Пікірлер
@MillanDunga
@MillanDunga 2 сағат бұрын
Mwalimu amebadilika sana,, tuleteeni baba 02
@hashakishabani4896
@hashakishabani4896 9 сағат бұрын
Hamna kitu unapigana na mzee shindano halikuwa hata mvuto kabisa.Bondia anaenivutia na ni fundi wa ngumi ni HASSANI MWAKINYO tuu na ni bondia alie ufanya mchezo wa ngumi utambulike tanzania kiufupi hassan mwakinyo ni bondia wa kipee.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 9 сағат бұрын
FEI TOTO TUNAMPENDA SANA FEI TOTO NI KIPENZI CHA WENGI
@ChicsSalimu
@ChicsSalimu 21 сағат бұрын
Saramba ni shabiki sio mchambuzi shoga Hilo pumbavu sana
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 22 сағат бұрын
Zungumzia mpira sio siasa zako hizo utapoteza mashabiki wewe nasiasa zako
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 22 сағат бұрын
Mzee kisugu simba ni timu ya mpira sio chama chasiasa usilete mambo ya siasa hapa pia utambue ya kwamba simba ni timu ya watu wote bila kujali wewe mwanacha wa chama gani
@EmmanuelDominiko
@EmmanuelDominiko Күн бұрын
Samba kiuhalisia sio mchambuzi ni mwana siasa yuko chadema mlopokaji
@AmiriSuni
@AmiriSuni Күн бұрын
ww kwa mwakinyo Bado sana dog
@abdalahhassan5759
@abdalahhassan5759 Күн бұрын
Salamba yy awachambuege yanga tu mm simmuitaji ata kwa kumtaja
@jascinthakameleki104
@jascinthakameleki104 Күн бұрын
Dominic NI shabuki sio mchambuzi. Nakubaliana nawe Kisugu.
@mchumawilfred6529
@mchumawilfred6529 Күн бұрын
Salamba akipunguza unaziunazi wa Yanga na upimbi alionao atakuwa professional mzuri ila akiendekeza bahasha hamna mchambuzi ila atakuwa mbuzi
@salimmohamed3394
@salimmohamed3394 Күн бұрын
Salamba mchambuzi anaeipigania Yanga na kuiponda Simba huo si uchambuzi bali ni usemaji wa timu amekua kama Nassir Khalfani yeye anaiponda Simba kila siku
@BabuuBuba
@BabuuBuba Күн бұрын
Dominic hajui Mpira kabisa
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Күн бұрын
Huyu Salamba ni YANGA MPUUZI YEYE MCHAMBUZI MWENYE BIASNESS MPUUZI
@AzaniaDreamer
@AzaniaDreamer Күн бұрын
Kama unataka uwaziri gombea ubunge period Simba sio chama cha siasa!
@AzaniaDreamer
@AzaniaDreamer Күн бұрын
Mnaongea eti Samia amefanya makubwa mbona hamtoi mifano ya hayo aliyoyafsnya tofauti na magufuli?
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 22 сағат бұрын
Mama hafai hata kidogo
@laulianmeneja5923
@laulianmeneja5923 Күн бұрын
Umekuwa mwanasiasa tena kumbe ccm wewe
@MwedadiMwedamsangi
@MwedadiMwedamsangi 2 күн бұрын
Kolo kaeni kimya
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 күн бұрын
Huo siyo ushindi umempiga nani ukajisifu unaji chelewesha
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 2 күн бұрын
Unajua ngumi lkn pia una uwezo mkubwa sana wa Akili Mungu Akubariki sana Champion Abdulrazak mwenetu
@SalimMshihiri-g9d
@SalimMshihiri-g9d 2 күн бұрын
Ashakuum si maturity hayati mzee mkapa aiwahi kusema nilivyo sikia neno wabongo alifarijika sana ila baada ya kugundua bongo ni ujanja alike refa sana sasa salamba huo ujanja ujanja unasimamiwa na off kwenye mpira wetu
@Coachbadyshindo
@Coachbadyshindo 2 күн бұрын
Nakutakia kheeri Abdul razaki
@Coachbadyshindo
@Coachbadyshindo 2 күн бұрын
Pongezi kwako champion nasibu
@BrayBhahebhe
@BrayBhahebhe 2 күн бұрын
Yakiambiwa ukweli naanza kutukana acheni ushamba kenge nyie mechi ya mwisho benchi lote likasimama linaomba mpira uishe leo yana mpinga salama kusema ukweli
@SaidAwadh-mq2tn
@SaidAwadh-mq2tn 2 күн бұрын
Ndizi msouth
@PatridaMraponi
@PatridaMraponi 2 күн бұрын
Tumewachokaa na marefa wao na mo wao na rushwa zao mpira no figisu kibao aibuuuu
@godsonmolla1594
@godsonmolla1594 2 күн бұрын
Utopolo mkubwa ww tunakujua
@fadhilimgomela4709
@fadhilimgomela4709 2 күн бұрын
Sio tu ngumi hata kichwani Yuko smart
@allymbarouk1890
@allymbarouk1890 2 күн бұрын
Huwezi kumfananisha mwakinyo nahuyo jamaa levo tofauti
@peterngatunga1527
@peterngatunga1527 3 күн бұрын
Wanajuwa Kwa kuwa Arajiga anazingatia Sheria za mpira Simba kushinda inakuwa shida Kwa baadhi ya mechi.
