Wanajuwa Kwa kuwa Arajiga anazingatia Sheria za mpira Simba kushinda inakuwa shida Kwa baadhi ya mechi.
@maliadii48292 күн бұрын
Asante ongea bb tushachoka na hawa vipofu
@jumasharifu583711 сағат бұрын
Nikweli kabisa donic salamba, bigwa anatafutwa kwa nguvu na TFF ndy maana hayo yanatokea,
@himanmwalwala756915 сағат бұрын
Yeye mwenyewe anatakiwa apate dakitari wa kumtibu
@ramadhaniulende80682 күн бұрын
Bonge la point na hili wachambuzi uchwara hawawez kuzungumzia hili wana maslahi nalo na wanaowatuma kuzungumza
@abdullysaid258413 сағат бұрын
ACHA CHUKI ZA SIMBA WEWE TUNAKUFAHAMU BABA
@BrayBhahebhe2 сағат бұрын
Yakiambiwa ukweli naanza kutukana acheni ushamba kenge nyie mechi ya mwisho benchi lote likasimama linaomba mpira uishe leo yana mpinga salama kusema ukweli
@ImmaAdam-q9d11 сағат бұрын
Mamaa ana ndoo au hilo dude ulo mtajia mama yake mwandishi
@mohamedngenzi94914 сағат бұрын
Wewe ni mchambuzi mwanachama wa yanga
@harunakunambi5172 күн бұрын
Baadhi ya waamuzi Wana mapenzi na timu
@ThomasLuhanga-d3rКүн бұрын
Hao mashabiki wa zimba
@AllyRamadhani-f2p2 күн бұрын
Itungwe kanuni Refa asiye na beji ya Fifa ,asiruhusiwe Kuchezessha ligi kuu.
@JohnMbogo-c1n10 сағат бұрын
Unataka utopolo wa mo dewji washuke daraja vinginevyo watahamia zambia kama mwenyekiti wao anavyotamani
@peterngatunga15278 сағат бұрын
Hiyo ni point kubwa. Refa asiye na Sifa ya Kuchezesha FIFA asichezeshe timu kubwa top 4 zinapicheza
@PatridaMraponi4 сағат бұрын
Tumewachokaa na marefa wao na mo wao na rushwa zao mpira no figisu kibao aibuuuu
@SULEIMAN-l8v2 күн бұрын
Inaonesha yanakuuma sbb timu yako pendwa haingozi ligi sbb makosa hayakuanza leo ulinyamaza kimya unakumbuka Metacha alifungwa ikaamuliwa kona na derby hukuona faulu alizofanyiwa kibu na goli la kichwa lakibu ,kaa kwa kutulia 10:20 10:22
@DENISMAKALA2 күн бұрын
Wewe MAKU ukweli ni kwamba hii haiko sawa useme tunaongelea wakati uliopo na hali tuliyonayo this is too much
@ImmaAdam-q9d11 сағат бұрын
Tatizo sanda wote hamnazo
@sijaonamjungufinias4812 күн бұрын
Wewe ongelea gsm kudhamini timu 8 huoni kama anatuharibia soka letu, umeona waamuzi, una lako jambo ngogwe
@mgeningogomeloathuman7230Күн бұрын
Hivi Salamba anongea kama mshabiki au kama mchambuzi. Yeye siku zote anatafuta madhaifu ya SImba tu. Anapewa nini haswa???
@himanmwalwala756915 сағат бұрын
HIVI HUYU ARAJIGA SI NDIO ALITOA PENATI YA UONGO PALE DODOMA NA GOLI LA DUBE
@lazaromaige23962 күн бұрын
Hivi Kwa Nini watanzania hasa mashabi WA mpira hamtaki mtu aseme ukweli akisema mnakimbilia kuteea maovu tutumie akili zetu kusema yanayojenga soka letu na Vijana wetu mpira ni ajira
@Ramadhanilawoga2 күн бұрын
Sheria za uendeshaji mpira tunaomba TFF iandike paper maalum CAF na FIFA itungwe Sheria ya kuwafikisha MAREFA mahakamani kuweza kuhukumiwa ikibidi wafungwe sababu zipo nyingi Sana baadhi Tu kuna rushes MAREFA wanapokea pia mpira ni gharama kuendesha kwake vilevile ni uchumi inakuwaje delta zingine watu wakihujumu wanafikishwa mahakamani lakini delta ya michezo imeachea hii si sawa mpira Leo hii ni Akira iweje inakaliwa kimya
@chiefnumborecords48192 күн бұрын
Itafika wakati ata pigwa refa mpaka kifo iwe uwanjani au nyumbani kwake kutokana na upuuzi Wao wanao ifanya wakiwa wanachezesha meshi uwanjani ivi wanajuwa gharama za uendeshaji WA timu za mpira Wa miguu timu nyingi zinashuka daraja kutokana na Hawa Hawa waamuzi wanapokea rushwa wazima wazi inakuwaje izi timu ndogo kufanyiwa ujuma ili zikozo point wanaujumiwa wazi wazi kama mechi ya mashujaa na simba Pin pin Camara alruka juu yeye na beki wake wakagongana na mchezaji Wa mashujaa alupiga kichwa mpira ukaingia wazuni mwamuzi akapuliza kipenga alimaanisha Nini kupuliza kipenga na kukataa Lile goli alitumia vigezo Gani kukataa Lile goli? Hizi viongozi Wa Tfd awafuatilii mechi awasikii malalamiko wanalipeleka wapi soka letu au tuwafikilie vipi na wao
@FrankKwanama-lo6fj2 күн бұрын
TFF ndo imejificha kwenye madudu ya waamuzi hakuna mwingine anae walea marefa wa mchongo!
