Рет қаралды 85
Kichwa cha Mahubiri: MUNGU hubariki nyumba zetu.
Somo: Mwanzo 26:1-6
Tukimwomba Mungu, Yeye hutupatia baraka, upendo, ulinzi, utulivu na amani katika nyumba zetu.
Tafadhali fuatilia channel hii ya KZbin ya Usharika wa KKKT Kipunguni B ili uwe unajifunza Neno la Mungu kupitia Mahubiri, Nyimbo Kazi na Matukio mengine yanayomwadhimisha Mungu kupitia kwa Bwana na Mkombozi wetu Yesu Kristo.
Tafadhali "SUBSCRIBE" channel hii, "SHARE" kwa rafiki zako, ndugu na wengine na pia "COMMENT" ili tupate mrejesho toka kwako kwa ajili ya sisi kuboresha huduma hii. Usisahau ku-"LIKE" pia.Mahubiri Mtaa wa Bombambili tarehe 19/01/2025 - Mch. Humphrey Kisanga - MUNGU hubariki nyumba zetu.
Kichwa cha Mahubiri: MUNGU hubariki nyumba zetu.
Somo: Mwanzo 26:1-6
Tukimwomba Mungu, Yeye hutupatia baraka, upendo, ulinzi, utulivu na amani katika nyumba zetu.
Tafadhali fuatilia channel hii ya KZbin ya Usharika wa KKKT Kipunguni B ili uwe unajifunza Neno la Mungu kupitia Mahubiri, Nyimbo, Kazi na Matukio mengine yanayomwadhimisha Mungu kwa Jina la Bwana na Mkombozi wetu Yesu Kristo.
Tafadhali "SUBSCRIBE" channel hii, "SHARE" kwa rafiki zako, ndugu na jamaa na pia "COMMENT" ili tupate mrejesho toka kwako kwa ajili ya sisi kuboresha huduma hii. Usisahau ku-"LIKE".