Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.
@sahalanali5287 Жыл бұрын
Mashaalla brothers may Allah bless you inshallah.kindly mupitie Hadi mwihoko githurai Sana Sana uku dini aijachanganya vile
@zaisule91714 жыл бұрын
Ma shaa Allah... Welcome brother to the right path Islam
@jamilshisia59294 жыл бұрын
MashaAllah ukweli inaendelea kusambaa, nasikia raha (ndacha na kasinah watakufa kwa uzuni wakiona uisilamu unaendelea kukita mizizi) masheikh jazzakAllah mwenyeziMungu amzidishie umri na aendelee kumuongoza kwa njia iliyonyooka
@teamallyracing17804 жыл бұрын
Mashallah ndugu zetu wanaelimika na kupata dawaah
@tumajunior60804 жыл бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu nafurai sana kwa ajili kaka zetu na baba zetu wamepewa ujasiri wakufundisha dini ya Allah niliumia mda mrefu nikiwa mama waislam kuishia mskitini kumbe Allah ataarisha muda wake Allah awalinde maustadh wetu awape afya njema awalinde na kila dui🤲🤲🤲💪💪💪
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@nooor11204 жыл бұрын
MaashaaAllah masheikh wetu Allah awahifadhi awalinde na adui zenu popote walipo Allah awazidishie afya nanguvu na ilmu yenye manufaa muzidi kututoa katika giza Kwakweli wakiristo wanakurupuka km upepo unafuata bendera hawasomi bible kiundani wakaona vipi wanadanganywa
@pilimusa77704 жыл бұрын
Mungu awabariki katika kueneza dini yetu. Nimefurahi sana mungu awabariki sana
@malawatoaliasse73694 жыл бұрын
Mr, Dani kasha fahulu mungu amenjalia kumpa akili ya kiachana na ukristo kwa sababu za msingi Na sanabu zake ni kwamba ukristo ni ajira kama ajira nyingine
@khadijaiddi48874 жыл бұрын
Maa shaa Allah kazi nzuri Allah awajalie kila lenye kheir masheikh zetu
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Amin
@aminaamulavu13384 жыл бұрын
Allah awalipe mema insha Allah.. Amiin
@alimasigasaleh86594 жыл бұрын
Allah awazidishie ilm na neema ya ilm yenu na awape Jannat Firdaus kwa kazi mnayofanya ya daa'wah. Na Allah awape umri na afya njema na imani zaidi.
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@bellbell92944 жыл бұрын
Maashaallah sheikh wetu akujaalie kila la kher jazaka Allahu khair
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Amin
@doyohuqa94674 жыл бұрын
MashaAllah Mashekeh wetu wanajitahidi sana... inshallah Allah hawajalie Bustani ya firdouws... inshallah...
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@mulusaeunice44024 жыл бұрын
MashALLAH .Allah awazidishe kher hàpà nà ÀKHERÀ ÀMEEN
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Amiin
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@dahabomohammed8704 жыл бұрын
Mashaa Allah...Allah awajalie kheir,afya na maisha marefu muzidi kuelimisha dini ya Allah.
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@paulosarumbo18884 жыл бұрын
Natamani kazi hii pia ingefanywa huku Tanzania pia....kwenda mitaani na kuwalingania watu face to face.
@princebabu69774 жыл бұрын
Allah awalipe Kheiri nyingi sana bila hesabu, hakika mnafanya kazi kubwa
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@mohammedkimanga89604 жыл бұрын
Allahuma ameen ya rabbali alameen
@سلطانسليمانبنجمعة4 жыл бұрын
I loved how he took them slowly to realise the mistakes which have been made inside the BIBLE.
@zaisule91714 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@omaryrashid18734 жыл бұрын
Jazaka Allah haira mungu awajalie ufahamu zaid ya kuwatoa watu gizan
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@yunisboshe72274 жыл бұрын
Allahu Akbar may Almighty Allah gave u guys enough strength and health to do the work of Allah, its never easy but wallai mutapata Malipo kwa Allah sw
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@abujole86494 жыл бұрын
Daawah mitaani nawatakia kaazi nzuri na mimi Niko Baraawa Nchi ya Somalia
@amirhassankamau8714 жыл бұрын
Masha Allah..... Kazi nzuri mnayo ifanya
@jabirmohamudey17704 жыл бұрын
I love doing this work. Ustd ninaweza kufuata nyinyi kivipi? Katika Dawah mtaani
@rayaalhabsi17254 жыл бұрын
Mwenye Enzi Mungu awa zidishie kheri na awa hifadhi na awape subra na nguvu kwa kuitangaza dini ya Mwenye Enzi Mungu. Allahumma ameen yaarab.
