Naona vigezo na masharti ya Unitalent siyo mbaya zaidi ila wote ambao walifuzu final wamefanya vizuri na walistahili kuwa ma bingwa, next time natowa pendekezo Hip-hop wawe na perform upande wao magicians upande wao na Rnb upande wao, itakuwa nzuri zaidi kwa7bu wote hawafanyi kazi moja
@dorotheafrancis2776 Жыл бұрын
Untouchable well done dogo keep it up mziki utakupa unachotaka don't give up
@atamotivetv8104 Жыл бұрын
Ibraihim Urasa alipaswa awe wakwanza Ila haki haijatendeka kabisaaaaaaaa
@victorwilfred26869 ай бұрын
Yan nmjikuta nangalia lakn urassa alifaa awe mshindibmajaj mhmeznguaaa bana
@Keyrecords255Ай бұрын
Life is not fair
@BeckamGaliyogela25 күн бұрын
Urassa mazee….😢
@swalehomari20198 ай бұрын
Ibrahim urasa ndo mshindi huyo dem mlimpa tu kwa sababu yy ndo mwanamke pekiake 😢😢😢
@Jabali_Media Жыл бұрын
MSHINDI ALIPASWA KUA UNTOUCHABLE... LAKINI NAJUA KUNA VIINI MACHO VINGI SANA HAPA BONGO ILA MNABOA SANA. BINAFSI HATA NILIKUA SIYAJUI HAYA MASHINDANO ILA UNTOUCHABLE NDO ALIFANYA NIYAFATILIE
@dangomc_official Жыл бұрын
Asa uyo wa megic anashindania ela wakat anaweza kukusanyaakaratasi akayageuza ela😀😀
@morlovemorcrazy6094 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@pius-Mlimakala Жыл бұрын
😮😂😂😂
@hellenmwano-qi3js Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂💔
@ShaibuPics5 ай бұрын
🎉🎉
@danielbukundi8659 Жыл бұрын
Wapendwa urasa is the best hata kama sio mshindi
@ibrahimgisunte343 Жыл бұрын
Hats off to you Grace Amnon👏🎉 much love from kenya🇰🇪
@graceamnon5553 Жыл бұрын
Thanks ❤. I appreciate you Kenyans more love ❤
@ShabanMtunda-zl9jg7 ай бұрын
Nice
@eddymakata2999 Жыл бұрын
Grace na urasa ni watu wabad kweny hii final
@manpierre571 Жыл бұрын
aisee mnisamehe kwa kucomment vibaya insta. huyu dada ni balaaaaaaaaaa....mwanetu untochouble amefanya low quality performance ukifananisha na za mwanzo. mshindi wa pili,,aliua perfomance ya mwanzo ya mwisho kaua pia bt huyo dada kafunika. kiufupi huyo dada anajua kufunga, alifanya mazoezi ya fainali kweli....hakuna upendeleo wowote hapo. performance za mwisho zilizofanyika namba moja ya huyo dada. ingawa mkizingatia za nyuma huyo dada hayupo. ila kama kigezo kilikuwa perfomance ya mwisho basi apewe maua yake. na ndio hivo kila mtu aliyefika fainali anaweza kua mshindi kwa hiyo tusilalamike... big up unitalent 👏
@Jabali_Media Жыл бұрын
Hatuwezi kuchagua mshindi Kwa Fainali moja tu... Ndo maana unaishia kusema " huyu dada" kama inshu ni talent basi untouchable alistahili
@calebmshairi8963 Жыл бұрын
nakubaliana nawewe huyo dada amefanya vema mwisho
@salmakayeke2747 Жыл бұрын
Huyu dada show hii ameuwa kiukweli anastahili. Hata kwenye mtihani wako wa kumaliza shule hawaangalii matokeo yako ya mwanzo kupata ufaulu wako wanaangali sasa umefanya nini
@eliyajeremiah8055 Жыл бұрын
Huyo dogo no 2 akapige show atatoka
