Mhe Mbunge wangu Umesema kwa weledi na hisia za kweli.Ubarikiwe Mama
@alhajiakida97033 күн бұрын
Mungu atakulipa Mh. Ummy, wasifu huo na ukweli huo ulionesha dhidi ya Marehemu Dr. FAUSTINE, wewe ni mkweli na ninavutiwa sana na utendaji wako hata ulipokuwa TAMISEMI ulinisaidia bila hata kunifahamu ktk haki yangu ambayo nilisumbuka kwa muda mrefu. MUNGU akubariki sana.
@FloraMwaisaka-q2w2 күн бұрын
Dr.ummy rudi mama ktk wizara yako..tunanyanyaswa wenye bima ya HIF
@piuskusenge-jf2ob5 сағат бұрын
Pole Sana Mh. Ummy, kisicho riziki hakiliki. Endelea kuipambania Tanga
@kamogojackson-uf4iv2 күн бұрын
Pole sana mheshimiwa ummy mi huwa nakupenda tu Mungu akutangulie ktk utendaji wako na akuinue kwa viwango vingine vya juu zaidi❤
@vumilialeonardi1092 күн бұрын
Asante kwa kuonyesha ukweli kiongozi wetu mahili umm mwalim
@eliasnjoolay6454Күн бұрын
Kweli mamaetu Ummy alikuwa Malini sana%❤❤❤❤❤❤
@ALIMOHD-bk9lrКүн бұрын
Mama turejeshee UMMYYYYYYY wetu. She is strong woman ever un your cabinet ❤❤❤❤❤❤❤❤
@eliasnjoolay6454Күн бұрын
Pole sana Ndugu jamaa na marafiki /Watanzania wanzangu wote kuondokewa na mtaalam wetu
@shabaniramadhani80262 күн бұрын
ummy wangu pole
@markoakonaayКүн бұрын
Ummy mkweli mungu akubariki sana ummy kwabza Ana roho nzuri sana
@tanzaniatouristsattraction1622Күн бұрын
Alikuwa anamtukana mama kizimkaz ndo mana akatumbuliwa
@HappyLamceklima-gj7pj2 күн бұрын
Pole, aisee.
@jacqueisaac8155Күн бұрын
Nafasi ya Ndugulile WHO ilikuwa kila mwaka ana nafasi 11 za kuajiri wataalam kutoka nchi anapotoka. Tanzania tumepoteza
@AgnessJohn-v8p3 күн бұрын
Ummy mungu akutunze sana huwa nakukubari sana
@TunauzaSimu-fn2ff3 күн бұрын
Mh UMMY MWALIMU. MM ni mzee na nipo znz. Mm c mshabiki wa chama chochote cha SIASA. NI Wanasiasa wachache ambao wakivuliwa vyeo vyao hususia chama. Lkn kwako mwanangu UMMY ni tofauti
@MartinGao-pq3edКүн бұрын
mtu mwema sana ummy
@HeriMagwaza-cd4wg3 күн бұрын
Poleni wote wanafamilia
@Expedito25122 күн бұрын
Huyu mama huwa ni guinune sana
@DavidSemu-gu6wpКүн бұрын
Genuine
@tanzaniatouristsattraction1622Күн бұрын
Ummy alikuwa anamtukana mama kizimkaz ndioo mana akatumbukiwa
@theteacherchance6750Күн бұрын
Sasa wakiwa hai huwa hamsemi kwa vile mlikula viapo vya kutunza siri. Kwa nini mnawapa dhima na jukumu la kujibu kwa vile mnavunja huo mwiko: Top Secret, Secret or Confidential.
@judithtitomalyeta4000Күн бұрын
Jamani nakependa ummy ningekuwa naamuzi urudi tena una hekima za kutosha
@justinmwenda74492 күн бұрын
😢😢😢
@TibihikaGerad2 күн бұрын
Sasa mh ummy hakuna watz wengne ambao wana sifa za kupewa hiyo nafas uliyo kuwa unaitaka na ukiwa mbunge
@MarryMassawe-wr2zi3 күн бұрын
Kumbe umesoma hivyo jaman mbona watoto wetu wanaomba hawapat
@vumilialeonardi1092 күн бұрын
Ata sisi tutakufa ila watu kama hawa kututokapo Ni pingo kwa watanzania
@faidhamyovela1793 күн бұрын
😢😢😢anazikwa lini kwan poroj nying 😢
@vumilialeonardi1092 күн бұрын
Misimamo yake mikali ilitusaidia watanzania
@TibihikaGerad2 күн бұрын
Misimamo gan iliyo tusaidia au unaanza unafiki
@atutweve41602 күн бұрын
@@TibihikaGerad😂
@PhilipoMwita-b2x2 күн бұрын
Kumbe alikua anakusaidia inamaana kazi ulikua huwezi ndugulile akawa anakusaidia
@Expedito25122 күн бұрын
Duu, ndugu vipi?
@salomemtwale53702 күн бұрын
Si unajua huyu ni mwanasheria na ndugulile alikuwa Docta kabisa,hivo walipafom kwa sababu walikuwa na mwenye professional yake Ndugulile@@Expedito2512
@jacqueisaac8155Күн бұрын
Shule yaan huyu thinking capacity ni F @@Expedito2512
@EdnaMbowe4 сағат бұрын
@@Expedito2512yaaani!
@margarethpolepole74383 күн бұрын
Skupe nafasi nani Tanga wamekuchoka achia ngazi mwenyewe kwenye Ubunge wewe umelikoroga kuwasaidia wanaotaka kumvuruga mama asiye na Makundi ni Dr Gwajima tu wangemrudisha kwebye Uwaziri wa Afya