Mashaalah..... Marehemu Babu yangu siku ya kufa kwakwe.... Aliamka akaswali swalati subuhi...... kisha akasema sijisiki vizuri ngoja nipumzike.....Basi alipo jinyoosha kitandani Mauti yakamchuku akiwa na Udhu wake wa Swalati Subuhi Mashaalah
@salmsaid97002 жыл бұрын
Mashallah dalili njema kabisa
@hassaninamkanda75246 жыл бұрын
Mwenyezimungu akuongezee kuwa na sauti zuli uendelee kutoa dawat maana ndo chakula cha nyoyo zetu isha,alla
@nooraallahuakibarumwenyeez30795 жыл бұрын
mashaa Alla mawaidha ya shekhe Othumani maalim ni mazury sana maana unaweza kusikiliza masaa 24 huchoki Alla Amuafu inshaa Alla Alla ihifidhik fidin fidunia wal Akhela jazaka llahu khairan inshaa Alla
@ramamohammed14384 жыл бұрын
Masha Allah...Allah barik na Allah(s.w) atifanyie wepesi na kutuzdshie iman thabit katika uhai wetu na kutufanyia wepesi wkt wa FARADHI YETU....Allah barik kwa mawaidha....
@Battey0014 жыл бұрын
Kama una angaliya 2020 kama mm weka like.... Allah....kareem
@hamiskengwa58694 жыл бұрын
Tupo tunakula msosi wa ukwel hakika maalam othuman mwenyezimungu akupe mwisho mwema Mimi na ww nawaislam wote allaah atujalie kauli thabiti
@khadhoujjojo3384 жыл бұрын
Maa shaa Allah 2020 mawaidha mazuri kwa kweli hayyak Allah sheikh othman maalim🤲
@asiajuma83304 жыл бұрын
Tupo
@salmsaid97002 жыл бұрын
@@hamiskengwa5869 ameen
@MwanahawaaJuma-g7n22 күн бұрын
Mm naangalia 2025 jamani MashaAllah nampenda huyu sheikh kwa ajili ya Allah,Allah amlinde amjaalie kila la kheir hapa duniani mpaka akhera
@francinensavyimana56015 жыл бұрын
Ma sheikh zetu wanatujaza Imani nyoyo zetu Allah awape maisha marefu duniyani na ahera
@hamishemed91796 жыл бұрын
Mashaallah hakika sheikhe unavyoisoma hiyo qroan tukufu inaniingia hadi kwenye utumbo mwenyezi Mungu akujaze kila la kheri innshaallah
@mossinivyamana38312 жыл бұрын
Allahu Akbar
@sophiamaaher57774 жыл бұрын
Mashaallah shekh othmani Allah akujalie kila kheri na akupe umri mrefu kwa rehma zake allah
@abdallamwinyikombo65575 жыл бұрын
Ma shaa Allah,,,,,sheikh Wang napenda mawaidha yako,,,,sauti yako,,,waongea kwa ukarimu sana
@swaumupaji36234 жыл бұрын
Maa shaa Allaah TabakaAllaah wallah hiki kisa kila siku ya Mungu lazima nikirudie zaidi ya mara tatu...Sheikh wetu Allaah akuhifadhi na In shaa Allaah akatukutanishe peponi Aamiiyn
@jubliq3812 жыл бұрын
Mashaallah nakupenda kwa jiri ya allah
@mwantumjuma90254 жыл бұрын
Shekhe Othman nakupenda sana kwaajil ya allah mungu akunzee babaangu
@allymadjaliwa13746 жыл бұрын
Allahu Akbar tabaraka Allah manshaallah Wewe ni mtukufu kwetu namuomba Allah ukupe mwisho mwema na peponi ndo iwe mahala pako pa kushukia. Tuonane huko in sha Allah.
@ismailkambini21076 жыл бұрын
Mashallaa
@rahmaalfan17763 жыл бұрын
Masha allah barraka allahu feek sheikh wetu wa jazzaka allahu minkully khery
@queentunush9256 жыл бұрын
Masha Allah sauti nzuri ya Qur'an TabarakaLLAH
@asutfaile26478 жыл бұрын
Allahu akbar. wat a beautiful recitation. May Allah reward u for your good work.
@nkurikiyejose18684 жыл бұрын
Mashaallah!sauti nzuri ya Qur'an Allah akupe mwisho mwema
@tabuselemani68695 жыл бұрын
nakupenda sheikh wetu kwa kutupa mawaidha mazuri sheikh wetu ALLAH akupe mwisho mwema☝
@Lalainpixels7 жыл бұрын
MashaAllah mwenyezi mungu akuzidishie umri mrefu wenye ibada na shahada iwe mwisho wa kauli zetu inshaalah
@mussamjai15234 жыл бұрын
Mashanllah mwenye zimungu akupe kauri thabiti siku yako ya kuondoka dunia hii
@nassortwahir1395 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu shekhe wangu tuzid kupata maarifa
@mudhihirothman58265 жыл бұрын
Mashaallah shekh wetu tunakupenda allah akupe umri mrefu zaid na zaid
Allah akupe umri mrefuu uweze kuelemisha waislam zaidi na zaidi .
