Torati, Zaburi na Injili HD 1080p

  Рет қаралды 74

Kokoto kwenye kiatu

Kokoto kwenye kiatu

Күн бұрын

Пікірлер: 9
@OmariShuli
@OmariShuli 8 ай бұрын
Quran7:145,inaonyesha kuwa Taurat ni mbao alizopewa Nabii Musa, ndani yake mna Mauidha na upambanuzi wa mambo mbalimbali. Ama historia ya wana wa israel na za watu wengine kama Abraham na khabari za uumbaji wa dunia nk. zinazopatika ndani ya bibilia ni kazi za waandishi wa historia na wala si ufunuo kamwe. Ni jambo la kushangaza kuwa Mwenyezi Mungu amfunulie Mtume Khabari za kuzaliwa kwake kisha zisomwe na watu wanaomjua historia hiyo au amfunulie historia yao wanyoiishi kisha waisome kutoka kwa Mungu.kwa kweli inasjangaza. Kama nilivyo andika,hizo ni kazi za watu,tena wanao jipendelea, wenye ubaguzi na wenye pupa ya maisha ya Dunia. Namuomba Mungu Mwenye ezi.akuongoze ktk haqqi.
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 8 ай бұрын
Ahsante kwa kuleta mawazo yako. Nimechunguza kidogo kuhusu hoja yako na nimeshindwa kuona suporti ya wazo hili popote pale. Iwe Wayahudi, Wakristo na Waislamu wote wanakubaliana kwamba Torati kimsingi ni vitabu vitano vya mwanzo katika Biblia na kwa mtazamoo mpana Agano la Kale lote. Hata rejea unayoitoa katika 7:145 "145. Na tukamuandikia katika mbao kila kitu, mawaidha na maelezo ya mambo yote. (Tukamwambia): Basi yashike kwa nguvu na uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora wake. Nami nitakuonyesheni makaazi ya wapotofu." haisemi kwamba zile mbao ndiyo Torati. Hata haielezi mbao zina maneno gani. Ukitaka kujua kulikuwepo maandiko gani kwenye mbao inabidi uende kitabu cha kutoka katika Biblia. Kuhusu kushangaa juu ya maandiko ya Biblia, sina la kusema zaidi kama unashangaa unashangaa. Tofauti katika imani ya Wayahudi na Wakristo na ya Waislamu ni kwamba Waislamu wanaamini maneno yali shuka kutoa kwa Allah na wanadamu hawakuhusika hata kidogo katika kazi. Wayahudi na wakristo tunaamini kwamba wanadamu waliandika kwa kuongozwa na Mungu na matokeo yake ni Biblia tunayoitambu akama maneno ya Mungu kwetu. Nitaendelea kutafiti kidogo na nikiona kua zaidi la kungeza nitafanya video ya jibu kamili zaidi.
@OmariShuli
@OmariShuli 8 ай бұрын
Ni nini tafauti ya Mathayo alieandika injili na Mathayo alotajwa kwenye Mat:9:9?
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 8 ай бұрын
Inaonekana ndiyo yeye mwenyewe, ila kinacholeta swali ni kwamba kuna wakati anatajwa kama Lawi. Wapo wanaoamini kwamba huyo Lawi ni jina yake pia, watu wakati huo waliweza kuwa na jina la kiyahudi na kigreeki. Kama vile Petro ambayo pia aliitwa Simoni au Paulo ambayo aliitwa pia Sauli. KUndi lingine linaaini kwamba Lawi aliitwa na Yesu ila baadaye aliacha kuwa mfuasi na Mathayo akawa mbadala yake. NImevutiwa na swali hili na nitafuatilia zaidi na ikiwezekana nitatoa video ya majibu yangu.
@OmariShuli
@OmariShuli 8 ай бұрын
Ukifuatilia vizuri utagundua kuwa Matayo ambaye ameandika si yule mwanafunzi wa yesu.kwa nini? kwa sababu nafsi ya uandishi imebadilika ametumia nafsi ya tatu ( yeye), badala ya nafsi ya kwanza(mimi).
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 8 ай бұрын
Inawezekana, ila pia inawezekana siyo. Ukiangalia jinsi waandishi wa kale walivyotumia lugha ni tufauti na jinsi sisi leo tunavyotumia. Anaweza kutumia nafsi ya tatu hata kama inamhusu yeye maana anaandika story. Nitafuatilia zaidi kwenye maandiko kama commentary za Biblia nk. Yanayoeleza zaidi pia kuhusu jinsi waandishi walivyoandika wakati wa karne ya kwanza. Anyway, si semi wazo lako si sawa, nasema tu ninapenda kuchunguza zaidi. Nikifikia ufahamu unaoridhisha nitaweza kujibu vizuri zaidi.
@JAMESSADIKI-jq5rv
@JAMESSADIKI-jq5rv 8 ай бұрын
Mwalimu nimekuelewa vizuri xana lakini mm pia leo nina swali IVI ISA BIN MARIAMU NA YESU KRISTO WANA UTOFAUTI AU WAKOSAWA ?ukijibu nita furai sana mwalimu
@Kokotokwenyekiatu
@Kokotokwenyekiatu 8 ай бұрын
Hiyo itahitaji jibu ndefu kidogo kwa hiyo nitaandaa video, naomba uvumilie kidogo. Kwa jibu fupi Waislamu wanamuita Yesu Isa kwa hiyo unaweza kusema ndiyo huyo huyo ila ukianza kuchunguza imani ya uislamu kuhusu Yesu au Isa ni tofati kabisa na ya Wakristo kwa hiyo ingawa wanamaanisha huyo huyo kwa jinsi wanavyomtambua siye... Kama nilivyosema inahitaji jibu ndefu kidogo na nitajaribu kuandaa hiyo nitakapo pata muda.
@JAMESSADIKI-jq5rv
@JAMESSADIKI-jq5rv 8 ай бұрын
Sawasawa mwalimu
Yesu vs Isa   HD 1080p
22:06
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 258
Mwandishi wa Injili ya Mathayo ni nani?   HD 1080p
34:46
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 93
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
ZABURI YA KUFUNGUA KAMBA ZILIZO KUFUNGA
16:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 43 М.
1Kotintho 15 mst 23 28   HD 1080p
31:21
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 70
Muslim GOES NUTS at ONE Quran Verse DESTROYING Islam - Debate | Sam Shamoun
17:14
Biblia vs Quran kuhusu Kora (Qaruni)
9:26
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 63
Kisa cha YEZEBELI malkia MKOROFI aliemponza MFALME AHABU.
11:05
Simulizi za Biblia
Рет қаралды 43 М.
Chunguza walimu wa youtube   HD 1080p
19:08
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 102
Qurani inamhusu nani?   HD 1080p
33:42
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 193
Biblia inamhusu nani?   HD 1080p
13:47
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 70
Wanaabudu nini eti???   HD 1080p
22:46
Kokoto kwenye kiatu
Рет қаралды 252
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.