Пікірлер
@kuchiafricancinema
@kuchiafricancinema 10 сағат бұрын
Kazi nzuri hongereni sana
@lazarotluway5881
@lazarotluway5881 21 сағат бұрын
Safi sana ni uchambuzi mahiri
@MartinMhawi
@MartinMhawi Күн бұрын
Mkalaboko.unamadini ya kutosha,asante sana mdau.
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Күн бұрын
Wow well Said kaka big up 👏🏿👏🏿👏🏿
@visitDar2011
@visitDar2011 Күн бұрын
sio boli tu Kaka Assnte sana
@macreankasombwe399
@macreankasombwe399 Күн бұрын
Moja ya chambuzi bora kabisa kati ya zilizo wahi tokea ,sayansi ya siasa ya jamii,umechambua kidemokrasia kabisa bila uchama kwa manufaa ya nchi na umetoa elimu kubwa
@HafaniLinolo-k4e
@HafaniLinolo-k4e Күн бұрын
Tuko pamoja mwanzo mwisho
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian Күн бұрын
Kwa busara wasira ni ziro namkumbuka akiitisha mikutano ili kumkabiri lissu mpaka akawambia wana chato lissu akija chato mzomee kinyume chake yeye ndie alizomewa kwani ccm wasira ndie kalata ya mwisho?
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian Күн бұрын
Mchambuzi uyu ni msomi kuliko watoa coment za kijinga
@ModernMwakalinga-b1k
@ModernMwakalinga-b1k Күн бұрын
Hongera mkalaboko umechambua vzr sana,kumbe unaufahamu mkubwa wa siasa kuliko ata michezo.Nakushauri jikite kwenye kuchambua siasa utapata watu wengi wa kukufuatilia.
@samjosh12
@samjosh12 Күн бұрын
Mkalaboko yupo vizuri sana. Mtangazaji naye yupo vizuri sana. Anajua kuuliza maswali ya kisiasa.
@WilliamMwetta
@WilliamMwetta Күн бұрын
Nisahihi au sijui nitumie lugha Gani lakini binafsi nimekuelewa sana
@Ba63828
@Ba63828 Күн бұрын
Hana lolote huyo lisu wala sio mzalendo anataka ushoga na familia yake inaishi ughaibuni
@lufingomwakisambwe-ow4yc
@lufingomwakisambwe-ow4yc Күн бұрын
Pumbavu sana labda wewe ndo shoga lenyewe mbwa wewe
@Ba63828
@Ba63828 Күн бұрын
@lufingomwakisambwe-ow4yc punguani wewe na kupe wa Lisu shenzi type nkulo gwa nyoko mnafirwa pamoja
@francismavika9312
@francismavika9312 Күн бұрын
Nimemkubali sana huyu Mkalaboko amefafanua vizuri sana 👏🏽👏🏽👏🏽💯
@Khaleed5767
@Khaleed5767 Күн бұрын
IKIWA SIMBA SC ANAROGA... KUNA MAMBO 2 KATIKA MOJA AMBALO NANGA ANAFANYA.. 1. MCHAWI HUMJUA MCHAWI MWENZIE... ( NANGA ) ALIJUAJE KAMA SIMBA WANAROGA KAMA NA YEYE SIO MCHAWI/ MSHIRIKINA.. KAMA YEYE HASHIRIKI KWENYE UGANGA.. AU NA SISI TUAMINI KUWA ANAIPELEKA KAZI YAKE YA SANAA MBELE KWA KUTUMIA USHIRIKINA ..? MAANA LAZIMA ATAKUWA ANAPISHANA NA VIONGOZI WA SIMBA SC KWA WAGANGA.. 2. NANGA ALIJUAJE SIMBA SC WANAROGA KAMA NA YEYE HAENDI KWA MGANGA KWA AJILI YA MAMBO YAKE.. INAMAANA NA YEYE NI MSHIRIKINA ... ANALAZIMISHA APATE VIEWER KWA NGUVU ZA KIZA... MSHIRIKINA HUMJUA MSHIRIKINA MWENZIE.. MCHAWI HUMJUA MCHAWI MWENZIE.. MFIKISHIENI HUO UJUMBE....KAMDOMO...
