1_USHUHUDA WA ESTA GASPAR:NILIONA JINA LANGU KTK KITABU MBINGUNI,MALAIKA WAKIIMBA WIMBO WA CHIDUMULE

  Рет қаралды 10,955

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 48
@edwinndyamukama8918
@edwinndyamukama8918 Жыл бұрын
Ukiona Mungu anaonyesha mambo yatakayokuja kwa bidii Sana,ujue anajua majira na nyakati zimefika. Tajiri aliomba Mungu amtume Lazaro she kuwaambia ndugu zake yatakayowapata wasipobadili njia zao .Ombi la tajiri lilikataliwa. Ila Sasa Mungu kaona vema watu wajue.pia Soma Biblia mpendwa utaelewa! Mungu akubariki dada Esther!
@wesongamildred5618
@wesongamildred5618 Жыл бұрын
Asante dadangu kwa ujumbe huyo umenitia nguvu naomba Mungu anisaidie na familia yangu atutie nguvu tupate kuingia mbinguni!!!
@ivonakifumu1329
@ivonakifumu1329 Жыл бұрын
Asante mama Kwa ushuhuda huu . MUNGu akubarik sana. ni MUNGU amekutuma tupone na hiyo kuzimu. Hao wanao SEMA ni uongo ni kuwahurumia. Asante
@julianawairimu801
@julianawairimu801 Жыл бұрын
Very powerful testimony,am blessed.
@neemafrancis2487
@neemafrancis2487 Жыл бұрын
Amen. Nabarikiwa sana
@florencemueni1183
@florencemueni1183 Жыл бұрын
Amen vry powerful testimony God bless u
@upendomgao4137
@upendomgao4137 Жыл бұрын
Ni kweli mtumishi wa Mungu. Sema tupone. Yesu uturehemu.
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
mch. moses alikuwa mcha Mungu kweli. hivi kuna wachungaji wangapi saivi wanaoweza kumsikiliza binti mdogo hata amwombe amwombee.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Mungu atuhurumie,Natamasi nisikilize tena shuhuda naona napotea tu
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 Жыл бұрын
Amen mama yetu mungu amekutumia ktk viwango vya juu sana
@miria659
@miria659 Жыл бұрын
Ushuhunda mzuri dada ESTA shukrani for sharing with us God bless you.
@gradyskamwela6163
@gradyskamwela6163 Жыл бұрын
Utii na unyenyekevu mbele za Mungu hutuwezesha kufanya mambo makubwa pia kujitoa sadaka na kukubali kumtumikia Mungu pamoja na maombi tunapata thawabu ubarikiwe mtumishi wa Mungu kutii kwako na kujitoa nimejifunza kitu
@helenongara1679
@helenongara1679 Жыл бұрын
God is REAL! Heaven is real. Hell is real. Mwenyezi Mungu atusaidie sana tufanye maamuzi sahihi tungali hai 🙏🏾 Ahsante Mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda huu mzuri!
@elisonishadrack4410
@elisonishadrack4410 Жыл бұрын
Amina barikiwa mtumishi umetujenga kiroho ili tukaze mwendo ili kuifikia ijara tuliyoandaliwa
@christerkilamlilo7013
@christerkilamlilo7013 Жыл бұрын
Aminq Mama ushuhuda mzuri sana. Tunaomba Roho Mtakatifu atufungue tuyasikie maonyo na kuyaishi
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Ushuhuda mzurii kumtumikia mungu Kuna faida, mungu akubariki mama ,niwajibu wetu kujitakasa
@nyarkristoforjesuskoga3761
@nyarkristoforjesuskoga3761 Жыл бұрын
UBARIKUWE ESTHER THIS POWERFULL MUNGU AKUBATIKI
@annetteutunga6862
@annetteutunga6862 Жыл бұрын
Asante yesu kwa ushuhuda
@mwibakechaassani6810
@mwibakechaassani6810 Жыл бұрын
Asante sana mama kwa ushuhuda huu
@navokisembo
@navokisembo Жыл бұрын
Amen mama barikiwa na ushuhuda huu
@baya7067
@baya7067 Жыл бұрын
Amen mungu atusaidie
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana 🙏
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Barikiwa sana mama yetu ushuhuda nimzuri mnoooo
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
sasa hii majira mbona itapeleka wanawake wengi motoni jamani
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@Shalom2018
@Shalom2018 Жыл бұрын
Ahsante mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda,kwa kweli Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema,ila mimi najiuliza swali moja mbona shuhuda nyengine waliyowahi kushuhudia wanasema tayari watu wamo kwenye moto wanaungua?na mimi nashangaa kwa sababu hukumu bado,sasa sijui imekaaje hiyo.
