#1# SIKU ZA NUHU A SIKU ZETU SEH 1 ( OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 25,209

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

2 жыл бұрын

ANGALIA SEHEM YA PILI KWA KUBONYEZA HAPA
• #2# SIKU ZA NUHU A SIK...

Пікірлер: 48
@sifagubandja1589
@sifagubandja1589 2 жыл бұрын
Yaaani pasta david MUNGU amekutuma tu kwangu kwa mafunzo ,mahubiri yako yananijenga jameni,uonbee watoto wangu piya wamutumiye MUNGU ,na mimi na jamaa yangu yote
@judahmollay9016
@judahmollay9016 Жыл бұрын
MUNGU akulinde sana 🙏
@amosmwaz4742
@amosmwaz4742 2 жыл бұрын
Aki mungu ukweli mtupu
@graceesiabia5379
@graceesiabia5379 Жыл бұрын
Powerful
@floraflora5717
@floraflora5717 10 ай бұрын
Past ata mimi tiari imenipata iyo ugonjwa maana kiumri bàdo lakini najikuta kusau inakuwa seem yamaisha yangu E Mungu niponye
@amozmwaz1494
@amozmwaz1494 Жыл бұрын
Napenda sana mahubiri yako kwa maana yananitia nguvu katika moyo wangu barikiwa kwa kuleta ukweli huu
@jolemerci2155
@jolemerci2155 10 ай бұрын
Mimi uyu muhubili nikimufata muchana wote hâta usiku mashaka inanitoka yani nakuwa ga salama kwaeneo lolote linalo niusu nanikilala nalala salama bila ndoto yoyote ao ndoto yakutosha sipatagi anakuwaka salama eneo langu lote
@elizaphankamando5605
@elizaphankamando5605 2 жыл бұрын
Yan wew mchungaji bas tu, Mungu akutangulie uzid kuhubir neno lake, nakupend san
@fedsonkuyenga8581
@fedsonkuyenga8581 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki pr nabarikiwa sana na masomo yako hakika kupitia ww sasa nampenda Mungu na nimeshuhudia ukuu wa Mungu ktk maisha yangu
@haronoboko7671
@haronoboko7671 2 жыл бұрын
somo tamu pastor barikiwa sana mungu akubariki sana Amen.
@dottonsangalufu9530
@dottonsangalufu9530 2 жыл бұрын
Mmmmh !! Amen! Mungu atusaidie sana nyakati za hatar sana hizi barikiwa sana mtu wa mungu
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 2 жыл бұрын
amina
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 2 жыл бұрын
Mwalimu naomba ufafanusi, yakuwa YESU KRISTO ndiye MUNGU pekeake ama kuna MUNGU Baba pia, kado na YESU KRISTO
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
AMINA.barikiwa sana mchungaji mmbaga.
@linetokuku5390
@linetokuku5390 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU Barikiwa sana kwa somo la baraka sana
@ibrahimukikuli2781
@ibrahimukikuli2781 2 жыл бұрын
Amen
@ombenimeshake4772
@ombenimeshake4772 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Mchungaji
@khaldn7409
@khaldn7409 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mchungaji barikiwa sana
@merykisilu9946
@merykisilu9946 2 жыл бұрын
Nakushukuru sana kwa maelezo yko,yananifanyanga kutabasamu kweli ,maana nimekua mpweke muda mrefu sana lkn ww umenifanya nitamani kuishi na kujitabua kweli,naomba number yko poster tafadhari
@sophiakinyonto5576
@sophiakinyonto5576 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@michaelymkumbwa4927
@michaelymkumbwa4927 2 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 жыл бұрын
Mungu wetu tusamehee na utusaidie kwani maasi yanazidi kuongezeka na tunachukulia kawaida
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Ameeen and Ameeen watching from 🇺🇸
@victoriajames6190
@victoriajames6190 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie mana ata ao kuku wakienyeji tunao sema tunakula ukweli pia wanawachoma madawa ili wakuo fasta yani kitu ambacho si feki lamda kule vijijini kabisa kule,dah 😢 MUNGU tusaidie wanawako
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 2 жыл бұрын
Asante mchungaji Mungu atusaidie.
@zelamartinez882
@zelamartinez882 2 жыл бұрын
Praise and worship songs
@HealthyLifeBasics
@HealthyLifeBasics 2 жыл бұрын
Asante pastor
@alineriziki6756
@alineriziki6756 2 жыл бұрын
mumebarikia ya kutosha
@alicesidi9601
@alicesidi9601 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@claudinebatamuriza4936
@claudinebatamuriza4936 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏿
