Shekh Othman Maalim twakuomba huku Mombasa ututolee historia ya DHUL QARNEIN alotajwa kwenye Suratul Kahf. Wallahi tutashukuru ukifanya hili.
@kudramzee14756 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe uhai mrefu uzidi kutuletea mawaidha mengi
@elzabethcharles22356 жыл бұрын
Allahumma inni a'udhu bika min adhaabal qabri, wa min adhaabi jahannam, wa min fitnatil mahya wamamaati, wa min Sharri fitnatil maseehid -dajjaal. Dua nzr sn ndugu zng ktk imani dua baada ya tashahhud nawapenda kwa ajil ya allah
@husseinally92854 жыл бұрын
Alhamfulillah
@mtinangkhalphan26094 жыл бұрын
Jazaakhallah khairah
@mrsliverpool42354 жыл бұрын
Hii naisomaga daily kabla ssalamu
@ummiaziza77424 жыл бұрын
Mambo
@fatumayunus53906 жыл бұрын
jazzaqallah khayra ya sheikh Othman maalim mwenyezimungu akupe umri mrefu wenye manufaa fi hadhii dunia wal~akhera ili uzid kutuelimisha 🙏🙏🙏
@mamoulovecherry51214 жыл бұрын
Amiin ya Rabbu
@khadijaally38598 жыл бұрын
mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie kila la kheri ya sheikh
@emmanuelvaserecha54319 жыл бұрын
JazakAllah khair ...Sheikh Uthman Allah akusidishie umri atujaalieni Pepo sisi Waislamu wote na atuepushe mbaaali na moto wa Jahanam.
@mamoulovecherry51214 жыл бұрын
Amiiin ya Rabby
@nicesongsara88228 жыл бұрын
jazakallah mungu atuepushe na mambo yote mabaya atufungulie waisilam wote njia nzuri hapa duniani mpka kesho aherah
@gitihadi12698 жыл бұрын
Mola atulainishe nyoyo zetu ya RABB .mawaidha yawe tiba yatuondolee ugumu wa nyoyo tupate mazingatio.
@fatumayunus53906 жыл бұрын
Aaminii yaraab
@zaitunimaulid31176 жыл бұрын
Aamiiin
@leilamohamed9505 жыл бұрын
Amiin amiin ndugu yang.... Dunia si kitu
@abuuringi62829 жыл бұрын
Allah ukbar Sheikh Suleiman Mazinge,Sheikh Othman,Sheikh Nurdeen Kishki na wengine wengi wanaofanya kazi za daawah ili kueneza dini ya Allah Jallah Filullah Allah wajaalie milango ya kheri hapa duniani na kesho Akhera na atujaalieni Pepo sisi Waislamu wote na atuepushe mbaaali na moto wa Jahanam.
@saidrashid6028 жыл бұрын
Ameen
@jamilajamilabskari22528 жыл бұрын
amina
@nicesongsara88228 жыл бұрын
waisilam wenzangu wacheni raha za duniani murudie Allah subuhan watallah
@جمیلهعلی-ذ6ظ5 жыл бұрын
Allah azifanye nyoyo zetu ziwe thabbit katika dini
@جمیلهعلی-ذ6ظ5 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha....nakupenda kwa ajili ya Allah...Allah atukutanishe waumini wote katika jannatul fidaus pamoja na mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallam
@mamoulovecherry51214 жыл бұрын
Subhannallah Allah atujaliye mwisho mwema atusame kwayote tumekose navitib vya masijadal Amin ya Rabby Twakuombea heri sheikh wetu othoman maalim😍😍😍😍
@nooraallahuakibarumwenyeez30795 жыл бұрын
Allahu Akibaru wallahi shekhe Othumani maalum Alla Akuhifadhi kwa mawaidha yako mazury sana yanaingiya mpaka nafsini inaogopa jamani Alla Alla ndugu zangu waislam turudini kwa Alla tuachane na Raha za kidunia funia ni mapito Alla tujaaliye ktk njia ya Almustakim iliyo nyooka
@nahidamohamed289 жыл бұрын
Subhanallah 🌇🌇Ya Allah tulienda na yajao ⛲️⛲️
@youtubeisyours64176 жыл бұрын
amini
@mudimaarifa93945 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema sheikh Othman maalim🤲🏻
@MrsRight-wf7mb4 жыл бұрын
MashaAllah Shukran sana hakika ni darsa zuri kwa kila mwenye kuzingatia Ya Rabi tuzidishie imani katika nyoyo zetu.