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@djuninhoramisos24534 жыл бұрын
Mashallah Allah awape pepo
@ambarnelly63042 жыл бұрын
Mungu awabari masheh kazi nzuri
@mrbubaaside43884 жыл бұрын
mashalah mungu awajalie nguvu zaidi na afya zaidi
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@dawahisourduty13114 жыл бұрын
أحبابي في الله جزاكم الله خيرا ... استمروا بالدعوة إلى الله ، الله سينصركم .
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Awabariki mashekhe kwa kuelimisha umma ulioghafilika na uzushi wa wanadamu, Allah vilevile Awaongoze wapate kujua haki IshaAllah...
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@muddymdigo51643 жыл бұрын
Hawa maustadh wetu kutoka kikuyu yaani niwalinganiaji ktk kz ya ALLAH masheikh kutoka mombsa muige analau mwangaza upatikane INSHALLAH
@bilalomar11854 жыл бұрын
MashaAllah KENYA DAAWAH ONLINE TV,
@jafarykahera17274 жыл бұрын
Mashaalah masheha. Mungu atawalipa heri
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@bidallahamadi40364 жыл бұрын
MashaAllah ,Allahuma Bariq🤲🤲🤲
@adinanijackobo13284 жыл бұрын
manshaAllah Allah awelipe masheikh zangu awape afya njema,karibu hata tanzania
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@amirhassankamau8714 жыл бұрын
MashaAllah nawapenda sana kwa ajil ya Allah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Nasi twakupenda kwaajli ya Allah
@omarabeid13634 жыл бұрын
Masha Allah 🙏🤲 Allah awajaze kula la kheri Inn Shaa Allah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@fatmamombasa34304 жыл бұрын
Masha Allah kwa hakika mnafanya kazi nzuri sana Allah awape nguvu na subra
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@ummua50064 жыл бұрын
Jazakumu Llaahu khairan
@kutailadifi28544 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah awajaalie Afya masheikh wetu
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@Da-cr6ow4 жыл бұрын
Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa kila jema mnalo fanya na awazidishie umri mrefu muzidi kuzindua watu wa amini dini ya Allah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@hamsouledi174 жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@salimamry94324 жыл бұрын
Alhamdulilah Allah awazidishie kheri na imani mpaka siku ya wisho.
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@kareemalamoody63454 жыл бұрын
This Guy has no sins from now he's clean as a New Born baby
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
TAKBIIR 🇰🇪
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Ma sheikh's hongera kwa kazi njema ya Allah bless love u big
@UMMYYFATMA Жыл бұрын
MASHAALLAH 🙏 🤲
@mgenisaid65444 жыл бұрын
Ajali mwendo kas dare salam
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Mungu awasamehe kwa kuwapeleka watu motoni
@swalehiddy24684 жыл бұрын
Ustadh Yahya mtambulishe huyu ustadh mwingine ili tumfaham...kazi nzuri.
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
InshaAllah nitamtambulisha
@axmedcabdi36604 жыл бұрын
Shukran,....kazi nzuri
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Ahlan wa mahlan
@abubakarikikina75444 жыл бұрын
Laailaha illallah Muhammad rasulu llah
@aminashaib69562 жыл бұрын
Allah Awajaalie wote walopotea Azidi kuwaonyesha jia ya haki uislam
@nuruabdallah66924 жыл бұрын
Mashallah
@hamadamabali28954 жыл бұрын
Takbir
@adidjaadidja25784 жыл бұрын
MANSH Allah awarip kir raher
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@jaffarumar52584 жыл бұрын
Masha’Allah
@abubakaribyabato43843 жыл бұрын
Sheihk Ismail Gitau siku hizi yuko wapi
@Kokotokwenyekiatu4 жыл бұрын
Huyo bwana anasema wakristo ni marafiki wa waislamu lakini kitabu chake inasema;Sura 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. Na kuuhusu kuua watu hebu soma Sura9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. Kumbuka kwamba muislamu anatuona sisi wakristo kama watu wanaoabudu miungu . Eeeh huo ni urafiki wa Allah na mtume wake
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Kwanza kumbuka Qur-an ilikua ikishuka kufuatana na matendo yanayotokea. Kipindi kilichoshuka hayo waisilamu walikua wakiuawa na walikua hawajawahi kupigana wanakhofia. Na ndio mana Allah akaleta aya hiyo kusudio wale wanaoua waisilam wasiachiwe. Waisilam wapigane nawao. Sasa utakua unachekesha ukiiquote aya hiyo na kuanza kuua kila mkiristo japo kua hana hatia. Au ww ukaichukua aya iyo ambayo haikuhusu ukasema ati waisilam wauuaji mana hata Qur-an inasema hayo. Kwani bible haielezei mauaji, kisasi n.k? Msidanganywe someni bible mushuhudie wenyenu msidanganywe na pastor tu mkaambiwa mpende jirani yako.
