Asante kwa elimu dada etu sasa na ile uliyosema unaweza kununua stock leo kesho ukauza ipoje hii pia?
@MaishaYaUlaya2 күн бұрын
Hallo kaka iyo inaitwa daytrading- nakushauri ununue stock uziache kwa mda mrefu uwe kila ukiweza unaongezea tu baada ya miaka kadhaa lazima uone faida yake
@AbdularahimSaidi3 күн бұрын
Dada mie nakuomba unisaidie namba ya Whatsapp ili tufahamishane vizuri
@maxwelmwadondo64583 күн бұрын
Asante kwa ujembe wako mzuri. Watching from mombasa Kenya
@ONEFACE_3 күн бұрын
🙏
@calvinjudica19893 күн бұрын
Dada naomba namba yako ya whatsapp
@MaishaYaUlaya2 күн бұрын
Niambie hapa swali lako please Asante
@jaizmelanews54133 күн бұрын
Wamachinga
@MaishaYaUlaya3 күн бұрын
@@jaizmelanews5413 ndio nilikuwa nimesahau ilo neno
@tatumzelela55154 күн бұрын
Dada mimi naomba kuuliza hizi vocation education training kwa hapo Belgium zinaanza mwezi wa ngapi nataka kuaplay naomba msaada wako
@MaishaYaUlaya4 күн бұрын
@@tatumzelela5515 umeona wapi hii training
@yussufmohd74184 күн бұрын
Dada naomba website ambayo itanisaidia kuapply kaz Luxembourg
@MaishaYaUlaya4 күн бұрын
@@yussufmohd7418 en.jobs.lu
@GeraldElias-s7j4 күн бұрын
Dada mimi nikijana nina miaka 25 nandoto sana yakuja Europe, us, Canada ila bado najipanga then nije uko coz sina vigezo vingi kwasasa vinavyohitajika
@MaishaYaUlaya4 күн бұрын
@@GeraldElias-s7j Karibu jiahidi utafika tu endelea na fata maelezo yangu
@AbdularahimSaidi3 күн бұрын
Mwambie Ili tujumuike tuondoke ktk nchi tukatafut nje Kaz.
@AbdularahimSaidi3 күн бұрын
Tuwen wa moja
@kakuyumwambeta4 күн бұрын
Ukija kama mzamiaji au mkimbizi hii itakulazimu uwe na Kibali?
@MaishaYaUlaya4 күн бұрын
@@kakuyumwambeta unatakiwa uingie katika nchi unayotaka kuja
@hamiduidd58164 күн бұрын
workandstudy_europe
@khamiszahor32934 күн бұрын
Nakukubali sana kipenzi, hakika unatoa msaada kwa wengi sana. Lkn tuwekee njia ya kukupata ili tuweze kuwasilina na ww direct.
@MaishaYaUlaya4 күн бұрын
@@khamiszahor3293 kaka nipe swali ntakujibu
@stefanomasolwa89794 күн бұрын
Nataka niende Ubelgiji itakuwaje?
@TeresiaSagga4 күн бұрын
Nspapenda italy sehm fulani hivi parelimo
@MaishaYaUlaya4 күн бұрын
@@TeresiaSagga italy economy sio nzuri
@GraceNjelekela4 күн бұрын
Dada naomba msaada wako
@MaishaYaUlaya2 күн бұрын
Kaka angalia videos nimeelezea njia tofauti za kuja ulaya
@SIXTUSPONERA5 күн бұрын
SAFI SANA MIMI NINA BINTI AMESOMEA DIPLOMA YA UDAKTARI ANAWEZA KUPATA NAFASI AU NIFANYEJE ILI APATE AJIRA HUKO?
@MaishaYaUlaya5 күн бұрын
@@SIXTUSPONERA Canada itamfaa ntatoa information kuhusu Canada soon
@adammjomba58145 күн бұрын
Asante kwa elimu unayoitoa kwa watu wenyenia ya kusafiri kuja ktk nchi za ugharibuni ,European au America Canada nk nk endelea kusaidia ,na bwaba atakulipa ❤
@bezoslatest5 күн бұрын
You look goood
@ahmedalfan80755 күн бұрын
Tanteee ❤❤❤
@ahmedalfan80755 күн бұрын
Tanteee ❤❤❤
@teresiamathias86366 күн бұрын
Mimi nandoto ya kuja uko ila benk statement aisomi vizuri unanisaidiajee dear 🎉
@ahmedalfan80755 күн бұрын
Bank statement unatengeneza tu kaka
@ibrahimmbondo95416 күн бұрын
Kwenda ni jambo moja, ukifika unaanizia wapi?