@anithawidambe75432 күн бұрын
DOMINIKI SALAMA UTAIHARIBU HII CHANEL YAKO. WENZAKO WANACHAMBUA KIMPIRA CY KIMAPENZI YA TIMU. ONGELEA KAYOKO ANAYEIPENDELEA TIMU YAKO.
@NyangilaMwessanyangila2 күн бұрын
Unaogopa nini Salamba anapoongea ukweli marefa wanaharibu mpira wetu? Tatizo siyo Simba kuongoza ligi bali mpira unachezwaje?
@godsonmolla15944 сағат бұрын
Utopolo mkubwa ww tunakujua
@georgesteven51852 күн бұрын
Huyu pubmbu ndomaana alifukuzwa kazi azam kumbe Hana akili
@MaryCharles-z5sКүн бұрын
Huna akil wew ata ulaya waliwekeza kwenye VAR baada ya kuona makosa ya waamuz yamezidi!!! Sasa nashundwa kuelewa unazungumzia waamuz gan??? Unavyomzungumzia arajiga ni kwel muamuz mzur ila mechi ngap za yanga amekosea Kwa kuwapa faida yanga na sio timu pinzani??? Stick kwenye uchambuz wa mpira mkuu acha ushabiki coz utapoteza watu wengi wanaokufatilia...
@aliferuzi153716 сағат бұрын
Lkn unasafiri na uamuzi Kila MKOA au refaree kuirudia rudia TIMU hiyo moja inaleta mashaka
Arajiga keshatubu na hataki tena mambo ya ubaya ubwela anafuata sheria za soka ndo maana siku hizi hapewi mechi za madunduka...mnamchukia
@hamisiomary86819 сағат бұрын
Waamuzi wanawake nao wanastahili kuchezesha mechi za Simba tu 😅😅😅😅
@allyabdallah11832 күн бұрын
Acha hizo we mchambuzi gani anahoji marefa Magori ya mkono huyachmui.
@lucassusu-q1s2 күн бұрын
Tutoe ya mkono na upande wa pili watoe penat za hovyo
@romwaldkj47542 күн бұрын
Umeongea kitaaluma
@allyabdallah11832 күн бұрын
Huyachambui
@YosoufShaaban2 күн бұрын
Kama akina kayoko na timu yake uto
@JohnMbogo-c1n9 сағат бұрын
Kayoko na Arajiga washaona mambo ya rushwa na upendeleo yanawachafua wameacha huo upuuzi ndo maana siku hizi hawapangwi kuchezesha mechi za utopolo wa mo dewji aka dundukaz kazi wamepewa kina malogo@@YosoufShaaban
@AminaJofrey-u8m2 күн бұрын
Utopolo tu wewe.
@onesmothimos26352 күн бұрын
Litopolo kabisa liende uko
@anthonymilinga86962 күн бұрын
Mchambuzi kuma mamaaako, unaonekana kabisa umepewa maokoto na Utopolo kama jina lako, goli la mkono mbona hujaongelea???????
@DENISMAKALA2 күн бұрын
Ww uliyecomment hapa ww ndiye kumaa tena msenge timu yako mbovu
@anthonymilinga86962 күн бұрын
@@DENISMAKALA Timu mbovu ni ipi? Yenye point 6 kwenye mashindano yakimataifa na point 40 kwenye ligi? Nyie utipolo mnajipiga vidole mkunduni halafu mna nusa, subirini club bingwa mpigwe mrudi kuendelea na uchawi Tz
@DICKSONLUCAS-i6lКүн бұрын
Kwli bongo mbumbu wengi especially simbilis funs yn tmu iko shilikisho unafananisha na club bingwa unacheza na c faxien unafananisha na mazembe mwenye makombe matano yani kufananisha club bingwa na shilikisho.ni sawa na necta ya form 4 kufananisha na form 6 sema tu bongo mashabiki wengi mavuvuzela especially madudunduka mm nawaitaga makolobwabwa .ndomana salamba anaongelea marefa wanatuharibia mpira wetu wao wanasema anawaonea wvu kuongoza ligi
@JohnMbogo-c1n10 сағат бұрын
Point za mchongo hadi vurugu uwanjani viti vinang'olewa kisa mpate point😅. Hebu muwe na aibu hata kama ni ubaya ubwela. Na hizo pointi 40 unazotaja hebu toa pointi za mechi 6 za penati feki na mechi 2 za dakika feki utaona umebakiwa na pointi ngapi halafu nenda kwenye msimamo kaweke hizo pointi 16 ambazo ni halali yenu utagundua timu lako bovu lilitakiwa liwe nafasi ya ngapi kiuhalisia....mechi za utopolo wa mo dewji aka UTOMO aka mikia waamuzi wake huwa ni wawili tu au kwenye mechi za timu nyingine wanakuaga kwenye siku zao halafu kwenye mechi zenu hedhi inakua tayari imekata???....mtafanya kila mnaloweza lakini kwakuwa nyie ni mkia hamuwezi kuwa kichwa bali mtabaki kuwa mkia daima @@anthonymilinga8696