047 1 OTHMAN MAALIM.......KABLA YA KUUMBWA DUNIA

  Рет қаралды 334,914

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

9 жыл бұрын

/ akasha.daawah

Пікірлер: 175
@hajimansour1897
@hajimansour1897 8 жыл бұрын
hakika nimekuwa mwanafunzi Mzuri kwa kupitia othman maalim takribani mwaka na nusu, Allah akufanyie wepesi na ampe umri mrefu Inshaallah.
@mbwanasalim7445
@mbwanasalim7445 3 жыл бұрын
Maashallah hakika nimekijua kitu kama izilaili kupewa utoaji roho Allah azidi kumpa elim ya ufaham zaidi inshallah
@birdofpry3897
@birdofpry3897 6 жыл бұрын
Tunajifunza mengi na tunafaidika kwa uwepo wako Allah akupe elmu , afya na umri mrefu uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu. Nakupenda sana kwa ajili ya Allah
@alisharia6831
@alisharia6831 4 жыл бұрын
Yaaa Allah MPE maisha marefu na neema shekh wetu Othman
@omara.mcheju1340
@omara.mcheju1340 3 жыл бұрын
F6
@bakarimwakabebe9649
@bakarimwakabebe9649 3 жыл бұрын
Naipata elimu ya Allah na ninajipwekesha kwake zaid. Alhamdulillah Allah atulinde zaidi soteni insha'Allah walio nje ya uislam waelimike wamjue Allah na kadar zake
@salumumtipa9906
@salumumtipa9906 7 жыл бұрын
shekh nakupata vizuri sana endelea kutupa darasa inishaala allah atakulipa daima
@abuyabally7630
@abuyabally7630 8 жыл бұрын
mashaAllah umenifungua mengi kujua ilikuaje kabla ss kuja duniani Allah kupe kila zuri na akuepushe na kila baya
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer 2 жыл бұрын
Sasa Adam sialiekwa peponi kwanza dunia ilikua bado
@farouqsilvester9918
@farouqsilvester9918 6 жыл бұрын
Asalam alykum, sheikh othuman maalim, nakuombea all the best my sheikh, mwenyeezi mungu akuzidishie maisha malefu sheikh inshallah, also ur welcome to cape town sheikh.
@josephnziokadci
@josephnziokadci 5 жыл бұрын
Masha Allah!! Nimejifunza mengi kupitia kwa mawaidha yako sheikh Osman. Allah akujaalie heri!
@hubahonlinetz2071
@hubahonlinetz2071 8 жыл бұрын
mungu akufanyie wepes othman maalim nakupenda xana sheikhe wetu
@khamisisalum4204
@khamisisalum4204 6 жыл бұрын
Mimi umenifanya niingie vizuri kwenye dini nashukuru sna allah akupe nguvu daimaa
@jumakipingu8250
@jumakipingu8250 4 жыл бұрын
Eeh mola wetu MPE kheri shekh Othman Maalim hakika ni mliwazi mwema aweza kuturejesha kwa Allah (daawa zake maashaalah
@mimamkassy6563
@mimamkassy6563 4 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akulipe kheir duniani na akhera
@abdulhakimsaku6802
@abdulhakimsaku6802 7 жыл бұрын
Asalam aleykum MASHAALAH ALLAH AMLIPE PEPO Sheikh Othman maalim Kwa kututoa katika giza na kutuonyesha nuru ya dini ya haki ,pia napenda kuuliza kama shekh othman kama anayo madrasa au shule ili tupeleke watoto wetu wapate ilmu ,kama ipo shule naomba anuani yashule , AFWAN
@aishajeaninejeanine8934
@aishajeaninejeanine8934 6 жыл бұрын
Mungu akujalie afya njema sheikh wetu nimejifunza mengi kupitia kwako shukrani
@mwinyikandi2269
@mwinyikandi2269 2 жыл бұрын
Nakupenda sana sheikh wangu kwa ajili ya Allah mawaidha yako walai niyenye kuwanufaisha wasikilizaji pamoja na Allah, kwaajili ya mawaidha yako walai ulimpendeza rafiki yangu mkristo kupata mwanga na atimae akasilimu walai, Allah akudumishe katika thwaa yake sheikh wangu
@ashaali4881
@ashaali4881 8 жыл бұрын
ALLAHU BARIK SHEIKH OTHMAN MAALIM
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 3 жыл бұрын
Nakupenda sheikh othuman kwaajili ya Allah Mwenyez Mungu atupe Maisha malefu uzidi kutupa yalio ya kherry
@mwantumjuma9025
@mwantumjuma9025 4 жыл бұрын
nakupenda sana shekh Othman maalim ukiw unashusha aya za qur an
@ahmadmahingika5871
@ahmadmahingika5871 4 жыл бұрын
Allah atupe wote sisi na wewe shekh wetu mwisho mwema aamin.
