Asante Mungu kwa ajili yako, niliitamani sana channel yako man of God, ubarikiwe sana dada, ulitukomboa na utazidi kutukomboa, nawaasi tu wenzangu tuendelee kusikiliza zaidi na zaidi ili tuzidi kujikumbusha yatupasayo zaidi na zaidi ili tuweze kumshinda yule aliyekinyume nasi, mbarikiwe wooote mnaopenda mafundisho ya Mungu. Amen
@ruthkallonga92554 жыл бұрын
Am so happy Mwalimu Grace kujua una channel sasahivi. Kuna mahali nilivushwa na mafundisho yako 2017 yaani, uliacha alama kwangu. Mungu aendelee kukutumia kwaajili ya watoto wake.
@yolandaliyoya18392 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI NA AZIDI KUKUINUA. NAFARIJIKA SANA NA MASOMO UNAYOTUFUNDISHA. YANANITIA NGUVU NA KUSONGA MBELE. MUNGU ALIYE HAI AKUBARIKI SANA.
@tumainimbungula34302 жыл бұрын
Mwl. Umenifundusha kuomba, Mungu akukumbuke akubariki ajibu pia maombi yako.
@rahabmwakanyika11424 жыл бұрын
Ahsante Yesu kuijua chaneli hii Mara ya mwisho nilihudhuria semina yako ubungo kkkt nilivushwa Sana Mungu akubariki mtumishi
@eunicemarugu35954 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wake kwa kukubari kuitwa na mungu naamini hata Mimi mungu ataniita nitakuwa mumoja wa watumishi wake na kupepelusha bendela ya yesu tena kimataifa I connect you're Grace pastor
@DorcasNasimiyu-z2i Жыл бұрын
Hallelujah
@deuslmathias16314 жыл бұрын
Hongera sana Mungu awe nanyi
@hurumalupasa38444 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa huduma yako nzuri mwl
@clauddomu50484 жыл бұрын
MUNGU BABA aendelee kuachilia neno lake kwa wingi ndani yako ili kupitia ww watu wake walioitwa kwa jina lake WAKOMBOLEWE!
@glorymkufyaubarikiwe24094 жыл бұрын
Mwalimu Nmefurahi kukusikiaa tenaaaaaaa!! Muda mrefu sanaaaaaaaa!! Nmeshasusraibu tayariiiiiiii
@jescahwawuda35024 жыл бұрын
Nmebarikiwa Sana na somo
@christinamtanga90012 жыл бұрын
Mwalim nimebalikiwa sana naomba nifaham unapo fanyia huduma
@clauddomu50484 жыл бұрын
MUNGU BABA aendelee kuachilia neno lake kwa wingi ndani yako ili watu wake walioitwa kwa jina lake WAKOMBOLEWE!
@priskakyara44334 жыл бұрын
Mungu Azidi Kukutumia
@catherinekimwai95922 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nimekuona hapa LONGUO MUNGU AKUTUNZE MAMA YANGU
@neemalaurent9836 Жыл бұрын
Ahsante sana mwl kamanda mwenzangu,,umenifundisha kuomba na kushinda
@jessicasimonsekei64493 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho..naomba mungu anifungue mimi na familia yangu mwaka 2021 uwe ni mwaka wakufunguliwa kwetu na uwe mwaka wa raha..Amen
@doreenmusee69084 жыл бұрын
Naskia vizuri Mwalimu...Dubai tunakupenda sana....somo kali hii and very Timely
@raphaelbiachu2064 жыл бұрын
Mwalimu Bwana akubariki sana.umenena na maisha yangu
@IreneMille-xm8oh Жыл бұрын
Mungu akubariki mwangu Kikarara tuna kumumbuka Kila leo
@angelusbell25634 жыл бұрын
The favor of God almighty closes the wrong doors and open the right doors. Mungu aendelee kukusimamia. Asante kwa somo zuri.
Bwana yes niponye ili nitoke ktk madhabahu ya ukoo
@rachelmdachi3874 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa neno la ukombozi wa maisha yangu kupitia ardhibarikiwa
@augustinoadrianomushi89363 жыл бұрын
Barikiwa mwalimu
@Peace.20184 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mwalimu Grace nabarikiwa sana na mafundisho yako.from Holland
@lightnessaminielimeenameen77564 жыл бұрын
Mtumishi natamani ufike nyumbani kwangu
@priscarmmbaga23243 жыл бұрын
asante mwl nakusikiliza sana Moshi
@angelusbell25634 жыл бұрын
2 Timothy 3:12, NIV: "In fact, everyone who wants to live a godly life in Christ Jesus will be persecuted," Piga injili mama.
@rehemakipesile49304 жыл бұрын
Hakika umenifungua mtumishi wa Bwana.
