RAHA ZA PWANI vol. II
5:14
5 ай бұрын
Пікірлер
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 29 күн бұрын
Ni sahihi mwanangu. Mziki waachieeee.........❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SadaJeremia
@SadaJeremia Ай бұрын
Dada angu minahitaji ya kwenda na kuludi
@OdastinaMabiti
@OdastinaMabiti Ай бұрын
mtumishi sam nasikia we ni kamanda wa kupatanisha herufi. sasa naomba unisaidie O inamechi na ipi?
@IdhamarieAhmed
@IdhamarieAhmed Ай бұрын
Stara ya mke ni mume. Usijidanganye wala kupoteza wenzako. Pesa wala kazi si muhimu kuliko mume ,na ana daraja kubwa .mke radhi yke kwa mumewe. Maisha huenda na vi wili wili etc mke na mume,usipote .la muhimu maisha ni subra.
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg Ай бұрын
Uyo rais satembee nawewe unanini
@ndutweshomari1366
@ndutweshomari1366 2 ай бұрын
Nimejifunza waislamu wengi hawana Elimu ya Talaka.Yaani huyu Dada anajigamba eti talaka ya Mahakamani haina Rejea.kwani Waislamu Talak inatoa mahakama!?.
@tigerroar3545
@tigerroar3545 2 ай бұрын
Mganga Diwani amekaa na mwanamke wanapiga porojo
@husseinadan9329
@husseinadan9329 2 ай бұрын
Karibu, leila, nikuoe uhuru utapewa
@monarm9363
@monarm9363 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😘😘😘😘😘😘😘🌹🌹🌹🌹🌹🌹💐💐💐💐💐💐
@AlimiahAlimiah-k8i
@AlimiahAlimiah-k8i 2 ай бұрын
Sheikh ukaaji huo na mtangazaji mliyo ukaa binafsi naona hauko sawa
@MariamMbarak-i6e
@MariamMbarak-i6e 2 ай бұрын
Mane no yako ni dhahabu
@karamaabood4367
@karamaabood4367 2 ай бұрын
Mh mh mh🏃🏃
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 ай бұрын
Kuwa kafiri tuu
@abuuiqrimah1125
@abuuiqrimah1125 2 ай бұрын
Hata hiyo ni ushilikina amna kitu hapo pia diwani nae mushilikina
@AllyKija
@AllyKija 2 ай бұрын
Macho yake tu anaonekana mtihani tupu
@AllyKija
@AllyKija 2 ай бұрын
Shida anapotosha Hana maadili kbs laanatulaah
@HajiKelly
@HajiKelly 2 ай бұрын
Dada yang kachoka tu uzee😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 ай бұрын
Hawa matipwa tipwa ni mke na mme au mtiani
@AmAl-x9j
@AmAl-x9j 3 ай бұрын
Liongo hili jamaa,,na linajufanya lenyewe limetimia,, tapeli tu hili msiliamini. Lilitaka kunipiga nilipokua dubai,,nikalushtukia, Mie huwa nawachana tuu watu wa hovyo kama hawa,, Uchawi tuu umeeatawala wehu nyie.mnajiita mashekhe wakat ni. Wezi tu kama wezi wenginene
@baharamsalim3572
@baharamsalim3572 3 ай бұрын
UTAPATA UTAKALO NA MUNGU ATAKUPA HLOO UTAKALO MTANGAZAJI NA WW JITANGAZE PIAH UACHANE UWE NA UHURU
@eddielkindy
@eddielkindy 3 ай бұрын
Kosa lako ni kuikejeli dini tuu
@abdihirsi362
@abdihirsi362 3 ай бұрын
Sister yangu hapo umkosea kusema hutaki ndoa ni dhambi kubwa kuwa mtu scw asema mwenye hataki kuoa ajua si uma wangu
@odaamirsaab9185
@odaamirsaab9185 3 ай бұрын
Pole sana amka saa nane zausiku wakati mola kataramka kwa sama umuombe kwa ikhlas inshallah shida zitaisha kwa uwezo wake
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 3 ай бұрын
Umalaya2
@AhmedHassan-cj9uv
@AhmedHassan-cj9uv 3 ай бұрын
@BakariOmari-tr8cy
@BakariOmari-tr8cy 3 ай бұрын
Unakaaje ivo namwanamke na unajiita shekhe snafundisha nini
@tigerroar3545
@tigerroar3545 2 ай бұрын
sio shehe huyo labda shehena
@BakariOmari-tr8cy
@BakariOmari-tr8cy 3 ай бұрын
Hapa hamnashekhe makhuraf waendako niwajingatuuuu sasa unakaaje ivo na mwanamke kunaulaximagani wakufanya ivo
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 3 ай бұрын
Waislamu tuwe makini wimbi la waganga njaa na matapeli kwa jina la usheikh utabibu limekua kubwa sana sasa tupa kama walokole tumeiga mambo ya makanisani
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao, na wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayodhihirika. Na waangushe khimaar (shungi) zao mpaka vifuani mwao, na wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume wao, au wana wao wa kiume, au wana wa kiume wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kiume wa kaka zao, au wana wa kiume wa dada zao, au wanawake wao (wa Kiislamu), au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio ya jimai miongoni mwa wanaume au watoto ambao hawatambui kitu kuhusu sehemu za siri za wanawake. Na wala wasipige miguu yao yakajulikana yale wanayoyaficha katika mapambo yao. Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr: 31].
