12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 6.12.2024.

  Рет қаралды 32,515

New Life TV KENYA

New Life TV KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 Ай бұрын
Nimetuma sadaka ya ukombozi na wanangu kwa tigo pesa Tz Utukufu Kwa Bwana
@beatricekibutu25
@beatricekibutu25 Ай бұрын
I have sent my tithe pastor i have a testimony i came month ago during holy communion having faith that all the fights i was going through at work and home they all ceased and i was to get a contract and pastor they offered me a contract last month i thank God for the blessing and i have faith that God will do more .I pray that door open for My husband Abraham madeke job opportunity i pray that my contract will always be renewed each and every contract i pray for peace to rein upon my life job .I pray that God anipe kibali i Believe and more life and doors to open bigger doors utukufu kwa bwana amina amina amina
@OchiengOdhiambo-e1q
@OchiengOdhiambo-e1q Күн бұрын
Asante mwenyezi mungu kuona siku ya leo , uzidi kunionekanie kwa mahitaji yangu ya kila siku, maisha yangu yote na hat plan zangu kubwa yenye nimepanga kufanya kwa maisha yangu kupitia hii madhabahu yako baba yangu wa kiroho Ezekiel Amen
@OchiengOdhiambo-e1q
@OchiengOdhiambo-e1q Күн бұрын
Baba uzidi kunibariki kwa hii madhabahu yako kwa kuona miujiza yako . Kwa mfano mungu kuzidi kunifungulia mlango yenye bado haikafunguka, kurudisha nyota yangu mahali wachawi au waganga kutoka kwetu au mahali popote kwa Jina la yesu
@OchiengOdhiambo-e1q
@OchiengOdhiambo-e1q Күн бұрын
Baba mwenyezi natuma maombi kwa siz wangu kwa ajali yenye ilimpata ata kama ilikuwa mkono ya uchawi au uganga iwe katika familia yetu, community yetu kwa Jina la yesu hii madhabahu yako baba yangu wa kiroho Ev ezekiel imtetea katika Jina la yesu Amen
@gladyswanjirumukundi9920
@gladyswanjirumukundi9920 8 күн бұрын
Bwana yesu hizi ndoto za mauti,uchawi, unganga ,mapepo,backwardness, stagnation,rejection kwangu,mume wangu na watoto wetu ipigwe na rhadi ya nguvu za mungu in Jesus mighty. No more bad dreams
@LucyMila-m1u
@LucyMila-m1u 48 минут бұрын
New life imenifanya kuwa jaziri Na nmepata Baraka kutokana Na madhabau Haya Mungu amenipa boss ambaye ananielewa pastor nashukuru mungu zaidi
@marynafula7836
@marynafula7836 Ай бұрын
Na Mungu n upendo 😊
@eunicemakau5645
@eunicemakau5645 Ай бұрын
Eeh Mungu waujua moyo. Wajua udhaifu wangu naomba uniondolee. Nichunguze na unitimizie ambayo nimeweka mbele yako kupitia kwa hii dhabau.
@bahatichenje6224
@bahatichenje6224 27 күн бұрын
I connect my children to this prayer in Jesus name Amen
@Hadija-z6y
@Hadija-z6y Ай бұрын
Amen 🙏🙏 in the might name of Jesus Christ Amen
@evelynawuor2978
@evelynawuor2978 Ай бұрын
Amen..thru my sacrifice ñ Holly communion mungu ni bariki na bariki fmly yangu tupe tamanio ya moyo wangu,,
@ChildofGod315
@ChildofGod315 Ай бұрын
Father God give me strength, I seem to bear the weight of the world on my shoulders as a single mom, I often face challenges that can seem insurmountable especially with raising two children with special needs. I’m trying to balance everything but Lord I’m struggling to make ends meet, to pay bills, and to put food on the table for my children. HEAVENLY FATHER Thank you for giving ME strength to keep going.💕
@maureenomare379
@maureenomare379 Ай бұрын
You always say that in every ministry channel.
@richardimetur7066
@richardimetur7066 10 күн бұрын
AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!AMEN!
@aidawairimu
@aidawairimu Ай бұрын
Through this higher alter,naomba nyota za watoto wangu zingae kabisa chochote wanachohitaji wapate katika jina la yesu AMEN 🙏
@richardndegese1448
@richardndegese1448 Күн бұрын
Letcia Daud Naomba Madhabahu ya new life inisaidie nijifungue salama
@queensalma4217
@queensalma4217 Ай бұрын
Mungu kupitia haya madhabau nkumbuke na ukumbuke mme wangu na watoto wangu .....kijana alkuwa job amesimamishwa...Ile pesa amesave hizo masiku namtolea ten percent na najua atapata KAZI mzuri.nmelia nmechoka naomba pastor Ezekiel niombee na nyumba yangu...madeni iniondokee....