@Kokotokwenyekiatu4 жыл бұрын
Una maanisha ya kwamba Qurani haiwezi kuaminika kma neno la Allah ya daima? nilidhnai kwamba muislamu anaamini kwamba ni neno la Allah na ni ya milele. At least Qurani yenyewe inadai hivyo. Labda nimekosea. Halafu nadhani unahitaji kusoma historia kwa makini zaidi, watu hawakuwashambulia waislamu, bali walishambuliwa na jamaa mmoja aitwaye Muhammad... nakushauri wewe pia soma Qurani, na vitabu vingine vya kiislamu. Na kwa msaada zaidi oyesha kama andiko fulani lime kansuhwa na andiko iliyotangulia. Kwa upande wa Biblia ni vema kutofautisha kati ya Ak na AJ. Agano la kale ilitumika kwa wakati wake ila kwa leo tunaamin kwamba ni Agano Jipya iliyo na nguvu na hapo huta kuta fundisho ya kulipa kisasi. Nadhani unajua aliye leta AJ Yesu mnayemuita Issa.@@alhamdulillah5796
@AbdulmajidHyder4 жыл бұрын
Allahu Akbar
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Mungu afanye ukahaba tena? Inamaana wakiristo mnaemuita Yesu Mungu ni kahaba? Astaghfirullah! Tatizo lenu original hamna mnabururwa tu.
@jamilaomariomari83284 жыл бұрын
Allahu Akbar!
@mwajumamwajuma37564 жыл бұрын
Mashaallah i
@sadyrajabu93184 жыл бұрын
Mbona hii nitofaut na iliyo somwa apo ustadhIsaya 23:17 BHN Baada ya miaka hiyo sabini, Mwenyezi-Mungu atauadhibu mji wa Tiro, nao utarudia kufanya uzinzi kwa kujiuza kwa mataifa yote ya dunia. BHN: Biblia Habari Njema husisha wengine/jumuisha Soma Sura Nzima  Apu ya Biblia  Apu ya Biblia ya Watoto Kiswahili
@kibeginiblue71883 жыл бұрын
Wakenya bwana, songea kidogo
@mwanzomwisho69683 жыл бұрын
tell her also about, S9:29. why do u have to fight them to believe in Allah and if they don't they are forced to pay jizya and if they don't kill them. Q5:51 tell Muslims not to take Christians and Jews as friends.
@masungwasalumu12784 жыл бұрын
Hamna.kitu hao soma Qruan 02:102 utajua
@aminaabdallah77024 жыл бұрын
N'a furkana
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@malawatoaliasse73694 жыл бұрын
Kuelewa ni vigumu kama sio mwelevu Ninakwelewa Mimi wa Mozambique na kwanini mkenya asielewe?
@abujole86494 жыл бұрын
إ ن شاء اللة
@kareemalamoody63454 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@rayaalhabsi17254 жыл бұрын
Maskini huyu dada . TV and media news ime mdanganya Mwenye Enzi Mungu amhidi yaarab
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@saumusanjiama69913 жыл бұрын
🤲🤲
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Allah sio mungu muumba WA mbingu na arthi ndio nyinyi mnakana yesu na ndio a tarudi mbona Muhammad harudi basi yesu ndio atawahukumu kwa kumkana mjiepushe na Islam qur an sio kitabu cha mungu ni cha shetani mnapeleka watu kuzimu nyinyi
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Sasa hujajijibu tu mwenyewe km kwa nn Yesu anarudi? Nikusaidie, Yesu anarudi kwa sabbu yy ni mtu nasio Mungu. Na ndio mana anarudi aendeleze maisha yake na kufa km wanavyokufa viumbe wote. Kila nafs itaonja mauti.
