THE NIGHT OF FAMILY PRAYER'S
0:44
USIKU WA MAOMBI YA KIFAMILIA
1:35
MISINGI - FAMILY OF PRAYING WOMEN
28:50
Adui Wa Mafinikio Wivu Na Chuki
22:35
MOYO WENYE MAJERAHA
20:19
11 ай бұрын
USIMUUMIZE ALIYEUMIZWA
22:39
11 ай бұрын
Watu Wakikukataa Wewe Usijikatae
17:22
ROHO YA UBABA NDANI YA MWANAMUME
20:44
MIGOGORO YA KIFAMILIA
18:03
Жыл бұрын
Пікірлер
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 13 күн бұрын
Neno zuri la kukuwa na kuongezeka
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 14 күн бұрын
😂😂😂...nimejikuta nacheka pia mm asante sana kaka Joel
@MosesFikiriIbrahimu
@MosesFikiriIbrahimu 17 күн бұрын
Habari Tunaomba Groupp la Maombi la Wahtsappy TUNAOMBA HATA LINK YA WAHTSAPPY JAMANA
@hamadimtizi8801
@hamadimtizi8801 18 күн бұрын
🙏🙏
@InviolataNduye
@InviolataNduye Ай бұрын
Aminaaaa
@BlandinaMganga
@BlandinaMganga Ай бұрын
Amen amen amen. Mungu Roho Mtakatifu atusaidie
@jenniesongo9590
@jenniesongo9590 Ай бұрын
Mungu atusaidie
@modestpesha5399
@modestpesha5399 2 ай бұрын
Misingi ikiharibika, mwenye haki atafanya nini? Misingi ni malezi ambayo yamekosekana ktk kizazi hiki. Jando na Unyago vilipuuziwa badala ya kuvinakili kuviingiza katika mafundisho ya kidini sawasawa na ilivyokuwa awali!
@dadyjo_
@dadyjo_ 4 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/oHOrYqOCqK-DhpY
@MbarakaMasharubu
@MbarakaMasharubu 4 ай бұрын
Assented mkuu
@jenniesongo9590
@jenniesongo9590 5 ай бұрын
Amen amen amen
@carolynesimiyu3460
@carolynesimiyu3460 6 ай бұрын
Emen,,Emen and Emen ❤❤
@Ev_mwl_daniel_mollel
@Ev_mwl_daniel_mollel 6 ай бұрын
Ameeen Mchungaji Ubarikiwe sana baba kwa kazi njema hii nzuri
@valleriamwenda1512
@valleriamwenda1512 6 ай бұрын
Hallelujah
@jenniesongo9590
@jenniesongo9590 6 ай бұрын
Ndiye Mwamba ni salama
@jenniesongo9590
@jenniesongo9590 7 ай бұрын
Usiache kusikiliza mpendwa itakuvusha viwango vingine
@jklymollel5992
@jklymollel5992 9 ай бұрын
👏👏
@stellahmbanga2049
@stellahmbanga2049 9 ай бұрын
Amen mtumishi.
@goodluckmbasha336
@goodluckmbasha336 9 ай бұрын
AMEN 🙏 mtumishi
@jenniesongo9590
@jenniesongo9590 9 ай бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu. Somo limenibariki sana hili
@happynescostat7420
@happynescostat7420 9 ай бұрын
Ubarikiwe Sana nilikataliwa na Mme wangu waNdoa akidai simfai na akidai Mimi Ni mgonjwa! Baada ya week moja alipatwa na Ugonjwa wa sukari ya kupanda,ninajiuliza Nani alinilipizia kisasi? Ni MUNGU au shetani,?mwanamke alievunja Ndoa yangu yupo anauguza badala ya kubebishwa! Naomba jibu Mchungaji Nani kanilipia kisasi? Ubarikiwe na Bwana!
@MgeniRamadhani
@MgeniRamadhani 5 ай бұрын
Sio kisasi mpenzi, Mungu alikuepusha na balaa
@familyofprayingwomen587
@familyofprayingwomen587 9 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa comments hizi Bora saana Tutaendelea kuwachilia kitu kingine muda si mrefu. Neema ya Bwana itufanikishe wote
@tumpekadaga
@tumpekadaga 9 ай бұрын
Kipindi kimenibariki sana, naomba kiongozewe muda ikibidi.. barikiwa sana Baba
@alistidiakamugisha
@alistidiakamugisha 9 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni aendelee kuwabariki sana kwa huduma hii watumishi wa Mungu
@gvasongvasoncoltd6538
@gvasongvasoncoltd6538 9 ай бұрын
Kipindi kimekuwa kizuri saana ila kimekua kifupi kuna mwendelezo?