@munirally95484 жыл бұрын
Replies.Riziki
@saumuathuman2063 жыл бұрын
Amiin inshaallah
@yahyanduwayo62096 жыл бұрын
Sheikh Alhamdulillah Allah akuhifadhi apa dunia na kesho akhera
@adambilali418 жыл бұрын
Allah akulipe ujira mkubwa shekh, duniani na kesho akhera.
@habibahusein3883 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah shekh othiman maalimu mimi nakupenda kwa ajili ya Allah asante kwa elimu Allah akulipe khery duniani na kesho akhera insha'Allah 🤲🤲
@brightoneobadiah18193 жыл бұрын
Mashaallah sauti ya peponi, Mungu akuhifadhi shekhe wangu
@faridakhamis39768 жыл бұрын
Allah mpe hifadhi sheikh wetu duniani na akher
@fatumamaro76584 жыл бұрын
Mashallah shehewetu
@khamiskombo22724 жыл бұрын
Mashaallah
@hashimmfinanga39814 жыл бұрын
Allah akbar, mwenyezimungu akulipe kwa mawaidha
@makameomar94994 жыл бұрын
Allah akupe kila la kheri
@Awatee4 жыл бұрын
Amiin insha allah
@hashimyahya57364 жыл бұрын
Jazaakallahu khairan sheikh wetu
@salimdaffa79194 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu na afya njem ili uzidi kuifanya kaz yke pia akujaalie uingie pepon bila ya hesabu akusamehe madhambi yko pale ambapo umeteleza
@shahadatayn78705 жыл бұрын
اسال الله العظیم ان یزیدک صیحة وخیرا منه بإذنه یا معلمی عثمان معلم
@hawata76145 жыл бұрын
shekh Allah akupe maisha maref Uzid kutupa chakula cha roh Allah Akbar
@charlieadam53876 жыл бұрын
Ma Shaa Allah... Napenda the way unavyosoma Qur an... Allah akujaalie kauli thabiti...shekh Othman ibn Maalim.
@mimamkassy65635 жыл бұрын
JAZAKALLAHu kheir
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Mashallah, Jazzakallahu khery sheikh Othman Maalim, Allah akutangulie katika kila lenye khery inshallah.
@abdallahabassiabassi13945 жыл бұрын
Saumu Hassan j hujambo
@mohamedbushir78135 жыл бұрын
Maashallah
@salo.6132 жыл бұрын
@@mohamedbushir7813 eeerrtttt CD free be be be be ba fewer bb be. BB me BB. We
@idrissasaid54744 жыл бұрын
Mashallah 👏👏👏 👏 shekhe Allah akuongoze
@ayubujuma81294 жыл бұрын
Allah( s.w) akulipe kheri pia nakuomba tuzidi kuomba ummat Muhammad uishi vizuri dunian na kesho akhera
@mohammedkandjali69044 жыл бұрын
Allah akbar Allah akupe afya njema uzidi kumtumikiya na sisi atujaliwe tufaidike kwa mawaidha haya
@oman-dd2wx Жыл бұрын
Allah Akbar.shekhe mungu akupe umri mrefu wenye manufaa hapa dunian na kesho akhera inshaaAllah.
@faquebacar7944 жыл бұрын
Mungu akujalie
@jumaaali6175 жыл бұрын
Mashallah mashallah shukran sana
@bnbnbnbbnvbn90064 жыл бұрын
Jazzaqal khaire Sheikh Allah Akujaliy kila la khaire na barkaa
@bimumaulid11717 жыл бұрын
mashaalah m..mungu akujaalie elimu nyingi utupatie nasi
@swabirali12764 жыл бұрын
MashaAllah...Allah akuzidishie na atuongeze sisi wote
@abdulkarimiddy36804 жыл бұрын
Mashanlla
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Shukran sana shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher inshallah 🙏
@abdiboru32594 жыл бұрын
MashaAllah sheik wetu Allah akupe afia
@sabrinayounisaden64136 жыл бұрын
May Allah bless your voice mashaa Allah, what beautiful voice!
