Natamani watoto wangu wawe kama wewe shekh jazaka allah kheir
@RamadhanMusaBiringi504 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wangu , umetufunza mengi, tunamuomba Allah akuingize pepo ya juu zaidi Firdaus, bila ya hesabu.
@bakarimwakabebe96494 жыл бұрын
Elimu bahari..tunaogelea ndani ya mafunzo mema Allah atulinde zaidi soteni..na wazazi wetu.. jazakallah khaira sheikh Maalim
@ramadhaningamba67908 жыл бұрын
Mwenyezimungu akujalie maisha malefu shekh Othman maalim.
@mamunote35074 жыл бұрын
Mashallah Mashallah M.mungu akupe Uzima na Afya njema na akupe kila la kheri ktk Maisha yako akubariki na familia yako wote Na Shukrani sana tunafaidika sana Jazakah Lwah Kher Shekhe
@shuaibhashim6874 жыл бұрын
MASHAALLAH MOLA AKUBRIK AKUPE UMRI MREFU UZIDI KUTUELIMISHA SHUKRAN
@mariamfunga43435 жыл бұрын
Wallah mola akujalie kwan nmebadlka kutoka kwako na naomba nizidi kurud kwa m/mungu nafc yaniuma unapo soma Quran haki na nnazickza hadithy zko nkiwa Dubai wallah tungeonana nngekupa shukran
@حسنيهاحمد-ل5ه4 жыл бұрын
Shukran Sheikh Othman Maalim Mungu akupe kheiry
@athumanrashid15013 жыл бұрын
Allah awarehem wazazi wetu inshallah
@zainabsaid77478 жыл бұрын
Hakuna mfano kama mama nakupenda San mam yng nisamehe kwa yote nilokufanyia..shekh zidi kutukumbusha maan tunajisahau sana mung akupe kila LA kher....😭😭😭
@shahnazwillis39317 жыл бұрын
Mashaa Allah .Mawaidha mazuri na mafundisho.wa ummaa
@shikeysawe1366 жыл бұрын
Naupenda uislamu namshukuru mungu kuzaliwa musilam
@eidyelkhatib38625 жыл бұрын
Shikey Sawe hata mim najivunia kuzaliwa muislam
@salimmasha55979 жыл бұрын
MashaAllah may Allah grant our mothers Janna inshaAllah
@yusraomar47767 жыл бұрын
Salim Masha amiin
@yusraomar47767 жыл бұрын
amiin
@aishakwizera34016 жыл бұрын
Jazakalahu khery
@ashasaleh96098 жыл бұрын
mashalaha shee wetu mungu akuzidishie hillmu yenye manufaa inshalahha
@sophiaoman99575 жыл бұрын
mashaallah allah akupe umr mrefu uzid kutuelekeza ktk din ya allah
@hadijahamad43009 жыл бұрын
Allah akuzidishie elimu Sheikh Othman Maalim uzid kutujuza mambo muhimu ya Allah (s.w) na mjumbe wake Muhammad (rasulullah).
@adamzdamz65926 жыл бұрын
Hadija Hamad in shaa Allah
@rashidiabrahamani91524 жыл бұрын
Mashaalah
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
Shukuran Allah akuzidishie kila KHERI katika maish yako in shaa Allah... Nitamlea mam, angu mpk mwisho wetu in Allah 🙏🏻 🙏🏻 Allah amzidishie in shaa Allah 🙏🏻
@laziazuberi51945 жыл бұрын
Mashaalha
@salmakilimtali41378 жыл бұрын
Yaaraab tuwekee wazazi wetu inshaallah!!
@mmwaduga52812 жыл бұрын
Mashaalah sheikh othman
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan86539 жыл бұрын
mashaa ALLAH wa jazakaLLAH KHEYR
@kassimissa683511 жыл бұрын
mashaallah mungu amueke azid kutangaza dini
@salumujuma74327 жыл бұрын
Kassim Issa
@Ukhtyzuhura5 жыл бұрын
Amiin Amiin Yarabil Aa'lamiiin Allah akulipe kila la kheri sheikh wetu Allah akuruzuku umri mrefu wenye kheir na akulipe jazaa yako
@aminaabdallah76415 жыл бұрын
Maasha Allah , Allah atuthibitishe katika ilmu ewe Shekhe Othuman