Amen amen amen, Mpendwa wangu. Mungu akubariki daima
@happynescostat74209 ай бұрын
Ubarikiwe Sana nilikataliwa na Mme wangu waNdoa akidai simfai na akidai Mimi Ni mgonjwa! Baada ya week moja alipatwa na Ugonjwa wa sukari ya kupanda,ninajiuliza Nani alinilipizia kisasi? Ni MUNGU au shetani,?mwanamke alievunja Ndoa yangu yupo anauguza badala ya kubebishwa! Naomba jibu Mchungaji Nani kanilipia kisasi? Ubarikiwe na Bwana!