Daah.talented man ....nyimbo zake ziko oggy mpka cha Leo zinasound gud kuimba na kuskiliz ...piaa zinaelimisha..big up 20%
@richardscofeld91362 жыл бұрын
Appreciate 20% I won't to see this man because have nice song ,,,, love from 🇺🇲 Texas city 🏙️
@youngkidor32962 жыл бұрын
20% Kwenye show msimuache bhn huyu ndy msanii tena jaribuni kuwaleta na wengine wa zamani mtavutia wengi San ❤️❤️❤️🇹🇿
@stevewanga9572 жыл бұрын
wakati wa mziki ulikua mziki ....hamna cha matusi wala nn ..much love from 🇶🇦🇶🇦
@faizaahamd20522 жыл бұрын
Haswaa kabisa. .
@dhakomodherooherokoko60372 жыл бұрын
This guy realy rocked kenya. He was everywhere in our radio and Tv stations. Kila mkenya anamfahamu vizuri
@degwaboy81282 жыл бұрын
Dah yaan nimefurah Sana kumuona mwamba ulingon big up Sana dam yang maile
@hassanSobo-yf3ik21 күн бұрын
Msanii anae fanya show bila kutumia nguvu nyingii kupaj kinaongeaaaa.. 23.11.2024 namkubali sana
@daudsimon54172 жыл бұрын
Jamaaa anajua kucheza saut yake kiukwel wasanii wa zaman awapendi kuwa wajanja ,,wana uwezo mkubwa sana hongera sana 20
@zou74702 жыл бұрын
Msani wangu wa mwaka yote🔥🔥20%💪
@ivvansiwiti90852 жыл бұрын
Mwanamziki wa taifa la Tanzania Nchi yangu
@maigajohn58282 жыл бұрын
Hiyo ndo ilikuwa bongofleva nyimbo zimejaa ujumbe
@kingwattanlibz93912 жыл бұрын
20 per anajua.... original voice wala hajachujwa sauti kama wale.... thr real flavour of swahili music
@flomenastephen22262 жыл бұрын
Daah twenty pasent umenikumbusha mbali sana boy mungu akupe afya njema Bado unaitajika kwenye game
@agathamushi49372 жыл бұрын
Msanii mwenye Talanta ya kipekee kweli binadamu wakizuia mungu hawezi zuia Clouds walimbania sana ila mungu Akaachiaa Mungu mwema sana Continue Twenty percent
@mnyamamedia74392 жыл бұрын
Ko apo niwapi?
@harrisonarts36172 жыл бұрын
Hahahhaha itakuwa hao ni tabora FM😆😆😆😆
@chaulaemanuel59382 жыл бұрын
Kwel na sio huyu tu hata sugu alibaniwa na mwana fa pia
@josephbernard2332 жыл бұрын
I wish niendelee Kumuona Kwenye fiesta nyingine. Still Yupo strong na stamina ya Kutosha.
@mkambamaulid4472 жыл бұрын
Man water na 20% Asilimaileeee Ngoma safi Sana Nenda hata kama zamani nilipenda safi hatuli Kumaliza 🙏🏼💪🏽😂👍🥰
@chachawambura40302 жыл бұрын
Twenty ni hatari, nyimbo pekee unazoweza kusikiliza hata ukiwa umekaa na wakwe zako.👊
@swalehesaad11432 жыл бұрын
Kuna wanafki humu utasikia msanii wangu wa kmiaka yote wakati akitoa nyimbo Sasa hv hawasapoti hv mnajua kinachomrostisha huyu mwamba ukiachana na pombe na bangi pia ni kutopata suport ya mashabiki.
