Pole sana kaka kwa matatizo ila kaka ivan msaidie apate mtoto wake anampenda mwanae inauma sna
@WinfridaJohn-q1l4 күн бұрын
Pole sana kakaangu mungu atakusaidia
@AmaniManase-x1i4 ай бұрын
Daah family zingine bhana kwani umasikini kuna mtu anajitakia au ni Hali ya maisha tu afu pia usimdharau mtu hujui kesho yake
@NuruHalaku21 күн бұрын
Pole Sana brother usijali mungu atakulipia na damu yako haitapotea brother usijali kuwa na sbrah tu mwanao atarudi tu na utapata mwanamke mwengine mzuri mwenye tabia nzuri zaid yake na hau wazazi na hawana nidhamu na wanatamini pesa na sio utu😢😢
@Shekhahamed-v2f2 ай бұрын
Poyeeer kaka
@رحيمهعيدرمضان6 күн бұрын
Hinauma..sana😮
@MonadiNadi-j6s20 күн бұрын
Dah pole sana lkn watakukumbuka tu jmn nimeumia 😢
@MariamMariamyusef4 ай бұрын
Daa haya maisha bhana Mungu atusaidie sisi masikin
@AsumaniMAtanga2 ай бұрын
ONG 😢😢😢🎉
@MuhiluhaNgoda-sc8tf3 ай бұрын
Dah 😢 inauma sana aloo
@suleshjuniormgaya80574 ай бұрын
Kwani umetolewa kizazi pambana bro kama n mwanao natakuja tu hata acpokuja bora huko awe na maisha yake
@AgnesAndrea-yi7ugАй бұрын
Nenda ustawi wa jamii kaka pole😢 umaskini sio kigezo wakufanyie ivo mtoto miaka 9 anaenda kwa BABA tayar unapewa uyo mtoto 😢
@PeterChengo2 ай бұрын
Da ila Ivan wewe mungu azidi kukueka uzidi kusaidia watanzabia ni peter kutoka kenya
@FredFalessАй бұрын
Kama kunauwezekano please 🙏🏾🙏🏾 msaidie brother apate haki yake
@Enilyangolile2 ай бұрын
Mmmmh kunawatu wanaroho mbaya jmn mmmh pole brother
@SalmaMarselino4 ай бұрын
Dam ni nzito kuliko maji 😢 Naamini Allah atakupa kama n wako😢😢😢
@samuelAganze-x9h4 ай бұрын
Watu kama sisi weyne uruma uruma sana roho zauruma uruma huwaa Mara mingi sana tuna umizwa Mara gnigi sana ,wewe mweyne uruma uendele kuwa tu n'a uruma ivio ivio
@Enilyangolile2 ай бұрын
Kaka ivan huyo kaka msaidie apate mtoto wake hamn hata mvulugiko wa familia ilah huyu kaka apewe mtoto wake na wao waowane
@nishaabdula50154 ай бұрын
Kaka we shukulu mungu na kaa kimya chamtu akipotei ipo ck mtt wk atakuja kwako
@SicusaneAleixoHenriquesL-hi5tn3 ай бұрын
Daaah inauziniya sana tu🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@RashidiShaibu-xs3oyАй бұрын
Broo ivan uyu jamaa alifanikiwa kupata mtoto wake au vp
@VarcywreckedАй бұрын
Diamond 😢😢
@ashurantunzwenimana59754 ай бұрын
Pole sana kaka
@Latifa123Latifa123 ай бұрын
Mtoto wake masikini
@ThomasGeorge-b4k4 ай бұрын
Yupo master wa hayo mambo Monsuly kiboko mchek😂
@Zuwena-rn2gxАй бұрын
Pole kak lakin ungevaa hata viatu ili mtalaka akiona ashtuke aseme maisha yamebadilika sas si hapo atasema bado hali iko chini ila nakuombea upate mwanao
@SIMONI-n9n4 ай бұрын
kazania pesa bos
@FaridaAyub-m9nАй бұрын
Usilie
@Spekalifetz3 ай бұрын
😔
@زيتونتنزانيا3 ай бұрын
I ani mwambie huyo kaka mtafute huyo mwanaume mpya amwambie kila kitu kisha huyo mwanaume ataangalia şura ya mtoto akihakikisha atampata MWANAE NAHAO wazazi watapata aibu
@beckymaria21254 ай бұрын
Hapa serikali iingilie sheria ifatwe DNA ifanywe kama ni wake apewe
@IbrahimIbrahim-te8jq22 күн бұрын
Kk nahitaji nione itakuaje
@OmanIbra-l5x4 ай бұрын
Msaidiyetu uyo ni mwanawe
@StevenManguzu13 күн бұрын
Hizo n zuruma mbaya kikubwa bora kinuke tu fata mtoto wako bro damu ya mtu haipoteagi.
@seleman-4 ай бұрын
Kwan hana kizaz c azae tena
@RashidiHassani-b6z4 ай бұрын
Mtoto nn ww piga mwengine mimba fresh unajiliza Liza tu ,kazaa ww utafinywaa ww
@hildamasonda65284 ай бұрын
His is good father anapambana nae kupata dam yake
@omarynassoro57014 ай бұрын
Kiinglish umekosea Hilda leo nasoma comment zako
@joycekambuga62864 ай бұрын
Tafuta mwana sheria mkapime DNA
@IbrahimIbrahim-te8jq22 күн бұрын
Nahitaji nione hii itakuwaje
@jawadi-d8x2 ай бұрын
Broo ww fany mpango uy jamaa umkutanishe na mme tu usiende kw mwanmke pls , coz upnde wa wanwke washaanz mamb mengi
@OmanIbra-l5x2 ай бұрын
Kwani hii ukuenda
@Latifa123Latifa123 ай бұрын
Amwambie huyo mwaume
@JoelMafulahya4 ай бұрын
Kaka kaza & Colm down tafuta pesa hiyo Dawa yakurudsha kila ktu
@marrymoris12304 ай бұрын
Ivan msaidie huyo kaka apate damu yake
@omarynassoro57014 ай бұрын
Angekua Binti yako kazaa na mlinzi ungefanya nini
@Latifa123Latifa123 ай бұрын
Akiambiwa yule atapata mwanae
@vestinasylidion75485 ай бұрын
Jamaa anapitia manitowoc pole san😢
@omarynassoro57014 ай бұрын
Simama kaka mzazi ndo u-comment coz bint kakosea na wazazi wanasimamia maslahi ya bint yao sijaona shida sema Jamaa kama anaitaji huruma exctly anachofanya ni kuharibu ndoa ya watu, Mtoto dai kwa haki na njia sahihi kwani hapo hata mpaka sasa hakuna alipoenda kudai mtoto kwanza kaja social Media na miaka 9hujaudumia unapesa ya kulipa gharama boss Nimejairibu kufikilia kama Mama au Baba wa Binti
@Latifa123Latifa123 ай бұрын
Msaidie bwanaa
@Latifa123Latifa123 ай бұрын
Masikini
@HappynessJose2 ай бұрын
Usiede kwenye harus kuharibu kinachohitajika ni kutafuta jia ya kupata mtoto ili ajue baba ake