@mussajey38724 жыл бұрын
Uhkk
@ramahamad4184 жыл бұрын
Asante sheegh w2 mungu akuzidishie barka
@rayajuma74834 жыл бұрын
Mwenyezimungu atuapushie na fitna za masihu dajaal
@muniramohamed88876 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa uzidi kutuelimisha amin
@alhajjuma73434 жыл бұрын
Of
@wahidambaraka25403 жыл бұрын
Shukrani kwa somo . Muda wa Dajjall ulishafika. Mwenyezi Mungu atunusuru na hili.🙏🏽
@mohamedsilencer66817 жыл бұрын
Allah amlinde hafeedhuna wetu aleem sheikh Othman Maalim, Alhamdulillah!
@jamalathman62194 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu,Allah atuepushe na kiumbe huyu masih dajal atupe mwisho wa maisha yetu yakutamka shahada inshallah
@zeinabsayid45989 жыл бұрын
JazakaAllhah kheri Atuepushe na maasihu dajal
@wadridoka90086 жыл бұрын
Baraka Allahu fiika, may Allah bless you. Like you, are very few.
@hassanbawaziri14988 жыл бұрын
MA sha Allah shukran saana sheikh othman maalim
@saumhamic34277 жыл бұрын
yaarab tupe mwisho mwema, nautuepushe na fitnah za masii dajal
Jazakum-kheri Maa shaa Allah Allah akulipe kila lenye kheri Fir-dausi iwe ndio mafikio yako Pamoja na wanaolingania dini Utapata wapinzani ktk waislam Lkn usivunjike moyo watu hao wapo tokea enzi za mitume as Utapewa kula majina lkn hiyo ni kama ppf ikingiia mwilini lazima utoke jasho
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
YARAAB NIJA'ALIE NISIZIKUBALI FITINA ZA MASIHI DAJAL🤲🤲🤲🇰🇪
@saumus57719 жыл бұрын
JAZAKALLAH KHERY, SHEKHE OTHUMAN MAALIM, ALLAH AKUZIDISHIE INSHALLAH.
@abu_AZOZ8 жыл бұрын
mashaal othuman
@hamisilunje24366 жыл бұрын
Allah azisafishe nyonyo zet
@jumakhamis2265 жыл бұрын
JAZAKA ALLAH KHAYRAA SHEKH OTHUMANI MAALIM ALLAH AKUJAALIE UMRI MREFU SHEKH WANGUU
@nahimanaharuna29637 жыл бұрын
allahumma inni auudhubika min adhabun kabri wa min fitnati mahya wa l mamati wa min fitnati masih dajjal
@akashadaawah60719 жыл бұрын
SubhaanAllah.jazzaka Allah khair Allah atuepushe na masihi dajjal
Asalaam alykum shekh Othman Maalim, mimi ni mmoja wa waislaam niko marekani nakusikia sana mawaidha yako, mashaallah mwenyeezi mungu akupe umri mrefu na uzidi kutupa daawa. Nna swala kuhusu hii mawaidha ya Dajjaal, kwa nini mwenyeezi mungu kampa uwezo namna hii huyu Dajjaal? Aoteshe mimea alete mvua na kadhalika, huu pia ni mtihani kwa waja sisi,? Maana vzuri kusikia lakini inapotokea kweli hmm mtihani mkubwa sana, inshaallah mwenyeezi mungu atunusuru na Dajaal
@sayyidathmanabdulrahmanhh14674 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidshie ilmu hii
@rajabedween55339 жыл бұрын
JazakhAllah kheyr ya Sheikh Uthman.... Fi amaan Allah
@mira-gq3qg6 жыл бұрын
Allah akulipe kheri shekh wetu kipenzi
@sabrinayounisaden64136 жыл бұрын
JazaakAllah khairan yaa shiekh.