@ishaniramadhani87102 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa
@sebastiankamara32802 жыл бұрын
Kabisa
@mrwallettanzaniaofficial2 жыл бұрын
True brother
@Manswabu2 жыл бұрын
Sahihi broo
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Sahihi kabisa
@jabirikilagilile97992 жыл бұрын
Huyu ndio mwanafunzi Bora Tanzania
@arenyutenga10522 жыл бұрын
Mwanamziki wa Tanzania 🇹🇿 pekeee mwenye nyimbo
@stevostinaustin56112 жыл бұрын
Natural and pure talent from Man Walter aka 20%💪
@ibrahimgabriel48282 жыл бұрын
man water ni producer sio aka ya 20%
@loner_wolf2 жыл бұрын
All in all hii clip ndio inaview nyingi kuliko clip zote za fiesta mwaka huu. Big up asilimaire
@khelefhamad87172 жыл бұрын
20/ ww ni fundio yani unaimba tunakufahamu vizuri sana tena sana
@mariamyoyote81722 жыл бұрын
20umenifanya niingie KZbin kuangalia nyimbo zako ulizoparfom hapo dah good lucky
@rehemashaban68582 жыл бұрын
Elimu isiyo hitaji darasa,nakukubali sana my brother
@faizaahamd20522 жыл бұрын
Mikoa yote Aende💓♥💓♥💓♥ msaniii wangu pwendwa💓♥💓♥ from MUSCAT OMAN
@faizaahamd20522 жыл бұрын
💓💓
@emmamatemu82252 жыл бұрын
Vipi huko hawakutesi
@faizaahamd20522 жыл бұрын
@@emmamatemu8225 no Huku Ni makazi ila home Zanzibar
@emmamatemu82252 жыл бұрын
@@faizaahamd2052 sawa Maana wengi wanalalamika kuteswa
@faizaahamd20522 жыл бұрын
@@emmamatemu8225 Maneno ya mkosaji tu ...ingekuwa watu .wasingekuja huku ... ....riziki pahala popote. Ukiwa wap lazima utapitia changamoto.Ok kikubwa kumtanguliza mungu ok
@christinaalexander12132 жыл бұрын
Huu ndio mziki sasa.💃💃💃💯
@dominicmremi57302 жыл бұрын
Old is gold .
@lucydamson42402 жыл бұрын
Aisee nimefrah kuskia nyimbo zako 20 paa
@seyibuhimbi35512 жыл бұрын
Dahhhh kitembo sanaa mwamba anajua tunakungoja mwamba mwanza
@obeidobeid36092 жыл бұрын
Clouds tunataka 20 aendelee kuonekana kwa all stage
@yahyahamad18022 жыл бұрын
fiesta siipendi lakini 20 yupo.vizuri
@ellykasiaka2 жыл бұрын
💪💪💪💪mwamba njoo kwenye game bado tunakuhitaji
@mariamyoyote81722 жыл бұрын
♥️♥️♥️❤️❤️❤️yan broo bado yupo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥sauti haijapotea 20%MMOJA TU
%20 twenty hafananishwi na yeyote bado yupo katika ubora wake yani ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@barakatlemu69762 жыл бұрын
Yaani nyimbo ndo zinazidi kuwa kali huyu jamaa kwenye live anavionjo hatari sana
@majaliwamaliseli30202 жыл бұрын
Mwmba anajuwa aise 🙌🙌
@scorasticaclement63082 жыл бұрын
Kipaji Adimu Sana One Love 20%🇬🇳
@lulually52092 жыл бұрын
Bigup 💪💪💪💪💪 hizi ndizo nyimbo tunazozitaka zinatia hisia hasa
@robyrobert89462 жыл бұрын
Uyu jamaa anaweza sana sema anasapoti tu
@MeRy-qk6bp2 жыл бұрын
20 Camelion wa Tanzania ❤️
@danielrobert7302 жыл бұрын
Mwamba anajua Sana🔥🔥
@pascaliapaul7719 Жыл бұрын
Namuomba mungu amjalie ampate MTU wa kumsupport arudie music
@thebestaksanti7294 Жыл бұрын
Au Congo surtout dans l'est, nous aimons beaucoup ce Star, il est beaucoup populaire
@untouchboymsafi17882 жыл бұрын
Legend 🔥🔥
@khalidmacho23412 жыл бұрын
One love 20 love you more you r very talented
@jacksonkabaata60112 жыл бұрын
Wasanii wazaman hawatumii nguvu uwezo unaongea 20% ✓
@stevostinaustin56112 жыл бұрын
Yess its called the power of natural talent from God;no forcing
@lucydamson42402 жыл бұрын
Kabisa yaan
@mapekhamis38822 жыл бұрын
Yeeees bila nguvu nyiiiing watu unaimba mwnyeeewe bila kuambiwa unaenjoy mziki mtaam mashair
@nihorimberetv16162 жыл бұрын
20%the best one in tz. Love you from Burundi
@reginaldanthoni28262 жыл бұрын
Namkubali sana mwamba huyu hapa
@shukranitv29712 жыл бұрын
Unajuaaaa snaaaaaaa
@michaeljulius36942 жыл бұрын
DJ atuache tuimbee bhn nyimbo zote za 20 tunazijua
@janehyera71882 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo sasa twent per
@francisosman56342 жыл бұрын
Huyu ndio msanii , wengne ni waimbaji tu,.
@zubermkumba30352 жыл бұрын
Nakubar sana mzee babaaaaa
@jandaboytzz27552 жыл бұрын
Legend never Die
@stanybigirimana89942 жыл бұрын
Ongela sana
@AbbySweet-l2c4 ай бұрын
sijui nisemeje kuhsu uyu jMaa unajua nyimbo zake unafundishia watoto
@ibni_H2TL6r2 жыл бұрын
Back to music was myuuuuuuuzik
@mnyongeiddi24542 жыл бұрын
Wenye mziki wao ndio hawa tumii nguvu namambo yanakuwa pow
@abiboseleman16492 жыл бұрын
Mwacheni 20 awaseme wadogo zake jamaaa kakaa benchi lakini kapiga show kubwa vocal inasikika anaimba nyimbo zote safi 20
@charlesgambo70402 жыл бұрын
Jamaa hatumiaji nguvu nyingi
@paulkibona19482 жыл бұрын
Namkubali sana huyu jamaa
@renovatrubeni78022 жыл бұрын
Please 20 Rudi tena kwenye game. We still love you so much 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mapekhamis38822 жыл бұрын
Come Baaaack 20%..Aslay Mie Nakosa Radha Jamaniii C Kama Csikilizi Mziki Kw Wasanii Wengine Ila Awa Watu Wanatoch Moyo Wangu ...Watu Naona Wameenjoy
@amirisambo39532 жыл бұрын
20 ni noma na nusu nampa 100, percent
@josephswai23742 жыл бұрын
Het inawezekana bla matusi kumbe
@edinakyaruzi92262 жыл бұрын
Sifa ya moyo kutamani #haturi kumaliza tunakula kushiba
@anorldmgata4962 жыл бұрын
Jamaa talented sana huyu
@wardamunguakuzidishew93992 жыл бұрын
Jamani nimekumisi Atari baba💪💪💪
@shedrackmkemwa46482 жыл бұрын
Nakukubali sana tena sana! mm nishabikiyako
@shukurukinzasa532 жыл бұрын
Noma saaanaa
@Silyvesta2 жыл бұрын
Original music 🎵💜💜💜
@abrahamanidd18602 жыл бұрын
Wahi nisiwe mbinafsi nimefrahi sana kuona tupo wengi tunaomkubali nakumuhitaji pia karibu tena bro cjui nini kilitokea ukapotea napenda sana nyimbo zako km ndo mpya vile haswa mama neema
@josephamosi52982 жыл бұрын
Daaaaaaaaaah jamna nimefurah san
@darkrhymes29272 жыл бұрын
Jamaa bado mzima bhana!
@juliusmpenda84872 жыл бұрын
Kweli 20 pasent unaimba Mambo yaliyomo ongera bro
@mzalendowaasili17272 жыл бұрын
Dah 20% we miss
@TaiWaTzTV2 жыл бұрын
Rayvanny ft 20% ilo Goma Hilo kama likifanikiwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@degwaboy81282 жыл бұрын
Wanaandaa ngoma au?
@herryscard9332 жыл бұрын
Uyu ni patoraking wa bongo 🔥🔥
@vanessastafford51202 жыл бұрын
Real music
@allyachia52582 жыл бұрын
Big up brother 🙏
@francisosman56342 жыл бұрын
Nakuelewa mwamba,
@jaycrissmoney58502 жыл бұрын
Me nisani Wa Bongo Flev music Naitwa Jay criss money Naomba Kushiriki Jukwa la fientar
@Planmusic_tz2 жыл бұрын
Dah😀😀😀😀😀🙌🙌🙌
@assab31672 жыл бұрын
Unajua
@godfreymartinegodfour72722 жыл бұрын
God bless you Man 20per🙏🏼🙏🏼
@fadhilimalaki372 жыл бұрын
Al watan 20 Per,
@swimmermoddy32632 жыл бұрын
Yani hapa nimehuzunika maana jamaa anaimba saana ila kasahaulika