@jorobency4407
@jorobency4407 Жыл бұрын
Ni kweli wako kwenye moto maana ukosoma neno ;a Mungu lonasema kuna jehanum ña kuzim.Moja ni sehem ya moto ya kungojea hukumu ña ingine ni ile ambayo watatupwa shetan mwenyewe ña malaika zake pamoja ña wote walioasi milele ni mkali kulikp wa sasa
@filbertwerema8459
@filbertwerema8459 Жыл бұрын
Kuna mambo mawili ya kutofautisha hapa, Jehanamu au ziwa la moto hakuna yeyote aliyetupwa humo mpaka Sasa tangia kuumbwa ulimwengu, ila Kuzimu pia Kuna moto ambao unaendelea kuwatesa watu wanaoenda huko kusubiria hukumu ya Mwisho, hivyo Kuzimu ni sehemu ya mahabusu au mangojeo ya kwenda kwenye hukumu ya Mwisho ambayo ndio ziwa la moto au Jehanamu.
@alnordarnold5189
@alnordarnold5189 Жыл бұрын
Ameen
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Жыл бұрын
Ushuuda mzuri sana
@dorcasamina4551
@dorcasamina4551 Жыл бұрын
Amen part two
@alnordarnold5189
@alnordarnold5189 Жыл бұрын
Asante Yesu ameen
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 Жыл бұрын
Amina amina
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Ameeeeen BWANA nizaidie
@bazurimwemdi9060
@bazurimwemdi9060 Жыл бұрын
Amen
@lucymerchioly711
@lucymerchioly711 Жыл бұрын
Mungu anirehemu kwa yote anisaidie
@sarabura3314
@sarabura3314 Жыл бұрын
amen
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Tokea 1988 wow Mungu usifiwe
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Mimi Moses kulola humsikia tu nakumuona utube lakini nimetokea kufatilia mafundisho yake kweli na kumpenda
@zablonfesto5216
@zablonfesto5216 Жыл бұрын
Amina Mama ubarikiwe sana
@palimwambene9033
@palimwambene9033 Жыл бұрын
Naomba namba ya mtumishi huyu🙏🏻
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
hicho chuo cha biblia bado kipo na masharti hayo? vyuo vya biblia vikiwa hivo lazima wanaosoma hapo watoke imara hata kama walienda huko kubip
@navokisembo
@navokisembo Жыл бұрын
Naomba number za huyu mtumishi nina maswali ya kumuuliza. Kwani biblia inatuambia waliokufa wamelala hawajui lolote yaani kuna wale watu wanadhani mtu akifa anaenda mahali kama hapo ukiposema kwenye mateso kumbe biblia haijatuambia hivyo. Naomba ufafanuzi mtumishi
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 Жыл бұрын
Yesu alipo ongelea swala la lazaro na maskini unadhani alikua anadanganya. Kile kilikua kisa cha ukweli sasa sijui ni maandiko gani unasema
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 Жыл бұрын
Wewe hujasoma biblia vizuri. Umesoma sehemu moja tu na hata hukuielewa. Yawezekana wewe ni wa SDA ama Jehovah witness, hata wakiambiwa ukweli huu kiasi gani hadi waonyeshwe maandiko wanakataa. Wanaamini maandiko ya Ellen White kuliko ya biblia.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
MUNGU SIO MWANADAMU KAMBA ILIKUVUTA MPAKA JUKWAANI SI MCHEZO MUNGU WETU NI MKUU SANA
@ungwamseke9590
@ungwamseke9590 Жыл бұрын
Amen
@flm1530
@flm1530 Жыл бұрын
Ameen
Part10_USHUHUDA WA ESTA MASANJA|MALANGO SABA YA KUZIMU
1:34:00
PROMOVER TV
Рет қаралды 7 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 206 МЛН
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17