@chiyachiya87684 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe umri mrefu uzidi kutukumbusha
@mohamedmkadam1967 жыл бұрын
Allah akulipe mema Sheikh na atujaalie mwisho mwema In Shaa Allah 🙏🙏
@fahimkarama93414 жыл бұрын
Aa napenda mawaidha yako shukran
@faizabukhamis38859 жыл бұрын
جزيت خيرا وبارك الله فيك
@husseinsalimmaula42546 жыл бұрын
Allha akupe kheri duniani na akhera inshaalha
@husseinchiaseeds26534 жыл бұрын
Shukran shekhee
@saumuathuman2063 жыл бұрын
Allah akuzidishie inshaallah uzudi kutufundisha
@muniramohamed88876 жыл бұрын
MashaallAh Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin upate utuelimishee amin
@sumajuma88608 жыл бұрын
Allah akupe shahada mwisho was uhai wako
@hasanrashid72967 жыл бұрын
Suma Juma amina
@Rolemodel_wa_taifa5 жыл бұрын
Suma Juma Amina
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Amiina na sisi woote
@mwajumahamisi89044 жыл бұрын
Allah amjalie maisha yenye matunda Leo mpaka kexo
@Awatee4 жыл бұрын
Amiin insha allah
@sabrinayounisaden72386 жыл бұрын
Mashaa Allah, beautiful voice.
@hindustanpuzzle23693 жыл бұрын
true
@aishamaulidy89236 жыл бұрын
💜💜💜💜💜💜💜 shekhe wangu sina LA kusema Allah akulipe kheri yaraby mwisho mwema atujalie .. nampenda sana MTU huyu mwenye hekima. Allah Akbar ". Jazzakallah kheira
@gulshamshad49024 жыл бұрын
BarakaAllah fik
@gulshamshad49024 жыл бұрын
MashaAllah BarakaAllah fik
@ummuswabir8166 жыл бұрын
Nampenda shke wetu othmni malimu mawadha yke mazuri yenye mafunzo mungu amuwezeshe kila hatua
@minraya63224 жыл бұрын
Maashallah jazzaka llahu kheir lnn Sha Allah
@sophiamaaher57774 жыл бұрын
Allah akuhifadhi na kila la shari inshaallah nimependa sana usimuliaji wa visa vya manabii sijawai kuona
@pahpahmirahj16656 жыл бұрын
Mashallah may Allah grant your all the best in your life
@fundibombazanzbar57176 жыл бұрын
jazaa ka llah lheiry
@almanaabdullahi44768 жыл бұрын
in shaa Allah mola akufanyie kheri kwa Dunia na akhira
@kalembalembaenglishtrainin96 жыл бұрын
Manshallah behold the great creation! May Allah grant you good health, life in the life here and hereafter. Na akujalie mwisho mwema inshaallah
@mbashirunyamaishwa27564 жыл бұрын
allah akuhifadhi
@allyabdallah43573 жыл бұрын
Mashaa allah jazakum kheri shekh othuman maarim
@alisharia68315 жыл бұрын
Marshaallah mungu zidi kumpa afya njema
@feiswalmohammad41014 жыл бұрын
Maaashallah... Jazakka llahu Kheira
@salamahmngoya2932 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah islam dini alhamdulillah alhamdulillah alhamdulillah 🤲 Kwa neema yakuwa muislamu
@zahransuleiman31227 жыл бұрын
Mashallah sheikh mungu ukujalie mwisho mwema.
@sayyidathmanabdulrahmanhh14674 жыл бұрын
Wallhi ماشاالله
@feiswalislam8465 Жыл бұрын
Sheikh naomba nauliza nimeota mm nakweli ndungu yangu amefariki baada ya siku chache nikamuota kuwa namwambiya ndunguyangu nyoka huyo mara tatu kisha nika shutuka usingizini nikaangaliya saa mm ikiwa ni saa nane tafadhali nielezee nami hii ndoto shekh mm natoka lamu jina langu feswal Mohamed islam naomba jibu ustadh wangu nikupendaye dawa zako unazo towa ishallah mungu atuekee uzima sote Amennnnnnnnnnnn
@mimamkassy65636 жыл бұрын
JazakaLLAHu kheir ALLAH akuhifadh
@abdilarmajid56414 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe mwisho mwema
@fatmafeisal4425 жыл бұрын
Jazakallah khayra.
@jadidajadida91547 жыл бұрын
Nakupenda sana shekh, Allah akupe mwisho mema
@joharsuleyman82264 жыл бұрын
Assalam aleiykum mwenyezi mungu akulinde
@yusirhamdan14834 жыл бұрын
Mung Akulipe kher
@kiriama61165 жыл бұрын
Allah akulipe dunia na kesho
@rashidfcn49519 жыл бұрын
Inshallaah MUNGU akujalie mwisho mwema
@mahmoudkibwana50487 жыл бұрын
Mashalhau
@mahmoudkibwana50487 жыл бұрын
Mashalhau
@mansourmuhammed19224 жыл бұрын
Allwa akupe umri mrefu umri wa kheri amina yarabi
@FarajiBakari-t7u Жыл бұрын
Mashaallah mungu akupe mwisho mwema
@omarjumanne41437 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe afya njema na akuongezee elimu ya kuwa uthia wanadam na waisilamu maana elimu wanapata hata wasiokuwa waisilamu na lnawapa lmani ya kusilim
@jumanassor91906 жыл бұрын
Allah akubariki shehe wetu akupe kila lakher na akuingize peponi bila hesabu