Asante Yesu 🙏🙏 Mungu akubariki MWL. GRACE MUNGU ABARIKI ISRAEL🇮🇱🇮🇱
@simonlema86784 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kupitia mafundisho ya Mwalimu, ndugu yangu amenusurika kudondoka kwenye mti mrefu baada ya kujiachilia kutoka juu, tawi likamzuia....kabla ya hilo tukio nilivamiwa na roho ya mauti wiki moja mfululizo, nikawa nasikiliza mafundisho Haya sehemu ya 1-4, nilifanya maombi mfululizo lakini bado niliota naandika risala ya msiba nyumbani, huzuni na nyimbo za msiba ilikuwa inanijia mara kwa mara, (Yesu kristo ni wa miujiza)
@mrsmobisa4 жыл бұрын
Amina Ushuhuda mkubwa sana.Asante Mungu akubariki.
@preciouspeter61263 жыл бұрын
Wow! Hongera mpendwa
@hildandyuki4638 Жыл бұрын
We
@eunicepilly8022 жыл бұрын
Amen Amen Asante Mungu kwa mafundisho haya Mungu akubariki Mtumishi wa MUNGU
@joycemajule28464 жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi KWA masomo adimu sana. Uendelee kutufungua fahamu. Ubarikiwe sana. Amen
@happinessmshana34754 жыл бұрын
Asante YESU, somo limekuja kwa wakati sahihi. Mungu ktk Kristo Yesu akubariki mwalimu
@mwanyongaelectricalcontrac83884 жыл бұрын
Ahsante, sanaMwalimu, MUNGUakubarikisana
@sakinaamoc94544 жыл бұрын
barikiwa mtumish
@jisandumachibya21634 жыл бұрын
Amen sanaa tunajifunza sana
@marianguli79942 жыл бұрын
Asante Mama kwa somo zuri
@doreenmusee69084 жыл бұрын
Tunakuskia vizuri tena mwalimu....somo hili timely sana
@angelanaftael79654 жыл бұрын
I love u mwl Grace
@glorynkini57324 жыл бұрын
Amen.Mungu akubariki mwl
@alhajikhalfani87154 жыл бұрын
mama mungu akubariki jaman sana kama unaongea na mm mama
@hildernelson8214 жыл бұрын
Najifunza Mwl
@christopherrweyemamu32144 жыл бұрын
Amina. Mwl Mungu akuinue
@Peace.20184 жыл бұрын
Amina mw.Mungu azidi kukubariki na kukusimamia
@elizabethlameki21234 жыл бұрын
Ezlia
@wallacestevenrutaserwa45172 жыл бұрын
Amen Mungu akawe mlinzi maisha yangu yote.
@neemamturi76523 жыл бұрын
Mungu unisaidie kuomba kwa bidii
@aristaricklekule49324 жыл бұрын
Ameen
@nshomajuke25534 жыл бұрын
Ee Mungu wa rehema, niseme nini juu ya Roho mtakatifu aliyepo ndani mwako? Maana amesema na Mimi mno kupitia wewe mwalimu na anaendelea kusema mami. Yaani Roho amekuweka kayika viwango vya juu sana mama. Nafuatilia sana masomo yako. Yana hekima sana, yanaponya na kuokoa lakini kubwa zaidi nililolipenda kwako ni ile unatifundisha ili tujiombee wenyewe na tushughulikie matatizo yetu wenyewe. Lakini misingi ya utatu mtakatifu yaani Mungu baba, mwana na Roho mt na unatumia biblia. Naamini si kwangu tu nimepona Bali ni maelefu wataponywa. Umenifanya nijijue kwa kweli. Ubarikiwe sana mama na atukuzwe Roho my kwa ajili yako. Amina
@loothasanare36504 жыл бұрын
Natamani nifike kwako ninamengi ya kuzungumza na wewe mwalimu
@mrsmobisa4 жыл бұрын
Amina ni kweli Mwalimu anafundisha watu kujiombea.Mungu aendelee kumbariki mafundisho yake yanafungua wengi sana.
@janemarymilemberutahoile72104 жыл бұрын
Shaloom Mama Asante Kwa Tafakari nimeguswa na yule Mtoto mashine imeshindwa Kusoma Baba alikataa kumbe ni kuwa waombaji Viganganizi
@nevergiveup71164 жыл бұрын
Histagra anatumia jina gani??
@judithtungaraza26604 жыл бұрын
Amina...Mtumishi wa Mungu
@scoviaokaronon43053 жыл бұрын
Amen am blessed 🙏
@eliasifiwekileo81503 жыл бұрын
Asante Yesu
@nevergiveup71164 жыл бұрын
Amen Amen. Mungu akawe mlinzi wangu na familia yangu
@neemamassawe74193 жыл бұрын
Ameen mwalimu
@humphreyswai14583 жыл бұрын
Amen katika jina la yesu
@sakinaamoc94544 жыл бұрын
asante
@magrethclement72434 жыл бұрын
May God bless you madam Grace,
@marianguli55293 жыл бұрын
Fanya sehemu yko kwa hakika nitalete ushuhuda
@marianguli79942 жыл бұрын
Mama naomba kupata misaada nalipokuwa katika kuomba sana kushughulika na roho ya mauti juu ya familia yangu nilikuta niko ktk ndoto, nikaletewa picha nashambulia roho ghafla zinatokea ngurumo kali mfano ubapoongalia move ya kichawi mfano wa mizimu nilipozid kuomba nalipelekwa chooni kwenye ndoo ya maji nalipochungulia ndani ya ndoo nikakuta ngurumo nlipokaza kutazama nikaona mayai mawili mazima, natamani kupata tafsiri yake, maana yake nini, naomba nisidie