolish” tafadhali tueleze nini na kwa nini, bila hivyo comment yako haieleweki.
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 6 ай бұрын
Upuuzi tu
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 6 ай бұрын
Bila kueleza zaidi; nini upuuzi, nani mpuuzi hoja yako haiwezi kueleweka.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 6 ай бұрын
Bila kueleza zaidi, nini upuuzi aubnani mpuuzi hoja yako haitaweza kueleweka.
@Shazan.Gaming-W
@Shazan.Gaming-W 6 ай бұрын
Allah atakulipa
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 6 ай бұрын
🤔