@JacksonShitungulu
@JacksonShitungulu 3 күн бұрын
Uko sahihi sana Mr. Salamba.
@ImmaAdam-q9d
@ImmaAdam-q9d 3 күн бұрын
Tatizo sanda wote hamnazo
@ImmaAdam-q9d
@ImmaAdam-q9d 3 күн бұрын
Mamaa ana ndoo au hilo dude ulo mtajia mama yake mwandishi
@jumasharifu5837
@jumasharifu5837 3 күн бұрын
Nikweli kabisa donic salamba, bigwa anatafutwa kwa nguvu na TFF ndy maana hayo yanatokea,
@novatilyamuya3491
@novatilyamuya3491 3 күн бұрын
Ndio nashangaaa
@giftprosper2355
@giftprosper2355 3 күн бұрын
Mbona hatujaona pambano
@abdullysaid2584
@abdullysaid2584 3 күн бұрын
ACHA CHUKI ZA SIMBA WEWE TUNAKUFAHAMU BABA
@mohamedngenzi949
@mohamedngenzi949 3 күн бұрын
Wewe ni mchambuzi mwanachama wa yanga
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 3 күн бұрын
HIVI HUYU ARAJIGA SI NDIO ALITOA PENATI YA UONGO PALE DODOMA NA GOLI LA DUBE
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 3 күн бұрын
Yeye mwenyewe anatakiwa apate dakitari wa kumtibu
@hassanhussein-ow7qh
@hassanhussein-ow7qh 3 күн бұрын
Bab kubwa champion.. tumeiona kazi...
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 3 күн бұрын
Safi kaka King 🤴 unajua kuongea ❤
@ThomasLuhanga-d3r
@ThomasLuhanga-d3r 3 күн бұрын
Hao mashabiki wa zimba
@MaryCharles-z5s
@MaryCharles-z5s 4 күн бұрын
Huna akil wew ata ulaya waliwekeza kwenye VAR baada ya kuona makosa ya waamuz yamezidi!!! Sasa nashundwa kuelewa unazungumzia waamuz gan??? Unavyomzungumzia arajiga ni kwel muamuz mzur ila mechi ngap za yanga amekosea Kwa kuwapa faida yanga na sio timu pinzani??? Stick kwenye uchambuz wa mpira mkuu acha ushabiki coz utapoteza watu wengi wanaokufatilia...
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 3 күн бұрын
Lkn unasafiri na uamuzi Kila MKOA au refaree kuirudia rudia TIMU hiyo moja inaleta mashaka
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 3 күн бұрын
Mnajisahaulisha alipowahi kuwapa faida mikia Arajiga huyohuyo
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 күн бұрын
Arajiga keshatubu na hataki tena mambo ya ubaya ubwela anafuata sheria za soka ndo maana siku hizi hapewi mechi za madunduka...mnamchukia
@hamisiomary8681
@hamisiomary8681 3 күн бұрын
Waamuzi wanawake nao wanastahili kuchezesha mechi za Simba tu 😅😅😅😅
@AllyRamadhani-f2p
@AllyRamadhani-f2p 5 күн бұрын
Itungwe kanuni Refa asiye na beji ya Fifa ,asiruhusiwe Kuchezessha ligi kuu.
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 күн бұрын
Unataka utopolo wa mo dewji washuke daraja vinginevyo watahamia zambia kama mwenyekiti wao anavyotamani
@peterngatunga1527
@peterngatunga1527 3 күн бұрын
Hiyo ni point kubwa. Refa asiye na Sifa ya Kuchezesha FIFA asichezeshe timu kubwa top 4 zinapicheza
@Asia-p5r
@Asia-p5r 2 күн бұрын
Ligi kuu sy big 4​@@peterngatunga1527
@YosoufShaaban
@YosoufShaaban 5 күн бұрын
Kama akina kayoko na timu yake uto
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 күн бұрын
Kayoko na Arajiga washaona mambo ya rushwa na upendeleo yanawachafua wameacha huo upuuzi ndo maana siku hizi hawapangwi kuchezesha mechi za utopolo wa mo dewji aka dundukaz kazi wamepewa kina malogo@@YosoufShaaban
@lazaromaige2396
@lazaromaige2396 5 күн бұрын
Hivi Kwa Nini watanzania hasa mashabi WA mpira hamtaki mtu aseme ukweli akisema mnakimbilia kuteea maovu tutumie akili zetu kusema yanayojenga soka letu na Vijana wetu mpira ni ajira
@MinakiPazi
@MinakiPazi 5 күн бұрын
Sema.baba.sema.baba.waambie.dawa.iwaingie..kuna.kuongoza.ligi.na.kuchukua.ubingwa.vitu.viwili.tofauti..singida.alikuwa.hapo.juu.azam.alishakaa.hapo.na.ww.pia.unapita.tu.hapo.sio.nafas.yako
@harunakunambi517
@harunakunambi517 5 күн бұрын
Baadhi ya waamuzi Wana mapenzi na timu
@sijaonamjungufinias481
@sijaonamjungufinias481 5 күн бұрын
Wewe ongelea gsm kudhamini timu 8 huoni kama anatuharibia soka letu, umeona waamuzi, una lako jambo ngogwe
@mgeningogomeloathuman7230
@mgeningogomeloathuman7230 4 күн бұрын
Hivi Salamba anongea kama mshabiki au kama mchambuzi. Yeye siku zote anatafuta madhaifu ya SImba tu. Anapewa nini haswa???