SHEIKH YUSUF DIWANI | Zipo njia halali za kutoa Kafara ili ufanikiwe. Kumdhuru Albino NI KUFR.

  Рет қаралды 4,032

NG'ARING'ARI

NG'ARING'ARI

Күн бұрын

.
.
NG'ARI NG'ARI 2022 SEASON - Epsd 082 - Aired on Cloudstv | 06 JLY '24
.
.
Ni JUMAMOSI Hii Saa Tatu Kamili Usiku (09:00pm) kupitia Cloudstv.
.
.
Tazama Kipindi cha NG'ARING'ARI Clouds Tv kila Siku ya JUMAMOSI Saa 3 Kamili Usiku (09:00pm).
Marudio: Jumapili saa 12 Jioni (06:00pm) & Jumatano saa 7 Mchana (01:00pm).
.
.
.
.
Angalia Cloudstv kupitia:
⎮ Azam channel no. 403 ⎮ Dstv no. 387 ⎮ Startimes no. 109 / Antenna 497.
.
.
.
.
.
#YUSUFDIWANI #SINIA #ngaringari

Пікірлер: 35
@HamadFakh
@HamadFakh 3 ай бұрын
Sheikh anakaribia kugusana magoti na demu, kakaa kajiachia habari hana.
@Sheba4651
@Sheba4651 3 ай бұрын
Kisha ndio alikua akiwapigisha kelele kina Sheikh Mohammed Ishaka huyo, si wa kujibizana naye kabisa huyo.
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Mtihan wallaahi
@mootelahamongus633
@mootelahamongus633 3 ай бұрын
Ndio watu wajionee
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed 3 ай бұрын
We sema ni mganga
@FahadAbdulrahman-s8q
@FahadAbdulrahman-s8q 3 ай бұрын
Mungu Akubariki
@FahadAbdulrahman-s8q
@FahadAbdulrahman-s8q 3 ай бұрын
Nakuamini Mungu akubariki
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ قُل لِّأَزْوَاجِكَ وَبَنَاتِكَ وَنِسَاءِ الْمُؤْمِنِينَ يُدْنِينَ عَلَيْهِنَّ مِن جَلَابِيبِهِنَّ ۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰ أَن يُعْرَفْنَ فَلَا يُؤْذَيْنَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ غَفُورًا رَّحِيمًا ﴿٥٩﴾ Ee Nabiy! Waambie wake zako, na mabinti zako, na wanawake wa Waumini wajiteremshie jilbaab zao. Hivyo kunapeleka karibu zaidi watambulikane (kwa heshima) wasiudhiwe. Na Allaah daima ni Mwingi wa kughufuria, Mwenye kurehemu. [Al-Ahzaab: 59
@ginazngo4317
@ginazngo4317 3 ай бұрын
Hatari sana
@Junja_Tv
@Junja_Tv 3 ай бұрын
Nakukubali sana
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Wamekaa zero distance
@AlimiahAlimiah-k8i
@AlimiahAlimiah-k8i 2 ай бұрын
Sheikh ukaaji huo na mtangazaji mliyo ukaa binafsi naona hauko sawa
@tigerroar3545
@tigerroar3545 2 ай бұрын
Mganga Diwani amekaa na mwanamke wanapiga porojo
@AmourHamza-m3j
@AmourHamza-m3j 3 ай бұрын
Kwani kuwa shekhe kunakataza kua mganga ww unae lopoka hayajakufika hospitali huwa unatibiwa na baba yako?
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 3 ай бұрын
Waislamu tuwe makini wimbi la waganga njaa na matapeli kwa jina la usheikh utabibu limekua kubwa sana sasa tupa kama walokole tumeiga mambo ya makanisani
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao, na wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayodhihirika. Na waangushe khimaar (shungi) zao mpaka vifuani mwao, na wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume wao, au wana wao wa kiume, au wana wa kiume wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kiume wa kaka zao, au wana wa kiume wa dada zao, au wanawake wao (wa Kiislamu), au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio ya jimai miongoni mwa wanaume au watoto ambao hawatambui kitu kuhusu sehemu za siri za wanawake. Na wala wasipige miguu yao yakajulikana yale wanayoyaficha katika mapambo yao. Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr: 31].
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Chawi
@Junja_Tv
@Junja_Tv 3 ай бұрын
Sheikh JUNJA apa ila Bora ungeishusha HII krp coz Kuna mziki TUPO PAMOJA sheikh
@NassirAliy
@NassirAliy 3 ай бұрын