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@@ibrahimmbondo9541 unaweza kuja kama mwanafunzi - unaweza kuja kikazi au kutafuta kazi,
@marykennedymarwa16416 күн бұрын
Wewe unaishi belgium,kwanini usiwaambie waje kutembea belgium?😂😂😂 Na sasa walivyokuwa hawataki immigrants .
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@@marykennedymarwa1641Mbona nishawapa procedure ya kuja huku angalia video zangu alafu urudi hapa - nchi karibu zote za ulaya kuna watu ambao hawataki wageni. - but wageni wengi wanaingia mbona- kuna pia wageni wa namna tofauti so sio kila mtu anaetaka kuja anakuja kama mkimbizi - kuna wengine wanamashahada zao sio video kama hizi zinawasaidia. Asante
@marykennedymarwa16416 күн бұрын
Don't be manipulated , you will endup to be a homeless in uk . Kama huna sababu maalum ya kuuingia England . Don't waste your money for that . Ukitaka kuja kutembea ulaya is very is . Nenda embassy uliza information is free.
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@@marykennedymarwa1641 Dear Mary kama umesikiliza video hii nimelezea jinsi ya kuja uingereza kama mtalii so that is a reason utalii- pia hii video ni yakuwasaidia watu waweze kufanya application wenyewe wasipoteze ela zao so na information zote kuhusu immigration procedure zinapatikana online na sio ubalozini- Ubalozi hawa process visa applications- so kila kitu kipo online
@ChoroTesla3 күн бұрын
Hakuna aliyekua manipulated its all about information hajawaambia watu walipie for information
@MaishaYaUlaya3 күн бұрын
@ asante kaka - watu tunachukua mda kutafuta information kusaidia wengine but yeye anakuja na negative vibe- yaani
@ChoroTesla3 күн бұрын
@@MaishaYaUlaya sista wala usiwaze nature ya watu weusi sisi especially easf africa tunaotokea Tanzania tuna roho ya kwanin na iyo mentality tumezaliwa nayo wala wasikuchoshe
@marykennedymarwa16412 күн бұрын
@@MaishaYaUlaya sijaleta negative ,Wala sionei mtu wivu . Wape watu reality . Kutembea ulaya sio big deal nishatembea Europe ,america na Canada. Unahitaji invitation letter tu , kama ni mtu mwenye kazi Yako nzuri au mfanyabiashara . Una book hotel Yako na unaomba visa ya tourist na inakubalika , Cha muhimu wasikuone wewe njaa tu utakuja kuzamia . Ukiwa mlalahoi ndio utaishia bongo tu . Fanya kazi Kwa bidii au biashara uwe na income ya kutosha kuzunguka Dunia kutalii. Wacheni fikra za kuja ulaya na kuosha matako ya wazungu au kuwa homeless .
@praisekilangwa37336 күн бұрын
Naomba link dada
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@@praisekilangwa3733 en.jobs.lu
@NasirKhan-u9g4f6 күн бұрын
Naipaji madam nafikaje??
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@@NasirKhan-u9g4f nimetoa video na link ya kufanya application
@AbisalumahmedAbisalumahmed6 күн бұрын
Vipi lini utakuwa live you tube
@MaishaYaUlaya2 күн бұрын
Alhamisi inayokuja ntakuja live
@kakuyumwambeta7 күн бұрын
Aisee asante sana moyo mzuri kama ulivyo wewe maana elimu unayotoa wengine wangetoza hela, ndo, maana napenda siku moja nikuone ❤
@kipngenopius1467 күн бұрын
Send me how i apply job in luzumbourg
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
@@kipngenopius146 Angalia video nzima mbona nimeweka websites
@ibrahimnyange2438 күн бұрын
Nataka kujua ni inchi gan ambazo hazipoo kweny hiyoo system
@MaishaYaUlaya2 күн бұрын
Izo nchi economy yake sio nzuri sana
@adilarashid51458 күн бұрын
Watching you from zanzibar much ❤
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
@@adilarashid5145 thank you
@agnesgodsaviour59688 күн бұрын
God bless you
@Yamaguccilifestyle8 күн бұрын
How much bank statement wanaitaji Kama unaenda kwa siku7
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
Unapoomba visa ya kutembelea Uingereza, hakuna kiwango maalum cha pesa kinachohitajika, lakini unapaswa kuonyesha kuwa una fedha za kutosha kugharamia safari yako bila kutegemea msaada wa kifedha nchini Uingereza. Kwa ujumla: Gharama za Malazi na Kula: Ni vizuri kuwa na angalau £100-£150 kwa siku kwa ajili ya malazi, chakula, na matumizi mengine. Akaunti ya Akiba au Kipato: Ni bora kuonyesha kuwa una akiba ya kutosha au kipato cha kudumu. Akaunti yako ya benki inapaswa kuwa na takribani £2,000 - £3,000 au zaidi kwa safari ya wiki moja hadi mbili ili kuonyesha kuwa uko na uwezo wa kifedha. Kutoa taarifa kama vile barua ya ajira, risiti za biashara, au chanzo kingine cha kipato kunaweza kuimarisha ombi lako kwa kuonyesha utulivu wako wa kifedha na sababu ya kurudi nyumbani.
