Niwakumbushe tu ndugu zangu kesho umri kiama kwenye uwanja wa hesabu,Mungu hatahukumu kwa kuambiwa na watu bali hatatuhukumu kwa ushahidi kwa kila mtu,Hivyo basi hapa duniani usihukumu mtu kama hauna ushahidi .So acheni kuhukumu watu kama January wakati hata ukiulizwa lete ushahidi wa kuwa yeye fisadi huna unabakia tu eti fulani alisema tuache kuchuma dhambi za kusikia tu bila ushahidi tutachomwa kesho kwenye uwanja wa hukumu
@annapeter49942 сағат бұрын
Ma utani kwenye msiba😭😭
@bernadethabenangodi-m2i9 сағат бұрын
Polen sana Kigamboni 😢.
@madalanasri222610 сағат бұрын
Bado vipo
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps10 сағат бұрын
Hapana misimamo mingine Haina tija bila JPM wengi tungekufa kwa hofu
@piuskusenge-jf2ob11 сағат бұрын
Pole Sana Mh. Ummy, kisicho riziki hakiliki. Endelea kuipambania Tanga
@FrederickThadeo12 сағат бұрын
Mungu akulinde Mzee wetu kikwete
@modestamodesta394012 сағат бұрын
Kikwete ❤❤ more mungu akuweke 💋💋
@MwazoaMwazoa12 сағат бұрын
Mhe Mbunge wangu Umesema kwa weledi na hisia za kweli.Ubarikiwe Mama
@hashimmziray741616 сағат бұрын
Kikwete ni mwanasiasa bora wa nchi yetu wa muda wote mwenyezi Mungu ampe umri mrefu zaidi.
@AnociathaChuwa-cb5nk16 сағат бұрын
Waambie hawa watawala wanaotawala kwa mabavu Wajue wote hapa wanapita waache uovu watende haki
@philipomkinga470817 сағат бұрын
Ccm Kama inawezekana uyu Mzee arudi ikulu mapema sana
@gilajr662719 сағат бұрын
Ila Kikwete kwa utani
@AgnessJohn-v8p21 сағат бұрын
Bora angebaki magufuli
@amosmagesa751223 сағат бұрын
Kazi mzuri Rip ndungulile
@patriciamaganga3891Күн бұрын
Dr Ulimboka? 🙄🙄🙄🙄
@samniza9015Күн бұрын
That shows that it is only Jesus who can say Yes and it will be, not CCM.
@valenakomba7686Күн бұрын
YAANI HAYO YOOTE LAZIMA YAELEZWEE?.
@valenakomba7686Күн бұрын
Sasa hiyo inasaidia nini?. Tumeshasikia kila mtu anaongea hilohilo mpaka tunachoka. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@richardnganya2311Күн бұрын
Aligomea ufukizaji wa nyungu wakamchomekea mgombea jimboni.. Unafiki uliotukuka simulizi nzuri baada ya kifo !! Huko alikochaguliwa angenufaisha familia yake tu.
@tanzaniatouristsattraction1622Күн бұрын
Ummy alikuwa anamtukana mama kizimkaz ndioo mana akatumbukiwa
@janem5805Күн бұрын
Well spoken. I knew Dr. Faustine when he was studying at MUCHS
@markoakonaayКүн бұрын
Ummy mkweli mungu akubariki sana ummy kwabza Ana roho nzuri sana
@tanzaniatouristsattraction1622Күн бұрын
Alikuwa anamtukana mama kizimkaz ndo mana akatumbuliwa
@AhmedMuhammad-b5nКүн бұрын
Mbona ni India tyuuuuuuuu
@AminaNdeleКүн бұрын
Ila HALIMA MDEE HANA ADABU😮😮! R.I.P FAUSTINE LIVE LONG JK
@elizalutiga6287Күн бұрын
Daaaaaaaaah
@polinatusmwemezi-pc2plКүн бұрын
Always right can not change to wrong, unless forceful.
