Asante Sana mama.. Mungu aendelee kukujali na kukutia nguvu daima.. ktk jina la Yesu.. amen
@wilietwilson97814 жыл бұрын
Asante Yesu, maana umetangulia kule kulilo na mdhabahu za wachawi, uganga, ushirikina, na uchawi. Kwanzia leo nitapita salama kwenye Kila mpango wao Wala sitaangamia Tena, maana wewe umesimama.. ktk damu ya Yesu..amen