Kaka mm yangu imeandika follow na bado inaniletea add friend
@makoyebukela229 Жыл бұрын
Umetishaa
@KulwaMasanja-yd5kn Жыл бұрын
Co mm ninao elf 5.2 co kulipwa mpk wafikie wangap😊
@MfangavojrMfangavo Жыл бұрын
😊 oaa kaka umeyaweza sana
@SaveraMakaranga Жыл бұрын
Hii iko safi alooo❤
@MRx_SpLy121011 ай бұрын
Daa Asante Sana kaka done this ❤
@JustaTz10 ай бұрын
Very Nice
@Jacksongo255 Жыл бұрын
Jamani ndugu zangu huyu kaka yetu yuko sawa jana ameni elekeza kabisa sasa hivi marafiki zangu nimebadilisha imekuwa followers jamani huyu mkaka yuko sawa kabisa Mungu ambariki hana baya tume kesha mpka saaa nane usiku akinielekeza tu bila kukata tamaa Mungu akubariki brother huna baya
@lurvemaloveofficial98 Жыл бұрын
shukran
@IddiMfangavo11 ай бұрын
Unawezaaaaaa❤
@JamesMagagula-x3i Жыл бұрын
Unayajua kaka daaaah
@Jacksongo255 Жыл бұрын
Asante nitakucheki
@Saumbish1606 Жыл бұрын
Nitajuaje kama nishaanza kulipwa
@hezekiamchuma8937 ай бұрын
Bro namba zako naomba
@Bilichadieudonne1 Жыл бұрын
Brother Mimi yangu nimebadili hivyo ila baada yakueneza watu 5000 inagoma kuongeza watu hapo unanisaidiaje
@lurvemaloveofficial98 Жыл бұрын
nichek nmetoa namba apo juu mbona na nmetaja namba kwa video humo