@LucasSabida
@LucasSabida Күн бұрын
Good analysis
@jeremiewelongo2484
@jeremiewelongo2484 Күн бұрын
Media za tz mnapeteza umaharufu wenu kwakuona wachambuzi wa soka kuwa, kuwa wanaongeleaaa siasa ,na ndo maana mpira wa TZ ahukuwi ,Anaya tetelea siasaaa ndo tena mchambuzi kwenye soka
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Күн бұрын
Huna akili
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Күн бұрын
Akili kubwa huyu jamas. Very objective
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Күн бұрын
Umeongeya vizuri na mwisho umetowa mfano mzuri watu ukiwauliza kwa nini wamemchaguwa lisu hutapata jawabu rasmin marekani tramp.kachaguliwa kwa sera na kusema nchi itabaki na jinsiya 2 kaka mauwa yako .ola akuweke
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Күн бұрын
Kaka mashallah nimeacha kazi kukuskiliza umefafanuwa vizuri sana mola akuweke🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RaphaelMwikonzi
@RaphaelMwikonzi Күн бұрын
Tundulissu jembe huyo wewe
@tumainikibona5252
@tumainikibona5252 2 күн бұрын
Great, umechambua vema
@martinskilasara126
@martinskilasara126 2 күн бұрын
Mkalaboko - ingia rasmo kwenye uchambuzi wa Siasa hapa nchini, kwanza huna upande , wewe unachambua kwa faida ya uhai wa nchi hii. Unagonga nondo muhimu kusikia.
@BeniMwengo
@BeniMwengo 2 күн бұрын
Hongera sana kaka unajua sana
@SalomeMathias-h9u
@SalomeMathias-h9u 2 күн бұрын
huyu jamaa anajua
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 күн бұрын
Mkala Boko Wewe Ninoma Sana Siasa unaichambua Mpaka Unaizidi ujanja Nilijua Upo Kwenye Mpilat Kumbe Adi Siasa
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 күн бұрын
Unataka wamfafute Shehe? Hawa unaowataja Sami na wamefanya kazi na wanachadema. Hawakuingjzwa kwa upadri wao. Wameielewa na wakaunga mkono mabadiliko. Usiwalazimishe wawaingize mashehe ambao hawakumuunga mkono Ghadema. Ingawa tunamtambua sana mheshi Iwaaliyefungwa na akatetewa sana na Lisu. Ndugu sheik Ponda. Ni mtu muhimu sana katika siasa bila kujali udini. Mime heshima zake zote.
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 2 күн бұрын
Well said Tanzania bado tupo na hazina ya vijana kama hwa big up❤❤❤
@YahayaNgenda
@YahayaNgenda 2 күн бұрын
Hawatomweza Samia hata kidogo hata waungane na makanisa yote mfumo kanisa hautoingia Tanzania Katu watanzaniah wanajua Sana kufafanua watadanganyika watoto wa 2000 lakini ss wahenga hatudanganyiki
@HaroldTarimo-g6f
@HaroldTarimo-g6f 2 күн бұрын
Acha udini na akili zako mgando Zero brain
@paulmzule4885
@paulmzule4885 2 күн бұрын
Huna hoja
@mwlekartiesmwankenja3602
@mwlekartiesmwankenja3602 2 күн бұрын
​@@paulmzule4885Hayo ni mawazo ya udini huo ni shetani
@israelian-t5f
@israelian-t5f 2 күн бұрын
Yahaya... Huzujui njia za Mungu
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 2 күн бұрын
Kanisa likimkataa mtu umekwisha labda hujui nguvu ya kanisa
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 2 күн бұрын
Yerico nyerere😂 vs wenje
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f Күн бұрын
Yerico nyerere nliwahi kua mtu wa kwanza kusema anawaaminisha watu kua ni mtu mwenye akili kumbe Ana uwezo mdogo mnoo nakutishia watu na maneno kama ujasusi, kuanzia vitabu vyake anavyounganisha taarifa zilizokwisha andikwa nakuzikusanya na kuwaambia watu eti kaandika kwakua watz wengi wavivu anawaongopea mtu wa hovyo akili ndogo sana
@YahayaNgenda
@YahayaNgenda 2 күн бұрын
Tuchukue tahadhari kubwa dhidi ya chadema tunajiuliza kurudi kwa docta slaa kukaa upande wa Lissu na lema nae ambae alijiweka kando na siasa pia kuhusika kwa padri kitime ktk siasa za chadema wakati yy ni mtu wa kanisa tunaoona mbali tumelita mbua hilo hatudanganyiki
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 2 күн бұрын
Yahya Ngenda, acha mitazamo ya kidini.
@HaroldTarimo-g6f
@HaroldTarimo-g6f 2 күн бұрын
​@@SeverinMagwayahuyo yahaya kalewa imani kama walevi wengine wa gongo na bangi
@martinskilasara126
@martinskilasara126 2 күн бұрын
Yahaya hana imani yoyote, ni kjkosa upeo tu. anaishi kwa hisia zinavyomtuma sio facts.