@bableeallayzubeir496
@bableeallayzubeir496 5 жыл бұрын
MashaaAllah mungu akuzidishie kher dunian n akhera
@biabuhamismwarua1123
@biabuhamismwarua1123 7 жыл бұрын
Jazzakallah kheir sheikh othman maalim
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 5 жыл бұрын
Na'am hakila leo ili kitima ndo kimevunjika kwani hata nami nilokuwa sijui jinsi dunia ilipoanzia shukran sana ma'alim
@alialghafri1674
@alialghafri1674 6 жыл бұрын
Allah akulipe shekhe wetu unatupa Iman ya roho kiass kwamba tunamshukur mung akupe umri mrefu inshallah
@husseinwarsame3159
@husseinwarsame3159 4 жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الله حفظك الله وأزيد ك الله علما نافعا وعملا متقبلا وعافية في القلب وصحة في الجسم وعبادة سر
@nassormbarouk9058
@nassormbarouk9058 2 жыл бұрын
Amiin yaa rab jamia inshallah🤲
@hassasadiq4457
@hassasadiq4457 5 жыл бұрын
MashAllah sheik OTHMAN MAALIM Allah akupe umri
@michaelmwakyusa3682
@michaelmwakyusa3682 3 жыл бұрын
Masha Allah shehe wetu Allah akupe heri ktk dunia yako na akhera yako Inshaallah
@rasulydaudi9277
@rasulydaudi9277 8 жыл бұрын
jazakkah ALLAHU shekhe we love u
@rahmamohammed2016
@rahmamohammed2016 7 жыл бұрын
Jazakallahu lkhaira shaikhe na Akasha. Mm maoni yangu naomba uweke Qur-an ikisomwa na Sheikhs Othman maalim.Napenda sana usomaji wake
@rajabrajab592
@rajabrajab592 6 жыл бұрын
sawasawa
@hakimoman6086
@hakimoman6086 4 жыл бұрын
Hongera kwa kulibaini hilo Ata na mm napenda kuskia akisoma Quran
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 3 жыл бұрын
Inshallah
@rajabrajab592
@rajabrajab592 6 жыл бұрын
wallah toka nipo darsa lakwanza nilkua namkubali sana uyu Sheikh Mpaka Léo amenifanya nisisikilize mawaidha yeyote zaid yake Mpaka namuiga kwenye anaposimulia visa mpka usomaji wagurani Wake...
@AKASHA.P
@AKASHA.P 6 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@mawaidhayakiislamu5417
@mawaidhayakiislamu5417 3 жыл бұрын
ALLAH AKUBARIKIE PEPO, KWA MAANA VIJANA WENGI TUMEBADIRIKA KWAAJILI YAKO
@nderekanyenuhu1125
@nderekanyenuhu1125 8 жыл бұрын
Allah Akbar ,Allah akuzidishiye kila la kheir
@khadijanahoda2670
@khadijanahoda2670 6 жыл бұрын
subuhanna wallah Allah akupe ujira mwema nimejifuza kupitia mawaidha yako
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 4 жыл бұрын
Assalam aleiykum Shukran sanaa sheikh wetu Allah akulipe ujira mwema duniani na kesho jaanna kwa kweli tuna Elimika sanaa tu
@azizauledi4108
@azizauledi4108 7 жыл бұрын
Allahu Akbar jazakallahu khair
@asinakassim1548
@asinakassim1548 6 жыл бұрын
MaashaAllah tabarakallah ustaaadh Uthman Maaalim Allah akuzidishie umri na afya yaa Rabbbi ....
@salimhamood9898
@salimhamood9898 4 жыл бұрын
Know
@mussamahmoud2376
@mussamahmoud2376 3 жыл бұрын
Allah tupemema duniani na akhera 🤲 nautusamehe mazambiyetu.
