HAKIKA HIKI NI KIPAJI HALISI... UNAJUA SANA MDOGO WANGU... SIO HAWA WABANA PUA TULIOKUWA NAO...
@rehemamahendeka-rm2ek8 күн бұрын
Hongera mjku wng,hakika watupatia burdan isiyo na karaha,kaza buti hiyo ndio njia sahihi ya kutafutia rizki zako halali,hongera sana mno.
@vianekasimili22078 күн бұрын
Nyimbo kaimba nan
@MwanaidiMustafa-vw7rq9 күн бұрын
Swadakta
@user-ou7jp8ug7z10 күн бұрын
Uyuu jmaa kwa shairi nimemkulibalii
@taslimpluscargo675310 күн бұрын
Dah hatar huyu jamaa
@taslimpluscargo675310 күн бұрын
Dah fumau hodar sana...he is so talent mashallah
@kevinwanjala460316 күн бұрын
Much love from Kenya
@TengoElias17 күн бұрын
Kipaji mtaji kila mtu ajue sahihi kufanya Kwan kila ndoto asubuhi wewe utakuwa ww congratulate
@zephaniaenosy724621 күн бұрын
Hahahahaha majaji kazi mlikuwa nayo
@LindaLinda-r8k22 күн бұрын
dah noma sana
@GiftProtas22 күн бұрын
Big up
@elizabethalex85523 күн бұрын
nakukubali sana mwanangu mungu akujaalie ufike mbali
@JinaMakame-vq8mq24 күн бұрын
Imenigusaa mpaka moyoni jamanii jamann,kupendwa,rahaa
@JinaMakame-vq8mq24 күн бұрын
Mashàalah 🎉🎉
@JinaMakame-vq8mq24 күн бұрын
Umenikumbusha na,kunifanya muda wotee😂nimkumbukè mama nakupenda sana,.mama,hukuwahi kunichoka magumu yotee mama uliendelea kunibeba
@JinaMakame-vq8mq24 күн бұрын
Nakupenda sana mama yangu abdull umenifanya nisisimke nakuombeaa kila heri mama,mama,sinaa,chakukulipa,ulipo,nipo
@JinaMakame-vq8mq24 күн бұрын
Abdullah umenikoshaa
@JinaMakame-vq8mq24 күн бұрын
Mashallah
@ShabanMtunda-zl9jg25 күн бұрын
Nice
@protusnyongesa491128 күн бұрын
Karibu Churchill show
@MandumbaSamweli29 күн бұрын
❤❤❤
@user-dw5jz8dt9q29 күн бұрын
🎉
@Munalimaboi-um5iqАй бұрын
Iyo sauti umeshushwa we mkaka ama n nature😂😂😂
@user-dt9st1ko1fАй бұрын
Hatar san
@SwafiaNurdinАй бұрын
Mashallh mol akubariki ❤❤❤❤
@RehemaHassan-bu8lhАй бұрын
masha ---allaah🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@RehemaHassan-bu8lhАй бұрын
waooooo👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@NeemaMasie-uq5sdАй бұрын
💪👏
@Munalimaboi-um5iqАй бұрын
Mmeweza mmeweza mmmeweza tena❤❤
@ZiswaLucaseАй бұрын
Mwamba huyu hapa
@MimaKhamis-wr7qzАй бұрын
Nakupend sana mam yang lkn pia mungu awalaze mahali pema pepon kwale wazaz walio tangulia na mungu akuzidishie kipaj chako brother fumau kwakutukumbusha umuimu wa mam zetu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@ShkaChibuАй бұрын
Duh imezingua mpka moyon
@Nancybrayton-vf4tqАй бұрын
Good, penda sana
@ShorezaNyanyaАй бұрын
Mungu akuzidishie afya
@AthumanShadrackАй бұрын
Mashaallah Hongera kaka kwa nyimbo nzuri athuman from geita Tanzania
@GhaniaNassorАй бұрын
Nataman mama yangu akenguwepo Allah awarehem mama zetu waliotangulia
@rukiaahmed8535Ай бұрын
Mashallah!!!takusubiri Mombasa kesho
@YolandaMahenge-nf2gfАй бұрын
🤍❤️
@FatmaSaid-rj5wxАй бұрын
Mashaallah Mungu azidi kukupa afya na azidishe kipawa chako🌝