@aishaaaisha38154 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Mungu tupe mwisho mwema
@hamisilunje24366 жыл бұрын
Allah akupe kila la her
@nassiromarnabhan1748 жыл бұрын
Magalo mungu akupe umri mrefuu
@youtubeisyours64176 жыл бұрын
amini
@salehemchimika46224 жыл бұрын
Mungu akuweke shekhe
@waynejohn2239 Жыл бұрын
Allah akuzidishie
@laythatoman39457 жыл бұрын
Mashaaallah Allah akulinde inshaaallah
@Som-Hanoolaato9 жыл бұрын
Ma Shaa'ALLAAH, Hafidullaah
@lichimenmaliki92168 жыл бұрын
muslimahsista
@abu_AZOZ8 жыл бұрын
we we ndio mfunua a kiĺi zeta othuman
@mrtungsten12489 жыл бұрын
asante Kwa mawaidha
@biabuhamismwarua11237 жыл бұрын
Rabi atulinde na fitna za masihidajal
@youtubeisyours64176 жыл бұрын
amini
@lovelyqueen75967 жыл бұрын
Mashaallah
@omargbabagbaba42319 жыл бұрын
JazakanaAllah Allah akupe umri
@hilalhilal84004 жыл бұрын
Umesema kweli ewe shkh
@mwanajumaabdallahmwaramund87018 жыл бұрын
maashallah shukran sana maalim othman
@hamisingema12809 жыл бұрын
JazakaAllah Kheir
@aminashaib69562 жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@habibahmatano18154 жыл бұрын
Shukran jazaka llah kheri
@naamohamed99643 жыл бұрын
J aZakar Allahu kher
@Neighborsjiran7 жыл бұрын
Shukran jazakallahu
@saidahmed96882 жыл бұрын
mawaidha mazuri
@ashooraashoora54156 жыл бұрын
Jazzakumullah khery
@ramadhaniakram38816 жыл бұрын
Allah akujaze khery
@iralibinismaili93464 жыл бұрын
ramadhani akram Allah akujaze khery
@lacroquetalacroqueta68135 жыл бұрын
Baarakallah fiqum💙💚💚💚💚💙
@iralibinismaili93464 жыл бұрын
distinctively Pukka baarakallah fiqum 💙💚💚💚💚💙
@waynejohn22392 жыл бұрын
Allah akuhifazhi
@udelekasaid124 жыл бұрын
Laysalhabar kal-liaan
@jazilayasin64935 жыл бұрын
as slam ghalaykum warahmatullah wabarakatu waislamu wenzangu
@johnwerema6113 жыл бұрын
Mashallah
@idrisaarey40074 жыл бұрын
Poa wangu kimya
@ukhtyhumairah734 жыл бұрын
Allahuma amiin ya rabbi
@mohamedbinyusuff10076 жыл бұрын
Jazak allahu kheyr
@saumuabdullahi57036 жыл бұрын
Masha Allah
@stevewanga9576 жыл бұрын
Long life Sheikh Athman Maalim
@pilir.abdalla27607 жыл бұрын
Amin
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Shukran wajazaka Allahu heri
@abuuahmedjazakallahukheira34739 жыл бұрын
othmaan maalim
@salmamazeyane30674 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@issakun16608 жыл бұрын
Maa sha allah
@hajramohamed1006 жыл бұрын
Maashaallah
@jeshilamtu8633 жыл бұрын
MashaaAllah 🙏
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan86539 жыл бұрын
subhanaLLAH
@yussuphalliy44208 жыл бұрын
mashaallah
@salehemchimika46224 жыл бұрын
Allah Akbar
@sekundemaster4605 жыл бұрын
masha allah
@NurdinKishik4 жыл бұрын
yaallaah
@marwabaamer59234 жыл бұрын
asalaam alaikum. kwahisani yako sheikh nataka kujuwa adhabui ya mama kumdharau mtoto wa mumewake kwa mke mwengine ni nini kwahisani yako nataka khutba yake
@marwabaamer59234 жыл бұрын
shukran for liking my comment, but i feel sad i was not given the answer for my comment
@aishasaid57024 жыл бұрын
Hii channel sio ya sheikh Othman Maalim hawa wanaweka tuu mawaidha yake hata hizo comment hazioni ndio maana huoni jawabu