@upendorichard3883
@upendorichard3883 9 ай бұрын
Wakati wa kusubiri ni wakati wakukua kiroho, kuongeza fellowship na Mungu. Wakati wakusubiri ni wakati wakumtukuza Mungu, maana tunajua yakua maana ya imani ni; "Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana". (Waebrania 11:1). Wakati wa kusubiri hujenga na kukuza imani yetu juu ya Mungu wetu. "Na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini".(Warumi 5:4)
@harunkabalika
@harunkabalika 9 ай бұрын
Be blessed Baba.
@mariamollel8049
@mariamollel8049 9 ай бұрын
Ameen
@ruthkilango5499
@ruthkilango5499 9 ай бұрын
🙏 ❤
@jenniesongo9590
@jenniesongo9590 11 ай бұрын
Amen amen
@valentinerwelengera1608
@valentinerwelengera1608 11 ай бұрын
Ubarikiwe Baba Mchungaji katika Ubunifu wa utume huu.
@salomechiwangu864
@salomechiwangu864 11 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@janeflorencesajjabi1545
@janeflorencesajjabi1545 11 ай бұрын
BARIKIWA MR.JOEL UMETUFUNDISHA VEMA, Nilichonacho ndio nasitahili kuanza nacho,Nisikidharau!
@DoreenCheptei-tb1iq
@DoreenCheptei-tb1iq 11 ай бұрын
Amen🙏
@jenniesongo9590
@jenniesongo9590 11 ай бұрын
Amen amen 👏
@L2L-TZ
@L2L-TZ 11 ай бұрын
BROTHER JOE YOU HAVE A GOLDEN MIND
@L2L-TZ
@L2L-TZ 11 ай бұрын
I'm your senior interms of years but you teach me a lot of stuff, I love you guys
@genesismassam6924
@genesismassam6924 Жыл бұрын
Amen Mchungaji kwa mafundisho mema sana.
@user-kf1tf6kl1l
@user-kf1tf6kl1l Жыл бұрын
Asante Mch kwa neno lenye mafunzo kwangu. Barikiwa Sana.
@salomechiwangu864
@salomechiwangu864 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@adammjuni9428
@adammjuni9428 Жыл бұрын
Asante kwa neno la uzima baba 🙏🏼
@familyofprayingwomen587
@familyofprayingwomen587 Жыл бұрын
Asante sana brother
@jasperleopord4838
@jasperleopord4838 Жыл бұрын
Mchg. Mambo mazuri sana
@familyofprayingwomen587
@familyofprayingwomen587 Жыл бұрын
Asante sana mpendwa wangu. Mungu akubariki sana
@jasperleopord4838
@jasperleopord4838 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu pia
@TheodoraLema-ne9vb
@TheodoraLema-ne9vb Жыл бұрын
Amen
@user-kf1tf6kl1l
@user-kf1tf6kl1l Жыл бұрын
Amina Amina Mchungaji
@familyofprayingwomen587
@familyofprayingwomen587 Жыл бұрын
Amen amen amen More blessings
@user-kf1tf6kl1l
@user-kf1tf6kl1l Жыл бұрын
Amina Amina! Ujumbe unarudisha matumaini kwa tuliokata tamaa. Zidi kubarikiwa Mchungaji
@familyofprayingwomen587
@familyofprayingwomen587 Жыл бұрын
Amen amen amen, Mpendwa wangu. Mungu akubariki daima
@jklymollel5992
@jklymollel5992 Жыл бұрын
Amina Mchungaji kazi yako ni njema
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Amina Babangu nimekuelewa sana,nimeimarika
@familyofprayingwomen587
@familyofprayingwomen587 Жыл бұрын
Amen amen , Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Rose Muhando. Neema ya Bwana izidi sana kwako.
@jklymollel5992
@jklymollel5992 Жыл бұрын
Amen Mchungaji
@alphajoas1962
@alphajoas1962 Жыл бұрын
🙏🙏
@obachristopher1371
@obachristopher1371 Жыл бұрын
Sf