Ushekhe huna ila isipokua ushirikina
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 ай бұрын
Kafara no UCHAWI uliojificha kwa kisingizio cha Dini. Dini haijasema hivyo, ni SHIRKI hiyo, je Mtume Muhammad s.a w. alifundisha hivyo? Masheikh mnawapoteza watu, na nyinyi wenyewe mnapotea, KIA ma kuna UJI WA CHUMA CHA MOTO UNAVALISHWA KAMA SKIN TAITI. special kwa wapotezao.
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi 3 ай бұрын
Unajua maana ya kafara
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 ай бұрын
Hawa matipwa tipwa ni mke na mme au mtiani
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Kwanza inakuwaje mpaka wanahojiwa na wanawake na wala hana stara
@BakariMussa-qn4oy
@BakariMussa-qn4oy 3 ай бұрын
Nyie wenyewe hamjitambui
@BakariOmari-tr8cy
@BakariOmari-tr8cy 3 ай бұрын
Unakaaje ivo namwanamke na unajiita shekhe snafundisha nini
@tigerroar3545
@tigerroar3545 2 ай бұрын
sio shehe huyo labda shehena
@AmAl-x9j
@AmAl-x9j 3 ай бұрын
Liongo hili jamaa,,na linajufanya lenyewe limetimia,, tapeli tu hili msiliamini. Lilitaka kunipiga nilipokua dubai,,nikalushtukia, Mie huwa nawachana tuu watu wa hovyo kama hawa,, Uchawi tuu umeeatawala wehu nyie.mnajiita mashekhe wakat ni. Wezi tu kama wezi wenginene
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 ай бұрын
Huo mziki vipi hapo 😂😂😂
@tigerroar3545
@tigerroar3545 2 ай бұрын
hahahahah makhurafi ,masufi wanapenda mziki hapo umekosekana mpunga tu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Mganga wa kienyeji katika ubora wake amejifichia kwenye kivuli cha ushekhe arafu unawakufurisha wahabi kumbe yeye ndo mshirikina anajifanya shekhe ilimu enyewe huna
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Yeye ametaja vyuo alivyo soma, wewe umemuona Hana elimu, je wewe umesoma wapi? Inawezekana hata kupata udhu hujui.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
@@jamalkishangu ni bora uwe kupata udhu hujui kuliko kujifanya shekhe arafu mganga wa kienyeji mushiriki hutopata kitu kwa allah
@tigerroar3545
@tigerroar3545 2 ай бұрын
@@jamalkishangu hana ushehe huyo mchawi tu huyo
@BakariOmari-tr8cy
@BakariOmari-tr8cy 3 ай бұрын
Hapa hamnashekhe makhuraf waendako niwajingatuuuu sasa unakaaje ivo na mwanamke kunaulaximagani wakufanya ivo
@twahaally7251
@twahaally7251 3 ай бұрын
Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao, na wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayodhihirika. Na waangushe khimaar (shungi) zao mpaka vifuani mwao, na wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume wao, au wana wao wa kiume, au wana wa kiume wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kiume wa kaka zao, au wana wa kiume wa dada zao, au wanawake wao (wa Kiislamu), au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio ya jimai miongoni mwa wanaume au watoto ambao hawatambui kitu kuhusu sehemu za siri za wanawake. Na wala wasipige miguu yao yakajulikana yale wanayoyaficha katika mapambo yao. Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr: 31].
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 19 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 10 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,8 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 919 М.
KAFARA NZURI YA DAMU ILI UWE TAJIRI NI MAMA YAKO AU KONDOO?  Dr Sulle ametoa majibu
17:28
SHEKH YUSUF DIWANI AKIELEZA MAAJABU YAMDUDUCHUNGU
9:48
MAFURAHA TV
Рет қаралды 76
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 19 МЛН