Danganya haohao mapopoma wenzio wakrist watakuskiliza sababu washazoea kudanganywa ila kwa muislamu kweli huwez nitoa kwenye imani yangu alhamdullah kwakuzaliwa muislamu allah atujaali mwisho mwema wa maisha yetu hapa duniani🙏🙏🙏
@neutybebz3187Сағат бұрын
Ameeeeeen
@lusekelowilliam2068Сағат бұрын
Anaitwa nani nimfollow?
@janerosejohn83732 сағат бұрын
Hubiri dhambi wakatoliki wanasali na dhambi madhabahuni, waokoke!
@Soph-h9t10 сағат бұрын
Kweli
@DeboraMuhindo-q7d10 сағат бұрын
Raja sana mungu awabariki
@KutlwanoMenoe10 сағат бұрын
❤❤🎉
@DeboraMuhindo-q7d10 сағат бұрын
Usuri wa Africa kila fasi unaubiri ubarikiwe
@MuyaHappy-j8y12 сағат бұрын
Amen
@RabbitsFarmer13 сағат бұрын
Nilikua nadhani Katekela atapewa holy communion
@GodfreyLazaro-bu8cy13 сағат бұрын
Yaaani mim ni mchanga sana kiroho lakini huyu ndo mtumishi
@MarrySanjingu13 сағат бұрын
Kweli MUNGU aitwe MUNGU
@NeemaDavid-o3j13 сағат бұрын
😭😭😭 uuuuui mungu tusaindie kukutumukia
@shaddybmc834214 сағат бұрын
Very true
@LavinaJoseph-ei2tv14 сағат бұрын
Hao wanaobishana nawewe Amiel ni mafreemaso wengine mlingot chuma benders chuma songa mtumish wa mungu
@EmmanuelKaselya14 сағат бұрын
Aa
@annissdaprincess384616 сағат бұрын
AMINA KUBWA hallelujah
@WilsonElijah-g5p16 сағат бұрын
Amen mtumishi 🙏🙏
@annissdaprincess384616 сағат бұрын
Amina hallelujah
@alhadajjmohammedsmith904217 сағат бұрын
📌Hata Kupaza kwako Saiti/Kutoa Mahubiri Hadharani ilhali wewe ni Mwanamke (Japo umesitiri kwa Kuvaa Mavazi ya Sitara/yanayokubalika na Uislamu) laskin ni miongoni mwa Ishara na Dalili tosha za Kiyama/Mwisho wa Dunia.
@SarafinaNyamvula18 сағат бұрын
Amen ,may God bless you 🙏
@ndavadumayai425019 сағат бұрын
Mimi ni mtu ninayekupenda sana na neno lako linanitia moyo, ila Ukiaanza mara ameingia cha kike ,haipendezi kabisa!
@ndavadumayai425019 сағат бұрын
Mtumishi wa Mungu, Acha kuimba nyimbo za duniani hata kama unatolea mfano haina haja ya kuwataja watu wa duniani huku huku kwetu tunajitosheleza
@NeemaPeter-i5w21 сағат бұрын
Ameni mtumishi
@Elizabethbonarrimasese22 сағат бұрын
Wewe ndio unajua kile anafundisha hakina maana,,kwetu kina aana labda wewe nimmoja wa hao ndio maana una mashaka
@marysabihi993114 сағат бұрын
Kweli Yanatusaidia kuelewa mambo duniani, huyo anaepinga yasifundishwe tunamwekea alama ya kuuliza?
@HarunMchana22 сағат бұрын
Na angusa Kila utawala wakisetani ambao umesimama kinyume na njia zangu kwamamulaka ya jina laYesu amen and amen 🙏🙏👋👏👏
@merrythadeo531823 сағат бұрын
Sio kila mama mkwe ni mbaya,wapo wengine ni wazuri tu.
@ramadhanjinassa423723 сағат бұрын
Siku nikija Dar nitataman kufka kanisan kwako nipate maarifa zaid kam haya.
@RodahAdonice-dz4sm23 сағат бұрын
Ameni ❤❤
@RamadhanMarco-o5sКүн бұрын
Amina kabisa
@patrickmunishi2277Күн бұрын
katekela FUNDISHA Neno la Mungu, achana na hayo mambo unayo FUNDISHA. AYANA faida YEYOTE.
@Katembo_Official11 сағат бұрын
Kwa hyo ww unayatumia?
@Monica-wu7lqКүн бұрын
Upo sawa kaka
@Magnus-m-t2fКүн бұрын
Mtumishi hadi vital signs zipo sawa ❤
@RelaxationatureКүн бұрын
Kwahiyo wote mnataka tuwe wachungaji
@EdinaMwailengeКүн бұрын
Aaaaamen
@selestiniasengaКүн бұрын
Roho Mtakatifu akuinue watu wengi waokoke na kufunguliwa.
@PauloAmos-k2fКүн бұрын
Wangapi tunazidi kubarikiwa❤❤ naneno la bwana yesu
@MaryMichaelMaryMichael-i7oКүн бұрын
Blessed promvover tv..mtumishi wa MUNGU. Pamoja na kaka jacktani the power of testimony
@MaaDii-iz3urКүн бұрын
Amen
@ScolasticaHauleКүн бұрын
Kupitia mahubiri haya nimebarikiwa sana skukrani kwa neno zuri🙏🙏.
@SamuelmulawaviroКүн бұрын
Amen🙏 ❤❤
@KingsalumoniКүн бұрын
Ameni
@jennysabina8696Күн бұрын
MUNGU atusaidiye san amen kubwa 🙏🙏😭😭
@ElizabethmuronjiКүн бұрын
Amen
@moseshaule586Күн бұрын
Hata Dunia yenyewe ni madhabahu.. Aliye ndani Yenu ni mkuu kuliko aliye katika Dunia. Mtu wa Mungu unaweza kuingia popote na usidhurike.
@nevianvitalis1141Күн бұрын
Tangia nimeanza kukufaham Mtumishi wa Mungu Amiel.kuna kitu kikubwa Sana nimejifunza .. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki zaidi