@polinatusmwemezi-pc2plКүн бұрын
Always right can not change to wrong, unless forceful.
@JavanLutibuka-dp9jrКүн бұрын
Haya hayana maana kweny tikio km hili. Haya yalitakiw yasemwe akiwa hai ili hata wakidangany wasutwe. Nani atawasuta ?? Nan atujua km knachosemwa ni kwel?? Kikiiiii
@MichaelKingazi-wm7xjКүн бұрын
We are lost the great leader.RIP.Eimen
@magdalenahonest8023Күн бұрын
Pumzika kwa Amani😢
@judithtitomalyeta4000Күн бұрын
Jamani nakependa ummy ningekuwa naamuzi urudi tena una hekima za kutosha
@HuseinMwakindoleКүн бұрын
Tunashukru viongozi wetu kujitokeza kwa wing katika kuuaga wenzetu, lakini niwakosoe kidogo mimi nilijuaa kabisa kwenye yale maaafa pale ndo tulitegemea viongozi na watu maalufu mtajitokeza hapo ili kuonyesha kuguswa kwenu, au
@eliasnjoolay6454Күн бұрын
Pole sana Ndugu jamaa na marafiki /Watanzania wanzangu wote kuondokewa na mtaalam wetu
@eliasnjoolay6454Күн бұрын
Kweli mamaetu Ummy alikuwa Malini sana%❤❤❤❤❤❤
@hamidasendama1796Күн бұрын
Mungu azidi kukupa maisha marefu Mzee wetu.
@MartinGao-pq3edКүн бұрын
mtu mwema sana ummy
@kaundasutikaunda7769Күн бұрын
Live Long Mzee Kikwete... Mungu azidi kukulinda Mzee
@RugakiMsingoКүн бұрын
Hivi nyinyi mnao wasikiliza machawa ambao wanatumika kupotosha jamii anakazi pia?
@remtulanassaryКүн бұрын
Haki ya Mungu... polen wafiwa
@theteacherchance6750Күн бұрын
Sasa wakiwa hai huwa hamsemi kwa vile mlikula viapo vya kutunza siri. Kwa nini mnawapa dhima na jukumu la kujibu kwa vile mnavunja huo mwiko: Top Secret, Secret or Confidential.
@ALIMOHD-bk9lrКүн бұрын
Mama turejeshee UMMYYYYYYY wetu. She is strong woman ever un your cabinet ❤❤❤❤❤❤❤❤
@costantinestephen2594Күн бұрын
Mwanadiplomasia Mahiri., J.M Kikwete
@GaoRamaКүн бұрын
Kaka mimi najua huna baya mm nakukubasana kaka na ukija mwanza unitafute nina maongezi na wewe kaka tadhari kaka ,najua ww nimti wenye Matunda %
@jumayusuf2684Күн бұрын
Mh Kikwete hata ukisema una miaka 65 bila google tunakubali una udongo na lishe nzuri kiukwel wengine wana 30 ukiwaona waweza sema 70
@AdamSaffi211Күн бұрын
My issue is, why send them to India when normally ugonjwa uko advanced stage.
@jacqueisaac81552 күн бұрын
Nafasi ya Ndugulile WHO ilikuwa kila mwaka ana nafasi 11 za kuajiri wataalam kutoka nchi anapotoka. Tanzania tumepoteza
@salumhamzahamza19202 күн бұрын
Rais wetu kipenzi Mama Dkt. #SamiaSuluhuHassan anapambana sana kwaajili ya nchi, anaipeperusha vema bendera ya Tanzania🇹🇿, #SSH Mungu akubariki Mama, na mitano tena kwake inshaallah 💪 R.I.P Dkt. #Ndugulile 🙏
@HkilaveКүн бұрын
Kasumba mbaya sana huo ni msiba lkn mpo kwenye kusifia tu