@YahayaNgenda
@YahayaNgenda 2 күн бұрын
Chadema kitakufa kama kilivokufa chama cha lipumba
@YahayaNgenda
@YahayaNgenda 2 күн бұрын
Yeyote mwenye kuleta dini ktk siasa lazima adondoke
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 2 күн бұрын
Aiseee umeongea vema sana
@abdulmanafi548
@abdulmanafi548 2 күн бұрын
Talented man
@PeterMuhina
@PeterMuhina 2 күн бұрын
Chadema vema
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 2 күн бұрын
Uko vizuri mwenzangu
@BenardLucumay
@BenardLucumay 2 күн бұрын
Well said ! Vichawa vitafia mbali maana vitakosa " relevance"!
@elishajohn455
@elishajohn455 2 күн бұрын
🙌🙌
@AbdullahAhmed-t7p6l
@AbdullahAhmed-t7p6l 2 күн бұрын
Rasilimali akili check and balance sense ground research sasa km wasira kusifia Sanaa kashifa wasira ni mzee sana siasa za African zinaitaji nguvu kutembea kuona kwa macho mpaka ziaea za kushtukiza km.makufuli alipokuwa. Anafanya wewe usitudanye mandeleo ndani ya rushwa kubwa hakuna Mandeleo Rasilimali ya mabilioni mtuu anasaini mkataba wa pesa ndingo ya yeye tuu anaacha Rasilimali mikononi mwa wageni mwao kwahiyo zuberi Acha uchawa watanzania wanaona mbali sana
@minazsaid2470
@minazsaid2470 2 күн бұрын
Kaka unapiga kote kote
@MbassaDeus
@MbassaDeus 2 күн бұрын
Bro bora ubaki uku kwn unajua sana hongera sana
@ShafiiMbande
@ShafiiMbande 2 күн бұрын
Chadema waketoa shule ya demokraisia, uchaguzi wao upilua very fair...
@SimuliziTamu
@SimuliziTamu 2 күн бұрын
🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@MinakiPazi
@MinakiPazi 2 күн бұрын
Anaefaa.kuwa.kocha.wa.yanga.ni.mamaako.sindio..we.mchambuzi.au.mchakuku.maanina.kwendraaa
@HafaniLinolo-k4e
@HafaniLinolo-k4e 2 күн бұрын
Tupo pamoja saana mwanzo mwisho
@HafaniLinolo-k4e
@HafaniLinolo-k4e 3 күн бұрын
Tuko pamoja pokengez kwenu na Pongezi kaa Dierector Mog
@KassimKibwe
@KassimKibwe 4 күн бұрын
H
@KassimKibwe
@KassimKibwe 4 күн бұрын
Yanga kocha Bado hamjapata, huyu kocha anafanana na yuleee aliyewaita manyani, Mimi Simba dam, nawambia watani kocha huyu afukuzwe, sababu, 1.anawagombanisha ninyi na wawekezaji wenu, 2.ameichafua tff, kusema ligiyetu Haina mvuto ilhali sikweli, 3.amewadharau ninyi mashabiki. Mimi nilichomuelewa ramovich nikwamba, anatafuta njia ya kujitetea tu ili aendelee kuwachafua na kuidhalilisha taifa letu kwa kusema Haina mvuto au ubora, inamana caf waliyoitangaza ligi yetu nafasi ya 5 hawana akili? Kwa kauli hii, huyu kocha ameidhalilisha tff, nchi na afrika kupitia shirikisho la mpira afrika caf, mtu km huyu hastahili msamaha hata chembe, maana anatukna waAfrika hatuna akili ndiyomana caf wakaiteua ligiyetu kuwa no 5. Swali, anapisema mashabiki hawana morari wa ushangiluaji, yanga imeshinda mechi nyingi za NBC na klabubingwa, hawaona ninyi kuwa hamna hamada? 2.anaposema ligiyetu Haina ubora, kwani mechi aliyetoa broo ni ligikuu? Lamovich atagute neno zuri la kujitetea siyo kutaka Chaka la kujificha ili aonekane msafi, watani mtimuweni kabla mambo hayajawaharibikia,
@masoudtwalib6413
@masoudtwalib6413 4 күн бұрын
Kocha hawezi kulaumiwa wewe mama, kauli ilikuwa ni kupoteza mechi za mwanzo.Approach yake ilikuwa nzuri sana.wachezaji tu wameshindwa kuibeba pressure ya mechi.
@mapikomkindu565
@mapikomkindu565 4 күн бұрын
Sisi tunaumia viongozi wamevuna chao
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 4 күн бұрын
Unaongozaaa kundiii mboniii mashindanooo uyatajiii kombeee ganii
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 4 күн бұрын
Kwendraaa kean shirikisho co mashindano ya Cuf??huna jipya tunajua hyo ni majibu ya maumivu