Sheikh Othman, tunakupenda na tunakuhishimu kwa kusikiliza Mawaidha yako. Mungu akuhifadhi akupe siha na afya. Tufate mawaidha ya Kiislamu. AMIN
@mohamedgwedzele99333 жыл бұрын
AMIIN
@tommymsilikare91093 жыл бұрын
M nahtaj unioe nipate kufundishwa mambo ya din jamn
@Prince0fald2 жыл бұрын
ameen
@emmanuelnyanchini86984 жыл бұрын
Shekhe. Kumladhi! Maana NIMEANDIKA na kutafsiri jina lako TOFAUTI! Naam, Shekhe Othman. Niombee Mema katika safari yangu ya hapa Duniani. Nami nakuombea katika kazi hiyo NZURI na muhimu saaana katika kutukumbusha wajibu wetu kwa Muumba wetu🙏🙏🙏
@pentasalim78443 жыл бұрын
MashaaAllah....Wallahi nimejifunza mengi Sana kupitia kwako Ustadhi.Mwenyezi Mungu Akuzidishie
@mshahahamzmdmd59424 жыл бұрын
Mashaallh mungu akujaalie kila l kher inshaallah kw kutup elim mungu akubarki inshaallah
@issangullo8048 жыл бұрын
Inshallah Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema na mimi pia tuwe peponi pamoja na mtume Mohammad(s.a.w).Aminiiii
@othmanabdallah19487 жыл бұрын
Issa Ngullo amin
@omarimohamed74697 жыл бұрын
Ameen
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Ameen yarab
@kurthumjumah91886 жыл бұрын
m
@YoussufNzeyimana-fz1bf Жыл бұрын
Na mm mwenye kuskiliza tuweote peponi insha allah
@samamussakibwana57034 жыл бұрын
Marshallah mwenyezi mungu akulipe kwa kazi nzuri inshallah
@mwajumabakari15696 жыл бұрын
Huo namuelewa sana Ustadhi twashukuru kwa dawaaa zinatubadilisha na kua wacha mungu
@rahmanramadhan84834 жыл бұрын
E / M niweke bhal na Ibils laana kum na ikitokea nikipotea bhx naomba nikukumbuke inshallah
@Abdullah-er3kw4 жыл бұрын
Mashaa Allah, Allah amjalie Sheikh hafia Bora nasisi pia Aamin
@jumakhamis2263 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh othman maalimu Allah AKUJAALIE umri Mrefu
@sadakhamis66843 жыл бұрын
Mashallah shekh mm napenda sana mawaidha yako Inshallah kila khery namungu akuongezee umri mrefu wenye faida Akhera na duniani Inshallah 👏
@faizahalidi14692 жыл бұрын
mashaAllah one of my favorite sheikh
@ahlamlssa94704 жыл бұрын
Jazzakallah kheyran sheikh Othman
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
Mashallha shekhe Othman mungu akupe aweni lnshallha uzidi kutupa mawaiza yenye raza ya sauti mzuri maana uwe nikisiliza mawaiza yako najiona napata na furaha ya moyo kwaza uchoshi mashallha kusiliza
@khamissaid22694 жыл бұрын
shekhe maalimu othuman Allah akupe kheri nyingi
@haoranyusuf61643 жыл бұрын
Allah akuzidishie ilmu nayapenda mawaidha ysko sana
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Alhamdulillahi leo nimejua vp hizo sijida 2 zilivo wekwa ALLAH akupe umri uzidi kutuelimisha🤲🤲
@emmanuelogorenisanafocus80164 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe maisha malefu
@mariamothman74044 жыл бұрын
Mashaallah aleyk Sheikh Othman maalim Allah kakupa sauti na umejua kuitumia mahala sahihi Allah atupe ilham sote muslim
@rukiashabani30022 жыл бұрын
Maashallah akujaalie kila la khery sheikh
@mohamoudkasim33563 жыл бұрын
My favorite sheikh
@muniramohamed88876 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
@ummhaneen19285 жыл бұрын
Shukran wajazzak Allah kheir Allah akuhifadhi akupe umri na afya njema
@jumakhamis2263 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh othman maalimu
@seifamour8784 жыл бұрын
Mungu akuongoze shekh Othman maalim
@hamishemed91796 жыл бұрын
Shukurani sheikhe othumani mwenyezi Mungu akujalie Janna tukufu siku ya khisabu inn'shaalla
@musakhamis42005 жыл бұрын
Daah uyu shehge mungu amoinde
@jumamnyamuru43463 жыл бұрын
Thank u I have liked this.
@abuukulunge63965 жыл бұрын
Allah akupe Afya njema ili uendelee kutulingania InshaAllah @Sheikh Othman Maalim
@swedisaid53825 жыл бұрын
Abubakary AEL sheh othmani mungu kukupa!!
