Nimekumisi sana my sister, I think one day nitakuona
@marykennedymarwa16416 күн бұрын
Don't be manipulated , you will endup to be a homeless in uk . Kama huna sababu maalum ya kuuingia England . Don't waste your money for that . Ukitaka kuja kutembea ulaya is very is . Nenda embassy uliza information is free.
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@@marykennedymarwa1641 Dear Mary kama umesikiliza video hii nimelezea jinsi ya kuja uingereza kama mtalii so that is a reason utalii- pia hii video ni yakuwasaidia watu waweze kufanya application wenyewe wasipoteze ela zao so na information zote kuhusu immigration procedure zinapatikana online na sio ubalozini- Ubalozi hawa process visa applications- so kila kitu kipo online
@ChoroTesla3 күн бұрын
Hakuna aliyekua manipulated its all about information hajawaambia watu walipie for information
@MaishaYaUlaya3 күн бұрын
@ asante kaka - watu tunachukua mda kutafuta information kusaidia wengine but yeye anakuja na negative vibe- yaani
@ChoroTesla3 күн бұрын
@@MaishaYaUlaya sista wala usiwaze nature ya watu weusi sisi especially easf africa tunaotokea Tanzania tuna roho ya kwanin na iyo mentality tumezaliwa nayo wala wasikuchoshe
@marykennedymarwa16413 күн бұрын
@@MaishaYaUlaya sijaleta negative ,Wala sionei mtu wivu . Wape watu reality . Kutembea ulaya sio big deal nishatembea Europe ,america na Canada. Unahitaji invitation letter tu , kama ni mtu mwenye kazi Yako nzuri au mfanyabiashara . Una book hotel Yako na unaomba visa ya tourist na inakubalika , Cha muhimu wasikuone wewe njaa tu utakuja kuzamia . Ukiwa mlalahoi ndio utaishia bongo tu . Fanya kazi Kwa bidii au biashara uwe na income ya kutosha kuzunguka Dunia kutalii. Wacheni fikra za kuja ulaya na kuosha matako ya wazungu au kuwa homeless .
@FrankMerrick-e8g8 күн бұрын
English kwangu ni changamoto je nikienda embassy ya uingereza naweza kupata visa?
@MaishaYaUlaya8 күн бұрын
@@FrankMerrick-e8g kaka swali lako linaonyesha haujasikiliza video yangu nzima please du
@Byme64348 күн бұрын
Hellooooo My kwahiyo UK wanahitaji pesa km ngapi uwe nayo?
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
Unapoomba visa ya kutembelea Uingereza, hakuna kiwango maalum cha pesa kinachohitajika, lakini unapaswa kuonyesha kuwa una fedha za kutosha kugharamia safari yako bila kutegemea msaada wa kifedha nchini Uingereza. Kwa ujumla: Gharama za Malazi na Kula: Ni vizuri kuwa na angalau £100-£150 kwa siku kwa ajili ya malazi, chakula, na matumizi mengine. Akaunti ya Akiba au Kipato: Ni bora kuonyesha kuwa una akiba ya kutosha au kipato cha kudumu. Akaunti yako ya benki inapaswa kuwa na takribani £2,000 - £3,000 au zaidi kwa safari ya wiki moja hadi mbili ili kuonyesha kuwa uko na uwezo wa kifedha. Kutoa taarifa kama vile barua ya ajira, risiti za biashara, au chanzo kingine cha kipato kunaweza kuimarisha ombi lako kwa kuonyesha utulivu wako wa kifedha na sababu ya kurudi nyumbani.
@Yamaguccilifestyle8 күн бұрын
How much bank statement wanaitaji Kama unaenda kwa siku7
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
Unapoomba visa ya kutembelea Uingereza, hakuna kiwango maalum cha pesa kinachohitajika, lakini unapaswa kuonyesha kuwa una fedha za kutosha kugharamia safari yako bila kutegemea msaada wa kifedha nchini Uingereza. Kwa ujumla: Gharama za Malazi na Kula: Ni vizuri kuwa na angalau £100-£150 kwa siku kwa ajili ya malazi, chakula, na matumizi mengine. Akaunti ya Akiba au Kipato: Ni bora kuonyesha kuwa una akiba ya kutosha au kipato cha kudumu. Akaunti yako ya benki inapaswa kuwa na takribani £2,000 - £3,000 au zaidi kwa safari ya wiki moja hadi mbili ili kuonyesha kuwa uko na uwezo wa kifedha. Kutoa taarifa kama vile barua ya ajira, risiti za biashara, au chanzo kingine cha kipato kunaweza kuimarisha ombi lako kwa kuonyesha utulivu wako wa kifedha na sababu ya kurudi nyumbani.
@marykennedymarwa16416 күн бұрын
Nenda embassy ya uingereza utapata information , Wacha kusikiliza watu . Information ni bure na una haki ya kuuliza.
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@ kila kitu kipo online embassy hawaprocess visas. Immigration and visas ni department nyingine - embassy wanashughilikia diplomacy matters na sio visas.
@kakuyumwambeta8 күн бұрын
Vp kipindi hiki cha baridi kuhusu kazi , tutumie application basi
@MaishaYaUlaya8 күн бұрын
@@kakuyumwambeta ntaangalia
@FrankMerrick-e8g8 күн бұрын
Lakini pia account yangu haina proof of fund kama wanavyotaka je nikitafuta docoment zakutengeneza zinaweza kunisaidia wakanipa visa?
@MaishaYaUlaya7 күн бұрын
Unapoomba visa ya kutembelea Uingereza, hakuna kiwango maalum cha pesa kinachohitajika, lakini unapaswa kuonyesha kuwa una fedha za kutosha kugharamia safari yako bila kutegemea msaada wa kifedha nchini Uingereza. Kwa ujumla: Gharama za Malazi na Kula: Ni vizuri kuwa na angalau £100-£150 kwa siku kwa ajili ya malazi, chakula, na matumizi mengine. Akaunti ya Akiba au Kipato: Ni bora kuonyesha kuwa una akiba ya kutosha au kipato cha kudumu. Akaunti yako ya benki inapaswa kuwa na takribani £2,000 - £3,000 au zaidi kwa safari ya wiki moja hadi mbili ili kuonyesha kuwa uko na uwezo wa kifedha. Kutoa taarifa kama vile barua ya ajira, risiti za biashara, au chanzo kingine cha kipato kunaweza kuimarisha ombi lako kwa kuonyesha utulivu wako wa kifedha na sababu ya kurudi nyumbani.
@marykennedymarwa16416 күн бұрын
Wewe unaishi belgium,kwanini usiwaambie waje kutembea belgium?😂😂😂 Na sasa walivyokuwa hawataki immigrants .
@MaishaYaUlaya6 күн бұрын
@@marykennedymarwa1641Mbona nishawapa procedure ya kuja huku angalia video zangu alafu urudi hapa - nchi karibu zote za ulaya kuna watu ambao hawataki wageni. - but wageni wengi wanaingia mbona- kuna pia wageni wa namna tofauti so sio kila mtu anaetaka kuja anakuja kama mkimbizi - kuna wengine wanamashahada zao sio video kama hizi zinawasaidia. Asante