Mhhhh. Nyie. Jmaa wabaya Sana. Mume nimalizia. GB zote na haija kubali
@MarcoMaguhwaАй бұрын
Tecno inakataa
@JackDhoomАй бұрын
Imegoma bwana nikiwasha hyo radio mode inajizima
@AbdulmajidJuma-u1hАй бұрын
Ata Mimi pia
@JumakulwaBukwimba-x4uАй бұрын
Thank you for your help
@zenamwasekaga7460Ай бұрын
Nimejikuta naaribu cm yangu 😢 nimefunga SIM card 2 na nimeshindwa kurudisha please naomba msaada😢
@khadijaacuteАй бұрын
😂😂tupo kumbe weng simu yangu ilikua ya laini mbili lakini sijui nilikosea wap nashangaa sehm moj ya laini haisomii😢😢
@zenamwasekaga7460Ай бұрын
@@khadijaacute Yamenikuta kiranga KOMO Hadi nimerestore cm yangu lakini wapi Bado inasoma Lain moja 😅 vya Bure vina madhara
@khadijaacuteАй бұрын
@@zenamwasekaga7460 umeona ee vya Bure 😂😂😂
@khadijaacuteАй бұрын
@@zenamwasekaga7460 kiufupi ni tumeyatimba 😂😂😂😂
@MariamMboje-t7o2 ай бұрын
Naomba unisaidie nilisema hizo code ,nikaruka hiyo sehemu, baada ya hapo nikavizima hivo vidogo vya kijani halafu sim ikarestart baada ya hapo ulisoma slot moja tu lain nyingine haikusema lazima, shida ni nini
@khadijaacuteАй бұрын
😁😁😁😁acha nicheke maan wahang wa hili Jang wapo wengi😂
@dismanManota2 ай бұрын
We fala tu wadanganye wajinga
@ELIAMPANGWA2 ай бұрын
Na mimi imekubali asante sana
@kennykongwe2 ай бұрын
ngj nion if poss
@kennykongwe2 ай бұрын
ngj nion if poss
@kennykongwe2 ай бұрын
ngj nion if poss
@kennykongwe2 ай бұрын
ngj nion if poss
@DJ_JERE_TZ3 ай бұрын
Huyu jamaa anajifanya mjanja wakat anatumiq MB zake zile zile za mwanzo acha kudanganya watu sio wajinga bhn😂
@calvinmasawemasawe42303 ай бұрын
Mimi mbn redio power tu ndy inawaka nixaidie ziwak zote tatu
@calvinmasawemasawe42303 ай бұрын
Asnte kaka da nmkuja Leo. Kwwny akaunt yak na nainjoi now nmewza je unaweza kutumia mwaka nzim a non yang nimerestor nainafany Kaz ikiwa kwwny airoplain
@MrMrsHamid4 ай бұрын
Kwel aisee lakini vipi kuhusu dakika hazijaja lakini sms natuma
@VICTORMWALONGO-m1j4 ай бұрын
We n wa moto jombaa
@calvinmazaginza54224 ай бұрын
Samsung haikubali
@latifajuma-c7d4 ай бұрын
Alafu me sim yangu nikiweka bando tiktok aifunguki ila nikiungwa wf inafunguka cjui kwann naomba nisaidie
@latifajuma-c7d4 ай бұрын
Alafu me sim yangu nikiweka bando tiktok aifunguki ila nikiungwa wf inafunguka cjui kwann naomba nisaidie
@latifajuma-c7d4 ай бұрын
Kwangu imekataa nisaidie please
@AnnaNyimbi-ch2tx4 ай бұрын
Nzuri
@RageBreakps44 ай бұрын
Hapo unatumia mbs zako dkk zako sms zako bila ww mwnyw kujua😂😂😂
@Djameno-i9n5 ай бұрын
Mbona yangu mimi imekataa imesema kwanza niwashe air plane
@FloraMwanjala5 ай бұрын
Imekataa
@mercyfrancis31115 ай бұрын
Ahsante sana kakaa nimewezaaaaa
@lurvemaloveofficial985 ай бұрын
Hongera sana rafiki❤️
@Saudahassan-iv3tk4 ай бұрын
Kaka mm yangu imeandika follow na bado inaniletea add friend
@elesiatabia22306 ай бұрын
Sas mbona lain moja imegoma matandao nisadiebi nludisheni ulivo kuwa
@lurvemaloveofficial985 ай бұрын
Nenda kazime kwenye OTG ukisha minya hzo code
@elesiatabia22305 ай бұрын
Hiyo otg ipo sehem gani ndugu masaad jamani
@khadijaacuteАй бұрын
Wapenda vya Bure kimeumana hukuuh😁😁😁🤣🤣🤣
@davidmbaga2998Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@khadijaacute
@SalumKissuu-il1hv6 ай бұрын
Gooooood yeaaaaaaaah
@IsaacChallo-my1ee6 ай бұрын
Kwhy nisaidie ili laini iweze kusoma mtandao
@IsaacChallo-my1ee6 ай бұрын
Mbona mm nime test kufungua lakn lain moja imegoma kusoma mtandao
@elesiatabia22306 ай бұрын
Nami imegoma mnafanyaje ili ilud
@StevenPeter-sg7zo6 ай бұрын
Me natumia infinix smart7 hd nimejaribu imekataa ila naona line yangu moja ya tigo haisomi
@nebatimwashibanda90117 ай бұрын
Mbona inagoma
@manoatz-sy8gg7 ай бұрын
Oyaa kaka inakuwaj kama mpenzi wak up mbar naee
@lurvemaloveofficial986 ай бұрын
Habari lazima uwe na sm yake karibu ila ukiwa mbali nae naweza pia nicheki namba apo juu kwenye desprtion
@KizitoKizito-pi9mk7 ай бұрын
Asante Santa mungu akupe maixh malefu
@hezekiamchuma8937 ай бұрын
Bro namba zako naomba
@KhalidNamangwamba7 ай бұрын
Mim potion hizi za chini mbili hazijawaka moja tu ndio inawaka hii ya kwanza ya mobile radioo power nafanyaje ili nifanikiwe
@MeshackLibelio8 ай бұрын
Je hiii issue Jaina athari kweny sim
@BakaliSalum-fz5mr8 ай бұрын
Kuna laini yangu ya tigo aisomi cjajua wap nilibonyeza
@RajahpataJunior8 ай бұрын
Nimewasha Ile radio lakini inazima yenyewe Yan inawak na kuzima yenyew
@KdotyJohn9 ай бұрын
imekubali asantesanaaaa
@JulyetJoseph9 ай бұрын
❤imekubali bwana
@totallymedia8465 ай бұрын
Una sapport uongo
@khadijaacuteАй бұрын
@@totallymedia846wachawi utawajua tu mtu katoa na ushaidi lakin bd hutaki kuamin jinga sana😂