@christopherrweyemamu32144 жыл бұрын
Ubarikiwe Mwl Grace kwamafundisho yako
@ndamugobaivan13 жыл бұрын
Mwalim Grace nilikusikia miaka kadhaa iliyopita na baada ya hapo nikapoteza mawasiliano na wewe. Nina mengi ya kukushuhudia. #OneMinute4Jesus
@zigashanebaleke77014 жыл бұрын
BWANA wetu kristo yesu Akubariki sana kwauduma ihi. Ninakupata toka kigoma kasulu Kwenye kambini ya wakibizi
@eunicemarugu35954 жыл бұрын
Mje musoma pia mungu atoe kibari
@hendryanselim17324 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana Sana Mungu awabariki
@marianguli55293 жыл бұрын
Amen! Mungu akutumie zaidi na zaidi, barikiwa Sana.
@marthermwakyobwe97942 жыл бұрын
Amen barikiwa
@priskakyara44334 жыл бұрын
Asante mtumishi mungu azidi kukutumia amèni.
@ellyminja86814 жыл бұрын
Mtumishi unanibariki sana
@Jacklinemkanya Жыл бұрын
Ameeeen
@annnaliaka38304 жыл бұрын
Nimeanza kuelewa zaidi Neno la Mungu na kuliangazia maisha yangu . Mungu aendelee kukubariki Mwalimu Grace .
@scolakessy26994 жыл бұрын
Nime barikiwa Sana mwalm
@edinaedward49684 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
@neemamkumbukwa62934 жыл бұрын
Yaan furaha niliopata baada ya kuona Chanel yako Mungu anajua..nakupenda sana ulinifanya kuwa mwanamke mwombaji a prayer machine mpk sasa navusha na wewe kama Mimi nilivyovuka kutoka utumwani..ubarikiwe sana
@evsimonjkabeho96333 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa somo zuri
@ireneanney53084 жыл бұрын
Mwalimu nimependa kazi yako ... Mimi nahitaji mawasiliano yako
@monicakimwaga62133 жыл бұрын
Upo vizuri sana ubarikiwe
@nansynansy45954 жыл бұрын
Barikuwa Mutumishi
@mackynicky9474 жыл бұрын
Nakupenda mwalimu ,nilikutafuta KZbin kwa majina yote,,ubarikiwe ulinifundisha kuomba kushughulikia viti vya enzi vya mitaa,,jaman niliomba ulikuwa mwaka 2017,azania Front ,,,barikiwa.Mwalimu naomba namba yako.
@aristaricklekule49324 жыл бұрын
Ameen
@Upendo_Global4 жыл бұрын
Asante kwa mahubiri mazuri
@zigashanebaleke77014 жыл бұрын
Amina
@miriammagali23824 жыл бұрын
Amen..Mungu akubariki Mwalimu,asante kwa somo
@IsaacJavan4 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa BWANA
@happinessmaruchu4674 жыл бұрын
Asante kwa kuwa baraka kwa wengi wetu Mwalimu
@msokamziray23334 жыл бұрын
Barikiwa mno mwalim nilimis mafundisho yako
@kokushababenjamini61044 жыл бұрын
Waoooo,amen Mtumishi. Barikiwa sana
@theosbyuma92243 жыл бұрын
Bwana azidishe neema kwako amen
@theosbyuma92243 жыл бұрын
Nakusalimu kutoka RDC butembo NR kivi
@margaretgilbertdantes11674 жыл бұрын
Amen Amen 🙏🏼
@estermsusi83924 жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu!naomba mtume kila mafundisho yenu mnayofundisha!ee mungu ckia neno hili!lipate kibali machoni pako!
@gracemnubi29224 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho haya mazuri naomba utuwekee namba ya kutuma sadaka au labda ipo sijaiona
@elizabethkyelula24044 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@kanisalafaraja-ufalmeusiow19583 жыл бұрын
Mungu aendele kutenda siku Hadi siku.
@anithabenson78154 жыл бұрын
Ubarikiwa Mwl Grace
@calvaryteam56844 жыл бұрын
Mwali niliisubiri sana hii Chanel yako
@glorylukumay10754 жыл бұрын
Barkiewa mwalimu
@TheMjengwa4 жыл бұрын
God Richly Bless Mwalimu 🙏🏽! Powerful teaching!
@rahelpaul30532 жыл бұрын
Mwalimu ubarikiwe nimepata lakwangu
@emillyjeremiah91134 жыл бұрын
Iam Really blessed maam,iam Gonna pray seriously without wavering .God richly bless you woman of God.
@elizabethchales26634 жыл бұрын
Barikiwe mtumish
@winkitkendi97304 жыл бұрын
Am so blessed mum you have help me so much
@angelfabian12474 жыл бұрын
Mama naweza kukupata kanisa gani....kwa maeneo ya Dar... Au yoyote anayejua ni wapi anapohudumu