@CodeWithCrescent Жыл бұрын
Ya MCHONGO hii unitalent dadek
@yaotv1204 Жыл бұрын
Inahitajika akili tu🔓
@molicewamadrasa9531 Жыл бұрын
Yan alie nifanya nipend kuwafuatilia et hayupo dah! BONGO KIKUBWA UZIMA Ila allah anawaona
@rehemasalim272010 ай бұрын
Fumau ndio ali nifanya niangalie hii show for real
@Vboy255 Жыл бұрын
Kitu mziki kina vitu vingi sana ww unaona anastahil hanawez asikidhi vigezo... Then kitu mashindano hayaitaji uanze ukiwa wa moto alaf performance zinazokuja unapoa no. It's better uanze vibaya kuliko umalze vibaya the girl performed well by the way.... If u blame first do research on different performer even outside of the country utagundua mdada kafanya vizur.... My self i appreciate always bongo hatuishiwi lawama
@matelephone4892 Жыл бұрын
Mshindi alipaswa kuwa Ibrahim Urassa huu ni upendeleo
@MaikoMwakalundwa Жыл бұрын
❤❤
@CalvinFlorian-xf3rf Жыл бұрын
Mshindi alikua antachable
@rusinaflow7239 Жыл бұрын
Oya antachabo fany tyu kupambania mzkiwqko studio Apo unapoteza mdaa tyu cahli
@gastinmwambozi9753 Жыл бұрын
No way she deserved this 👏 what a performance
@PUGBFORBEGGINERS Жыл бұрын
She did a gud job as a judge, but binafsi simkubali kwasababu ni mjuajii mjuajii much know sanaaaaaah
@eddymakata2999 Жыл бұрын
Wanachokifanya sio kit chepes mm wote niwashindi
@anterianmohamed3213 Жыл бұрын
Ila acha tu uyu dada ashinde hii round ya pili kauwa kinoma aisee
@dullywa9973 Жыл бұрын
uyu dada alifanyia mazoez fainal
@PUGBFORBEGGINERS Жыл бұрын
That man ibra ndo mshind huyo Dada naona akina gnako walidata na maacrobatic
Haijatendeka haki hapo huyo dada no 1 haikumstahili kbs
@kassimushadow1468 Жыл бұрын
Upendeleo TU huooo
@festusbokoro1615 Жыл бұрын
According to my opinion...mashindano yalikua Free and fare.. from ke.
@morefarah2710 Жыл бұрын
Sijapenda walipomtoa Untouchable this was not fair.
@dishonmanyi3152 Жыл бұрын
Ila huyu dogo number mbili mbona anafaa kuwa number moja aiseee
@manpierre571 Жыл бұрын
huyo dada anatisha bhanaa.....anajua kufanya live.
@molicewamadrasa9531 Жыл бұрын
mh
@hassaissa-tt6wn Жыл бұрын
Jomba hiyo ni njia gani imetumika ?
@viladhatv4473 Жыл бұрын
Hata kama untouchable hakufanya sawa ila magician hajafamfikia untouchable yaani kazi yote aliyofanya jamaa ni bure kwa vitu vya kijinga aakh mumeharibu mb zangu, mumekuwa kama CHAMA CHAKAVU MILELE
@molicewamadrasa9531 Жыл бұрын
Mbona dislike mmeficha kumbe hata nyie ni wamchongo
@sekondianacletus453716 күн бұрын
Utube Wenyewe ndyoo wametoa.
@alicerobert-bf4bk Жыл бұрын
Sks beiby
@manpierre571 Жыл бұрын
mwanetu yuko vizuri lakini fainali kafanya kawaida sanaa.. kiufupi kazingua... alikuwa na mashabiki wengi sanaa. lakini ameshindwa kuwatumia.
@agapeagape7503 Жыл бұрын
Hamn ww unajua kutunga nyimbo yako na kucopy ya mwingine, kaz kutunga na hilo wangeliangalia pia