Yanga kocha Bado hamjapata, huyu kocha anafanana na yuleee aliyewaita manyani, Mimi Simba dam, nawambia watani kocha huyu afukuzwe, sababu, 1.anawagombanisha ninyi na wawekezaji wenu, 2.ameichafua tff, kusema ligiyetu Haina mvuto ilhali sikweli, 3.amewadharau ninyi mashabiki. Mimi nilichomuelewa ramovich nikwamba, anatafuta njia ya kujitetea tu ili aendelee kuwachafua na kuidhalilisha taifa letu kwa kusema Haina mvuto au ubora, inamana caf waliyoitangaza ligi yetu nafasi ya 5 hawana akili? Kwa kauli hii, huyu kocha ameidhalilisha tff, nchi na afrika kupitia shirikisho la mpira afrika caf, mtu km huyu hastahili msamaha hata chembe, maana anatukna waAfrika hatuna akili ndiyomana caf wakaiteua ligiyetu kuwa no 5. Swali, anapisema mashabiki hawana morari wa ushangiluaji, yanga imeshinda mechi nyingi za NBC na klabubingwa, hawaona ninyi kuwa hamna hamada? 2.anaposema ligiyetu Haina ubora, kwani mechi aliyetoa broo ni ligikuu? Lamovich atagute neno zuri la kujitetea siyo kutaka Chaka la kujificha ili aonekane msafi, watani mtimuweni kabla mambo hayajawaharibikia,