@MeshackOduor-py3zp
@MeshackOduor-py3zp Ай бұрын
Kwa hii madhabao naomba mungu anibariki na Roho ya ufanisi na utajiri katika hii madhabao ya nguvu
@MeshackOduor-py3zp
@MeshackOduor-py3zp Ай бұрын
Naomba mungu kwa hii ibaada ya above only unibariki na kazi ya maana niende nyumbani na Roho ya ufanisi
@jenifferkaimuri2807
@jenifferkaimuri2807 Ай бұрын
I receive healing in jesus name
@everlynekhayumbi3241
@everlynekhayumbi3241 Ай бұрын
Naomba mungu anifungulie njia ya pesa niweze kufika uko in Jesus name. Mungu nisamehe Kwa dhambi zangu zote maana nmekutenda maouvu mungu
@jacklinekatunge6599
@jacklinekatunge6599 Ай бұрын
Naomba madhabahu ikomboe mume wangu aachane na tina mpango wa kando na mungu arudishe yeye kwangu
@AaAa-s5k2g
@AaAa-s5k2g Ай бұрын
Pole pastor najua umeskia uchungu kwayale unayoambiwa,mungu akuweke mpaka nirudi,usiende inje mimi nakuhutaji sana namimi nitwe nikona majini
@josephmbiti9528
@josephmbiti9528 Ай бұрын
Lord, thank you for your unfalling love and kindness, thank you Jesus for your protection, Lord , protect me and my family everytime in Jesus' name
@NancyOpere
@NancyOpere Ай бұрын
Mungu nmekabodhi familia yangu mkononi mwako
@naomiwangari6001
@naomiwangari6001 Ай бұрын
Thro tithe Mungu akemee wadudu na ujinga
@everlinelusweti6443
@everlinelusweti6443 Ай бұрын
Mungu naomba unifungulie pesa zangu
@Nema-f5d
@Nema-f5d Ай бұрын
Bwana yesu asifiwe ushuhuda Wangu kitu kilichokua chanisumbua Kwa Koo yangu kimetoweka Kwa Jina la yesu s h Niko mzima nimepona
@NancyOpere
@NancyOpere Ай бұрын
Mungu niponye nione tena
@JanefferGikuma
@JanefferGikuma Ай бұрын
Naomba nyota ya watoto wangu ingae na wafanikiwe maishani hadi watu washangae walionicheka na kunisema vibaya
@AngelWAWERO
@AngelWAWERO Ай бұрын
Mungu nipone wtto wapate alama a gift en adrian
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 Ай бұрын
Naomba kukombolewa na wanangu tupone wachawi wote nirejeshewe utajiri wangu wote niliibiwa na wachawi
@AngelWAWERO
@AngelWAWERO Ай бұрын
Pasta naomba Mzee wagu ache ulevi in jesus
@AgnesKerubo-f1z
@AgnesKerubo-f1z Ай бұрын
Remember me lord
@kithekaroselyn5748
@kithekaroselyn5748 Ай бұрын
Naomba haya madhabahu isimame na mimi
@everlinelusweti6443
@everlinelusweti6443 Ай бұрын
Mungu naomba uniondolee kesi
@lucianaapacha3871
@lucianaapacha3871 Ай бұрын
Naomba nyota yangu pamoja na watoto wangu
@everlynekhayumbi3241
@everlynekhayumbi3241 Ай бұрын
Aki mungu nitendee na mm kulingana na mapenzi yako
@ChelangatBetty-fn7ys
@ChelangatBetty-fn7ys Ай бұрын
Kupitia kwa hii mathabahu yangu naomba nyota ya ufanisi,nifunguliwe na nyota ingae
@everlinelusweti6443
@everlinelusweti6443 Ай бұрын
Mungu nifungulie rent
@eliusmkala1098
@eliusmkala1098 Ай бұрын
God remember me in Jesus name
@edwinmunene4564
@edwinmunene4564 Ай бұрын
Mimi sijapata fare bado, naomba mnipe nitawarudishia nikipata🙏🙏
@PamelaAkoth-ru3gw
@PamelaAkoth-ru3gw Ай бұрын
Mungu nipe fare
@josephinemakilya2998
@josephinemakilya2998 Ай бұрын
Mungu nakupenda
@PamelaAkoth-ru3gw
@PamelaAkoth-ru3gw Ай бұрын
Mungu nipate fare nifike meza ya bwana
@jeannekatembe6396
@jeannekatembe6396 Ай бұрын
Eee Mungu unapo wagisa wengine nikuse na mimi
@gracenyambura4212
@gracenyambura4212 Ай бұрын
Mungu anipe kibali
@PARTICKANGAYA
@PARTICKANGAYA Ай бұрын
Kupitia kwa TV mungu anapo pony a wezangu nami pia niponye
@musony485
@musony485 Ай бұрын
Hiv iondokee Kwangu Leo nitest positive n Jesus name 🙏
@zophywa9102
@zophywa9102 Ай бұрын
Amen😊this Alter has power
@marynjoroge1253
@marynjoroge1253 Ай бұрын
Utest negative not positive dear
@emmahke1929
@emmahke1929 Ай бұрын
Ameeen
@everlinelusweti6443
@everlinelusweti6443 Ай бұрын
Naomba urejesho wa ndoa na wanagu watoke kwa nyanya yao
@MeshackOduor-py3zp
@MeshackOduor-py3zp Ай бұрын
Katika sacrifice naomba mungu anipe ushuuda zaidi ya yote kupitia hii ibaada ya above only
@shantiMickel
@shantiMickel Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@albinamuthoni7226
@albinamuthoni7226 Ай бұрын
Pastor kwetu ni ivio .sandaka ni rasima kwa kwa masisi .pastor asukue sandaka.