@marykennedymarwa16416 күн бұрын
Nenda embassy ya uingereza utapata information , Wacha kusikiliza watu . Information ni bure na una haki ya kuuliza.
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@ kila kitu kipo online embassy hawaprocess visas. Immigration and visas ni department nyingine - embassy wanashughilikia diplomacy matters na sio visas.
@Byme64348 күн бұрын
Hellooooo My kwahiyo UK wanahitaji pesa km ngapi uwe nayo?
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
Unapoomba visa ya kutembelea Uingereza, hakuna kiwango maalum cha pesa kinachohitajika, lakini unapaswa kuonyesha kuwa una fedha za kutosha kugharamia safari yako bila kutegemea msaada wa kifedha nchini Uingereza. Kwa ujumla: Gharama za Malazi na Kula: Ni vizuri kuwa na angalau £100-£150 kwa siku kwa ajili ya malazi, chakula, na matumizi mengine. Akaunti ya Akiba au Kipato: Ni bora kuonyesha kuwa una akiba ya kutosha au kipato cha kudumu. Akaunti yako ya benki inapaswa kuwa na takribani £2,000 - £3,000 au zaidi kwa safari ya wiki moja hadi mbili ili kuonyesha kuwa uko na uwezo wa kifedha. Kutoa taarifa kama vile barua ya ajira, risiti za biashara, au chanzo kingine cha kipato kunaweza kuimarisha ombi lako kwa kuonyesha utulivu wako wa kifedha na sababu ya kurudi nyumbani.
@FrankMerrick-e8g8 күн бұрын
Lakini pia account yangu haina proof of fund kama wanavyotaka je nikitafuta docoment zakutengeneza zinaweza kunisaidia wakanipa visa?
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
Unapoomba visa ya kutembelea Uingereza, hakuna kiwango maalum cha pesa kinachohitajika, lakini unapaswa kuonyesha kuwa una fedha za kutosha kugharamia safari yako bila kutegemea msaada wa kifedha nchini Uingereza. Kwa ujumla: Gharama za Malazi na Kula: Ni vizuri kuwa na angalau £100-£150 kwa siku kwa ajili ya malazi, chakula, na matumizi mengine. Akaunti ya Akiba au Kipato: Ni bora kuonyesha kuwa una akiba ya kutosha au kipato cha kudumu. Akaunti yako ya benki inapaswa kuwa na takribani £2,000 - £3,000 au zaidi kwa safari ya wiki moja hadi mbili ili kuonyesha kuwa uko na uwezo wa kifedha. Kutoa taarifa kama vile barua ya ajira, risiti za biashara, au chanzo kingine cha kipato kunaweza kuimarisha ombi lako kwa kuonyesha utulivu wako wa kifedha na sababu ya kurudi nyumbani.
@FrankMerrick-e8g8 күн бұрын
English kwangu ni changamoto je nikienda embassy ya uingereza naweza kupata visa?
@MaishaYaUlaya8 күн бұрын
@@FrankMerrick-e8g kaka swali lako linaonyesha haujasikiliza video yangu nzima please du
@kakuyumwambeta8 күн бұрын
Vp kipindi hiki cha baridi kuhusu kazi , tutumie application basi
@MaishaYaUlaya8 күн бұрын
@@kakuyumwambeta ntaangalia
@kakuyumwambeta8 күн бұрын
Nimekumisi sana my sister, I think one day nitakuona