@0689
@0689 7 жыл бұрын
Jazakallahu khairan yaa ustadh Othman wazaadahumu llahu ilman nnaafiaah,fii dunia wal akhira,uhibbuk lillah
@apangomombasa9230
@apangomombasa9230 2 жыл бұрын
Allahumah Amin
@nargisabdallah5344
@nargisabdallah5344 8 жыл бұрын
mungu amzidishie umri wenye neemaza allah
@hawasomane4222
@hawasomane4222 4 жыл бұрын
Mashaallah
@aliyomar9140
@aliyomar9140 5 жыл бұрын
Asante maalim oth man maalim
@asyaasya3766
@asyaasya3766 2 жыл бұрын
Masha Allah, Shukran sheikh wetu kwa darsa nzuri, Jazzaqallahu khaira
@makokhaidris5942
@makokhaidris5942 8 жыл бұрын
Masha Allah sheikh,Allah Akuzidishie elmu
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 3 жыл бұрын
Allah akupe afya njema na umri mrefu ln shaa Allah.🙏🏻🙏🏻❤️❤️
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 3 жыл бұрын
YAARAB TUSTIRI na AMJALIE Maisha marefu Mwalimu Wangu huyu Othman Maalim na Yenye Kheri zako ALLAH
@birdofpry3897
@birdofpry3897 6 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu hakika tunapata faida kubwa kwa mawaidha mazuri unayo tupatia, Allah akulipe kher hapa dunian na akhera
@hassankapate967
@hassankapate967 4 жыл бұрын
Asante Sheikh ALLAH akufanyie wepesi dunia na Akhera
@mohamedindalo2663
@mohamedindalo2663 5 жыл бұрын
Allah atufanyie weps umati huu bora
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 6 жыл бұрын
Nakuelewa shekhe wangu.amiiin thuma Amiiin
@saudambinga3832
@saudambinga3832 2 жыл бұрын
Shekhe Osman Maalim Allah akujaalie umri mrefu afya njema uzidi kutujuza juu ya history ya dini yetu, shukran sana🇴🇲
@bestmoment-tv4il
@bestmoment-tv4il 3 жыл бұрын
Allahu Akbar
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 2 жыл бұрын
ماشاءاللہ
@tivelamc158
@tivelamc158 3 жыл бұрын
Allah akupe umrii mlefu uzidi kutuma elimu🤲🤲
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 жыл бұрын
Mashallah Allah SW akutangulie kila hatua
@SalmaSalma-qp3xf
@SalmaSalma-qp3xf 5 жыл бұрын
Mashallah mwenyenz mungu akupe umri kwan unatuelimisha wengi
@zaujatabdully113
@zaujatabdully113 6 жыл бұрын
Jazaaka Allah khair
@fatmaismaili.mashaaallah4992
@fatmaismaili.mashaaallah4992 Жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akupe Afya akulinde na hasad
@swbrnahasan6398
@swbrnahasan6398 6 жыл бұрын
Jazakallahu kheyira
@ghibbahally9627
@ghibbahally9627 4 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@Learning2test
@Learning2test Жыл бұрын
Mashallah..jazakallahul khair
@hadijasadiki5825
@hadijasadiki5825 2 жыл бұрын
Allah akujalie umli mrefu shekhe wetu
@uweisali1533
@uweisali1533 7 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله
@baaharoon
@baaharoon 2 жыл бұрын
Assallamaleiykum warahmatullah wabarakat hamdulillah Mungu akuweke Uzidi kutuzinduwa ututowe katika njiya ulopotoka I turegeshe katika siratwal mustaqim na Mungu akusameh uende mbele ya haki umetakasika na Mungu Atujalliye atusameh awe radi nasisi Allahumma iniy as aluka rahmatika la yamliku illa anta
@alisalmin8313
@alisalmin8313 4 жыл бұрын
BARAKA'LLAH FIIHA
@eshmelsagaph8616
@eshmelsagaph8616 4 жыл бұрын
ماشاالله يا عثمان معلم
@mwantumjuma9025
@mwantumjuma9025 4 жыл бұрын
Alhamdulilah mwenyezimungu akulipe kheir
@ibbutv4275
@ibbutv4275 4 жыл бұрын
ALLAH akulipe pepo sheikh
@muhammedtz287
@muhammedtz287 2 ай бұрын
Subhanallah
@khadijaally3859
@khadijaally3859 8 жыл бұрын
Jazakallahu kheyri
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Amiina
@anithahassan6187
@anithahassan6187 6 жыл бұрын
Allah akbar
@hamisamaundi5661
@hamisamaundi5661 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde sheikh ilitujifunze zaidi
@sophiamgwila846
@sophiamgwila846 5 жыл бұрын
ما شاء الله برك الله فيك
@hamzamsangi6790
@hamzamsangi6790 6 жыл бұрын
Ma Sha Allah
@thefarati9977
@thefarati9977 7 жыл бұрын
Masha Allah
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Mashallah
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 4 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 5 жыл бұрын
Shukran wajazaka Allahu heri
@hamamaabdalla6703
@hamamaabdalla6703 3 жыл бұрын
Mashaawah
@AbdulWahid-xg7ph
@AbdulWahid-xg7ph 8 жыл бұрын
jazakallahu kher
@drlebon5793
@drlebon5793 2 жыл бұрын
Allah akuruzuku Shahada kabla ya umauti wako
@mubarakabdillahi705
@mubarakabdillahi705 7 жыл бұрын
kheri
@aligedi2869
@aligedi2869 6 жыл бұрын
Allah akupe umri kaka
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 жыл бұрын
Asante shekhe wetu
@aminaissa7148
@aminaissa7148 2 жыл бұрын
Asante sheikh wetu
@eshmelsagaph8616
@eshmelsagaph8616 4 жыл бұрын
جزاكلله خيرا
@mmminaa23
@mmminaa23 8 жыл бұрын
Ameeeen Yarabiii
@MahMoud-nl9rm
@MahMoud-nl9rm 2 жыл бұрын
Allah Akbar Allah Akbar
@farouqsilvester9918
@farouqsilvester9918 6 жыл бұрын
I'm still learning a lot from u sheikh.