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Yesu sio mwanadamu Bali ni roho wamungu ndio maana Quran inawapoteza hamjui kuwa yesu ni roho,,, Muhammad alifinywa na shetani ndio a kubali kuwa mtume mbona mitume WA mungu hawakufinywa lkn Muhammad peke kafinywa,,,, ikuulize paradise yenu mliadiwa nini wanawake 72 na sisi yesu a nasema nitawapa uzima WA milele lkn waislam pombe na maziwa ilio oza Waaaaa mungu asamehe waislam Allah ako na ubaguzi WA rangi hapendi watu weusi Sasa na wewe una ngangana tu na kuran unatangaza na wewe ni mweusi Hata hivio Quran ililetwa kwa waarabu peke wewe ni mwarabu ama unajiona je
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Yesu anarudi kunyakuwa walio mkubali na kutii neno lake na sauti yake lkn wenye wanamkana kama nyinyi sijui mtaelekea wapi Bali nawaombea mfunguke macho muone mbele maana yesu ndio njia na uzima WA milele niambie wewe Sasa Allah na Muhammad wako na nini kwako mm kwangu hakuna faida
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Yesu alisema pendaneno jinsi mm nili vio wapenda lkn ukija kwa waislam wapendi wakristo na wayaudi maana Muhammad alikufa kwa sumu alie muua muyaudi,,,,, na vitabu vilioliwa mvunguni mwakitanda cha aisha wakati Muhammad amekufa viko wapi kama ukweli Quran ni kitabu cha mwenyezi mungu mbona kikaliwa mungu hakukilinda na mbona hakukinga mtume asife kwa sumu mtume akasema ukila date 7 kama umekula sumu hautakufa yeye ako wapi
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Soma Quran 2:97
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Kama Muhammad ni mtume WA mungu mbona akafinywa mbavu ndio a kubali kuwa mtume
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Elimu haipatikani kiwepesiwepesi, inapobidi lazima mwanafunzi atishwe/aadhibiwe(adhsbu inayolingana na kuwa kwa mengi is kustawisha kwa lengo la kujeruhi/kuumiza) ili mwanafunzi atoke ktk ujinga awe mwelevu. So kusoma ni muhimu na ndomana mwanagunzi/wanafunzi huadhibiwa baadhi kwa kuchapwa ili upatikane umakini, uwelevu na mazingatio ktk kujifunza. Wazungu wanatuletea destuli/mila ya kuondoa viboko mashuleni/mwanafunzi asichapwe ili wanagunzi/watito wawe wajinga na wakose adabu kwa Walimu wao na Wazazi wao/Walezi wao.
@فيليسزيديك3 жыл бұрын
@@alhaddajmohammed4768 uongo huu mbona Muhammad mwenyewe kasema mimi sio mmoja WA mitumi walio tumwa na mungu kumbe Allah sio mungu Allah mwenyewe kaambia Muhammed yesu kanitusi heti mimi sikuumba manake Allah kaumbwa ndio maana anahapa kwa lieumba ndio maana kasilimishwa na Muhammed nakuamuru Muhammed aende kuwasomea Quran majini Quran sio kitabu cha mungu penda usipende shetani ndio Allah hio ndio ukweli upende usipende
@@فيليسزيديكtupe ilo andiko linalosema kuwa Yeye mtume muhammad alisema kuwa yeye sio mtume na hakutumwa na Mungu
@abujole86494 жыл бұрын
Nawasikia Daawah yiinu
@akeem12214 жыл бұрын
GIve the guy your phone number wafikirie , and they should call you when ready.
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Kafiri ni kupinga ukweli wa Allah dada yani kukata kitu kiko wazi na ni kweli wa Allah
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Ni nini Muhammad na Allah aliwaahidi kwa paradise yenyu wanawake 72 huyo ni mungu Aina gani
@mrboma43434 жыл бұрын
Mafunzo mazuri kabisa
@giloogilo65894 жыл бұрын
Warongo.mbona wasoma kiarabu sio Kislamu.Wayahudi ndio watu wa kweli.
@فيليسزيديك4 жыл бұрын
Biblia sio kitabu cha uchawi kama qur an
@malindaramadhani92714 жыл бұрын
Kafiri naweza kuwa mtu yeyote anaye pinga Allah / Mungu
@malindaramadhani92714 жыл бұрын
Ata muislam anaweza kuwa kafiri ikiwa anampinga mungu
@davidchesco11504 жыл бұрын
Wapotoshaji.biblia haitafsiliwi kizembe ivo
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Yesu hajawacha Biblia , hajawacha Ukristo wala hajawacha Kanisa. Wakristo mmeongopewa na Wapagani/Makafiri wa Antokia ili mpotee. Yesu alikuwa anasali ktk Masinagagi/Misikiti ya Wayahudi, Yesu amewacha Kitabu cha Injili na alikuwa Muislamu jinalake ni Issa ila Wapagani wakageza Yesu!. Biblia ni kitabu cha wapotoshaji wamechaguwa baadhi ya maneno wayatakayo na sheria wazitazo kutoka ktk Zaburi, Taurati na injili ili kuwapoteza wajinga.
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Wakristo walokuwa karibu/marafiki wa Waislamu ni Wale wa Zama zilizopita walokuwa wakitumia Kitabu cha Injili ya Yesu (Issa) kabla hakijachakuchuliwa na King James na kukusanyawa/kuingizwa ktk Biblia!