@SusannasySusannasy
@SusannasySusannasy Ай бұрын
Ameen
@marynjoroge1253
@marynjoroge1253 Ай бұрын
Please God bless with sacrifice and fare to attend holy communion service
@geoffreymaina3687
@geoffreymaina3687 Ай бұрын
Amen
@hellensalome8044
@hellensalome8044 Ай бұрын
Amen and Amen
@everlynekhayumbi3241
@everlynekhayumbi3241 Ай бұрын
👏👏👏👏🙌🙌
@CiciliaMueni
@CiciliaMueni Ай бұрын
Kupitia mathibau nipone
@marynjoroge1253
@marynjoroge1253 Ай бұрын
Mimi hiyo majini wanashindanga wakikuekelea uko nayo.ndiyo nataka
@everlynekhayumbi3241
@everlynekhayumbi3241 Ай бұрын
Pastor naomba nifike lakini Hali ya kifedha nashindwa naomba njia zifunguke za peza niweza kutimiza mambo yangu watoto wangu wasome
@marcellashida4617
@marcellashida4617 Ай бұрын
I wish to attend but I am unable...natamani kusacrifice but sina, mtu anilipie msamaria mwema
@marynjoroge1253
@marynjoroge1253 Ай бұрын
Haki me too
@marcellashida4617
@marcellashida4617 Ай бұрын
What is the name of the agency ya yule boy akafanye kazi mpaka 60years huko Dubai?
@beatricekibutu25
@beatricekibutu25 Ай бұрын
I have sent my tithe pastor i have a testimony i came month ago during holy communion having faith that all the fights i was going through at work and home they all ceased and i was to get a contract and pastor they offered me a contract last month i thank God for the blessing and i have faith that God will do more .I pray that door open for My husband Abraham madeke job opportunity i pray that my contract will always be renewed each and every contract i pray for peace to rein upon my life job .I pray that God anipe kibali i Believe and more life and doors to open bigger doors utukufu kwa bwana amina amina amina
@FlorRoz
@FlorRoz Ай бұрын
Naomba nifunguliwe nyota ya watoto wangu
@everlinelusweti6443
@everlinelusweti6443 Ай бұрын
Mungu naomba kibali
@faithkigunda1156
@faithkigunda1156 Ай бұрын
Amen ...
@Purity-s9y
@Purity-s9y Ай бұрын
Amen
@CarolinePeter-bt2pg
@CarolinePeter-bt2pg Ай бұрын
Ameen
@caro2caro
@caro2caro Ай бұрын
Amen
@faithkigunda1156
@faithkigunda1156 Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@AgnesKerubo-f1z
@AgnesKerubo-f1z Ай бұрын
Amen
@JudithChahale
@JudithChahale Ай бұрын
Amen 🙏
@AgnesKerubo-f1z
@AgnesKerubo-f1z Ай бұрын
Amen
@SamuelChebukosi-no5ub
@SamuelChebukosi-no5ub Ай бұрын
Amen
@ireneolaka5640
@ireneolaka5640 Ай бұрын
Amen
@Nema-f5d
@Nema-f5d Ай бұрын
Amen 🙏
LIVE RECORDED SERVICE
3:47:28
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 21 М.
12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 11.12.2024
9:15:25
New Life TV KENYA
Рет қаралды 49 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Ev.Ezekiel- NEWLIFE PRAYER CENTRE & CHURCH Live Stream
1:35:40
New Life TV KENYA
Рет қаралды 694 М.
PROPHETIC, HEALING & DELIVERANCE -26.4.2022.
6:45:37
New Life TV KENYA
Рет қаралды 109 М.
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 1,4 МЛН
MID-NIGHT PRAYER SERVICE - 5.10.2024
4:25:29
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 6 М.
VEILLE DE NUIT - VENDREDI 05 AVRIL 2024 - EGLISE DE DIEU SANCTIFIEE - PASTEUR BIGOT LUXONER
3:38:26
Eglise de Dieu Sanctifiee D'Haiti | EDS
Рет қаралды 632 М.
MID - NIGHT PRAYER SERVICE - 7.9.2024.
3:57:21
New Life TV KENYA
Рет қаралды 67 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН