Mungu akubliki sana mtumish wa mungu nabarikiwa na neno la mungu
@mbonilemwakatundu460711 ай бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe
@happyness-bs3tr10 ай бұрын
Amin
@margaretwanjiru9096 Жыл бұрын
Barikiwa sana kwa mafundisho yenye baraka🙏🙏🙏🙏
@eustina0 Жыл бұрын
Aminaa Mungu azidi kukubariki sana
@mochama-dy7ti9 ай бұрын
amen pastor 🙏
@estherwambuies17823 жыл бұрын
Barikiwe sana mtumishi wa mungu
@felixibrahim71263 жыл бұрын
Ubarikewe sana
@rahimajuma53068 ай бұрын
Mungu aubariki sana
@joomoney80033 жыл бұрын
Mwanamatengenezo kwa kizazi chetu nimemuona NI DAVID MBAGA amekubali kujifunza na kukubali na kuwafundisha na wengine akijua fika kuna makosa yamepita hapo nyuma naomba pastors wengine wajifunze kwa huyu jamaa kwa nini pastors kwa sababu ndo hulisha japo now days walishwaji wanaufahamu kuliko walishaji
@kristopapaapaulo8113 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@MaryWilson-vg2mm3 жыл бұрын
Unanitiaga moyo sana
@esternaftari45533 жыл бұрын
Tunakufuatilia mtumishi
@betrs52853 жыл бұрын
Amen, paster mm naswali neno linasema maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele zake na hajishughulishi kabsa , je mm mwenye dhambi mungu atanisameheaje nami nkiomba hayaskilizi hayo maombi yangu?