@roselineombati670
@roselineombati670 2 жыл бұрын
Pastor mungu azidi kukuongezea kibali
@elizabethsarange5064
@elizabethsarange5064 2 жыл бұрын
Be blessed
@abelimalifedha1762
@abelimalifedha1762 2 жыл бұрын
Ameein
@edwinpius2346
@edwinpius2346 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Angalia sehem ya pili kwa KUBONYEZA link hii kzbin.info/www/bejne/pZumq2SfqN93ipY
@vianzacharia2112
@vianzacharia2112 2 жыл бұрын
Pastor nabarikiwa san
@neemadaudi5716
@neemadaudi5716 2 жыл бұрын
🙏 barikiwa pr GMO je kunywa damu ya mnyama mbuzi au ngombe mtu akiwa kapungukiwa damu nayo hii ipoje kibble?
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@patrickkamau7754
@patrickkamau7754 2 жыл бұрын
Sasa tufanyeje mhubiri kwa sababu hatuna chakula kingine ila hicho Cha GMo
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Vya asili vipo vingi tuu
@nashonvicent6794
@nashonvicent6794 2 жыл бұрын
Mchungaj mm nikijana mdogosana napendasana kuenenda ktk haki yamungu nannapendasana nikisikia neno labwana kama hivi huwa nakubali kupata hasala ilituu nisikie neno ila sija mpokea Yesu nikifanya jitihada huwanafelixana naishia kukata tamaa nifanyeje pasta maana akilizangu zinafeli zimefikamwisho
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 2 жыл бұрын
Amini YESU KRISTO aweza yote, na ukiomba lolote kwake atakupa,
@kingranda1055
@kingranda1055 Жыл бұрын
Pastor nabarikiwa sana kwa namna ambavyo Mungu anakutumia kutupatia neno la matumaini, Ningeomba kama inawezekana,tupatie somo juu ya manefili kiundani zaidi.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 10 ай бұрын
Forbidden knowledge
@gerryndyamukama9058
@gerryndyamukama9058 2 жыл бұрын
mahesabu ya siku na miaka ni simple sana.Siku moja ni masaa24 kwa sababu dunia hujizungusha mara moja katika muhimili wake kwa muda wa masaa 24. nahutumia siku 365 kulizunguka jua katika orbit yake,ndiyo tunaita mwaka. hakuna mtu aliyeamua kupanga hayo mahesabu bali MUNGU pekee aliyeiumba dunia na sayari zote ndiye aliyeweka hizi kanuni. pia sehemu ambazo masaa ya mwanga yanakuwa mengi kuzidi masaa ya giza ni kwasababu sehemu hizo ziko karibu na North Pole ya dunia na tunajua kwamba wakati dunia inajizungusha kwenye muhimili wake ndipo usiku na mchana unapatikana.Kipenyo cha dunia kinaenda kinapungua unaposafiri kutoka katikati ya dunia yaani (equator) kuelekea juu au chini,hivyo upokeaji wa mwanga kutoka kwenye jua hakuwezi kulingana kwa sehemu zinazotofautiana kipenyo
@barackboniphace6311
@barackboniphace6311 2 жыл бұрын
Amen
@jjparis936
@jjparis936 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana pastor Mungu azidi kukupa maarifa, umefundisha kitu ambacho tunakiona lakin hatujui maana yake, zamani pale Nyumbani kijijini kulikuwa na mihogo ukipanda unavuna baada ya Miaka miwili sasahiv Zipo mbegu za miezi sita tu unavuna na utofauti wa mbegu zile na sasa nimkukwa Sana, zamani mihogo ilikuwa mkubwa Sana lakin ya sasa ni vidogo dogo umefundisha kitu sahihi Sana.
#2# SIKU ZA NUHU A SIKU ZETU SEH YA 2 ( OFFICIAL VIDEO)
43:34
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 18 М.
HAPA NDIPO NUHU NA NMRODI WANAPISHANA
1:10:33
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 25 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 17 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
(OFFICIAL VIDEO) PATA MUDA NA MUNGU | PR. DAVID MMBAGA
47:46
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 8 М.
KISA CHA YUSUPH NI KISA CHANGU AU NI KISA CHA YESU - PR BARAKA BUTOKE
53:17
KILIO KWA TAIFA NA KUADHIBIWA KWA KANISA LA MUNGU TANZANIA. sehemu ya2
54:08
ROHO MTAKATIFU NDANI YETU
34:07
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
Live - MAISHA YA UTAKATIFU "PASTOR MGOGO
1:29:47
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 18 М.
KUOMBA AHADI ZA MUNGU(PR DAVID MMBAGA)
1:34:40
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 84 М.