@joelkalumba6938
@joelkalumba6938 2 жыл бұрын
Amin yarabi
@asiliyakechuma9766
@asiliyakechuma9766 6 жыл бұрын
Jazaka llahu
@iralibinismaili9346
@iralibinismaili9346 4 жыл бұрын
asiliyake chuma jazaka llahu
@athumanchato3217
@athumanchato3217 6 жыл бұрын
wajina mungu akuzidishie
@ahmadliute5920
@ahmadliute5920 4 жыл бұрын
Mashasllah,Allah amlipe umri mrefu na akuzidishie elimu yenye manufaa Duniani na Akhera,Allahummà Aaaamin
@hateebtripazze6655
@hateebtripazze6655 4 жыл бұрын
Allah aklpe wema
@wanjoclaude753
@wanjoclaude753 4 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah. mimi nina swali, naitaji jibu kutoka kwa Sheikh Othman Maalim nirizike. swali langu ni: ALLAH (swt) kwa kuumba eti kaanza kuumba Arshi Yake Akaiweka juu ya maji. kisha Akaiumba kalamu. naitaji kujuwa maji yameumbwa lini? In sha Allah, naitaji jibu. Shukran.
@sharifumalisa5198
@sharifumalisa5198 4 жыл бұрын
Inshallah
@muawiyaal-battashi716
@muawiyaal-battashi716 4 жыл бұрын
Allah akupe umr uno kheer na wewe 🤍
@omarmadenge4522
@omarmadenge4522 8 жыл бұрын
inshallah
@alkhormobi9534
@alkhormobi9534 2 жыл бұрын
Asalam alaikum shehe Othman maalim mimi nataka nijue tafusi ya jina langu
@mariammelissa3882
@mariammelissa3882 6 жыл бұрын
MashaAllah
@fayeezomar2902
@fayeezomar2902 7 жыл бұрын
mashallah
@mbaroukabdalla3967
@mbaroukabdalla3967 4 жыл бұрын
Maashllh
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Asalaam alykum, jambo ninalojiuliza km Mwenyezi Mungu alishapanga mwanadamu aje kuishi ulimwenguni kwann tunasema alifukuzwa mbinguni wakt kusudio la Mwenyezi Mungu ilikua mwanadamu kuishi duniani ambako ndio udongo ulipochukuliwa!!!????
@hawahawa6915
@hawahawa6915 3 жыл бұрын
Shukuran shekh
@sudihammad7387
@sudihammad7387 5 жыл бұрын
mwenyezi mpe uhai mrefu tupate jifunza zaidi sisi wavivu wa kusoma ila ni tiba unatupatia maana quran ni dawa ya moyo
@abusaeed9037
@abusaeed9037 5 жыл бұрын
sudi hammad tafuta elimu ni Marathi yani ni lazma
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Allah s.w akujaalie afya njema.
@allyidaras4735
@allyidaras4735 6 жыл бұрын
'atwin mufidda
070 1 OTHMAN MAALIM...MIUJIZA YA MTUME 2
1:06:52
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 38 М.
048 1 OTHMAN MAALIM   KUZALIWA NA KUFA KWA MTUME MOHAMMAD SAW
1:06:26
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 309 М.
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 65 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
047 2 OTHMAN MAALIM   KISA CHA NABII ADAM
1:05:17
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 851 М.
SHK OTHMANI MAALIM KABLA YA KUUMBWA DUNIA KULIKUWA NA NINI
29:43
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 705
FADHILA ZA SIKU YA IJUMA ...OTHMAN MAALIM
35:55
Said Salim Matango
Рет қаралды 100 М.
KWANINI KISU HAKIKUKATA SHINGO YA NABII ISMAIL  ? //SHEikh othman maalim
1:01:33
011 1 OTHMAN MAALIM   KUFICHA SIRI
1:08:01
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 84 М.
038 OTHMAN MAALIM HISTORIA YA NABII SALEH
1:02:30
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 28 М.
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADELINK HABARI
Рет қаралды 114 М.
Othman Maalim Utukufu Wa Dhikr
43:16
Khidhry 29
Рет қаралды 61 М.
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 65 МЛН