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao, na wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayodhihirika. Na waangushe khimaar (shungi) zao mpaka vifuani mwao, na wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume wao, au wana wao wa kiume, au wana wa kiume wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kiume wa kaka zao, au wana wa kiume wa dada zao, au wanawake wao (wa Kiislamu), au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio ya jimai miongoni mwa wanaume au watoto ambao hawatambui kitu kuhusu sehemu za siri za wanawake. Na wala wasipige miguu yao yakajulikana yale wanayoyaficha katika mapambo yao. Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr: 31].
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ قُل لِّأَزْوَاجِكَ وَبَنَاتِكَ وَنِسَاءِ الْمُؤْمِنِينَ يُدْنِينَ عَلَيْهِنَّ مِن جَلَابِيبِهِنَّ ۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰ أَن يُعْرَفْنَ فَلَا يُؤْذَيْنَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ غَفُورًا رَّحِيمًا ﴿٥٩﴾ Ee Nabiy! Waambie wake zako, na mabinti zako, na wanawake wa Waumini wajiteremshie jilbaab zao. Hivyo kunapeleka karibu zaidi watambulikane (kwa heshima) wasiudhiwe. Na Allaah daima ni Mwingi wa kughufuria, Mwenye kurehemu. [Al-Ahzaab: 59
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Kwanza inakuwaje mpaka wanahojiwa na wanawake na wala hana stara
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Wamekaa zero distance
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 3 ай бұрын
Mm nimekupenda .njoo kwangu .nitakupeleka kwa uhuru na hata ukisema ruto pia
@babazungu3180
@babazungu3180 3 ай бұрын
Km ni mwanaume unahis ndoa ni kifungo au mwanamke polen sana
@AmourHamza-m3j
@AmourHamza-m3j 3 ай бұрын
Kwani kuwa shekhe kunakataza kua mganga ww unae lopoka hayajakufika hospitali huwa unatibiwa na baba yako?
@tobosha3236
@tobosha3236 3 ай бұрын
Msungo tu uyo mwanamke
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 ай бұрын
Kafara no UCHAWI uliojificha kwa kisingizio cha Dini. Dini haijasema hivyo, ni SHIRKI hiyo, je Mtume Muhammad s.a w. alifundisha hivyo? Masheikh mnawapoteza watu, na nyinyi wenyewe mnapotea, KIA ma kuna UJI WA CHUMA CHA MOTO UNAVALISHWA KAMA SKIN TAITI. special kwa wapotezao.
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi 3 ай бұрын
Unajua maana ya kafara
@FahadAbdulrahman-s8q
@FahadAbdulrahman-s8q 3 ай бұрын
Nakuamini Mungu akubariki
@FahadAbdulrahman-s8q
@FahadAbdulrahman-s8q 3 ай бұрын
Mungu Akubariki
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Chawi
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 3 ай бұрын
Hawa ni wale wanawake ambao wanataka huru zao dunia ismame nishuke 😂😂
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 3 ай бұрын
Naomba mimi nikuoe mlaani shaitwani fanya nikuoe kheri itapatikana Inshallah
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 3 ай бұрын
Nipelekeeni Ombi langu basi
@ginazngo4317
@ginazngo4317 3 ай бұрын
Hatari sana
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 ай бұрын
Wako wanawake tele kwenye ndoa na wameweza kutengeneza maisha ndani ya ndoa na maisha yanakwenda vizuri tu. Muandishi unataka kuwapa vichwa vikubwa hao kinadada wasiotaka ndoa tangu mapema na ujuaji mwingi. Ungewafuata na hao waliomuoa ukawahoji. Msema pweke hakosei.
@ngaringari
@ngaringari 3 ай бұрын
@@jumaseifjuma4185 noted!
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 ай бұрын
Ndoa ni lazima kwa mwanamke kwa mwanaume Wanawake wengi hawadumu ktk ndoa kwa sabanu hizi 1- Huingia katka ndoa bila kujua elimu ya ndoa 2- Kujifanya anajua kuliko mwanaume 3- kujiona anaweza kutafta pesa( wanawake wote wanaojifanya wamastaa hawana wanaume) 4- wanasoma elimu ya mdoa krk mitandao nan kasema nın bıla kujua kuwa kıla ötu ana aıma ta mume wake 5- kufananısha maısha yake ma menzake kwa mumewe 6- kupaza saut anapoongea na mumewe 7- kujisahau akiwa katka ndoa na kuish tu atakavyo 7- kuisg kimazoea 8- kutokumjua aina ya mune alinaye 9-
@ngaringari
@ngaringari 3 ай бұрын
@@twaibumikidadi7377 Nice comments!
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 3 ай бұрын
Hiv Kwa Nini wanawake wengi wakishapata mafanikio kidogo tuu huu wanaanza kujiona wanaweza kuishi bila wanaume?
@TheTarabist
@TheTarabist 3 ай бұрын
Mume humuhitaji? Utakuwa ni mgonjwa. Usitoe mfano wako kwa wanawake wengine walio na afya zao kamili za mwili.
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 3 ай бұрын
Kuolewa ni asili ya kila mwanadamu mwenye afia
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 3 ай бұрын
Pole sana leyla. Kaonane na Daktari, unaumwa