No video

#mahubiri

  Рет қаралды 11,817

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 34
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 3 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu naomba pia bint yangu umkumbuke ktk maombi hatembei kwa miaka 9
@georgekauma6432
@georgekauma6432 Жыл бұрын
Ndiyo ndiyo ndiyo. Mimi sio msabato lakini huyu ndiye mchungaji sahihi ktk kipindi hiki cha mwisho huku tukimtarajia YESU KRISTO TU wakati wowote. Be blest paster D. Mbaga.
@newiceubson
@newiceubson 18 күн бұрын
amina mtumishi kumbuka maisha yangu
@samwelmtonyi8203
@samwelmtonyi8203 6 ай бұрын
Amina naamini pia muombee mke wangu Eva apone kifua kinamsumbua kwa mda mrefu
@GabrielWarioba-co8qg
@GabrielWarioba-co8qg Жыл бұрын
Naitwa Gabriel William ryoba naomba mniombee watu wa Mungu naumwa japo cjui naumwa nn naombeni mniombee Mungu awabariki sanaa watu wa Mungu
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu akutendee
@kinsman-mx6qh
@kinsman-mx6qh 18 күн бұрын
amina mtumishi wa MUNGU
@kabembokijigo6454
@kabembokijigo6454 Жыл бұрын
Hakika Mungu mwenyewe ndiyo Tabibu Mkuu Specialist wa aina yake, naam nami naamini na Hakika ataniponya maradhi yangu yote ajilia mbali madaktari wa ngap wa dunia hii wameshindwa kunitibu. Tumain langu ni kwa Mwokozi wa ulimwengu. Hongera Pasta usinisahu katika maombi yako.
@joharissa2020
@joharissa2020 8 ай бұрын
Aminaaaa
@lydiamapenzi2152
@lydiamapenzi2152 Жыл бұрын
Amen namebarikiwa na somo zuri la asubuhi muchungaji ubrikiwe San tunakuombea MUNGU akupe Afya njema
@Officialkashein-Arika
@Officialkashein-Arika Жыл бұрын
Amina mtumishi Ubarikiwe sana🙏🙏
@user-os3vo4sm2n
@user-os3vo4sm2n 7 ай бұрын
Amen
@Vanillah-lg3pn
@Vanillah-lg3pn Жыл бұрын
Naomba Mungu amponye mamangu.... mwenye amekuwa mgonjwa zaidi ya mwaka naamini kuwa Mungu atamponya Amina
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 Жыл бұрын
Naomba Mungu aniponye mgongo na miguu zinauma sana, na wanangu pia ugongwa wa macho kifua tupone katika jina la Yesu
@mariammwita8216
@mariammwita8216 Жыл бұрын
Ninabarikiwa sana na maneno ya uzima. Yesu atusaidie sana tubaki miguuni pake. Plaster Bwana azidi kukutumis
@paulwambua4956
@paulwambua4956 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikiwa Saudi Arabia.. Namshukuru Mungu kwa uponyaji..
@ModesterShokolo-mr6km
@ModesterShokolo-mr6km Жыл бұрын
Bwana ni mwema ,
@tinamwashilindi6807
@tinamwashilindi6807 Жыл бұрын
Ansante kwa somo
@YohanaLazaro-rj7cp
@YohanaLazaro-rj7cp Жыл бұрын
@GabrielWarioba-co8qg
@GabrielWarioba-co8qg Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na vpindi vyenu
@anisagervasjumanne116
@anisagervasjumanne116 Жыл бұрын
Aminaaaaa,Mungu atukuzwe. Ubarikiwe pia.
@pendomollel-oy7gm
@pendomollel-oy7gm Жыл бұрын
Ubarikiwee sana pastor
@Boreshandotoyako
@Boreshandotoyako Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji
@CYPRIANJOSEPHBOKE-je1rm
@CYPRIANJOSEPHBOKE-je1rm Жыл бұрын
Bwana akubarikiii
@mamalaozphilemonmtawali.8467
@mamalaozphilemonmtawali.8467 Жыл бұрын
ubarikiwe pastor.
@fgdt6453
@fgdt6453 Жыл бұрын
Amina
@user-re8ep3fp4q
@user-re8ep3fp4q Жыл бұрын
Nipeni vifungu plz
@editarwaetson4475
@editarwaetson4475 Жыл бұрын
🕊🕊🕊 mung akubalik sna
@annetmbwambo9369
@annetmbwambo9369 Жыл бұрын
MUNGU amponya mama yangu cancer ya mapafu na nyoga
@happyperson3016
@happyperson3016 Жыл бұрын
Ninaweza kupata dawa za hizo miti za kuponya mgongo?
@subiransonda6608
@subiransonda6608 Жыл бұрын
No nm
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 Жыл бұрын
Amen
@mborawakiche7564
@mborawakiche7564 Жыл бұрын
Amina
@christinafraha617
@christinafraha617 Жыл бұрын
Mungu akubari
KICHOCHEO CHA MAJIBU YA MAOMBI-Pr.David Mmbaga
50:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 32 М.
MAOMBI YA ULINZI NA KUTEGUA MITEGO OFFICIAL VIDEO
1:05:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 23 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 12 МЛН
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO by Innocent Morris
29:18
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 104 М.
IMANI HII ITAKUPA USHINDI MPINGA KRISTO AKIINUKA- PR. DAVID MMBAGA
1:01:32
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 4,1 М.
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA MWANAMKE NI NANI.  [ 1 ]
45:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 433 М.
Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
21:11
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 132 М.
MAOMBI YA UPONYAJI KWA DAMU YA YESU by Innocent Morris
9:51
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 14 М.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 20 М.