Allah tuongoze na tujaaliye kizazi kiloshika dini km ya shek osman nidham kheshima utulivu shek osman nakupenda sana ila na kupenda kwa ajili ya Mwenyez Mungu mashaallah .nikiskia mawaidha yako ata niwe na hasira inaondoka kiukwell nafarijika sana nataman wanangu wawe km ww na mapungufu mwanaadamu hakosi lakini tunakuombea kwa Allah maovu yko tuso yajua anayo yajua niMungu bas Allah akusamehe ln.shaallah kwa sote 😚
@bintsalimalbimany93736 жыл бұрын
Hii ndio faida yako shekh angalia mawaidha tokea 2007 mpaka leo mashallah nilikua mdogoo mimi nipo darasa laatu au la4 subhanallah mawaidha yako yanaendela naskitika kwa wale wanaokua wanaimba mtu kashakufa bas nyimbo zinaendelea yarab tupe gusnilkhatima tunafaidika Mashallah Allah akujaze kher yarab tupe watt wema yarab na husnilkhatima
@swabriali45836 жыл бұрын
Hediya Al Bimany ameen
@sallyzreshiz205 жыл бұрын
Tulikua pamoja ahhhh
@suleimanjuma27724 жыл бұрын
Aamin
@abdallahibrahim35823 жыл бұрын
Ameen Ya Rabb Ameen
@destiny4life4395 жыл бұрын
jazakallahul kheyr sh otman allahu atulipe kher firdausil aala inshalah
@richkid19866 ай бұрын
Shukran ya habib
@rehematawalani74725 жыл бұрын
Shukran kwa mawaidha
@aishamamo79187 жыл бұрын
alhamdulilah Allah akulipe
@FatmaAli-dp9ps4 жыл бұрын
As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh hizi video mtuwekee na muendelezo kwa mpangilio mfano safari ya israa na miraji haijamalizika imeishia nusu