May Allah keep guiding you all my muslim brothers •. for sure christians need help •
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Nawapenda nyinyi ok asante
@farahfarah36044 жыл бұрын
Sheikh yahye long life my brother mu islamu
@amaradiombera21984 жыл бұрын
Unafurahisha sana ndugu ukueli nimoja
@Ishaqdaawahtv20134 жыл бұрын
Mashallah Allah atukumbalie amal zetu
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin Ustath Isak sasaka
@ismailmohamed87774 жыл бұрын
Masha Allah. Full clip
@haganagobu25244 жыл бұрын
@@kenyadawahtv90 subhanallah mungu tatu najilinda kwa jina la.mwenyzi mungu mungu ni mmoja tu hakuzaa Wala hakuzaliwa
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Mungu ni mmoja tu dadaangu usighurike na dunia dadaangu Alf pole kama nimekuudhi🙏🙏🙏🇰🇪
@الزغويالزغوي-ض3ن4 жыл бұрын
DADA ANAKOMAA MBAYAA!
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Yaani hafikirii pia kwani kuna mtoto alie zaliwa na baba 3 kwa mama mmoja?. 🤣🤣🤣 Yake kali
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Ajifanya ni msomi sana wa kingereza.ALLAH amuoneshe njia iliyo sahihi🤲🤲
@islamicnewschannel25513 жыл бұрын
Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.
@iddyally44394 жыл бұрын
Allah awajalie sana mashekh wetu kazi nzuri sana Allah awape wepesi ishaallah
@jafarykahera17274 жыл бұрын
Dada silimu dini huna ndoomana hujui njia ya sawa njia tatu haupiti mwili mmoja mungu ni mmoja tuu
@hananabeid59624 жыл бұрын
Allah awabariki Sana insha'Allah
@UMMYYFATMA Жыл бұрын
MashaAllah 🙏 🤲
@bulletproof89784 жыл бұрын
Mashaalha masheik wetu
@salumkaisi49074 жыл бұрын
Wanaamini kidogo sana mambo ya mungu hawajui kuwa watarejea kwa Alie waumba
@khalidabu52592 жыл бұрын
Hakuna jini muzuri jini ni maraika wale mungu aliwatupa mbinguni pamoja na shetani
@wemakalamu35384 жыл бұрын
Jazakaallahu khairan inshaallah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Amin
@musasaanane27583 жыл бұрын
May Allah be with big brothers
@makenakendi2824 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always
@habibizainab73004 жыл бұрын
Huyo mama amezunguka weeee mwisho amesema yesu ni mwana wa Adam nakamini hivo
@jaffarumar52584 жыл бұрын
Masha’Allah
@musasaanane27583 жыл бұрын
I like it so much
@abujamalaalghammawiy74704 жыл бұрын
Maasha Allah Tabaaraka Allah hongereni kwa kazi nzuri. Ila Kuna sehemu mmoja naona haipo sawasawa. Hivyo mnavyo edit na kukata kata baadhi ya vipengele na vingine mnaviweka vinajirudia rudia. Naona haiko sawasawa. Inaondoa utamu wa flow ya maudhui yaliyokusudiwa. Na pia utampelekea baadhi ya watu mnaowahoji waanze kukataa mahojiano yenu kwani watahisi mnawakata maneno ili kupotosha na kuyaweka katika namna ambayo wao hawajakusudia. So, msikatekate vipengele wala kuyarudia rudia maneno, kama wanavyofanya Yusuph Da'wa, wao wa naweka kila kitu kama kilivyo. Inabakia ni mtu kuamua mwenyewe. Shukran kwa kunielewa
@themagnet42364 жыл бұрын
Sitrategie nzuri hii haisumbuwi tena,inafaa saana
@nassorsharifu98374 жыл бұрын
Kweli wakristo hawaelewi hata hesabu. Kama Yesu alikaa upande wa kuume wa Mungu hao ni wangapi.
@hadijaateya76234 жыл бұрын
Masha Allah
@jamilaomariomari83284 жыл бұрын
May Allah guide them.subhanaAllah!
@adinanijackobo13284 жыл бұрын
ManshaAllah huyu mdada inshaAllah ipo siku atakuwa muislam
@wadimtwana72864 жыл бұрын
Wakristo wabishi hata ukiwapa ukweli
@saumuseif91894 жыл бұрын
Kwakweli wakristo kazi
@omaryrashid18734 жыл бұрын
Kazo ipooo
@الزغويالزغوي-ض3ن4 жыл бұрын
NI KAZI NZURI SANA MNAYO IFANYA ; KWANI JAMII YA WATU WENGI HAWAJA FIKIWA NA UKWELI WA DINI HIVYO KAZI YENU NI KUONDOA UZURU WA WATU MBELE YA MWENYEZI MUNGU SIKU YA QIYAAMA ! AL-LAAH AKUHIFADHINI WAALIMU NA AKULIPENI KHERI
@myoutubecom-gg7sb4 жыл бұрын
MashaAllah
@oopsm35744 жыл бұрын
Dada yangu uzungu mwingi, duuh balaaa
@alimussa55604 жыл бұрын
That Sister is So clever but So much Programmed for she reads the Bible but translates the book as explained to her. The book is in front of her eyes but she can not see. May Allah open her mind to the truth.
@myself41284 жыл бұрын
Swali simple ni moja,,, Una mtoto wa kike Na pembeni Yupo Mohammad na Yesu,kabinti kana miaka 6 ,Kanaitwa Aisha,Je utampa nani akulelee kwa usalama mwanao kati ya hao manabii wawili?? Je utamkabidhi Muhammad binti yako akulelee?
@nassorsharifu98374 жыл бұрын
Na kama Yesu alikaa upande wa kuume roho mtakatifu alikaa upande gani?
@malawatoaliasse73694 жыл бұрын
Uyo mwanamke ni kama aliye wasema mugu kama wale waliyo kufuru ni sawa kwao uwambie usiwabie hawataamini
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Masha Allah, kazi nzuri, Allah awazidishie elmu, lakini videos zenu ni fupi na mnazirukisha-rukisha. Wajua sisi tunazidi kujifunza kwenu, mnapo soma maandiko tunataka kujua ni maandiko gani ili nasi tuandike ili tufikishe ujumbe wa La Ilaha Ila Allah
@godisgreat18454 жыл бұрын
Wakristo wanapozungumzia uhai wa Yessu huwa wanasema kuwa yeye yu Hai na hakufa lakini hawajui kuwa hata Iblisi amerefushiwa uhai na hajafa sasa hawajui kuwa ndio wanamuabudu hivi Sasa
@jangombeboys45364 жыл бұрын
jangombeboys1999
@paulduke67124 жыл бұрын
Umedagana watu ww sheik dini ampoyni yesu nidiye anapoyna
@abdinasirmohamed22384 жыл бұрын
Whenever out xtian brethrens try to explain trinity they get more confused 🤣
@khalidabu52592 жыл бұрын
Uislamu ulitoka Vatican na bibi ya Mohamed na jamaa mwingine hapo