@hamidushilapha15823 жыл бұрын
Mashaalaa mungu akupe afya njema
@swafiamohammed17085 жыл бұрын
Aĺlah atukinge na amali ya kivri na wenye kibri Allah awaonolee Amiyn
@bakarihussein36294 жыл бұрын
Hakika makumbusho yako ni Bora kwetu sisi ...Mola akujaalie kila lenye kheri la akhera na dunia
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah
@gwakisakajange97654 жыл бұрын
sheikh Allah akupe umri mrefu wenye manufaa
@ramadhanmfinanga46965 жыл бұрын
mashallah sheikh nkukubali %%%%%%%%%%%%% mungu akubariki
@tatuta65294 жыл бұрын
Mashaallah mungu akupe mwisho mwema
@shamiralukundu73845 жыл бұрын
Masha Allah mungu akujalie afya njema amiin
@saudambinga38324 жыл бұрын
Shekhe wetu ,Mola akuzidishie uwezo wa dawa na umri mrefu insha Allah
@omarkadoyi58474 жыл бұрын
Manshaallah cheikh, shukran shukran
@feysalabdullah33724 жыл бұрын
Sheikh Othman Ndugu yangu Allah kakujaalia Zumari la dhahabu unavyosoma Quraan 7:14 MashaAllah TabaarakALLAH min Kulli ni3am
@msgbusinesslimited33673 жыл бұрын
Masha Allah shekhe Allah akulipe na atujaalie wasikilizaji tuwaizike
@Jeefbesos9697 Жыл бұрын
Cheikh Othmane malim una soma kur'ani kwa utarTibu , mungu akupe umri mlefu , n'a mwisho mwema.
@tauhidakhamis165722 күн бұрын
Amiin
@halimaramadhan29754 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabarakallah baraka llahu fik sheikh othman
@shebetymudi79278 жыл бұрын
mashallah mola akubarik
@saliminikavocha87985 жыл бұрын
Mashallsh
@abudmohamedshiraz26867 жыл бұрын
Masha Allah shekhe Allah akuzidishie kila kheri akuepushe na kila la Shari AMEEN Akupe umri mrefu AMEEEEEEEN
@aliame23235 жыл бұрын
I like all the best
@msafiribilingwa99365 жыл бұрын
Shekhe othuman Allah akuhifadh
@cynthiaclassic27224 жыл бұрын
Amina
@emmanuelnyanchini86984 жыл бұрын
Shekhe Asuman. Ukarikiwe zaidi kwa Umahiri wa usomaji na Tafsiri ya NENO la Mwenyezi MUNGU. Emmanuel
Alhamndulilah ALLAH akuzidishie kheri duniani na Akhera pia
@zulfarajabu39794 жыл бұрын
Aamin
@kuluyahaya75663 жыл бұрын
Mashaaalh mungu azindi kukupe umri sheh wetu ili uzindi kutufundishaa🌹🌹🌹
@maryamahmed2575 жыл бұрын
Alhamdulilah mashallah mawaidha yakusisimua Mungu akupe mashaisha marefu amin
@sayeedhamza72073 жыл бұрын
Allwah akuifadhi kwakilajambo amini
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Shukran shekh, kiukweli si mda mrefu mimi mwenye nilijiuliza, kwani hizi jijida mbili zilikujakujaje ktk kusali
@manjoriwakunesa70066 жыл бұрын
Mungu akupe mema
@MohamedAbdi-qt9nv8 жыл бұрын
Mungu akubatiye Rehma Yake
@alialghafri16746 жыл бұрын
Allhamdulillh Allah awape umri.mrefu mashekhe wetu wote mnaolingania daw othuman Allah akulipe unatoa daw Kwa hekma bila ya ukali mpak mamuma anakuwa na mwang kweny moyo walahi
@selemanshona24892 жыл бұрын
Mwenyezimungu akufanyie wepesi shekh
@khamisoothman52946 жыл бұрын
jazak Allah khair nimependa sheikh
@shinayzashiraaz45882 жыл бұрын
Allah akujaliie elmu zaidi ,uzidi kutuelimisha,shukran, jazakumullah kheir
@ashurakingo6024 жыл бұрын
Jazakallah khair
@jibrantruck83248 жыл бұрын
Mashallah Allah akulipe mema inshallah
@makwinyamsafiri56916 жыл бұрын
mashalah
@rehemasalim28482 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe uzima uzidi kututowa kwenyeshimo la moto tupate kher kwa allah
@abubakarmadegeda7354 Жыл бұрын
Mashallah sijawai kuchoka kukuskiza shekh wanguu...siku moja nataman nikuone inshallah
@saumuhilali10407 жыл бұрын
masha allahu shekhe kutupa muonguzo Allah akupe kauli thabiti
@bettyrweabura88613 жыл бұрын
Allah akuhifadh shehe. Nataman kujua kama una darsa za kufundisha kinamama hapa dar. Allah anijaalie niwe miongoni mwa wanafunzi wako. Allah kakuruzuku ilmu kubwa.Wasaidie akinamama wa kiislam kwa kuwaelimisha ili kizazi cha hiki kiweze kunusurika na kiwe bora kwa kumtii allah.
@jojobrayan15513 жыл бұрын
Sheikh wangu love you from Canada 🇨🇦
@husseinomary44665 жыл бұрын
Wallah hua sijutii bando langu sheikh, niangaliapo mawaidha yako najihisi nipo kabisa karibu na masahab
@ahmedhusseinhussein81454 жыл бұрын
m.a
@sadaoman16674 жыл бұрын
@@ahmedhusseinhussein8145 maalum mm taka uniekewazi nilimsikia shehe anasema mtuikwahaelewani nanduguzake hana Ramadhani je hii inaukweli